MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.
#frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Пікірлер: 85
Pole sana mwamba, series Iko sawa kabisa, quality ya audio sawa, location sawa sana, wahusika wachache na wanaelewa majukumu Yao na zaidi ya yote ubunifu wa high quality, kaka Kenya unapendwa na kazi kama hizi zinafanya upendwe Zaidi
@aligermano3615
27 күн бұрын
Kweli sana
@DamianoZablon
12 күн бұрын
Zablon damiano @4492@@aligermano3615
Pole San gozi mungu amlaze mahali pema mama lakin nakuombea na ww mugu akutie nguvu na uzidi kufanya kaz nzur zaidi ya hii
Pole kaka kwa kupoteza mzazi mungu azidi kukufariji
Daaah aisee pole sana Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Cogratulations 🎉🎉🎉movie nzuri sana❤❤❤
Filamu nzuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pole sana kwa kumpoteza Baba...Mungu akupe subra....Aidha ni kazi nzuri sana kaka. inatazamika mbele ya familia
Pole sana kaka
Pole kwa msiba kaka,kitu shwari lete kwa wingi
Honger gozi
Watching from kenya 🎉🎉 kazi nzuri
Pole gozi Kwa msiba Ila bro upo vzuri Sana unaweza kaka
Akih pole sana mungu ampunzishe pema peponi niwapenda nyote mbalikiee
Naikubali sana hii movie❤🎉
Wakwanza .... yeah...!!! By Mr okay 1time
Pole Sana Kumupoteza BBa
❤❤❤wanasema ni tam ajabu chukua maua yako🎉🎉🎉 Gozi😊😊😊
umetisha sanaaa mwamba na nikupe pole kwa kuondokewa na mzazi kwan kaz yke mola haina makosa
pole mwamba maana pigo takatifu na ni pengo lislo zibika apumzike kwa aman
Pole sana kaka mungu akupenguvu
Mtaniau na kicheko jamani😂😂😂😂
Oya gozi kiukwel nyau mtu na nusu nanifuraisha sana
Very nice, wow movie zuri sana, Sasa mwishi mwapendeza sana thanks
Pole saana na kivo ya mzee, hongera saana kua iyi filamu.safi saana ❤.
Pole sana kaka 😢😢bt pokea zawadi ya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda sana
Pole sana Kwa kupoteza kitu sahihii
Pole sana movie Kali sana nmeipenda sana
Pole sana kaka kwa kumpoteza baba
Pole sn kw kumpoteza babako 🇲🇴🇲🇴🇲🇴
Pole sanaa mwamba moyo wa chuma iko sawa ❤mimi niko america bali nafatiliziya muvie zako thanks bro
❤❤❤hongera sana kazi zuri sana na pole sana
Mmmmm pole sana kakangu
Pole kwa msiba wa dady wako mungu akutie nguvu
Pole kaka❤ kz nzur sana🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉safi sana
Anisa mkorogo umekataa vdoleni
Hongeraa snaah gozii
Big up very nice movie n it’s clear
Pole sana bro gozi
So emotionally
Pole sana kaka❤
Pole kaka na msiba wa baba
Kaka umetisha hii movie n zaidi ya noma bro❤❤❤
Pole sana kaka.to mach love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Oops pole sana gozi kwakumpoteza mzeekazi yamungu Haina makosa ila asante kwakazi nzuri
@user-ho7oe1bg2i
Ай бұрын
Shukulan kwa KO gozi kazinzuri s
@user-mk3zl3yr3m
18 күн бұрын
Pole na msiba gozi
Poleni sana kaka wangu
Pole sana goz Allah akupe subta inshallah
❤❤❤❤
Big up bro,kazi bora sana
Good❤❤❤❤❤❤❤❤
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐❤️💐💐💐💐💐❤️🔥🙏
Eu também gostei esta história. Dop!
Pole gozi kwa kumpoteza mzee ila umeweza movie tamu sana
@JladyKadzo
25 күн бұрын
Nasubiri next season
Kazi nzuri sana!
Pol San dudia ndo ilivy
Pole sana
Big up xna bro nimeona kazi yako
Pole San kaka
Gozi uko vizur San
Pooole sana Asante
Ado kakimbia
Nice one
polewuinmbk chewsa kmoi. Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pole sana😢😢
nice one
Nice move
Uko vizuri bro.ila chado kaharibu ju ya Tamaa Ila movie iko POA nikiwa kenya
Pole Sana mkuu
good movie
Pole sana kwa hayo lakini sinema ilikua tamu sana
Kumbe gozi muzulu?
oya goz we fund san
Goz fund wewe
Hongera sana broo ila pole xna kwa kufiliwa bba yko mngu amulaze mhli pena peponi
Gozi aliharibu Hanifa alikuwa anaenda ndani na sioni kama atakuwa mke Sawa
Hanifa, kwaninihumpi habariya yule ejamaa, ambaeanakujahaponyumbani, nakuku koromea.
@Fidia-ie3fi
26 күн бұрын
Ongera sana broo
Movie nzuri sana , na pole kwa kupoteza babako
Pole sana kaka
Pole sana