MMAKONDE FEKI ALIYETREND NA ZUWENA WA DIAMOND AITWA STUDIO WASAFI / TAZAMA
Ойын-сауық
MMAKONDE FEKI ALIYETREND NA ZUWENA WA DIAMOND AITWA STUDIO WASAFI / TAZAMA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Пікірлер: 138
Huyu jamaa hii talent ni mwizi aiseee, Mimi nilijua Mmakonde kweli noma sana
Bonge la kipaji alafu nawakubali sana watu wenye uwezo wa kuigiza sauti za makabila... Heshima mwanangu sikupingi buda.
@idrisamnunguye96
Жыл бұрын
Mmakonde Huyu
😂😂😂kumbe jamaa siyo mmakonde duu inawezekana amekulia huko kwenye kuongea kama wamakonde uko vizuri
Usinitenge ni wimbo wa professor jay🔥🔥
Zuwena kaibuka na Baraka za wengi
Jamaa kipaji anacho sanaaaaa🔥🔥
This was really really man.. I liked this man wallah.
Kwenye kipemba ndio umeniuwa kaka Nakubali sana
Kumbe anakipaji, Mungu akusaidie.
🤣😂😂😂🤣🤣🤣Kapendeza sana leo🤣🤣🤣🤣kashakuwa stra
Nilijua uyu mwamba atakwenda mjin aliuaaa sanaaaaaaa kwa zuwenaaa
Yes good talents
Jamaa yupo Powa sana
Jamaa ni 🔥
Jamaa nouma Saaaana
Jamaa anajua Sana sana
Nakubali sanaaa
Anafaa kua muigizaji aloo kwanza mcheshi halafu anajua pia kuigiza
i will be shoked kama hata ajiriwa uyu this guy have it all
Jamaa noma
Kwenye kisukuma umeua Sana man
Jamaaa uko vizuri
😂😂😂 cma jamaa alimkandia xn zuwena Leo kawa star duh hii nchi marhabaa
@koyesandatuya5422
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@luisojr3480
Жыл бұрын
Hii nchi bhna unaweza ukawa star ghafla tu😂
@maidamhanje5993
Жыл бұрын
Alimuomba msamaha cku Ile Ile mbona 😅
@kadogoojuma2659
Жыл бұрын
Yaani usipokuwa staa ni we😂😂😂
@Paplick9
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄
Jamaa kumbe kipaji sana
Mashallah anakipaji
Dah mwamba Kesha toboa et. Zuwena kaupiga mwingi
Jamaaa anajua
Bora hajalia leo 😅
@happylynguya3464
Жыл бұрын
Kumbe ndo yule ambaye alimsema vibaya Zuwena alafu akaanza kumuomba msamaha mpka akalia
Kupata jina bongo rahisi sana
Nyimbo ya Qchif hiyo jaman mmeshindwa kuijua. Huyu jamaa mwaka hauishi mtamkuta kwenye tamthilia ya jua kali km mie muongo np pale nimekaa
@MtuSafi
Жыл бұрын
No...Ngoma prfsor jay ft q chief..ila kuhusu jua Kali Namm namuona kabisa.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Nyie mkakonde kashakuwa star
Huyuu jama ninoma man
Itifakiii izingatiwee jamaa anatalent kubwa sanaa
Aaaah kweli miyayusho 😂😂😂
Anafurahisha 😄 🤣
Afanye maigizo icho ni kipaji jombi, huyo alishi kusini, noma sana
Noma sana
Kipaji hiko
💪💪💪💪
3:00 😂😂😂😂😂
@nancyg8664
Жыл бұрын
🤣🤣
Bro pande za mwananyamal sokoni uyoo nakubari San Abasi
Feki sio uyu!
@zulfasaeed7445
Жыл бұрын
Yy huyu
Jamaa sio wakawaida kipaji hicho
Watanzania
Kapata eti jina zuwena bongo kwanini uhame😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁😁😁wallah umenikoshaaaaa
Kipemba amepatia kabisa😂😂🇬🇧
Katisha
Anajua kijana
Senjelee
Jamaa Ni kweree
Heeeee mchaga doh mbona afanani
Huyu jmaa daah
wa mrijo chini mpo
Mwambaa
Yaani apa mo town ndo ameonekana fala cz jamaa mjanja
Jamaa mkali sana bado hajajipata huyu bonge moja ya star huyu
Amenifany nikacherk interview yak tena😂
Jamaa tuna omba ende kwa lamata akawe mjomba ake idi 🤣🤣🤣akawe 🤣shemj Yake semeni 🤣🤣
@abdibilali4186
Жыл бұрын
ushampangia seen kabisa
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
@@abdibilali4186 🤣🤣🤣🤣🤣😂
Hahahahahahaha haha pumbavuuu mm mrangi kanifurahisha katuwezea sana
@rashidimrangi1953
Жыл бұрын
Mlangi wa hai
Huyu jamaa bwana ashatoka kimchezo mchezo tuu muenueni
Duh jamaa kavaa bonge la jacket 😢
Jamaa Akikaza Ametoboa...
Fala kwelii huyu🤣🤣🤣🤣
😁😁😁
Kirangi kazingua hamna kitu kwny kirangi ila kimakonde , na kipemba yupo Sawa mbyaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣 Yuwachekeshaaa
Kumbe Mchaga 😂🤣🤣🤣🤣🤣
Kioemba ssawa lkini sio wamekwenda vizuli... Ni wamekwenda vizuri. Wazanzibari hatukosei kwenye L NA R.. hua tuko sw kwenye kiswahili.
@tamimakhalfanikhani8403
Жыл бұрын
Na sio wamekwenda ni wankwenda
@tamimakhalfanikhani8403
Жыл бұрын
Wankwenda vzr
Ila zuwena ana nyota jamani 😂😂😂
@ramaninaujenzitz9395
Жыл бұрын
Yan umesisimua na opinion yako ni kweli umejua kuona mbali Nyota ya Zuwena si masihara
Mamaeeee huyuu
Sema mwana ka trend knoma
😂😂😂😂
Mtangazaji vipi tena hapo Studio kuna Winter ??? maana huko ulaya wanavaa hizo nguo kwenye baridi na wewe upo hapa bongo joto kali sana msiige kuvaa ovyo hizo nguo nyingine zinavaliwa kwenye nchi za baridi siyo kama bongo??
@obenitejailos7007
Жыл бұрын
AIR CONDITION
@nancyg8664
Жыл бұрын
@@obenitejailos7007 yes itakua AC kali
Duuhh,jamaa langu mimi nimekukubali kinoma..
😂😂🤣
Hahahahahahaah miyayushooo
Kwann asiwe mtangazaji🤣🤣🤣
Kkk
Jamaaa faaala uyu😂😂😂😂😂
tumwaree😂😂😂😂😂😂
Kıpemba apo mzee umebugi wapemba hawana lafudhi izo ila umejitahidi tu
Afadha mlikiona kipaji Toka cku ya zuena nlishamuelewa
Unafanya mchezo na ugali 😃😃😃
@nancyg8664
Жыл бұрын
Famchezo nini🤣
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂🙄
Zuwena🤣🤣🤣
Icho kichina🤣🤣🤣🤣
Kipemba hajaweza kuongea
@tatotato506
Жыл бұрын
Kaweza acha loombaya
Hahahahahaha
huyu mwamba kwer miyeyusho
Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥 kzread.info/dash/bejne/dYh_p9hwhrjWgsY.html
Yani abasi🤣🤣🤣🤣
Hahahaha kanifrahisha
😀😃😅🤣😂
😁😁😁😁
🤣🤣🤣mang'ombe
Namiwani yake kama kobe🤣🤣
@shazirynambombe7735
Жыл бұрын
Umenichekesha sanaaaaa
@khadijahali4837
Жыл бұрын
😁😁
@abilahnamnungu1819
Жыл бұрын
Hapatii hakuna lafuzi ya kimakonde km hiyo, akajifunzi kwa Gabo
@agnesjohn9382
Жыл бұрын
@@abilahnamnungu1819 hamkosagi vya kukosoa wivu tu
@tatotato506
Жыл бұрын
@@abilahnamnungu1819 punguza makasiliko tafutapesa