Mimi Mpotevu | Kanyakla Int'l

Музыка

Mimi Mpotevu | Kanyakla Int'l
Swahil lyrics:
Mimi mpotevu lakini nimesamehewa na Mungu
Nilipomwamini Mwokozi Aliye nifilia(mwokozi)
(Chorus) Jina lime andikwa mbinguni, ni langu, kweli langu. Na malaika huimba hivi mwovu amerudi
Na jina lime andikwa mbinguni ni langu kweli langu nimeokolewa na uzima nimepewa milele.
2. Niliiogopa hukumu na ghadhabu kali ya Mungu
Bali Yesu alizifuta zote kwa kifo chake
3.katika neema naimba kwa sababu nimeokoka.
Damuni mwa Yesu milele ni mzima rohoni(rohoni)
➤ SUBSCRIBE / 2cbntvchannel
➤ FACEBOOK / 2cbn-tv-110365990677456
➤ TWITTER / 2cbninfo
➤ Email: 2cbninfo@gmail.com

Пікірлер: 4

  • @faybarker3811
    @faybarker3811Ай бұрын

    Really lovely. Happy. Thank you. We keep singing.

  • @user-fi4fd8lf1m
    @user-fi4fd8lf1mАй бұрын

    Ame🙌🙌 thanks that's so sweet and very encouraging music God bless you guys 🙏🙏❤️❤️

  • @2CBNTV

    @2CBNTV

    Ай бұрын

    Amen. Thanks for watching and stay

  • @carlossalomaosequessequeseques
    @carlossalomaosequessequesequesАй бұрын

    💯💖🌹🌹💖Amém!👏👏👏👏👏👏👏👏

Келесі