MKE WA MAU MPEMBA , ANATAFUTA MTOTO KWA MGANGA
Комедия
#MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios
MKE WA MAU MPEMBA , ANATAFUTA MTOTO KWA MGANGA
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
KUTANGAZA NASI TUPIGIE: 255774001600
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
Пікірлер: 58
Mau uko vizuri sana yaan unajuwa kuekti sana na haswaa ulpo ekti kama mganga yaan unawapatiya sana...sana tena sana..Shirki haikubaliki na ni haramu..
Jamn mpo vzriiiiiiiii
Mumewanguu aaa mau kumbe ndie muhusika ww basi piga kabari utapata shukran ujumbe umefika
from canada broo respect you
Mh mau hayo macho sasa 😁😁😁
Nakubal directer ndyo mtengenezaji Kaza kamba
mau good work broo
E bana eeh tushasabuskraibu Na kulike Sanaaaaaaa Sasa tunataka Mau mpemba vs mau fundi mtuletee movie moja kali sanaaaaaaaaaaaa
Mau Mpemba fundi wamafundi
eee uyooo kannona nona 😁
😂😂❤😂😂
Mashallah mnajitahidi
Hatari sana
Kipanga hapa from dar es salam 👍
Sasa hiyo ndio dua weye waleta walonona kwa Mau😂😂😂
From India good you
jitahidin tupate japo viwili kwa siku😢
Uko vizuri zaidi ya sana
✌✌salute , from bagamoyo
Mau, unaticha sanaaa
Umshirikishe Mungu
@adilhabibu7958
3 жыл бұрын
Mi wanipa gidigiiii
Asante mau
Waganga mungu anawaona
Fadhla love u
Sasa mmechomoa uvi kwa mau. Kila siku anaangusha mpya. hahahahaha. Na hao watoto wazuri wawatoa wapi? Pemba au?
@sameramwajdu9029
4 жыл бұрын
Pemba uko vichinchiri vimegaa
@fatmaaly3056
4 жыл бұрын
Ndo kwenye watoto wazur
@abuuashyam8417
4 жыл бұрын
ndo kwenyewe au
@ahmedalkiyum7592
4 жыл бұрын
Kwani unafikiria pemba hakuna watoto wazuri. Ni watu waliyokuwa hawapendi kuonekana ktk michezo tu hawashiriki
Hhh kumbe mau n yy ksharo kbovu
Mau kz mzur
Weee mau huna mdude mbovu hhhh
Haaaaaaaaaa kwetu raha
Ukiambiwa ujuha waona sifa,(Nani haelewi maana ya neno juha)
Duh
Mbavu zangu mau utatuuwa
Mau mbona akutajia mke uyo
Jhhhhhb mau
😂🤣🤣😂❤👍🏻
😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁
EBU KWANZA jamayangu chekaaaaaaaa
Hapo mm nimeshangaa kumuona huyo ameingia ktk
😅😅😅
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha.
Hahaaa
hahahahahahahahaha
Hhhhhhhhh hhhhh mau nakukubal
Hahaha
haaaaah hahahahahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lol
Mu huyo mwanamke ndo mkewako nn? Hahaha
Kkkk
Duh