MPINA AMVAA WAZIRI BASHE - "HUWEZI KUJISAFISHA KWA MANENO/TAARIFA ZAKE ZINALETA TAHARUKI"

MPINA AMVAA WAZIRI BASHE - "HUWEZI KUJISAFISHA KWA MANENO/TAARIFA ZAKE ZINALETA TAHARUKI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 152

  • @gracemima5234
    @gracemima52342 жыл бұрын

    Bashe alikuwa Waziri mzuri sana. Kwa Sasa amechanganyikana na mafisadi. Asipo Angalia mafisadi watamuteka. Asante Mpina. Hawataweza kutuuwa wote. Tanzania ni yetu wote

  • @edwardmunanilaedward8280

    @edwardmunanilaedward8280

    2 жыл бұрын

    Bashe alikuwa mtetezi wa wakulima kabla ya kupewa nafasi ya uwaziri kama ilivyo kawaida ya viongozi wetu masrahi ni muhimu kuliko viapo. Ndio maana watu ambao hawajali kama watapoteza masrahi na kusema ukweli ni wachache mfano ni Polepole , Dr.Slaa na Mpina kwa maoni yangu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine.

  • @omarikessy2339
    @omarikessy23392 жыл бұрын

    Huyu jamaa Kichwa sana big up Kaka mpina endelea kutetea wananchi 👌

  • @mlyambisipaul8399
    @mlyambisipaul83992 жыл бұрын

    Nyie mnaoleta ushabiki kwenye mambo mazito ya wakulima lazima mfahamu wakati Waziri wa Kilimo akiwa Mh Charles Tizeba mwaka 2017, kulianzishwa Mfumo wa BPS ambao ulikuwa unasimamia biashara ya mbolea na kuanza kuagizwa kwa mfumo wa pamoja na kuwekwa bei elekezi na tuliona ilikuwa haifiki hii ya leo. Utaratibu huo umekuja kufutwa na swali je Kanuni zilizotungwa kisheria za kuruhusu BPS Mwaka 2017 zilifutwa lini ili kuruhusu soko huria lililotufikisha leo kwenye bei kubwa ya mbolea wanatokea wabunge makini kama kina Mpina kuishauri Serikali ikae kwenye mstari jambo la kusikitisha mnakuja nyinyi ambao hamfanyi kilimo mnakaa humu mitandaoni kumshambulia Mpina mkidhani mtaweza kuubadilisha ukweli.

  • @christianmwashala9760

    @christianmwashala9760

    2 жыл бұрын

    Uyu mpina ni kichwa af uyu katumwa na wananchi na akiwa anachangia kwa kuongea kwake ukwel wabunge wengne wananuna balaaa,,,yan wakiwa kinampina 10 bunge mbn litakua na mvuto

  • @edsonkahesi8603

    @edsonkahesi8603

    2 жыл бұрын

    Mfumo wa take yours early ndo unaofanya kazi acha tuisome namba

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga43552 жыл бұрын

    Very Challenging MP Safi Sana Mpina...Wachangamshe

  • @patrickkalengela7125
    @patrickkalengela71252 жыл бұрын

    Hon, Mpina is correct, this shows that his Education has Liberated him. Congratulations to his parents who paid fee in Educating him. We need Mps like Honourable like Mpina

  • @fredgonga
    @fredgonga2 жыл бұрын

    Shida ya wengi ni machawa na chawa hana ushauri kwa boss.. Akiambiwa geuka nyuma huyo geuka mbele huyo.. mpina anahoja hawataki kumsikiliza.. wana taka aseme tu ..kaupiga mwingi.

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza54342 жыл бұрын

    Enzi zake samaki walikuwa wengi sana na wakubwa.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole74382 жыл бұрын

    Utapata tabu sana mpina nchi imeingiliwa na mijizi mama samia kawarudisha wafisadi wote wa amani ya nne imerudi upya

  • @joycejackson4983
    @joycejackson49832 жыл бұрын

    Hili suala nilianza kulifutia tangu lilipoanza bungeni kuhusu bei mbolea lakini hoja za Mpina ziko sawa kuhusu suala hili la bei za mbolea na kwa kuwa Bashe tulimsikia akisema kuwa bei hizo zinatofautiana kwani zingine alidai zimetolewa kwa F.O.B rate na C.I.F rate na zingine akasema bei za viwandani(Factory Rate). Kama Bashe alivyosema mwenyewe kwenye hotuba yake kwenye aya ya 264 mbona hakuna hayo maelezo ya C.I.F au F.O.B ni wazi hizo takwimu za Waziri alizotoa zinapotosha Umma.

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu72462 жыл бұрын

    Mpina Chukua dili Utuletee Mbolea kwa Bei rahisi Nakumbuka Mh Bashe Alikupaga dili Kama Unajua sehemu wanauza bei rahisi Akupe dili cha Ajabu Ukasepa Aisee

  • @joycejackson4983

    @joycejackson4983

    2 жыл бұрын

    Mpina uko sahihi, hivi tangu lini mwakilishi wa wananchi anapohoji maswala ya wananchi apewe dili la kuleta mbolea hii ni dharau kubwa sana ambayo Bashe ameifanya kwani Mpina alikwambia ni mfanyabiashara wa mbolea? Haya yote yanafanyika bungeni viongozi wa Bunge wako kimya ila ukweli utabaki kuwa ukweli na kamwe hautabalishwa na mbwembwe za kumkosoa Mbunge Mpina.

  • @stephanomoses7694

    @stephanomoses7694

    2 жыл бұрын

    Hujawahi kulima ndio maana br. Ila ungejua adha tunayoipata kwa bei kali ya mbolea usingeongea. Nyinyi ndio wale mnaolalamika tunavyouza mahindi yetu kwa bei nzuri hapa tarakea boda ya kenya

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo28522 жыл бұрын

    Mpina hataki kuwa mnafiki bado yupo na magufuri tu kwa mtizamo wangu mawaziri wengi wamegeuka sasahivi wanajipendekeza kwa mama ili wabaki kwenye nafasi zao ushauri mama asiwabeze hawa kinampina afanye uchunguzi

  • @sultansallah8772

    @sultansallah8772

    2 жыл бұрын

    Kwan ulipo na chato nauli kias gan

  • @mandelamandela3150

    @mandelamandela3150

    2 жыл бұрын

    @@sultansallah8772 Wewe Tanzania bara siyo Nchi yako unajileta umeitwa na nani !?? Wewe ni kichaa hujaitwa unajileta leta !!!!!

  • @sultansallah8772

    @sultansallah8772

    2 жыл бұрын

    Iv kuna nchi inaitwa tanzania bara

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    @@mandelamandela3150 acha ujinga wewe, wewe itakuwa sio mtanzania,watanzania hawabagyani na kutajana was eneo fulani,unataka kila mtu awe na upande unaoamini wewe,kila mtu anauhuru wake na mawazo yake mistake kulazimisha mawazo mlionao nyinyi na wengine wawe hivyo hivyo.

  • @chitembokiyuga5916

    @chitembokiyuga5916

    2 жыл бұрын

    Nimeipenda comment yako aiseee

  • @husseinmohamed1777
    @husseinmohamed17772 жыл бұрын

    Mpina Legend

  • @joycejackson4983
    @joycejackson49832 жыл бұрын

    Tatizo la Waziri Bashe ni kujifanya anajua kila kitu na kuwadharau wengine ndio maana hawezi kuomba msamaha kwa kusema uongo bungeni. Mbona mwenzake Waziri wa TAMISEMI, *Mhe Innocent Bashungwa* aliomba radhi kuhusu suala la ununuzi wa pikipiki 68 kwa ajili ya Maafisa Ustawi wa Jamii kwenye ngazi ya Kata alivyokosea kwenye bajeti yake na alirudi bungeni kuomba msamaha na Watanzania wote tukamuelewa vizuri. Kwanini yeye Bashe hataki kuomba msamaha kwa kusema uongo bungeni.

  • @modestmzumbwe588

    @modestmzumbwe588

    2 жыл бұрын

    Nimekuelewa sana

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    Wewe unaonekana unachuki zako binafsi na waziri bashe maana unacoomment Mara nyingi kumsema.

  • @chitembokiyuga5916

    @chitembokiyuga5916

    2 жыл бұрын

    Hana chuki na Bashe Bali yuko sasahihi unataka kusema na ww unachuki na mbunge mpina mbona unakuwa na akili finyu ww

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    @@chitembokiyuga5916 Mimi sijamzungumzia vibaya mpina, mpina ana haki ya kukosoa anapoona waziri wowote kakosea,lakini ukifuatilia kwa. Kina suala hili utakuja kugundua bashe yupo sahihi,bashe kwenye sekta ya kilimo kafanya mambo mengi sanaa mazuri na hata hili kama kweli kakosea atalisawazisha tu.

  • @jeffferdinand788
    @jeffferdinand7882 жыл бұрын

    Mungu akubariki Sana mjombaa

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Жыл бұрын

    Bashe ni mwizi

  • @jonathanmwakabuku1931
    @jonathanmwakabuku19312 жыл бұрын

    Mpina oyeee

  • @husseinmohamed1777
    @husseinmohamed17772 жыл бұрын

    Huyu ndo moja ya mtu kwenye bunge like wengine wengi vilaza wezi tu

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah5852 жыл бұрын

    Bravo Mh. Mpina.....Watanzania na hasa wakulima wetu tunakuunga mkono Mh. Mpina....Mh. Bashe umeshakuwa upande wa mafisadi na wahujumu uchumi wa nchi hii....Mh. Rais Samia na CCM yako.... Watanzania wanakutaka uwe mkali kweli kweli kwa mafisadi au nchi itakushinda. Huu mchezo wa ufisadi kwenye mbolea umerudi kwa nguvu mpya kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine! Watanzania sio wajinga!

  • @mohamedhussein3906
    @mohamedhussein39062 жыл бұрын

    Juzi nimesikia Bashe anakubaliana na ushauri huu wa ununuzi wa pamoja inabidi Bashe arudi bungeni kuomba radhi na Mpina Bunge lijalo omba tena mwongozo wa Spika kuhusu Waziri kusema uongo bungeni kanuni zinasemaje

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa29732 жыл бұрын

    Mungu akubariki mheshimiwa Mpina

  • @matthewglory2877
    @matthewglory28772 жыл бұрын

    Mpina Umeeleweka Bashe tunakutaka Hapa useme Ukweli wananch wanaumizwa;

  • @japhari2117
    @japhari21172 жыл бұрын

    Naungana Na Mbunge wa kisesa huyu Msukuma Anahakili Aisee Ndo kabaki Mzalendo Pekee yake wengine wote wameficha Mikia Kwanini hawataki kusemea serikali ukweli ????! Na kwanini Wakulima wahangaike na Bei Mbolea kupanda jamani it’s very sad Mheshimiwa Raisi hapa ingilia kati Hili suala tunakuomba Gharama za Mbolea zimepanda sana naongea kwa Machungu kaka mimi Mkulima

  • @sayijoseph9179

    @sayijoseph9179

    Жыл бұрын

    Yap

  • @johnkapinga755
    @johnkapinga7552 жыл бұрын

    Uko vizuri sana

  • @sabasjacob9038
    @sabasjacob90382 жыл бұрын

    Mpina big up Sana wewe endelea kuwachana makavu awo MATAPELI

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale2 жыл бұрын

    Alisema kama kuna mahali bei rahisi akupe dili. Umekimboa!

  • @hamzanangameta6243

    @hamzanangameta6243

    2 жыл бұрын

    Mpina hakutaka kufanya biashara

  • @TamuzaKale

    @TamuzaKale

    2 жыл бұрын

    @@hamzanangameta6243 Suala sio biashara ni kusaidia watu. Kwani Shabiby anavyopigania mafuta yasiwekewe urasimu anataka kufanya biashara? Hapana. Ni kutafuta njia rahisi.

  • @gracemima5234
    @gracemima52342 жыл бұрын

    Mpina oyeeee

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman31582 жыл бұрын

    WATANZANIA NCHI HII ATUPO UHURU KUTOKANA NA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE ATA ELFUMOJA AWAFIKI CC TUKO MILIONI SABINI KWA NINI WATUTAWALE TUWAMALIZE TUJENGE NCHI

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere19622 жыл бұрын

    Safi sana

  • @bigboys016
    @bigboys0162 жыл бұрын

    We souliambiwa kama kunasehem kuna mbolea ya bei rahis uleye,boss kunashida gani

  • @christianmwashala9760

    @christianmwashala9760

    2 жыл бұрын

    Shida sio inako Toka shida ipo apa apa na kingne Bashe kachanya maelezo ile siku na kibaya ccm hawatak kuonekan wameshindwa apo watakaa kaa af watabadirisha

  • @edwardmunanilaedward8280
    @edwardmunanilaedward82802 жыл бұрын

    Nchi yetu ingekuwa na watu kama wewe tungekuwa mbali. Waziri kwa nini asiongelee kufufua Kiwanda cha mbolea.

  • @Pharadge

    @Pharadge

    2 жыл бұрын

    kwani hakuwa waziri huyu?

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting71802 жыл бұрын

    Mpina anaangaika Sana...pole

  • @patrickkalengela7125
    @patrickkalengela71252 жыл бұрын

    Mh, Bashe wewe bado Kijana na una mengi ya kufanya mbeleni, hebu wafanye Wabunge Kama Mh Mpina wakusaidie siyo mbaya Kuwaomba samahani pale ukweli unapoonekana, Kukosea ni sehemu ya kujifunza " A mistake is a learning Corner"

  • @hassankiboko7314

    @hassankiboko7314

    2 жыл бұрын

    Nakubaliana na wewe 100% kwamba Bashe amuombe radhi Mhe. Mpina lakini pia watanzania wote aliotukosea katika suala la mbolea badala ya kuendeleza malumbano yasiyo na tija hata nimesoma hiyo aya ya 264 aliyosema Mpina pia nikasoma ya 89 ni kweli anachokisema Mpina kimeandikwa kwenye hotuba ya Waziri

  • @kileojuma359
    @kileojuma3592 жыл бұрын

    Mimi nadhani hili jambo limeshakuwa na maneno mengi nadhani kuna umuhimu mkubwa Mhe Rais akaingilia kati kuchunguza kwa kina mfumo mzima wa mbolea maana hata bungeni Waziri Bashe alionesha kupaniki sana na kuanza kumshambulia Mpina mara na kutangaza kumpa upendeleo wa kuagiza mbolea hali iliyoacha maswali mengi kwamba kuna jambo limejificha

  • @husseinmohamed1777
    @husseinmohamed17772 жыл бұрын

    Mbolea zipo juu sana

  • @japhari2117
    @japhari21172 жыл бұрын

    Huu ni wizi na uharamia mkubwa yaani Waziri wa Serikali una uhadaa umma kuwa bei ya mbolea UREA ni Dola za Marekani 1214 kwa tani katika soko la dunia wakati ukweli ni Dola za Marekani 550 tu, hii ni kutukandamiza wakulima ili kunufaisha biashara zenu naungana na hoja ya Mh Mpina kwamba iundwe tume kuchunguza suala hili la bei za mbolea.

  • @mwalimunanabiinelsonmwakik5542

    @mwalimunanabiinelsonmwakik5542

    2 жыл бұрын

    du kazi kweli kweli

  • @frank01tz

    @frank01tz

    2 жыл бұрын

    Hata angesema bei ni dola 1800 au 2500 nani angemzuia?! Yamepandishwa mafuta hapa kiholela kabisa tupo kimya! Tunapigwa matozo ya ajabu ajabu tupo kimya! Alisema Mwendazake "MTANIKUMBUKA" huu ni mwendo wa deal tu, maumivu mtayajua wenyewe!

  • @sixberttindwa9622
    @sixberttindwa96222 жыл бұрын

    Mtachanganyana sana

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi86032 жыл бұрын

    Kwahiyo hiyo inaonesha spika anadanganywa kizembe na mawaziri na hasikilizi ipasavyo wabunge wanaochangia hoja mbalimbali na kuikosoa serikali kwa maslahi mapana ya wananchi wa kawaida

  • @elijahfresh5985
    @elijahfresh59852 жыл бұрын

    Mbolea zote zimepanda Bei mara 2 ndani ya mwaka mmoja. Soko la dunia ndio bei imebadilika kutokana na kupanda kwa malighafi za kutengeneza mbolea. Hili sio swala la wizara ni swala la dunia. Na bei zilipanda kabla hata vita haijaanza.

  • @kifimbokifimbo9481
    @kifimbokifimbo94812 жыл бұрын

    Watanzania tumekuwa watu wa kupenda mizaha sana, yaani mbunge kama huyu anasimama kutetea wananchi dhidi ya uonevu wanaofanyiwa kwenye biashara ya mbolea alafu tunakuja hapa tunatetea ujinga, mara oooh Mpina ulikuwa Waziri ulipima samaki kwa rula nendeni mkasome sheria ya uvuvi ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009 muone kama Rula haijatajwa humo kama moja ya vipimo vya kupimia urefu wa samaki. mara oooh ulichoma nyavu za wavuvi haramu sasa sheria inasemaje kuhusu nyavu haramu? maraa oooh ulipewa tenda na Bashe ya kuleta mbolea sasa kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi bungeni au amekwenda bungeni kupewa upendeleo wa kununua mbolea? lazima ifike mahali tuwe na uchungu na nchi yetu na tuache mambo ya mizaha mizaha ambayo mwisho wa siku inanufaisha watu wachache huku wengi tukiumia.

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo55032 жыл бұрын

    We mpina acha maneno , bashe yupo vizuri anachapakazi ww Kama unautaka uwaziri subili muda

  • @malopemaliyamungu5243

    @malopemaliyamungu5243

    2 жыл бұрын

    Atasubiri sana.. na wana-kisesa wanamuangalia tu aje jimboni. Hatakaa Mwandoya, mwisho umefika.. na ardhi aliopora irudi hatutaki ujinga. Anajidai ana uchungu na Nchi kumbe hamna lolote.

  • @aronatv47

    @aronatv47

    2 жыл бұрын

    Yaaani kati ya Mawaziri waliojitahidi na Jitihada tumeziona ni Bashe ..Huyu Jama Tangu atemwe Uwaziri kila Kitu ajua Yeye tu..

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole74382 жыл бұрын

    Chapa kazi mpina usiogope sema hata kama.......

  • @jeffferdinand788
    @jeffferdinand7882 жыл бұрын

    Saf sana

  • @hassankiboko7314
    @hassankiboko73142 жыл бұрын

    Nimesoma ibara ya 264 ya hotuba ya Waziri wa Kilimo ya Mwaka 2022/2023 ni kweli masuala ya FOB na CIF hajaandikwa kwenye hotuba ya Waziri na nimesoma pia ibara ya 89 ya hotuba ya Waziri wa Kilimo amekiri mwenyewe kuwa kuna uholela katika biashara ya mbolea zingine bila kuuzwa bila vibali sasa hapa kosa la Mpina liko wapi kuna mambo mengi yamejificha kwenye suala hili la mbolea.

  • @masangulagoa3101
    @masangulagoa31012 жыл бұрын

    Tuwekeni wazi tujue hapa tunafanya nini sasa mpina ametwambia vzr sasa twafanyaje?mbolea ipunguke bei?

  • @mohamedhussein3906
    @mohamedhussein39062 жыл бұрын

    Lengo na madhumuni ya takwimu mbili tofauti alizotoa Waziri Bashe zililenga kutuchanganya wakulima ili kufanikisha wizi uliopangwa wa kupiga fedha zetu Bilioni 150 kupitia makampuni ambayo Waziri anaubia nayo na anafanya nayo biashara na ndio maana kashfa hii imetokea kwenye utawala wake kama Waziri. Bajeti iliyopitishwa na Bunge tunaomba Mhe. Rais aitazame vizuri inaonekana kuna madudu mengi yamefichwa humo.

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane7142 жыл бұрын

    Uko sawa mpina

  • @malopemaliyamungu5243

    @malopemaliyamungu5243

    2 жыл бұрын

    Akili ndogo haiwezi kuwa Juu ya akili kubwa

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza54342 жыл бұрын

    Mzee wa samaki kwa Lula vipi

  • @hassankhalid2465
    @hassankhalid24652 жыл бұрын

    Lkn mh,umesahau oparesheni sangara

  • @mwalimunanabiinelsonmwakik5542
    @mwalimunanabiinelsonmwakik55422 жыл бұрын

    mhh kazi ipo

  • @mariammbisa822
    @mariammbisa8222 жыл бұрын

    Mh Rais wetu Samia Suluhu Hassan amewaumbua Mawaziri wasio na upeo kama Bashe pale aliposema amepokea ushauri na miongozo ya wabunge na kuahidi kufanyia kazi ushauri wao sasa wewe Bashe ni nani hadi uwafokee wabunge wakiwa wanatekeleza majukumu yao yao ya kikatiba ilihali Rais mwenye nchi anawaheshimu wabunge na kusikiliza ushauri wao.

  • @lothmasawe6943
    @lothmasawe69432 жыл бұрын

    Mpina punguza maneno

  • @anthonyndema2739
    @anthonyndema27392 жыл бұрын

    Tumebaki Na ww tu mthubutu,,mpina hoyee!

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    2 жыл бұрын

    Chapa kazi mpina fuatilia kila kitu kimepanda bei wakulima watafanya kazi gani na mbolea zimepanda

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi93132 жыл бұрын

    Mpina huna jipya..

  • @mussasualehe7146
    @mussasualehe71462 жыл бұрын

    Kweli Samia Mama wa Demokrasia. Enzi za Meko huyu asingeonekana kuanzia siku hii

  • @healingsschool4630
    @healingsschool46302 жыл бұрын

    Ni nani aliyetuloga?

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton82682 жыл бұрын

    Data umetoa wapi za bei zako onesha data tu mambo yapimwe

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman31582 жыл бұрын

    Yule Rais yupo kwa kuwakandamiza Wananchi watanzania tuamke

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka74632 жыл бұрын

    What is concern mbona hamna shida kwani mna tatizo gan binafsi

  • @shafiijafari3680
    @shafiijafari36802 жыл бұрын

    Ww unamatatizo mbona haujatoa takuwim y pesa ulizo waibia wavuvi ziwa vikitoria wakati wa upaleshen yk mbona mpaka Leo hajasema pesa uliweka wp za wamiliki wamitubwi acha unafiki wako sema kwanza pesa uliyokusanya mwanza nabukoba n musoma zipo wapi n zilifanya kazi gani

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    2 жыл бұрын

    Shafii kwani mpina aliwaibia au ni operesheni iliyofanyika na watendaji wake makosa hayako kwake ni kama mama kwa wamachinga alivyoagiza kwa swala la wamachinga wakatolewa bila kutengewa eneo la kwenda na wamerudi kama kazi

  • @emmanuelmwafati8453
    @emmanuelmwafati84532 жыл бұрын

    Nenda kapewe dili la kusambaza mbolea mh mpina

  • @sefukaduguda5447
    @sefukaduguda54472 жыл бұрын

    Umepewa fulusa tuletee mbolea ya bei nzuli upewe mkataba wa tani zaidi ya laki nne

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti53032 жыл бұрын

    Ulipotosha wananchi ulipopima samaki kwa rula...ni walewale

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz2332 жыл бұрын

    . #MuacheBasheAFANYEKAZI

  • @stevenkindu5778
    @stevenkindu57782 жыл бұрын

    Chukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

  • @amiriamri654
    @amiriamri6542 жыл бұрын

    Sangara inahusiana nn na mbolea ,

  • @ulaweboy3479
    @ulaweboy34792 жыл бұрын

    Acha inyeshe tujue inapovuja

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi93132 жыл бұрын

    Huyu si aliekua waziri wa uvivu akapima samaki aliekaangwa , acha chuki bro

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani32832 жыл бұрын

    Atastuff vipi hahahha

  • @juliascherehani2330
    @juliascherehani23302 жыл бұрын

    Nyinyi mnao mpinga mpina ni matako maan anawatete wakulima Alf Kuna makuma yana muona mpina anakosea

  • @shafiijafari3680

    @shafiijafari3680

    2 жыл бұрын

    Uyo levi tuuuu atakiswaili hawezi zilipendwa kwanza analana y watu wakanda yaziwa

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    Na wewe unaempinga bashe ni mbumbumbuu ni buree kabisa,bashe yupo making sanaa karekebisha mambo mengi sanaa kwenye sekta ya kilimo,na hata hili kama kunasehemu kakosea naimani tu atarekebisha.

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo19102 жыл бұрын

    Mbunge MPINA yuko sahihi na Mbunge huyu ni MTETEZI wa WANANCHI TUNAKUOMBA WASIKUKATISHE TAMAA SISI TUKO PAMOJA NAWE WATANZANIA.

  • @stanslausmteme8455

    @stanslausmteme8455

    2 жыл бұрын

    Kabisa ila watu wanambeza tu

  • @stanslausmteme8455

    @stanslausmteme8455

    2 жыл бұрын

    Huyu anajua kilimo kwani anakiishi kilimo na anauchungu na kilimo

  • @stevenkindu5778

    @stevenkindu5778

    2 жыл бұрын

    Uko pamoja nae wapi

  • @mussajackson1316
    @mussajackson13162 жыл бұрын

    Nyinyi Wote Mnajarbu Kujikweza Hakuna Alie kwel hapo nyinyi wenyewe Mnakinzana.

  • @josephrutta6834

    @josephrutta6834

    2 жыл бұрын

    TUPE TAKWIMU. UNATUMIA SABABU GANI?

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul38622 жыл бұрын

    Kwenda zako

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting71802 жыл бұрын

    Ulipokuwa waxiri ulikuwa walewale...Mambo ya bunge unaleta afharani ...wewe vipi

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 Жыл бұрын

    Bashe ni kichwa timamu kabisa acha uhuni na.chuki

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka59592 жыл бұрын

    Wala hueleweki kaka.mbona unavyosema na uhalisia wa bei ya sasa ni tofauti sana.tuletee basi mbolea unayosema ya bei ya chini.by the way si ulishapewa tenda na bashe ulete hiyo mbolea yako?yaani unachanganya watu tu lkn huna lolote unalolijia la mbolea au hali ya dunia ilivyo sasa.hivi huyu bwana ana kiwango gani cha elimu jamani mnaemjua?

  • @joycejackson4983

    @joycejackson4983

    2 жыл бұрын

    Kazi ya kuuza na kuagiza mbolea inafanywa na wafanyabiashara ambao Waziri anawafahamu kwa kuwa yeye ndiye anayetoa vibali sasa kumuingiza Mpina kwenye kuagiza mbolea yeye Waziri Bashe alikuwa anamaanisha nini.

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    @@joycejackson4983 anamaanisha kwasababu yeye anajua mbolea inapopatikana kwa urahisi kaambiwa alete kama ipo hiyo ya bei nafuu.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia63282 жыл бұрын

    Una hasadi na Bashe sasa umechanganyikiwa

  • @amaniabdi9755
    @amaniabdi97552 жыл бұрын

    Mpina wakati wako uliisha. Unaonekana unahasira, najua unataka uwaziri lakini huupati tena, Umesahau ulichowafanya Wavuvi wa kanda ya ziwa Victoria, ulisababisha watu wakafa kwa Kuwanyanganya mali zao wanachi wanyonge.

  • @TamuzaKale

    @TamuzaKale

    2 жыл бұрын

    Kumbe!

  • @kaundasutikaunda7769

    @kaundasutikaunda7769

    2 жыл бұрын

    akili za wabongo ndio maana tunazidi kuwa masikini ...ww serikali ikizuia uvuvi haramu mnaona wanaonewa ...mpoje nyie wabongo...kuna muda samaki walipotea kabisa maana wale wavuvi walikuwa wakivua kwa nyavu zisizofaa ...baada ya zoezi la serikali likiongozwa na mpina ..samaki wakubwa wakaanza kupatikana ...nyie hamuoni ???kazi kulaumu laumu tu bila kutumia akili

  • @emmanuelnila1305

    @emmanuelnila1305

    2 жыл бұрын

    Hujielewi mwache Mpina afanye kazi ya kibunge kutokushilikisha ubongo wako vizuri kusipotoshe umma.

  • @malopemaliyamungu5243

    @malopemaliyamungu5243

    2 жыл бұрын

    Mpina anatapatapa.. Kata yake ya Mwabusalu ndio imeteuliwa kuwa eneo la kuzalisha mbegu Bora za pamba.. Mikoa ya Singida, Tàbora, Shinyanga, Mwanza, Geita, Mara na Simiyu huenda pale kujifunza, alitamani wakwame lkn wamefanya vizuri na wakulima wa eneo Hilo ndio wanufaika namba 1. Yeye ndio anaelekea kukwama.

  • @hamisijuma3276

    @hamisijuma3276

    2 жыл бұрын

    @@kaundasutikaunda7769 hapa wananchi wanapigwa sn, RIP JPM

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa41462 жыл бұрын

    Muuu

  • @frankmanyesela6147
    @frankmanyesela61472 жыл бұрын

    Hahahhaha

  • @sirajismail3978
    @sirajismail39782 жыл бұрын

    Hasad tupu

  • @mussajackson1316
    @mussajackson13162 жыл бұрын

    Kwa Hyo nan Asifiwe sasa . Kwa now Alieleza Mambo aliyofanya yeye DAH Wengne Mnakuawa Wafanyakazi serikalin Sjui kwa Sababu ya Umaatufu tu. Ila sio Ujuzi wa kazi Uliyoteuliwa? Tunaomba Usahhishe Mwenywe nan BORA hapo .

  • @mbwanajuma2143
    @mbwanajuma21432 жыл бұрын

    Sukumagang anateseka sana kukosa uwaziri

  • @aronatv47
    @aronatv472 жыл бұрын

    Huyu Jamaa Tangu atolewe kwenye Uwaziri amekuwa anazingua Tu Yeye kila Kitu nikukosoa tu hata kama Hakuna Mantiki..Alipewa Dili Kama Anaweza na Anajua Ilipo ya Bei Poa alete..Nonsense

  • @mwemsiabdul7498

    @mwemsiabdul7498

    2 жыл бұрын

    Sio kukosoa uwo ndio ukweli msikimbilie uwaziri

  • @faroukrashid5507

    @faroukrashid5507

    2 жыл бұрын

    Mbona ya 43000 ilipotea na tukanunua 80000

  • @charlesmwambinga4355

    @charlesmwambinga4355

    2 жыл бұрын

    Wewe sio msikizaji mzuri.unaonekana unashinda kwenye mabanda ya kubishana simba na yanga..anaongea mambo makubwa kuliko akili yako ndo maana huelewi

  • @elizabethmassi7327

    @elizabethmassi7327

    2 жыл бұрын

    Mnataka anyamaze kwa kuwa mnaona alikosea enzi za uwaziri wake? hampo sahihi hata kidogo alipokesea yeye alikosolewa pia ,waranzania hatuna jema tunapata wa kutetea mnampiga vita wakinyamaza mnawatukana,wabunge waliobaki kuongelea wananchi baada ya bunge kukosa wapinzani ni Mpina na Tabasamu tu wengine wapo ili mradi siku ziende na kusifu hata kisicho sifa.

  • @octavianmgovano5207
    @octavianmgovano52072 жыл бұрын

    Luaga Mpina wewe una matatizo makubwa sana ,Tokea Uukose uwaziri umekuwa msumbufu .Ulivyokuwa waziri mbona ulikuwa huna maneno .Uache njaaa za uwaziri .2025 unapaswa ukatwe kwenye mchakato wa ndani wa Chama .Wasubirie CCM mchakatoni .

  • @cassimoa9217
    @cassimoa92172 жыл бұрын

    Mpumbavu wewe, mwache bashe afanye kazi huna lolote roho mbaya tu uliyonayo. Umesahau ilivyotia watu umasikini. Mpotoshaji huna lolote, lete mbolea ya rahisi, huna ushauri mbwa wewe

  • @lifeexcessle4394

    @lifeexcessle4394

    2 жыл бұрын

    Ndugu, kama huelewi au kama haikuingii akililini kausha au kaa kimya. 2020-2021 wakulima wamenunua Mborea kwa elfu 60 bei ya juu. Leo ni average ya 1 year tu bei imekua x2 ya elfu 60. Kisha unasema aachwe afanye kazi. Big No....ukiwa kiongozi lazima uwe flexible kwa kuchukua kila oni linalokuja kwako na sio kuhisi mtu anawivu nawe au anaitaka nafasi yako.

  • @aronatv47

    @aronatv47

    2 жыл бұрын

    @@lifeexcessle4394 Sasa si. Kaambiwa alete ya Bei Rahisi alete kama hana suluhisho au anajua namna ya Kufanya bei ishuke Alete aache xhuki vinginenevyo hana nia njema na Nchi Kwa nini awasaidie wananchi Kupata hiyo ya Being Nafuu Kama Ana Solution..Kwanza Mwenyewe ana Makashfa yake kibao tu watu wanamcheki

  • @lifeexcessle4394

    @lifeexcessle4394

    2 жыл бұрын

    @@aronatv47 Kaka hii nchi ni ngumu sana na hii ni Africa.

  • @makelemohuya2723

    @makelemohuya2723

    2 жыл бұрын

    Mpina unakazi sana kupambana na Serekali inayoongozwa na matapeli yaliyokaa pembeni yanabonyeza limote tu,mambo yanaenda hovyo hovyo tu,Tanzania imeangukiw awamu hii haijawahi kutokea Sehemu nyeti zote zimekaliwa na Heyna

  • @mkude

    @mkude

    2 жыл бұрын

    @@lifeexcessle4394 na wewe pia kuwa muelewa bashe ni mbunge makini sanaa na anerekebisha vitu vingi sanaa kwenye sekta ya kilimo,na kama kunatatizo kwenye suala LA mbolea na imani atalisawazisha tu.

  • @idarusishabani7551
    @idarusishabani75512 жыл бұрын

    Wewe mpina kwa tafsiri ya upina ni ukiwa na akili zako ni zakikiwa tupuuu umesahau ten pasent ya nyavu za wachina ulizo piga? Umesahau ufukara na umasikini ulio watia wavuvi? Wewe mungu anakuona tulia tu uwaziri huwa unarudi hebu nenda kamnong,oneze basi komredi simba chawene na kijana wangu DR nchemba, sahizi ndio mwenye kihenge cha pesa ya nchi sasa wewe unakwama wali? Kujifunza kwa hawa miamba kuwa mvumilivuuu yaani unaropoka kila mtu ana ona kabsaa jiroho limekusokoka kwa uwaziri wa nashe.

  • @elizabethmzava8980

    @elizabethmzava8980

    2 жыл бұрын

    Yaani tuache kuzungumzia matatizo ya wakulima wanaohangaika kwa kuuziwa Mbolea kwa bei ya juu wewe anazungumzia uwaziri wa Mtu. Suala la Mpina kuwa Waziri au sio Waziri haiwezi kuwasaidia wakulima dhidi ya bei ya mbolea walionayo kwa sasa kama tumeamua kujadili hoja za wananchi tuzijadili kama zilivyo tusihamishe hoja mara Mpina ulikuwa Waziri sasa inasaidia nini.

  • @hamzaeleuter8268

    @hamzaeleuter8268

    2 жыл бұрын

    Sasa unaongea nn si unyamaze tu, hivi unaelewa anachoongea au ndo unaamka

  • @TM.Sullusi

    @TM.Sullusi

    2 жыл бұрын

    Hilo linahusiana nini na marekebisho ya takwimu🤣🤣🤣.

  • @healingsschool4630

    @healingsschool4630

    2 жыл бұрын

    Swala sio makosa aliyofanya. Waziri toa ufafanuzi ili watanzania tusiwe na wasiwasi na takwimu zako

  • @matthewglory2877

    @matthewglory2877

    2 жыл бұрын

    wacha chuki Binafsi Mpina kaeleweka

  • @profesaorthogonal6095
    @profesaorthogonal60952 жыл бұрын

    Sisi tunakuelewa wafanyabiashara wanapandisha bei ovyo na wahusika kimya

  • @amosikazuba7705
    @amosikazuba77052 жыл бұрын

    Mhamwenzangu si umuoe huyo mtoto wa Kizanzibari uche kuchakacha

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri7922 жыл бұрын

    Mpina tumekuelewa Wacha wazidi kukutengeneza usiogope

  • @malopemaliyamungu5243

    @malopemaliyamungu5243

    2 жыл бұрын

    Tunamuangalia tu... anajitahidi kukwamisha kilimo.. yeye ndio atakwama. Kata ya Mwabusalu Ni sehemu ya Jimbo lake ineteuliwa Kama eneo litakalozalisha mbegu Bora ya pamba na wakulima wanufaika kweli lkn yeye anakuwa wakwanza kukwamisha.

  • @hamisijuma3276

    @hamisijuma3276

    2 жыл бұрын

    RIP JPM

Келесі