Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki

Ғылым және технология

Пікірлер: 14

  • @justice607
    @justice607Ай бұрын

    Hongera sana engineer

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5fАй бұрын

    Tupe bei mapema tutor maamuzi

  • @eliasgulinja442
    @eliasgulinja4423 ай бұрын

    Hii ndiyo Elimu tunayohitaji

  • @aarona.midende1789
    @aarona.midende17894 ай бұрын

    Naomba namba ya simu ya huyo mbunifu nahitaji hiyo trekta,

  • @aarona.midende1789
    @aarona.midende1789Ай бұрын

    Mawasiliano please

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5fАй бұрын

    Tunaomba kujua bei mbona mnafanya kificho?

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5fАй бұрын

    Linauzwa shilingi ngapi? tupe bei tunataka kununua sio kilasiku maneno hatutaki

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5fАй бұрын

    Costake tupe bei maana muda unaenda yanapatikana wapi?

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah47864 ай бұрын

    Kinachoniuma mtamuacha hivyo hivyo bila kumuendelezo wa kuzalisha hizo trekta kwa wingi. Wataalamu mnao lakini hawaoneshi ubunifu wao wenyewe kazi zao ni kudandia kazi zilizobuniwa na watu wengine

  • @MartinLaban
    @MartinLaban3 ай бұрын

    Ataambiwa na serkali auze bei sawa na ya wazungu 🤣 😂😂😂

  • @user-ew4pb9lx8i
    @user-ew4pb9lx8i4 ай бұрын

    Nimependa ubunifu wako. Fungua kiwanda ziindie nyingi mashambani

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz4 ай бұрын

    Bei hakuna

  • @user-uv5jf6he8r
    @user-uv5jf6he8r3 ай бұрын

    Uko wapi mzee?

  • @justice607

    @justice607

    Ай бұрын

    Makumira, Arusha

Келесі