“AMUENI MFUNGE AU MFUNGUE NIMEONGEA NA SIMU NA RAIS KANITHIBITISHIA” KIONGOZI KARIAKOO

Пікірлер: 193

  • @jerome3143
    @jerome31432 күн бұрын

    kwa ujumla bara la afrika akuna viongozi kuna genge la wauni tu

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw2 күн бұрын

    Tatizo kubwa kama hili kiongozi wa nchi unashindwa kunyanyua mdomo ukamaliza ujui machafuko yanaazia ivi mdogo mdogo

  • @Mumewangu

    @Mumewangu

    2 күн бұрын

    Anapeleka viongozi kwanza baadae kauli mwisho atatoa

  • @petro8010

    @petro8010

    2 күн бұрын

    Yeye aendelee kukaa lkn kwa wenzetu tunaona

  • @birianination7097

    @birianination7097

    2 күн бұрын

    Viongozi wahusika wapo, wacha kazi iendele.

  • @bryanjonathan6312
    @bryanjonathan63122 күн бұрын

    Ile kamati iliyoundwa na waziri mkuu iliyokuwa na huyu jamaa na Vunja bei ilikuja na ripoti gani? Iliishia wapi mbona hatukuwasikia tena?

  • @ce-08
    @ce-082 күн бұрын

    Sasa ww mwenye kiti wa wafanya biashara alafu unalindwa na polisi wanini wakat hao ni jamaa zako na jana ulikuwa nao kwenye kikao😂

  • @Mumewangu

    @Mumewangu

    2 күн бұрын

    Lazima manake watakuwepo na hasira

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hkКүн бұрын

    Kenya 🇰🇪 wanakiwasha tu haki lnaweza kutafutwa kwa Damu kunaviongozi Tz Hawata badilika adi kiwaswe ndani ya miaka 2 patanyooka tu

  • @sponsor7882
    @sponsor78822 күн бұрын

    Magufuli angeshafika hapa tangia juzi

  • @Mumewangu

    @Mumewangu

    2 күн бұрын

    Na yupo njiani anakuja msubiri tu

  • @petro8010

    @petro8010

    2 күн бұрын

    Ni kweli JPM hakuwa mtu wa kudelay namna hii

  • @birianination7097

    @birianination7097

    2 күн бұрын

    ​@@petro8010 sio kudelay, ila hakuwa mtu wa mazungumzo, wote tunajua angesha teka hao viongozi wote

  • @salmanmagwe2612

    @salmanmagwe2612

    2 күн бұрын

    Magufuli asingekuja bali angeagiza wote wanyan'ganywe leseni au watiwe ndani,ila watanzania ukienda nao polepole hawakuelewi na mwisho wanaanza kugoma kama hivi

  • @samsonsimon3138

    @samsonsimon3138

    2 күн бұрын

    ​@@birianination7097 ww ni ignorance kweli magufuli alikuwa anasikiliza kero za watu na kuzitatua mda huo usimlibikiziie màovu aliekuwa raisi wetu alikua anawapenda wananchi wake

  • @russia1253
    @russia12532 күн бұрын

    Tuna bambikiwa Kodi 😢 alafu CIG anachukua mnachekelea 😢abali za kilofa

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri37632 күн бұрын

    Kenya oyeeeeeee.mkeka umetiki

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka2 күн бұрын

    Siasa,znafurahisha kweli ila hapa ndy ubaya wake😊

  • @RenatusMatungwa
    @RenatusMatungwa2 күн бұрын

    Waleteni wakenya wasolve hili tatizo

  • @IbrahimIdrisa-tl6wm

    @IbrahimIdrisa-tl6wm

    2 күн бұрын

    Wewe ndy umeongea point kiasi chake

  • @eliasizubhakwa8212
    @eliasizubhakwa82122 күн бұрын

    Mama samia haoni kabisa kweli

  • @whatisthetruth.8793

    @whatisthetruth.8793

    2 күн бұрын

    Hajui chocolate yule bibi , anaweza ni kusoma alicho andikiwa kwenye karatasi tuu

  • @RichWise671
    @RichWise6712 күн бұрын

    Kuna siku Tanzania itajaa kwenye mfumo #SAEL_STATE💝💝

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi82412 күн бұрын

    Bi Samia ati mpak August 8th, wakati bos wake Magufuli lingetatuliwa kwa muda wa masaa mawili..Mama Samia mpaka aagize watu badala kuwaface w/biashara uso kwa uso. Mama Samia mmmh

  • @Ishowprime004
    @Ishowprime0042 күн бұрын

    Ndo wale wale tu kudadeki tutapigana kama kenya

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Hakikisha umeachia Ndugu zako pesa za kusafirisha mwili Kijijini kwenu, chezea Tanzania 😂😂

  • @yousuphnzira3209

    @yousuphnzira3209

    2 күн бұрын

    ​@@darajalakidatukilomgi2362😂😂😂😂😂🎉😂

  • @yousuphnzira3209

    @yousuphnzira3209

    2 күн бұрын

    Hii nchi ina mifumo ya kipekee.

  • @allymaulid9391
    @allymaulid93912 күн бұрын

    huyu afai kuwa kiongozi

  • @othmanali5362
    @othmanali5362Күн бұрын

    Ah.karagosi huyo

  • @knight6757
    @knight67572 күн бұрын

    Heshima iwe upande zote !!

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506Күн бұрын

    Hakuna kulipa kodi

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs2 күн бұрын

    Atuna rais kwani mlikua amumuoni hayati magu apo mbona nikama siasa ndani yake mungu tusaidie😪😪🎎🙏

  • @user-mq4yq6rw1w

    @user-mq4yq6rw1w

    2 күн бұрын

    No.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION2 күн бұрын

    Government is a systemnmade by group of people to care the country or nation

  • @thosmaenterprises9968
    @thosmaenterprises9968Күн бұрын

    ameshaingizwa kwenye mfumo pimbi uyoooo

  • @viralvideostz8250
    @viralvideostz82502 күн бұрын

    Msaliti huyu katuuza

  • @Deppe-rv2vg
    @Deppe-rv2vg2 күн бұрын

    Good leader

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634Күн бұрын

    Kwani Waziri wa Biasha yupo wappi?

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole92932 күн бұрын

    eti Serikali ya mama Samia inazungumzika 😂😂😂

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw22 сағат бұрын

    TRA Iondolewe serikali iweke mfumo ambao walipa kodi tutalipa na pesa itaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka TRA

  • @user-ui1cj5re9k
    @user-ui1cj5re9kКүн бұрын

    Rais awemakini sana kwani haonikenyaa

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies96702 күн бұрын

    Waziri ajiuzulu aheshimu watu

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe51322 күн бұрын

    Tatizo nchi hii upigaji tu. Mama mnamwonea tu afanyeje? Sahizi Kariakoo vurugu tupu barabara zote zimefungwa watu wamepanga bidhaa barabarani ukiuliza eti ndo wapiga kura, huu ni ujinga ambao haupo duniani isipokuwa Tz. Tunakuwa kama hatuna sheria ni upuuzi tu. Inakera sana hadi mtu huelewi.

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe26122 күн бұрын

    Ila hakuna siku wafanyabiashara watakuwa wakweli,hata ukiwapunguzia kodi bado tu watakwepa,ukijijengea hulka ya kulipa kodi ndio utakuwa na uzalendo na nchi yako

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Wahuni hao kuna wanaharakati wameingia Kati yao na wao kama manyunbu wanafunga biashara mtafilisika na Serikali mtaiacha inaendelea😂😂

  • @heaventv4668

    @heaventv4668

    2 күн бұрын

    Nyoko​@@darajalakidatukilomgi2362

  • @aminasittusaid3830

    @aminasittusaid3830

    2 күн бұрын

    ​@@darajalakidatukilomgi2362 halafu wengi walohojiwa wanalalamikia faini ya milioni 15 kama wasipotoa risiti kwa mteja. Kwa kuwa sababu ya faini wanaijua basi watowe risiti ili waepukane na hiyo faini ya 15m. Kutotoa risiti ni kukwepa kulipa kodi, sasa wanataka Rais awaruhusu wasilipe kodi au?🤔😇

  • @leocadearzengo4606
    @leocadearzengo46062 күн бұрын

    Sijaelewa 😢

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp2 күн бұрын

    Tanzania niyetu hakuna kutishiana aje

  • @Kabwela776
    @Kabwela7762 күн бұрын

    Samia hawa watu sio wa kuwachekea hata kidogo wanaanza kukupanda kwenye kichwa fanya kama Magufuli angewaambia fanyeni biashara au mkatafute nchi ingine mkafanyie biashara, ndio maana enzi ya Magufuli kulikuwa hamna migomo nchi ilikuwa inatawalika watanzania wamezoea kuburutwa kama ng’ombe hawajazoea mazungumzo !

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l2 күн бұрын

    Wakenya wafundisheni watanganyika kudai haki wewe mwenye kiti kuongo halafu wewe usalama tu

  • @user-rw9ff2tk6w
    @user-rw9ff2tk6wКүн бұрын

    Nchi inakopa mikopo kibao wawekezaji kibao sasa kodi haishuki mbona hivyo sasa maana tunataka na sisis tuanzishe vibiashara ebullient wekeni mambo sawasawa

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya96542 күн бұрын

    Majibu ya kisiasa hayo mwenyekit

  • @browskymuba6923
    @browskymuba69232 күн бұрын

    Kipindi cha magufuli mlikuwa kama sisimizi

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack95772 күн бұрын

    Kimebaki kuandamana kama kenya kitawaka

  • @EmmanuelErnest-xd1rc
    @EmmanuelErnest-xd1rc2 күн бұрын

    Akuna unacho zema

  • @marwajoseph8060
    @marwajoseph80602 күн бұрын

    Angekuwa harmonize angeenda kumisikiliza kero za watu wengi kwanini wasiwasikilize unakuta mtu mmoja anapewa sifa wee kiukweli hakuna aliye kamilika hapa duniani mama hapa anafeli nibola angelifanyia wepesi zaidi kuliko kukosa huduma Leo siku Tatu Sina mzigo dukani nawategemea waniulizie na mimi nikauze

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi82412 күн бұрын

    wananchi wameshaona nchi sio yao tena. ni mpaka wapige magoti na kujigaragara kuomba haiki zao. nchi inaonenkana wanaofaidi ni wacheche sana ambao hao wamewekwa na wananchi sie..mbona viongozi kama wamefumbia macho matatizo ya watu? kesho wanaingia mtaania kuwaomba kura na kuwa danganya watu wa wtu. ni vibay sana🥲🥲🥲🥲🥲

  • @callicevallice7383
    @callicevallice73832 күн бұрын

    Huyo jamaa kashalamba asali 😂😂

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri37632 күн бұрын

    We mwenyekiti akili hazikutoshi .unaposema huko nyuma serikali ilikuwa huna uwezo wa KUFANYA majadiliano unawakosea watanzania . Huko nyuma manyanyaso hayakuwepo na majizi yalishika adabu.Acha woga kuwa imara na kwanini upigiwe simu na wenye nchi wasijitokeze kutoa kauli?

  • @modestalois2535
    @modestalois25352 күн бұрын

    Naona huyu kiongozi 😢😢😢amekuwa mwanasiasa,hastahili kuwa m/kiti wa wafanyabiashara,huyo anafanya kampeni 😢😢😢,yeye anaiponda Serikali ya Hayati Magufuli!!?

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dnКүн бұрын

    Kiongozi mkubwa yupo bize na mambo yake ila ipo siku

  • @peacedondo8354
    @peacedondo83542 күн бұрын

    Serikali ya nyuma kidogo meaning ya Magu alafu serikali ya mama samia imekubali kukaa kuongea... hahahahahaha jamani anampigia kura mama anamkandia magu... noma huyu amekaa kisiasa ili aendelee kukaa kwenye hicho kiti kuwasemea wafanyabiashara... nomaaa na naona kuna wafanyabiashara wamemuelewa ndo mana wameguna 😅

  • @cosein
    @cosein2 күн бұрын

    Mama hapa anawakati mgumu sana

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta15972 күн бұрын

    Hapo umekosea au mbona watu wamekupgia kelele hakuna ambalo halizungumziki kaka

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo2 күн бұрын

    M nadhan wangetawanyika wasinsikilize tu

  • @Mumewangu

    @Mumewangu

    2 күн бұрын

    Lazima wasikilize ili na wao wajenge hoja

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs2 күн бұрын

    Tuige mfano wa kemya hivi watanzania tutakuwa wema mpka lin lakin tunachezewa akili zetu oneni wenzetu kemya mswada haujapitishwa baada yakuchukua maamu magumu laki. Sisi kila siku tume tume ila watoto wetu wapo na wanaamka

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.87932 күн бұрын

    Raisi uvundo uvundo na kunuka

  • @anicetminde3362
    @anicetminde33622 күн бұрын

    Umemaliza kwa hekima😂

  • @fathermore9772
    @fathermore97722 күн бұрын

    Viongozi wanafiki kama hawa hawafai .kujikombakomba wakati watu wanateseka

  • @augustinemainde
    @augustinemainde2 күн бұрын

    Sasa anaepata hasara ni Nani? Kwa kuwa serikali Ina vyanzo vingine vya kodi

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda31462 күн бұрын

    Yan hpo ingekuwa hivi... hakuna kufunguwa duka!mbak system iwe imekamilika yna hakun kusubr.. mkigunguwa nao wanaemdelea kunyoosha miguu!

  • @mligogodfrey8882

    @mligogodfrey8882

    2 күн бұрын

    Njaa Haina baunsa kaka.

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    ​@@mligogodfrey8882😂😂😂😂 ndio wale anagoma kula mpaka abebelezwe wakati mji umejaa wenye njaa, jaribu tukuone anachekesha sana😂😂😂

  • @husseinkatunka7548
    @husseinkatunka75482 күн бұрын

    Kwani kuja apo kunaumbali gani mpaka apige simu

  • @user-mn5ho4fk7p
    @user-mn5ho4fk7p2 күн бұрын

    Huyo Samia anajua nyinyi wajinga tuu ndio mana aji kuwasikiliza

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71Күн бұрын

    Mwenyekiti wewe ni kuma tu

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein45702 күн бұрын

    Manenono matupu bila maandishi hamna kitu hapo

  • @zachariangoyo6495
    @zachariangoyo64952 күн бұрын

    Tz pako vibaya aiseee siku zinakauaja kitanuka tiumechoka aseee

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b2 күн бұрын

    Acha kujikomba hata luto ameinua mikono sembuse wazungu wa leli

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo84082 күн бұрын

    watuachie inchi yetu wameshindwa kutuongoza basi.

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela1792 күн бұрын

    Samia anaogopa nn si atamke yy kuwavimefutwa anatumilizia nm

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias43372 күн бұрын

    Ningekua mfanya biashara ningekua nsharuka nae

  • @eliasizubhakwa8212
    @eliasizubhakwa82122 күн бұрын

    Mama samia hatufai kabisa

  • @birianination7097

    @birianination7097

    2 күн бұрын

    Anakufa nani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole74382 күн бұрын

    Aongee nao live wananchi wamsikie kama kule kwa Makonda Arusha

  • @barakamnazareti5745
    @barakamnazareti57452 күн бұрын

    Kuna ulazima gani wakuongea unaonyesha ishara ya dole gumba😂😂

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk2 күн бұрын

    bado haituingii akirini tunamtaka raisi mwwnyewe

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Ndio imeshatoka hiyo kama wewe jeuri funga biashara uone kama utaenda choo wakati unamsubiri Raisi aseme😂😂😂😂😂😂

  • @NipoNipoTV
    @NipoNipoTV2 күн бұрын

    Sasa wafungue tu>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga57982 күн бұрын

    Wanatuona mbumbu cc wananchi da kazi kwelkwel

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f2 күн бұрын

    Kwani raisi yupo wapi?

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o2 күн бұрын

    Nchi hi ngum Sana

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard21352 күн бұрын

    Uko nyuma kulkuwa hakuna izo mambo 🎉

  • @birianination7097

    @birianination7097

    2 күн бұрын

    Mambo gani😂😂

  • @storytownTv
    @storytownTv2 күн бұрын

    Mwenzenu yuko bize analipa wasanii wamtungie nyimbo za promo ,mitano mbele..🎉🎉😂 rip uncle John Pombe yote haya uliyaona ndo maama ukasema tutakukumbuka

  • @user-ui5du6wj7n
    @user-ui5du6wj7n2 күн бұрын

    Kila siku nimaneno hayo hayo tumeshawazoea kwaivyo letu jambo

  • @festohaule9716
    @festohaule97162 күн бұрын

    Mtu anaonyesha wazi kuwa ni mwongo!!!Huyo Mchaga bhana!!!!

  • @MRASISKA
    @MRASISKA2 күн бұрын

    Nimeamini pesa ni sabuni ya roho

  • @user-cd2np5by6g
    @user-cd2np5by6g2 күн бұрын

    Muongo uyo

  • @florencemeza6540
    @florencemeza65402 күн бұрын

    Tunatoa kodi no maendeleo halafu report ya CAG BIOLIONS OF MONEY ZIMELIWA, WANAKOPA WANAKULA halafu mnapanfisha kodi mnavyojisikia

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku2 күн бұрын

    Saiv mama YENU amekalia mbali kabisa hataki aonekane kwamba anamakosa .. Wakati Sheria zinasema kwamba maswala yoyote yanayohusu Kodi na Tozo nimaswala yanayomuhusu rais kwasababu anapeleka bungeni bunge lenyewe ni ndio Bunge likipitisha mama YENU anasaini Sasa inakua Sheria rasmi ndiomnaanza kusakamwa na TRA na harmashauri halafu munawaona TRA wabay kumbe mama YENU ndio mbaya Kila mtu mama mama ma.a autafiri wote hapa hamna mama zenu

  • @MRN_the_Real
    @MRN_the_Real2 күн бұрын

    Uongo huo

  • @user-td4kg7sw7l
    @user-td4kg7sw7l2 күн бұрын

    Usitudanganye nihakiyetu kuusema ukweli kama hawatusikiliz tugome nchiinzima serekali ifanye kaz zake tuone sisi pya tuna haki nilazima tusikilizwe kwani tunafanya kaz ili tulipe kod tuu au na ss tunataka faida yatunachofanya nakama serekali nikandamiz kwanini tusiseme nakwanini wawena uwezo wakutupuuzia aukutusikiliza wala tusifundishane uwoga hapa

  • @antonytheodory2005
    @antonytheodory20052 күн бұрын

    Kwani mpaka raisi apige simu,mbna ni swala la mkuu wa mkoa, yani hii nchi na Mambo ya kiki 😢

  • @saidyfikirini9679
    @saidyfikirini96792 күн бұрын

    Mm sitaki comment kibaya naupenda ugali😢😢😢

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk2 күн бұрын

    bora huyu kaongea kiustaarab sio charamira sijui kasomea wap

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce65592 күн бұрын

    Mzee kisha chimbwa biti kurudishwa kijijini kwao ⚰️ ndio maana kawa mpole😂

  • @obedkiswaga2790

    @obedkiswaga2790

    2 күн бұрын

    Kabisaa Kwa anavyoongea Tu kashachimbwa mkwara

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates92772 күн бұрын

    MNAZINGUA WAFANYABIASHARA

  • @afropatriot7769
    @afropatriot77692 күн бұрын

    CHAWA

  • @knight6757

    @knight6757

    2 күн бұрын

    🤔🤣

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics2 күн бұрын

    Siasa hapoooo

  • @sonnyr1899
    @sonnyr18992 күн бұрын

    Huyu mwenyekiti kachaguliwa na nani?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne74912 күн бұрын

    Bandari imesha uzwa sasa ata rekebisha kipi huyo ana wa danganya ana piga sim kivipi badala atoe tamko

  • @jameskunogoleka5805
    @jameskunogoleka58052 күн бұрын

    Aje rais nyie do wajir wenu

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon31382 күн бұрын

    Ni mpuuzi huyo akaangizwa na akaingiziwa ujinga kichwani mwake , magu alikuwa hapendi kuona maandamano ya vyama pizani tu ambayo hayana faida lakn migomo kma hii do alikua anawahi kuitatuq

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m2 күн бұрын

    Wewe ushawasalit wafanyabiashara mshamba ww Hadi unalindwa na police tz hovyo

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku2 күн бұрын

    Chagua kufungua au kutokufungua. Hii nchi bhana nimali ya Rais sisi wananchi ni takataka omba omba

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x2 күн бұрын

    Endeni kazini muache ujinga kwani hii ni mgomo wa aina gani??

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Kuiga iga mwisho wameishia aibu, fanyeni biashara Siasa waachieni wabunge majinga sana haya😂😂😂😂

  • @cricwambali1352
    @cricwambali13522 күн бұрын

    Mbona mwenyekiti huendi paka mgomo utokee au hua husikilizwi

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson49592 күн бұрын

    Kashabanwa huyooo

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Usicheze na Serikali ya Tanzania, Jana tu alikua anapayuka Leo kalowa kama paka aliyemwagiwa maji😂😂😂😂

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.87932 күн бұрын

    Tatizo la kuwa raisi tundu choo , kutoa gharufu mbovu tuu

  • @halimoabgal5039
    @halimoabgal50392 күн бұрын

    Huyu kiongozi pia wa kubadilisha

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    2 күн бұрын

    Keshawageuka, acheni ujinga fungueni biashara mtakufa njaa😂😂😂

Келесі