Nakitia Yona 'niliolewa na niliedhani namjua kumbe simjui'

Ойын-сауық

Nakitia Yona ni Mwanamke Mtanzania ambaye aliolewa na kwenda kuishi nchini Marekani, sio msanii wala mwigizaji lakini watu mbalimbali kwenye nchi za Marekani, Uingereza na kwengine wameanza kumjua baada ya kuandika kitabu ya maisha yake ya kweli baada ya kuolewa.

Пікірлер: 217

  • @starplus526
    @starplus5268 жыл бұрын

    Asante sana kumbe himaisha siya mtu mmoja tu hata mimi niliyapitia hayohayo kuish kwa doa miaka minane mume yuko mjini humwoni amekwacha kwao hadi nikajitowa na wanangu wawili wakike na shukuru mungu mmoja amemaliza form four mdogo yuko form one God bless single mothers

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    5 жыл бұрын

    Ameen

  • @marceltarimo6159
    @marceltarimo61595 жыл бұрын

    Pole sana, usijutie kukutana kwenu labda ni mpango wa Mungu iwe hivyo ili uweze kuwa mwalimu wa wengine na kuwatia moyo walioumizwa na maisha ya ndoa.

  • @mariammsemo8903

    @mariammsemo8903

    4 жыл бұрын

    Hongera kwa kujiamini kwa kutambua haki yako kama mwanamke,hata baada ya hilo maisha yanasonga.Nimependa jina lako wewe ni kabila gani?

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup13534 жыл бұрын

    Who heard "kaka mkwe"🤣🤣🤣 Wallah kizungu ukikizoea jamn..."You know"😁😁

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu58625 жыл бұрын

    Leo ukiamua kuoa mpagani au wa imani tofauti na yako ni sawa lakini nakwambia kuja kumset kuwa kama wewe au kufanana itakuchukua mda mno kama sio mivutano.Ni vizuri kumchagua mwenzi ambae mnaendana kwa mambo mengi.

  • @divinehaibei9801

    @divinehaibei9801

    2 ай бұрын

    Umeongea vyema

  • @sophiakasim5153
    @sophiakasim51534 жыл бұрын

    Ila dada yuko vizuri sanaaaaa utafkiri ana miaka 20 na kitu daaaah keep it up

  • @kh.9978
    @kh.99788 жыл бұрын

    naogpa sanaa kuolewaa kubayaa sanaaa... mungu tuu atusaidie

  • @levaithenofgods9215
    @levaithenofgods92156 жыл бұрын

    One of the biggest errors that people do is NOT to ask themselves "why they wanna get married" before getting into it.

  • @salamaignace7873

    @salamaignace7873

    5 жыл бұрын

    Absolutely

  • @ebenezer4719

    @ebenezer4719

    5 жыл бұрын

    Exactly

  • @alexanderkapinga2245
    @alexanderkapinga22456 жыл бұрын

    Ndoa hii haikuwa complete katika kitu kinachoitwa kushikamana na pia hakukuwa na kuacha wazazi na kuambatana na mwenzi ndio maana kila mmoja kati yao alikuwa anashikamana na ndugu zake badala ya kushikamana na mume au mke wake.

  • @anjeliklaantoni7834

    @anjeliklaantoni7834

    5 жыл бұрын

    Alexander Dada yangu maisha uriyo pitia yana fana nafana kama yangu umenikumbusha mbali, haki ya mjane ni mungu pekee anaye tenda haki

  • @siphaelimarry9956
    @siphaelimarry99566 жыл бұрын

    wakwe ndo walivunja ndoa yako ila mumeo pia alikuwa chanzo kisababishi.. kama mumeo angeungana na wewe bega kwa bega hata wakwe wangesema nini naamini mngewapotezea tuu na mngesongesha life lenu bila kujali mtu.. mume kigeu geu

  • @divinehaibei9801

    @divinehaibei9801

    2 ай бұрын

    Umeongea vyema kwasababu huyo mwanaume hana maamuzi...inachosha sana

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita8 жыл бұрын

    proud of you na pole sana!thanks for sharing with us your pain and also jokes kidogo! read your book on Kindle. Honey you are brave, courageous, loving, sweet and most of all INSPIRING! so much I've learnt from you especially on interracial relationships! be blessed!

  • @marthamusoma1082
    @marthamusoma10828 жыл бұрын

    pole dada wanaume ni wabaya sana kufanya unyama ni asili ya mtu kama huna roho iyo uwezi kujifunza

  • @doctorukia
    @doctorukia8 жыл бұрын

    This guy who keeps opening and closing the door when there's an important interview going on, how disrespectful! I congratulate Nakitia for standing on her two feet despite all the challenges she has been through. Your son is lucky to have such a strong and intelligent mum and will definitely be proud of you when he reads your book. God bless you.

  • @iviejustified8109

    @iviejustified8109

    6 жыл бұрын

    doctorukia yay! this guy annoys a lot... i feel you!

  • @sophiakasim5153

    @sophiakasim5153

    4 жыл бұрын

    😂😂😂 that guy

  • @elitagoodluck4840

    @elitagoodluck4840

    3 жыл бұрын

    Very disrespectful...😂

  • @sharifashanaynaa5838
    @sharifashanaynaa58388 жыл бұрын

    thanx millady nimejifunza kitu,

  • @mussababu5623
    @mussababu56235 жыл бұрын

    Kwa jinsi dada huyo alivyo enlighten and open minded na mjuaji ngum sana kuolewa na mwafrika. ilioaswa aolewe na wazungu wenzake

  • @kh.9978
    @kh.99788 жыл бұрын

    wooow dada wanaume wachoshaaa... sanaaaa your story imeniumizaa sanaaaa..

  • @luckydavid7475
    @luckydavid74755 жыл бұрын

    Ivi nimesikia viabaya au?? Miaka 44 uyu Dada au??? Jamaniii jamaniii afuuu kina aunt Ezekiel wanajishaua 26 😁😁😁😁 mie siamini aisee anatumia nn hadi hazeeki

  • @j2_0
    @j2_05 жыл бұрын

    I have listened to this interview, and somehow i can feel her pain while she is narrating this story.

  • @kisamwangomile2839
    @kisamwangomile28397 жыл бұрын

    dah!!!! umenigusa sana dada na nimejifunza vitu vingi toka kwako....pia nimepata moyo

  • @marciakassimkassim9275
    @marciakassimkassim92758 жыл бұрын

    Jaman nimejifunza vitu vingi....sana..thanx millard

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard37758 жыл бұрын

    amazing interview i love it and I'm so sorry my sisters all of that congratulation but just painful

  • @davidklm123
    @davidklm1236 жыл бұрын

    Hadi nalia. Hadithi inanililiza mno. Pili yaani pole dadangu dunia inamengi sana ujafa ujaumbika... ila shida dada zetu hapa Tz niwajuaji mno,sasa akisoma inakuwa je? Na kaka zetu nao yaani awashauriki pia msimamo mdogo wa maamuzi kimapenzi. Inaumiza sana.

  • @mankyamwasha2224
    @mankyamwasha22248 жыл бұрын

    Doh pole sana csta...

  • @evankya1955
    @evankya19558 жыл бұрын

    i really need this book. sio online, hard copy, the real book. novel idea sijui vitakuwepo bado? millard pls tusaidie on this

  • @kinglance6365
    @kinglance63655 жыл бұрын

    Mi ni kijana wa miaka 23 ila hi story very imortional

  • @annamlay6088
    @annamlay60887 жыл бұрын

    take it easy my sister, God will protect you, just move on and have faith

  • @ibrahimkamba4311
    @ibrahimkamba43117 жыл бұрын

    bro huyo dada duuuu very strong nime mkubali

  • @davidklm123
    @davidklm1236 жыл бұрын

    Wanawake waliosoma dunia ya Leo wasipo zama ndani ya Mungu au kiroho yaaani ni hole sana ata kwa wavulana ni hivo pia. Ushauri wangu tuzame ndani ya Mungu. Dada ushauri wangu ndowa yako ukuigabizi au kutanguliza Mungu mbele. Ndoa ni convenant, agreement kati ya watu wawili ila first of all your should put God first.

  • @marryombera1435

    @marryombera1435

    6 жыл бұрын

    Dada unaongea hatarr punguza mlolongo had milad anatamani kukukatiza lkn unaongea tu ukitoa sababu humalizii go to th point umalize

  • @f.kaijanantecharles8606
    @f.kaijanantecharles86067 жыл бұрын

    My dear,sister pole you seem to be brave self explanatory and beautiful too wapare ni shemeji zangu ni wasichana wazuri sana tomorrow I am going to nobble access to look for your book and to read it my advice to you continue with that spirit and don't be scared to join another relationship who knows, GOD BLESS.

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu905 жыл бұрын

    I note one point ...keep memory in dairy always

  • @foryourglory3041
    @foryourglory30417 жыл бұрын

    The book is called "Surviving Divorce in Hidalgo County"..!

  • @cmsa1r
    @cmsa1r8 жыл бұрын

    Problem was not the in laws but the husband lacked the back bone. Husband could not set his feet on the ground to protect his wife. No way my parents or siblings will ever detect the direction of my marriage..

  • @samwelmzava1174

    @samwelmzava1174

    7 жыл бұрын

    Beto Beto very interested lkn kuna mambo hujafunguka zaidi

  • @samwelmzava1174

    @samwelmzava1174

    7 жыл бұрын

    nimeipenda story lkn dada angu kuna vtu hujaviweka wazi,,,,, mumeo alikua mtu wa wapi yani asili ya kabila lake??

  • @samwelmzava1174

    @samwelmzava1174

    7 жыл бұрын

    naomba namba zako kuna jambo tushauriane

  • @nadiaenterprises2114

    @nadiaenterprises2114

    5 жыл бұрын

    Ubarikiwe! Wachache wana wisdom kama yako!!! Kama umeoa ndoa yako idum miaka na miaka! Inshaalah!!!!

  • @Clareeihe2

    @Clareeihe2

    5 жыл бұрын

    Beto Beto Absolutely

  • @Sanyah-le1od
    @Sanyah-le1od4 жыл бұрын

    What an experience/ story! Wow!

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu58625 жыл бұрын

    Mtani wangu Dada yangu Poole kwa yote yaliyokukuta.Nimeskiliza kwa kurudia rudia clip yako kuweza kuelewa vzr.Nimejifunza jambo moja kubwa sana "Ndoa haina mjuzi au fundi" Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kuwa na elimu na maarifa sahihi ya eneo hilo, hivo wengi kuwa wahanga wa matatizo ndani ya ndoa ambayo mengi huwa magumu kuyatibu kuyasolve au kurekebisha.Zamani hawakua na Elimu kubwa sana au maarifa mengi kama Leo lkn walidumu kwa kuwa waliwekeza muda kwenye maarifa ya Urafiki,Uchumba hadi Ndoa ..Walijua itikifaki na namna nzr za kutafuta suluhu wenzi walipopishana.Maisha yalikwenda nidhamu na heshima ikawepo.Wanawake wengi wanaingia kwenye Ndoa kwa kigezo cha kutaka familia,umri, heshima nk.Lakini wengi hawachukui muda kumjua kumchimba anaekuoa kumjua vzr Imani zake, Mahusiano na watu wengine ,uwajibikaji ,upendo, heshima ,ukarimu nk.Kuacha haya yoote na kuamua kuangalia Love /mapenzi tu amini hayo uliyoyafumbia macho kuyajua au kuuliza ipo siku yataibuka. Ndicho kilichotokea kwako hukuwekeza muda wa kutosha kumjua mumeo kipindi cha urafiki na uchumba..Kiasi ulichowekeza ndicho kitaamua matokeo unayoyataka. Ukatili kwako na mtoto nk aliuficha nawe hukutaka kuujua awali...ukamwamini na kumpa moyo wako wote.Nimefurahi kujua hilo hata kuandika kuwa uliolewa na mtu uliedhani unamjua kumbe humjui.That's your fault . Changamoto kama yako kwa Tanzania hapa ni kubwa sana. Rai yangu kwa waliooa kuwa tuweni imara tukitanguliza maarifa katika kuendesha nyumba zetu. Wale ambao hamjaoa tafuteni na wekezeni katika maarifa sahihi ya Urafiki Uchuimba hadi Ndoa huku mkitumia muda vzr kuchunguzana ili kuondoa mashaka na sintofahamu yoyote. Kuacha haya tegemea kuwa muhanga wa Ndoa yenye changamoto ,utata, au talaka.

  • @maryammmakunduchmahammed9786
    @maryammmakunduchmahammed97865 жыл бұрын

    Duh pole san .mm yamenikut kwa mawifi ww angalau umepat muda mm mwaka 1 na miez 3 nilishindw

  • @tuombesunzuesperance5196
    @tuombesunzuesperance51968 жыл бұрын

    Pole sana dada inaumiza ,but still you looking good mungu atakusaidia

  • @kidafuri
    @kidafuri7 жыл бұрын

    Pole sana dada Nakitia.nawezaje kukipata kitabu hiki?

  • @samueljoseph6542
    @samueljoseph65422 жыл бұрын

    Millard bana...Kaka mkwe, wifi. Kuna muda unaweza kuwa unamsikiliza mtu hadi ukachoka kufuatilia anachokiongea. Millard Ayo is the best.

  • @maryshirima3049
    @maryshirima30497 жыл бұрын

    duuuh ni nomah....Noma sana

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace34608 жыл бұрын

    this makes me fear getting married men surely changes

  • @zakayoetlawe9983

    @zakayoetlawe9983

    8 жыл бұрын

    mambo!

  • @entertainmentplace3460

    @entertainmentplace3460

    8 жыл бұрын

    +Zakayo Etlawe poas sema

  • @prisca2774

    @prisca2774

    8 жыл бұрын

    +Hilda kevins Omba Mungu dear akuletee mtu wake kama mumeo laasi hivyo utajuta!

  • @entertainmentplace3460

    @entertainmentplace3460

    8 жыл бұрын

    +Prisca's Life I wish natamani sana kua na mme lakini daah ndo hivo wanaume vigeugeu inshallah mungu atanipea fungu langu prisca

  • @mbaleallymhapa3366
    @mbaleallymhapa33663 жыл бұрын

    Hongera inapendeza naipenda hiyo plogram inapendeza

  • @Kwazulu1
    @Kwazulu13 жыл бұрын

    Nakitia you did the right thing by divorcing him because life is too short. Why suffer. Pole sanaa.

  • @zuhuraally8980
    @zuhuraally89808 жыл бұрын

    pole sana Dada inaumiza sana

  • @anizor8770
    @anizor87704 жыл бұрын

    Wale ambao mkienda nje mnasahau kiswahili mpo wapi 😂😂 umeona dada kiswahili kimenyooka ...nimempenda.nimejifunza kitu

  • @mwanahella9650
    @mwanahella96508 жыл бұрын

    😤😤😤💪 wakwe wakwe tatizo jamani mie mmoja wa wahanga wa kuachika ikiwa sababu ni wakwe.hongera dada

  • @lailatjohn5947
    @lailatjohn59475 жыл бұрын

    Nawatoto wanne siwezi kuachana ndio sina furaha lakin lazima nivumilie kwaajili ya watoto wangu

  • @kabaiyukyasnider6797

    @kabaiyukyasnider6797

    4 жыл бұрын

    Usivumilie tafuta biashara yako ufanye uwe huru kiuchumi utakuwa na amani na wanao watakuwa na amani, tunapovumilia kwa ajili ya watoto mara nyingi uwa wanaona ila hawawezi kutuambia wazazi wanabaki kuumia

  • @neemamasimba2981

    @neemamasimba2981

    Жыл бұрын

    Umeamua vyema mama maana ukiwaacha ni kama umewatupa watateseka, mie nimekomaa leo wanaanza kunitunza

  • @kipolaina
    @kipolaina8 жыл бұрын

    Pole nafikiri kosa ni kuoa first son of the family am in the same boat and am still sinking

  • @emmywanungu2137

    @emmywanungu2137

    6 жыл бұрын

    Like me jaman

  • @gospelinpeter8910

    @gospelinpeter8910

    6 жыл бұрын

    Ina Kipola 😂😂😂

  • @ballisticsound4796

    @ballisticsound4796

    5 жыл бұрын

    Waat? Like for real?

  • @nadiaenterprises2114

    @nadiaenterprises2114

    5 жыл бұрын

    I swear sis!! Ni TATIZO! Mh basi tu mtu huongei!!!

  • @zabibubashiri3034
    @zabibubashiri30345 жыл бұрын

    Fantastic dah

  • @azzahussein5292
    @azzahussein52926 жыл бұрын

    KIANDIKE NA CHA KISWAHILI UTULETEE TZ YUJIFUNZE

  • @alfredboniphacelazaro8979
    @alfredboniphacelazaro89797 жыл бұрын

    The power of writing. Thank you , I am also inspired to write my life story.

  • @omarmwinyi6484
    @omarmwinyi64848 жыл бұрын

    smart woman.....haki

  • @reginarhina6837
    @reginarhina68377 жыл бұрын

    I will like how you start reading book please.

  • @oswaldfrank9070
    @oswaldfrank90708 жыл бұрын

    Millardayo asante kwa kutusogezea kaka

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus66374 жыл бұрын

    Mwili mzr km wa kwng,hongera mama

  • @jazzygal5814
    @jazzygal58148 жыл бұрын

    Nice interview

  • @iletataguaba6111
    @iletataguaba61115 жыл бұрын

    Pole sana Nakita but hapo kwa dakika ya 10:10 umesema mmedate 2 yrs plus 8 yrs ndoa = to 9yrs son.. sasa hao wakwe watasemaje umechelewa kuzaa wakati mtoto kazaliwa mkiwa hamjaoana??? Pole sana I still feel u though..

  • @maishayetu6182

    @maishayetu6182

    4 жыл бұрын

    Hujasikiliza kwa makini kaolewa 2000 Kazaaa 2007 interview 2016 the boy was 9yrs

  • @ruphintajiri5862
    @ruphintajiri58628 жыл бұрын

    Marriage is a gud thing if u get it right! Its good thats y Its getting all forms of battles.

  • @luendosabah2047
    @luendosabah20476 жыл бұрын

    Pole sanaaa na wa mama mukwe

  • @tinarisha823
    @tinarisha8237 жыл бұрын

    nimependa kuwa amekuwa muwazi na zaidi Juu ya umri wake bt umri wake ni problem

  • @esthernyakyi9219

    @esthernyakyi9219

    5 жыл бұрын

    Tina Risha

  • @lykamlaki1218

    @lykamlaki1218

    5 жыл бұрын

    Wala sio problem tena kwasababu tayari ana mtoto, we umeona tatizo ni nini? Kwa maana atakayempenda itabidi amkubali jinsi alivyo

  • @millencurthbert2908
    @millencurthbert29085 жыл бұрын

    Pole mtangulize Mungu atakusaidia

  • @kh.9978
    @kh.99788 жыл бұрын

    yaap inaogopeshaa sanaaa its lyk me dada am your sis fetty..

  • @abdaullahabdaullah8709

    @abdaullahabdaullah8709

    8 жыл бұрын

    pole dad ata mim yamenitokea jaman

  • @zakayoetlawe9983

    @zakayoetlawe9983

    8 жыл бұрын

    +abdaullah abdaullah umetoka bomba

  • @veronicamgaya756
    @veronicamgaya7565 жыл бұрын

    Jamani natamani kupata nafasi ya kumuona huyo dada tafadhari naomba sana pls

  • @veronicamgaya756

    @veronicamgaya756

    5 жыл бұрын

    Millad naomba unisaidie

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan13656 жыл бұрын

    Good story, inasikitsha sana

  • @colinehelmas5802
    @colinehelmas58025 жыл бұрын

    Kama mtu hajaolewa hawez kugundua nini hanaongea,Lkn aliyeolewa akakutana na changamoto ya ukweni ataelewa huyu anasema nini,lkn na sisi wengine tupo kwenye ndoa ila tunavumilia mishale ni mingi,inauma kuachika kiukweli

  • @MrSokwe

    @MrSokwe

    5 жыл бұрын

    Pole sana ila kama unaumia kwann ung’ang’anie? Life is too short.

  • @sophiakasim5153

    @sophiakasim5153

    4 жыл бұрын

    Hakika

  • @sophiakasim5153

    @sophiakasim5153

    4 жыл бұрын

    @@MrSokwe ndo hapo

  • @rayaraya7187
    @rayaraya71878 жыл бұрын

    mawifi na mawakwe baadhi ndio walivyo

  • @fatumammbaga491
    @fatumammbaga4912 ай бұрын

    I can see me inside u.the feeling is mutual.i use to pass same same situation as u OMG

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi59506 жыл бұрын

    pole dear

  • @nereaigogo4442
    @nereaigogo44426 жыл бұрын

    Pole sana dada..

  • @whitneysanga8279

    @whitneysanga8279

    4 жыл бұрын

    Polee my dear ila unajielewa sana sana big up mnoo uvumilivu umeufanya aisee...

  • @frankgavana9448
    @frankgavana94488 жыл бұрын

    SEEMS GOOD DAT BOOK AYO

  • @donorsandfundersopportunit6760
    @donorsandfundersopportunit67608 жыл бұрын

    daaah pole mamii

  • @donorsandfundersopportunit6760
    @donorsandfundersopportunit67608 жыл бұрын

    kwak kweli nimetishika na ndoa dooo!!!!!!

  • @priscillahmatovolwa5264
    @priscillahmatovolwa52648 жыл бұрын

    pole Sana Sana dada

  • @mwinyimgeni8850
    @mwinyimgeni88508 жыл бұрын

    wakwe tatzo xanaa

  • @tuombesunzuesperance5196
    @tuombesunzuesperance51968 жыл бұрын

    Millard help me to find this book please I really want this book not copy

  • @davidklm123
    @davidklm1236 жыл бұрын

    Ila sasa shida ilikuwa sababu uzahi, sasa baada ya kuzaa uchizi wa wakwe zako ulizidi tyu au ulimua muachane na mmeo baada ya kuona uliziakiwa sana kipindi ulikuwa ujabeba mimba?

  • @saidmasongela3132
    @saidmasongela31328 жыл бұрын

    nice boy

  • @abelyazole9946
    @abelyazole99465 жыл бұрын

    Napenda utangazaji wa millard ayo

  • @tajackmwaseba6668
    @tajackmwaseba666818 күн бұрын

    Unachosema ni kweli hata Mimi mwanamme inaniuma Sana. Wakwe wengine wanaoenda kucontrol wakwe zao. Hijasema unaendelea na nini Kwa sasa. Fanya kazi yako ya kujikomboa. Wakwe wengi hawajitambui. Nilikuwa na ndoa, makubariano yangu na mwenzangu, yeye atapambana ndugu zake, Mimi nikatimiza yangu, yeye akashindwa kupambana na mama yake miaka 23 sasa. Kama wewe ni mukweli, songa mbele. Kitabu chako kinapatikana wapi? Nikanunue, Ila uliyoyasema yawe kweli. Usisingizie mtu kumbe Una matatizo yako ya umaharufu kwenye mitandao

  • @sudyhamdun7041
    @sudyhamdun70414 жыл бұрын

    Aisee Pole San ndo DuniY

  • @reginarhina6837
    @reginarhina68377 жыл бұрын

    Can tell me the name of your book please?

  • @fatumashaban5260
    @fatumashaban52608 жыл бұрын

    unajua

  • @neemanyerere5160
    @neemanyerere51603 жыл бұрын

    Jmn dah pole dadaa

  • @edwinnanyaro6717
    @edwinnanyaro67173 жыл бұрын

    Utotooooo kwenye ndoa...utoto ulivunja ndoa...kwakweli hapo sijaona jambo zito la kuvunja ndoa....hii ilikuwa ndoa biashara na talaka biashara...

  • @agustimsoma7754
    @agustimsoma77548 жыл бұрын

    👍

  • @fortunatatarimo2219
    @fortunatatarimo22195 жыл бұрын

    Background ya familia inamata sana sana, watu wanakua kwenye mazingira yao hawawezi kuwa na tabia mbali na mazingira yao. Wakati mwingine ni muhimu kusikiliza kabla hujajutia maamuzi yako. Ukiona tabia flani ya mchumba wako huzipendi na zinakuumiza, usiingie kwenye ndoa. Utalia chozi La damu na utalia peke yako. Ukiona tabia mbili huzipendi ujue ziko nne za ziada. Watu wa ajabu zaidi ni wale wanaojifanya wanapenda watu wengine sana lakini hauoni huo upendo kwa mke au mume. Ndoa ni tamu kama mnapendana, na nichungu na michosho kama haina furaha.

  • @fortunatatarimo2219

    @fortunatatarimo2219

    5 жыл бұрын

    Pole sana dear, the story is very touching

  • @catherinerothbletz6496
    @catherinerothbletz64965 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu dada kanimaliza .yan she spoke out peoples lives aiseee

  • @michaeljonas7497

    @michaeljonas7497

    5 жыл бұрын

    Kivipi my Dada

  • @evankya1955
    @evankya19554 жыл бұрын

    I wish I get this book

  • @williamjohnson450
    @williamjohnson4505 жыл бұрын

    nadhani hawakuwa wamwpendana na kama wamependana basi kila mtu alikuwa anataka mwenzie afanye anachotaka.kitu ambacho sijaelewa hapo ni kwanini waliachana wakati wamepata mtoto wakati kutopata mtoto ilikua ndio sababu ya ugomvi wao

  • @Crabtree1844
    @Crabtree18447 жыл бұрын

    On the evening of Friday, Jesus had been hastily buried. Saturday was, as it is now, “the Hebrew Sabbath,” and the day then began with the evening before; that is, it was Sabbath on Friday evening at sundown. These disciples, in common with all their nation, had been trained to keep that closing day of the week with great strictness. They thought it would be wicked to use holy time in making preparations for permanent interment. So, as best they could, they wound up the body of Joseph begged of Pilate, and laid it in this generous counselor’s tomb. They expected to return and to complete their work on Sunday morning. Now, at this juncture in the affairs, the chief priests make it evident that they had kept warily on the watch for all which occurred. A suspicion arose in their minds. Some of them remembered that Jesus had declared He would rise again in three days. So they went to Pilate asking that a guard might be set at the sepulchre until the critical date of the third day had passed. Their wish was granted. Sixteen men, divided into four-fours,--the so-called “quaternions” of a Roman military watch,--were assigned to the duty, and took their regular turns as sentinels on the spot. Moreover, the unusual precaution was added, of sealing up the entrance to the enclosure. Most likely they rolled up the stone before the opening of Joseph’s new excavation in the rock, then passed a strong cord around it, fastening the ends at either side, and covering the knots with balls of wet clay on which they stamped some official letter or sign; if the grave were disturbed, this would show it, no matter who the parties might be. When Sunday morning (sun-worshipers day) dawned, the tomb was found open, the buried body was gone. Aware that some explanation must instantly be made, the chief priests circulated the story which Matthew records. They said that the soldiers fell asleep, and then the friends of Jesus came secretly and stole the body away. The military guard admitted this statement publicly, and so helped on the tale. Before I submit this fabrication to the test of argument as a “case” in jurisprudence, it may be just as well to note two interesting points made by it at the beginning. This story settles, at any rate, the fact of Christ’s actual death and burial. In the recital, everybody admitted He was truly crucified, really dead at last in the grave. It was agreed on all hands that He had predicted His own rising upon the third day. With equal acquiescence, it was understood that on Sunday morning the body was missing. This is worth the recollection; for so much of either gospel history or doctrine as rests in the death of Jesus upon the cross may forevermore be considered as established by His enemies beyond a cavil. Further; since the chief priests put their case on the best basis they had, it must follow that, if this subterfuge of theirs fails, all presumption is against any process of denial. They asserted, and this is all they said in explanation of the most stupendous miracle the universe ever knew, that the disciples secretly stole and made way with Jesus’ body. If such a story cannot be now credited, then there is an end of all counter-evidence to be adduced by those who would deny the doctrine of our Lord’s resurrection. Calmly and dispassionately it behooves us to weigh the tale, therefore, on its own merits. This case, if it be food for anything, will bear the same cross-examination and analysis as others in the annals of important jurisprudence. And candor is compelled instantly to admit it labors under serious embarrassments. (1) In the very outset, the antecedent improbability of particulars crushes it. How came a trained watch all to go to sleep? Would the whole band of sixteen men be likely to fall away at once, and remain in lumber a time long enough for this amount of labor? This was noisy work, and took some numbers to do it; yet it would have to be done leisurely. Who folded up the napkin, and arranged the grave-clothes so methodically in the dark? And, if the Roman soldiers were asleep, how did they know anything about it? (2) But go a step further; the immediate followers of Jesus had no motive to steal the body of their Lord. They must have believed Him to be either a true man or an impostor. If they now gave Him up as an impostor when they saw Him die, then the sooner He was out of all remembrance and notice forever, the better for them; the more effectually He was buried and forgotten, the easier for their disappointment and shame. They surely did not need or wish to follow up a deceiver; they did not want His memory on their hands. On the other side, if they believed Him true, they had only to wait till He should vindicate Himself. Whatever the supposition as to the state of these men’s minds, to go and purloin the dead body was the worst policy for them. For this admitted and agreed that He was a liar; it accepted the taunt of His infamous crucifixion; it confessed He was a mere man. (3) Nor is this all; it is evident from the entire story told here in its artless naturalness that the disciples had no sort of concerted plan to do any such thing. Why, they had His body full in their power, after Joseph begged it on Friday (preparation day) evening; how was it possible that the idea should strike them to go and pilfer it away on Sabbath? Who was it did the stealing? Not Peter; for no one can doubt his utter ignorance and unconsciousness, as he arrived on Sunday morning, breathlessly.

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi59506 жыл бұрын

    Love u dear sister

  • @lissamsalu2179

    @lissamsalu2179

    6 жыл бұрын

    What happened to you my sister is same my own plz I need this book how I can get it’s the book?

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity45035 жыл бұрын

    👍👍👍👍

  • @judithlukindo5583
    @judithlukindo55838 жыл бұрын

    Naona ndio maisha ya ndoa yalivyo

  • @Barakamcharo
    @Barakamcharo7 жыл бұрын

    amejitahidi kulinda mwili wake

  • @judithcha-mushala8852
    @judithcha-mushala88524 жыл бұрын

    Mimi siwaelewi watu wanaohachana na waume zao kisa heti wakwe, wewe unakaa kwako,wakwe wanakaa kwao, maneno yao yanavunjaje ndoa?

  • @salummuhija4435
    @salummuhija44355 жыл бұрын

    Rushwa hadi marekani!! Dah!

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi51045 жыл бұрын

    Hayo yalomkuta huyu dada namie hayo hayo yaani uko wa wamume wengi wametokwa na ubinaadamu kabisa

  • @harundaudimwamfilinge9451
    @harundaudimwamfilinge94515 жыл бұрын

    Huyo dada kani touch

  • @azizanuhu2144
    @azizanuhu21447 жыл бұрын

    waakwe duh

  • @franciskasembele5938
    @franciskasembele59386 жыл бұрын

    ople sana inafanana na yakwangu yani uweziamini kabisa nyani..

  • @hannanna81
    @hannanna818 жыл бұрын

    mmmh wakwe shida tupu

  • @glorymbeu6303
    @glorymbeu63038 жыл бұрын

    whats the name of the novel?...intersting

Келесі