NDEGE WA MAPAMBO: Afisa wa usalama mstaafu ajichumia riziki kwa kufuga ndege wa mapambo

Ufugaji wa ndege una manufaa mengi. Wengi hufuga ndege kujiimarisha kibiashara lakini kwa Joseph Opondo mkurugenzi mstaafu wa kituo cha kukabiliana na uhalifu nchini, ndege wake wa mapambo wanampa utulivu wa mawazo. Shambani mwake katika kaunti ya siaya, opondo amefuga kila aina ya ndege, wengine wakigharimu hadi shillingi millioni moja kila mmoja.

Пікірлер: 11

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler2 жыл бұрын

    That is a spectacular set up and a sound eco system.

  • @Benson_Mutuku
    @Benson_Mutuku2 жыл бұрын

    The guy has big machines parked there like no one business

  • @shahOko2664
    @shahOko26642 жыл бұрын

    Amazing

  • @alextercisio
    @alextercisio2 жыл бұрын

    1m???aiii apana lbda Ugandan shillings

  • @HubasaFamily254
    @HubasaFamily2542 жыл бұрын

    Enyewe reporter anatoa sauti toka miguuni🤣😂😂😂

  • @scattx
    @scattx2 жыл бұрын

    Alah ajy ndege kuuzwa mita moja 😂😂💕💕

  • @truckingwithfauz7089

    @truckingwithfauz7089

    2 жыл бұрын

    Na watu hawana food

  • @morineinziani9547

    @morineinziani9547

    2 жыл бұрын

    Pia mimi imgn nimeshtuka

  • @scattx

    @scattx

    2 жыл бұрын

    @@morineinziani9547 eee joh lakini Kenya tunachochwa sana

  • @rafaelaverozaura1251
    @rafaelaverozaura12512 жыл бұрын

    Tausi gapi

  • @Eufredmegaidealfood
    @Eufredmegaidealfood2 жыл бұрын

    Ngoja at eeh one what? 😂