NACHA - Mdahalo (Official Music Video)

Музыка

#MDAHALO #NACHA #NGOMMATZ
An East African Talented Rapper NACHA,Come Up With His Music Video "MDAHALO" Video Was Shot & Directed By Vipper ™Multi Motion Films Works in MWANZA TANZANIA, Audio Track Produced By Bear Beats Kiri Records Studios in DAR_ES_SALAAM TANZANIA.
Watch More Videos
Hadithi▪ • Nacha - Hadithi (offic...
Aah Wapi▪ • Nacha - Aah Wapi [Offi...
Mnachanganya▪ • Nacha - Mnachanganya (...
Subiri Kwanza▪ • NACHA x STAMINA - SUBI...
Boss Mpya▪ • Nacha Ft Gnako // Boss...
Mnawashwa▪ • Nacha MNAWASHWA Offici...
Follow Nacha on socials :
/ nacha_ousam
/ nacha_ousam
For Booking Contact: nachaousam17@gmail.com

Пікірлер: 925

  • @ngalambemzulu3062
    @ngalambemzulu30624 жыл бұрын

    Ubunifu wa huyu Jamaa ni Wa sayari ya mbali sana,,,,,,,Your the best Nacha ever seen before ngoma anasikiliza ata mtoto aliyezaliwa Leo,,,OG%%%%%

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @ngalambemzulu3062

    @ngalambemzulu3062

    4 жыл бұрын

    After professa Jay the next one is Nacha Fanya kama Unagombea Jimbo sisi jimbo la Kiwalani bombom umepita bila pingamizi

  • @charlesmichael6900
    @charlesmichael69004 жыл бұрын

    Leo ndio nimehamia kwa nacha mazima naomba like zangu usajili mpya

  • @mosamossile9113
    @mosamossile91134 жыл бұрын

    Mdogo wake Roma mkatoliki Anatembea kwenye Nyao za brother Ake Anajuwa sanaaa,

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @mosamossile9113

    @mosamossile9113

    4 жыл бұрын

    @@Nacha_ousam Wew Mwanzo tyu unaingia kwa Game nilishaona Mistar yako, Kama mtu ubongo wake Unaitirafu awezi Elewa nini unazungumza big up sana, Mosa mossile from +27 S.A

  • @aloyceenhardnombo7604

    @aloyceenhardnombo7604

    3 жыл бұрын

    Ni mdogo wake real

  • @niclasephraim427
    @niclasephraim4274 жыл бұрын

    Ubunifu wakugusa kila nyanja siasa, Jamii na uchumu. Kwa mashairi mnastahili pongezi👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @shabanmnyama2567

    @shabanmnyama2567

    4 жыл бұрын

    Mmetisha sana

  • @abeidmgao2695
    @abeidmgao26954 жыл бұрын

    fundi wa muziki kama unakubal gonga like

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @ismailibrahim9723

    @ismailibrahim9723

    3 жыл бұрын

    Nakubar san nacha

  • @sammyhenry1356

    @sammyhenry1356

    Жыл бұрын

    Nacha hii pia zaidi

  • @gm_plus
    @gm_plus4 жыл бұрын

    Another R.O.M.A, maudhui ya kijamii zaidi. Hiphop ni sauti ya mtaani

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @stewartsylvester2353
    @stewartsylvester23534 жыл бұрын

    Vipper Vipper Vipper nimekuita Mara 3 narudia tena Vipper popote ulipo wewe ni MTU mbayaaaaa daaaaaa Best video Director kutoka Rockcity Nacha kaumiza sana Director Vipper kaua yaani daaaaaa

  • @dirismail9512
    @dirismail95124 жыл бұрын

    Its sound good "Wamemchokoza Bear 🐻" Shusha like sasa kama mvua

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @matatahamza9375
    @matatahamza93754 жыл бұрын

    Sema jamaa anakosa kupewa airtime tu kwenye media ila anajua sana style yake ya kipekee mnoo creativity kubwa sana 🔥🔥🔥

  • @clintonbleya1634

    @clintonbleya1634

    4 жыл бұрын

    Tatiizo Bongo wivuu mnoo

  • @chrisskibaking8184

    @chrisskibaking8184

    4 жыл бұрын

    @Matata Hamza sijui watz tunakwama wapi aisee angalia singeli ya harmonize itapewa promo wakati ya kawaida sana

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @SadikiSinkala-zi3ln

    @SadikiSinkala-zi3ln

    Жыл бұрын

    ​@@Nacha_ousam kaka

  • @emmanuelkaka6643

    @emmanuelkaka6643

    11 ай бұрын

    ​@@Nacha_ousamupo vizuri sana ndugu🔥🔥🔥

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale46994 жыл бұрын

    Hatari sanaaaaaaaa sina lakuongezea Nyasubi texas mmeua balaa Nacha mdogo wngu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @kingswamai3873
    @kingswamai3873 Жыл бұрын

    Ubunifu wa hali ya juu !!! Hapa Kenya ninaupenda sana wimbo huu !!! Kongole Nacha.

  • @zachariamoses796
    @zachariamoses7964 жыл бұрын

    Hom boy mwenye skills zake be blessed blood👊

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews25644 жыл бұрын

    Mtoto wa Nyasubi Pastor TD nimeona kazi njema dogo Amen

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @marlegodfrey6853
    @marlegodfrey68534 жыл бұрын

    Tuliosikiliza zaidi ya mara moja nyoosha kidole juu

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @lophecamwamkinga3521

    @lophecamwamkinga3521

    Жыл бұрын

    👆

  • @sahidinamoto8927
    @sahidinamoto89273 жыл бұрын

    nancha yupo mmoja tu dunia nzima gonga like twende pamoja kama team nacha

  • @GeorgeMichael13
    @GeorgeMichael134 жыл бұрын

    Nimependa hapo , ... Hivi walimu na madokta nani mshahara waongezewe " bora wali ila madokta nao wenyewe"

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware4 жыл бұрын

    We Jamaa noma sana ngoma zako haziishi hamu, ila Hauna bahati ila time itafika na watu watakuelewa maze, Big up kwako

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour23474 жыл бұрын

    Wejamaa unanifurahishaga sna na creative zako be blessed bro #Nacha

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @mohamedali4347
    @mohamedali43474 жыл бұрын

    Nacha bosi mpya..nacha subiri kwanza ujipange..nacha hadithi hadithi..nacha mdahalo ww jamaa noma sana yani izo ngoma zote kali halafu vilevile unasaut ya rap kabisa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊✊

  • @abdouljn1008
    @abdouljn10084 жыл бұрын

    Mnyamaa nakukubal sana usingekuwepo hii dunia ingekuwa ya kibwege sana Kama unamkubal nacha like hapo

  • @atanafrica
    @atanafrica4 жыл бұрын

    Nimejifunza mengi sana hapa... May God Bless your ways brother...

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi493 жыл бұрын

    It is time to support such mature lines.... Representing caoital of Africa, Kenya254

  • @lusajodaimon2780
    @lusajodaimon27804 жыл бұрын

    Gud kk nacha kaza kama namuona#mkatoliki kwa mbaliii📢📢

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊✊

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri89494 жыл бұрын

    Daaah huyuuu mwamba anajuwa sana Bonge la mbunifuuuuu kwambali namwona #Manengooooo

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊

  • @emmanuelkashinje4900
    @emmanuelkashinje49004 жыл бұрын

    More creative Bro... Your talent is immeasurable keep on you have big potential use it up it will pay much that's we call innovation broo yaani hata asiwaze ya stamina umeikaba koo

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @bryce4234

    @bryce4234

    Жыл бұрын

    Swa swa

  • @bryce4234

    @bryce4234

    Жыл бұрын

    Ygdndd

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu40404 жыл бұрын

    Umepangilia vizuri sana

  • @youngnelly6272
    @youngnelly62724 жыл бұрын

    Nimerud tena kusikiliza mdahalo kwann tusisapot good music .Nacha you deserve

  • @paschalemmanuel6295
    @paschalemmanuel62954 жыл бұрын

    Duuuh umetisha San #nacha

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga58024 жыл бұрын

    Pure talented huyu jamaa and charismatic fella big up asee

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    Asante Sana ✊

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin3344 жыл бұрын

    nyasubiiiii on their map🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @omaryiddy7178

    @omaryiddy7178

    4 жыл бұрын

    Iko wap

  • @mussakitulanya4486
    @mussakitulanya44864 жыл бұрын

    Hadi rahaaa yani mashairi na #bear kweny mashine bonge la biti

  • @mgabumakau78
    @mgabumakau784 жыл бұрын

    Huu wimbo na wa leo #barua ,grow up , kat ya track zakoo bas hiz kwangu ni the Beeeeeest , mbal na nyingne nyingii

  • @samwelimacha795
    @samwelimacha7954 жыл бұрын

    More than what we call innovation and creative ,

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @balvinlamar1037
    @balvinlamar10374 жыл бұрын

    Haya madude kila unalotoa moto sana

  • @selekidau.kidau.3939
    @selekidau.kidau.39394 жыл бұрын

    Dah nacha uko sawa kinoma ebu mwambie huyo jamaa akuongezee kahawa moja nakuja kulipa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    🤝

  • @catherinejoseph5715
    @catherinejoseph57154 жыл бұрын

    Wewee fundiii narudia tena @NACHA fundiii 🔥 🔥

  • @mbagatamaximillian2034
    @mbagatamaximillian20344 жыл бұрын

    Nimeshindwa cha kuandika ngoma imesisimamia kucha sio vidole

  • @robertmaina4099
    @robertmaina40994 жыл бұрын

    This man is going places...🔥🔥🔥🔥

  • @cyprianoduor870
    @cyprianoduor8702 жыл бұрын

    Unacho kifanya bro it's another level

  • @haidarmakame9082
    @haidarmakame90823 жыл бұрын

    upo vzr brooo 👍👍👍

  • @squaremusic9265
    @squaremusic92654 жыл бұрын

    Nipe Like yangu hapa kama una mkubali nacha

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @piussimpleritius155

    @piussimpleritius155

    4 жыл бұрын

    Nishidah

  • @gustkallydejohn7186

    @gustkallydejohn7186

    3 жыл бұрын

    Umefanya poa xana toa goma jingine ka hilo

  • @totookai968

    @totookai968

    3 жыл бұрын

    Eeee3eeeeeeee

  • @dr.castorymwigulu5218
    @dr.castorymwigulu52184 жыл бұрын

    Hii creativity ni kubwa sanaa-sjui nan aone na afanye kitu kwa NACHA ..wakubwa tafadhalini !!

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @philipgerald9646
    @philipgerald96464 жыл бұрын

    Nakukubali sana Nacha hujawahi kutuangusha sisi shabiki zako

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @20155
    @20155 Жыл бұрын

    Ahhh na Cha brother wew ni jamaa una Tisha sana kwenye game

  • @mtumishi_hewa1261
    @mtumishi_hewa12614 жыл бұрын

    wanao pewaga promo hata robo hawakufikiii ss kwnn tusikupe promo mashabiki...umetishaaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊✊

  • @jackgeorge1309
    @jackgeorge13094 жыл бұрын

    Nomaaa sanaaa🔥🔥🔥🔥🤙

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @tenstar9261
    @tenstar92613 жыл бұрын

    Nyasubi,, Nyasubi,, Nyasubi Nenda bro ww ni mteule💣💥💥🎤🎤🎤

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho34054 жыл бұрын

    Nacha Mie Shabiki Yako Bro We Jamaa Unajua Sanaaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @abdulmasoko7241
    @abdulmasoko72414 жыл бұрын

    Umetisha Sana ngoma nikali Sana 💯💯💪🏻💪🏻

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @kelvinwachenje6681
    @kelvinwachenje66812 жыл бұрын

    This is best song I have enjoyed listening and watching. From 254 ,Nacha you are so talented.

  • @deogratiusalexander831
    @deogratiusalexander8314 жыл бұрын

    Kwel bro nacha umetixha

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊

  • @judithmlomo8453
    @judithmlomo84534 жыл бұрын

    Ngoma Kali sanaaaaaaaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @steve_tz
    @steve_tz4 жыл бұрын

    Uyu mwenzake na roma kabisa gongalike kama unakubali

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar20674 жыл бұрын

    Sulut bro kwa hi ngoma

  • @tee.piano7807
    @tee.piano78074 жыл бұрын

    Noma sana bro nacha

  • @karigothabiti7508
    @karigothabiti75084 жыл бұрын

    HUWA KILA NGOMA UNAKUJA TOFAUTI KABISA MIMI NAAMN KUNA SIKU WATAKUELEWA KUWA HUKUWA WAKAWAIDA KAMA WALIVYOZOEAA KEEP IT UP

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba11434 жыл бұрын

    jamaa anajua ahsante roma kunileta huku

  • @neemakwanama6886
    @neemakwanama68864 жыл бұрын

    Duuh nacha nakukubali

  • @sayuniurassa2826
    @sayuniurassa28264 жыл бұрын

    huwa naumia sana kuona kijana Kama huyu hapati nafsi kabisa ya kusikilizwa maredio daaah too sad ila nacha trust my words ur the best ever seen in Tanzania. Ur have something very unique keep it up... Ipo siku tu........

  • @majurasamwel885
    @majurasamwel8854 жыл бұрын

    Hii sasa ndio hip hop. Sio matusi Kama umekubali gonga like

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven4 жыл бұрын

    Nacha, Nyasubi ndani ya mbanyu🔥🔥🔥

  • @domydocta.
    @domydocta.4 жыл бұрын

    Nakubali sana mzee... Kitu kikali sana mpangilio makini

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊✊

  • @mafyaworldwide1480
    @mafyaworldwide14804 жыл бұрын

    Nacha...nyasubi ninja..unajua mzee baba..bonge la idea

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @samuelbwire1461
    @samuelbwire14614 жыл бұрын

    Dope sana🔥🔥🔥

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV4 жыл бұрын

    Daaah acha kabisa yani Ok sawa kwa unaye penda PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI kwenye bofya kapicha kushoto kisha SUBSCRIBE channel hii

  • @enockjoel1921
    @enockjoel19214 жыл бұрын

    Nice sanaa home boy nacha ngoma kali sanaa

  • @davidenockasulwisye7620
    @davidenockasulwisye76204 жыл бұрын

    D country nacha unatisha mister

  • @kingsteven7358
    @kingsteven73584 жыл бұрын

    Yeeh baba linimtafuzu kombe ka dunia🤭🤭🤭hata kocha angekuwa morinyooo😁😁😁😁

  • @afterx3172
    @afterx31724 жыл бұрын

    BEAR ANAJUA SANA BUT BEAT ZAKE KAMA ZINAFANANA NGOMA NI KALI ILA HII NGOMA ALIPASWA IPIGWE NA #ROSTAM

  • @kabatelletv4157

    @kabatelletv4157

    4 жыл бұрын

    hapana kiongozii..si kila #rostam tu..jamaa kajitahid sana

  • @goodluckmtewele6106
    @goodluckmtewele61063 жыл бұрын

    Nacha noma sana

  • @joshuambogela8143
    @joshuambogela81434 жыл бұрын

    dah,,,ina umiza sana mziki mzuri mashairi yenye mvuto lakini bado like azitoshi jamani

  • @bibi-yk8ut
    @bibi-yk8ut4 жыл бұрын

    Love from Sweden bro you did

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @leonellykweka7165
    @leonellykweka71654 жыл бұрын

    WANAOAMINI NACHA AMEFUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE BASI TUJUANE HAPA HAIWEZEKANI AGUSE GUSE ASIISEME SERIKALI YETU MAKOSA YAKE

  • @matananakid5040

    @matananakid5040

    4 жыл бұрын

    Mbn kasemaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @africavibe8467
    @africavibe84674 жыл бұрын

    Dah bro wewe nomaa sanaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @johnizoboy
    @johnizoboy4 жыл бұрын

    Creative sana huyu jamaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊

  • @xizojr
    @xizojr4 жыл бұрын

    Budaaaa i real like your content

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @thomasthobias7757
    @thomasthobias77574 жыл бұрын

    Aa eeeh! Fundi nacha nakbl sana nyasubi ndo nimbanyu

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @smizotzy7876
    @smizotzy78764 жыл бұрын

    UMETISHA SANA NDANI YA MBANYUUUUUUUUU YANI UMEKALISHA KIJIJI

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @emmanuelmashauri466
    @emmanuelmashauri4664 жыл бұрын

    Mawazo kuntu namuelewa sana nacha

  • @yulechinga1521
    @yulechinga15214 жыл бұрын

    Gonga like zako hapa kama unamuelewa nacha

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @ridhiwaniiddy2439

    @ridhiwaniiddy2439

    4 жыл бұрын

    Nakubaliana Na Ww Duke

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog4 жыл бұрын

    _mnao mkubali dogo tupia like kwanza ndio tuwende sawa_

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @kingfocustzog

    @kingfocustzog

    4 жыл бұрын

    @@Nacha_ousam _mwanangu piga ngoma kama hizi kila ngoma yako unayo toa uwa ni kali mkuu piga kaz mana siku hizi mziki ni kazi_

  • @blackpanther4825
    @blackpanther48254 жыл бұрын

    Bonge la ubunifu aiseee...superdupa!

  • @mariamjuma1429
    @mariamjuma14294 жыл бұрын

    No comment unajua sana broo idea zako MTU huwez kuzan kabisa uandishi Wa kiwango cha rami

  • @africavibe8467
    @africavibe84674 жыл бұрын

    Kuna wengi watakosa lizik jamn

  • @mobaisa1704
    @mobaisa17044 жыл бұрын

    Aliyevaa jezi ya Yanga mbona kama ni MANENGO? AU wazee hamjaliona hilo kweny Draft hapo?

  • @juniormchaga1657

    @juniormchaga1657

    4 жыл бұрын

    Bando mc

  • @jerrycharz25

    @jerrycharz25

    4 жыл бұрын

    Mo Baisa niyeye

  • @saidsuleiman8647

    @saidsuleiman8647

    4 жыл бұрын

    Yaap manengo mzeee...

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi71524 жыл бұрын

    Sema we jamaa unajua sana tena snaaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    Asante Sana

  • @samboy7368
    @samboy7368 Жыл бұрын

    Sautu kwako kaka nacha mm nimsani wakahama bado naombeni sapoti kwenu kaka zagu

  • @supernyotaviva9907
    @supernyotaviva99074 жыл бұрын

    Tatizo wanaponzwa na chipss😄😄😄😂😂🏃🏃

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @ocdzedon6934
    @ocdzedon69344 жыл бұрын

    Nyasubiiii tenaaa 🔥🔥nakubaliii mkuu....

  • @colombianboy4949
    @colombianboy49494 жыл бұрын

    Nacha Mwanangu Fanya Ngoma na Roma Mzee Itakuwa moto sanaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    ✊✊

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao4 жыл бұрын

    love nyasuvi mwenyewe umeuwa sana love your uniq style

  • @Johnnyphilimon
    @Johnnyphilimon4 жыл бұрын

    Uyuu jamaa anaandika sana

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

  • @joshatetendeje8128
    @joshatetendeje81284 жыл бұрын

    Wekeni like za #Nacha apa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

  • @bonifacejuma8248
    @bonifacejuma82484 жыл бұрын

    Ahahahah et nchi ishauzwa nipen mm nika lewe🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪

  • @yathreeb
    @yathreeb4 жыл бұрын

    Very creative nimependa idea

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    🤝🤝

  • @you_know_now_tena8726
    @you_know_now_tena87264 жыл бұрын

    Nakubarii kaka Kama umeukubalii like hapaa

  • @tadashaclassic7766
    @tadashaclassic77664 жыл бұрын

    Wa 2 Leo naomba like mapema

  • @wapole5620
    @wapole56204 жыл бұрын

    Daah wamemchokoza nachaaa

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    🔕🔕

  • @user-gq9os9cy1e
    @user-gq9os9cy1e2 ай бұрын

    Huyu jamaa anajua sana100%

  • @chrisskibaking8184
    @chrisskibaking81844 жыл бұрын

    Ifike hatua watanzania tupende vitu bora aisee Uteam unatuharibu sana Hii nchi ishauzwa nipeni changu mi nikalewe 😂😂😂😂

  • @Nacha_ousam

    @Nacha_ousam

    4 жыл бұрын

    👊

Келесі