Minister Godwin Mlambo & Essence of Worship - Duniani Na Mbinguni
Duniani Na Mbinguni
Minister Godwin Mlambo
Credits
Mixing and Mastering @SamuelMboya
Video Director and Editor @amigojohnson6201 Amijoji Company LTD
Venue @Thesuperdometz
Special Thanks To My Family ESSENCE OF WORSHIP God Bless You Family.
#LiveRecording #DunianiNaMbinguni #EssenceOfWorship
Пікірлер: 65
Wow....nimefurahi sana kukuona unafanya vzuri kuna wimbo uliimba kwaya ya Msasani Lutheran kila nikisikia huo wimbo nafarijiki now huu...Mungu aendelee kukubariki
So blessed with ur singing 🎉God keep you for his glory 🙌👏
Godwin Mlambo,Mungu Azidi Kukupandisha Napenda Kazi yako.Asante Kwa kunibariki Kwa nyimbo zako.
Wimbo mzur sana, asilimia 100% unampa Mungu utukufu , hongera sana kijana wangu Godwin
Umeinuliwa BWANA hakika.. Mimi mgogo nasema Umeinuliwa BWANA🎉🎉.. Bro Mlambo MUNGU azidishe nguvu na mafuta ya utumishi ndani yako.. Kazi njema hiyo... Ukasitawi❤
Kaka Drummer..... Unanibariki Sana kaka.... "Mungu akutunze"
huyu jamaa nampendaga sana
Be blessed brother Kwa wimbo na ujumbe mzuri wa kumtukuza BWANA
❤❤
Hongera kwa Huduma na mungu akupeleke kwa viwango vingine ktk kumtimikia
daaaa!!! nabarikiwa sana nimekumbuka mlivyo kuja Dom tulienjoy sanaaaa!! kaka mungu azidi kukutumia sana
Sasa c wakati wa kupoa kaka moto umeuanza mbele kwa mbele lete vitu
Sifa kwa Bwana yesu kristo aliye hai.
Hallelujah! Umeinuliwa BWANA. Ubarikiwe sana Minister Godwin Mlambo
Glory to God!!! 🎶🎶🎺🎹 hey!! wonderfully blessed... powerfully!!🙌 @EssencesOfWorship & @ForestYaKwanza😘
Haleluyaah ♥️♥️🙌
This guy has energy, more grace Minister Godwin
Ubarikiwe kwa kazi nzuri kaka Godwin, proud of you br. familia💯
Moja kwa moja Utukufu kwa Muumba wetu🙌🙌🙌
Huu moto ni mkali sana mzee wangu,keep up the good work
Mungu wangu akuinue zaidi na zaidi. Haleluya.
Hii nyimbo hii nyimbooooo🙌🙌
Kinachofurahisha nimepata second role model in Tz na mwl wa online bila kulipia tuition
Born 2 sing indeed ... much love ñ blessings and support MOG ❤❤❤❤❤😅😅😊😊😊😊😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera Mungu akuinuwa akupandishe viwango vingine
Amen broo I really appreciate you a Blessed man of God
we jamaa ni hazina kubwa
Wow, beautiful song. God bless you
Umeinuliwa Bwana 🎷🎷🎷
MOG nakubali sana kazi yakooo
You man nakukubaliii unajuaa❤
Ubarikiwe sana kaka,hakika Bwana niwa kuinuliwa daima
utukufu kwa Mungu
Aiii🔥🔥🔥🔥🔥
Nilikua naisubir sanaaaaaa💃💃💃
Man of God hongera sana this is amazing
My brother Mungu nazidi kukuinua sana
Very powerful Brother! Hallelujah!!!! 🎉🎉
Broo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana😁🔥🔥🔥
Acheni mapambo
My song is here 🔥 🔥 🔥
🔥🔥🔥🙏💯
Barikiwa sana
Amen
Aloo😊🔥🔥🔥🔥
Mungu akuinuwe
Wimbo mtamu
Wow this guy is annoited
🔥🔥🔥🔥🔥💯
Wow🔥🔥
Brother be blessed more
Powerful ministration here
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kaka unajua
Fireee kaka🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🎉
God bless you bro
Powerful
Bg song
Mshua mbona kama unataka tuache kutunga na kuimba sasa😂😂😂😂😂,. Mzee heshima kwako😂😂😂😂😂😂😂
😂😂Nimejengwa mno Kwa wimbo huu
Haka ka step😋
Umeinuliwa BWANA💪
🎉umeinuliwa