MSTAAFU KIKWETE AMCHANA STEVE NYERERE KUMSEMA DIMPOZ HATOWEZA KUIMBA TENA - ''WEWE NI KIHELEHELE''..

Ойын-сауық

MSTAAFU KIKWETE AMCHANA STEVE NYERERE KUMSEMA DIMPOZ HATOWEZA KUIMBA TENA - ''WEWE NI KIHELEHELE''..
STAA wa muziki Bongo Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amefanya hafla ya uzinduzi wa album yake inayokwenda kwa jina la Dedication ambapo mastaa kibao na viongozi wakubwa wamehudhuri.
Mstaafu Kikwete, Waziri wa sanaa, Haji Manara, Steve Nyerere ni miongoni mwa watu mashuhuri waliofika kwenye uzinduzi wa album hiyo, Global TV imetia timu kukuletea kila kilichojiri..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: kzread.info/head/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: kzread.info/head/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 14

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba Жыл бұрын

    Woow kikubwa upendo safi sanaaa

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 Жыл бұрын

    Ommy na Jakaya ni family zaidi

  • @-KINKAU
    @-KINKAU Жыл бұрын

    Steve nakukubali sana sana unajua kujishusha

  • @kelvindaudi2107
    @kelvindaudi2107 Жыл бұрын

    Andiko limetimia kweri mungu ni mwema akikaaaaaaaaaaa

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Жыл бұрын

    Tuwasaidie San wasanii wetu Tanzania waipeperushe San Tanzania

  • @henrymassawe699
    @henrymassawe699 Жыл бұрын

    This was of the coolest moment in this session!!!

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 Жыл бұрын

    Very mabest yani nimejikuta nacheka eti kiherehere chako😀😀😀😀😀😀

  • @shaiduhamdani7145
    @shaiduhamdani7145 Жыл бұрын

    Wasanii wetu bwana bwana,Ommy unaongeaje na Rais kwa kumuonyeshea kidoleee. Umefanya vizuri lakini

  • @mpopcornyplatnumz149
    @mpopcornyplatnumz149 Жыл бұрын

    nakubali

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 Жыл бұрын

    Hommy

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 Жыл бұрын

    Baba yako mzazi je?

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 Жыл бұрын

    ila jamaa mnafki sana😂😂😂😂

  • @abelfrancis8437
    @abelfrancis8437 Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @swabiaa1489

    @swabiaa1489

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂nyelel mnafiki nyie😂😂😂😂🙌