Marufuku ku divorce, pambana mpaka kieleweke Christina Shusho

#ChristinaShusho #Gospel
(C) Relax Investment
Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/christinashusho
Written & Performed by Christina Shusho
For Bookings: cshusho@gmail.com
Follow Christina Shusho on:
/ christinashusho​
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 787

  • @rahabnjeri510
    @rahabnjeri510Ай бұрын

    Please shusho ulianza kwa Roho kwa nini unamaliza na mwiili😢😢😢

  • @hoseapatrick2435
    @hoseapatrick243514 күн бұрын

    Huyu hapa ndo Christina wa zama. Siku hizi tumeshakuwa na Christina wa kizazi kipya. Yaani wa kisasa

  • @meshackashema5810
    @meshackashema58103 жыл бұрын

    Asante sana, I watched this after we had separated and tried na kwa kweli iliwork, now we are a happy family

  • @tagcdcchurch6031
    @tagcdcchurch60312 ай бұрын

    Mungu akusaidie Christina umenena kweli kabisa ombi langu kwako rejea ujumbe huu urudi kwa mumeo njia uliyoichagua itakupoteza. Mungu akusaidie.

  • @mercywambui3400
    @mercywambui34003 жыл бұрын

    Watch out ! Domestic violence kills. Do not die there. You are special in the eyes of God. You are useful to your family and the society when you are alive and well. Open your eyes . God does not torment.

  • @morrisambenge5223
    @morrisambenge52233 жыл бұрын

    Wow !! Wow !! Wow!! So touching. You made me restore my hopes in you again since i heard rumors that you had stepped out of your marriage! Now am happy to hear such message, God is great and He is there to fight for our marriages. Keep on teaching and let God intervine in our Christians marriage. Tunapigwa vita sana jinsi ndoa zetu sisi kama wakristo haziendi mahali.

  • @angelgomez278
    @angelgomez2783 жыл бұрын

    I' see! ni kweli wa mama tunapitia mengi sana msituone tu tupo kwenye ndoa pigia salute hiyo,,,,,,

  • @esterlissu5533
    @esterlissu55333 жыл бұрын

    Asante nimefurahi sana, kujua bado uko na ndoa yako. Songa mbele dada, Mungu akubariki. Naona unachofanya kwenye ufalme wa Mungu ndicho nilicho nacho, nimekuwa nikishauri wengi na nimeona Mungu akitenda mengi, hususani kwenye ndoa nimeshauri wengi nimeona ndoa zikikaa sawa.

  • @AkikuNorland
    @AkikuNorland28 күн бұрын

    😭😭😭🙏👍 hongera shoshu pya wewe nijasiri....sanaaa pya weweee nishujaaa sanaaa naumiyaaa Sana wanawakeee wengii wanauminzwaa nawanaume lkn kwasababu hawanapakusemeya wanavumiliya...wengine waumezao niwatuu maarufu lkn wanaugopa kujitokeza family itawaonaje...!ila Mimi nimekuelewa Sanaa wanawake tupambane ilituweze kujinasuwa kwenye mfumo wakudharauliwa nawanaumeee, Kuna muda unatakiwa mwanamke ujitambuwe wewe ninani,hata Kama umeolewa,, ndoto zako mwanaume asiwezekuzi uwaaa,kwasababutuu yeye nimwanaume,

  • @vivianawuor7261
    @vivianawuor72613 жыл бұрын

    I don't know how I got here, maybe God made me to. I'm blessed. Thought the life I'm going through nobody else is experiencing. I'll do the same, Shukran sana mummy. Thought I was alone 😢😢

  • @bellahochieng9039

    @bellahochieng9039

    3 жыл бұрын

    Me too it's so hard

  • @vivianawuor7261

    @vivianawuor7261

    3 жыл бұрын

    @@bellahochieng9039 nothing to worry now, If she made it to that extent,we will too

  • @vivianawuor7261

    @vivianawuor7261

    3 жыл бұрын

    @@Godbestk choose to live, to smile and to speak with God. You'll be vindicated. When it feels like everybody else is not on your side, God is. Don't always feel alone, I care about you and God loves you more sweetheart 😘.

  • @eunicenduku8244

    @eunicenduku8244

    2 жыл бұрын

    God bless u much dear,umenipa nguvu na matumaini makubwa kwa ndoa yangu.

  • @salomemueni100
    @salomemueni1003 жыл бұрын

    Leo dada shusho umeofungulia wengi mbingu..uliposema unaondoka kwa ndoa nilisema hata wokovu nikujinya...leo umeinua imani yangu tena..wimbo wako songa mbele umepata faida kwangu tena.. AMEN

  • @IVANtv.
    @IVANtv.3 жыл бұрын

    Christina shusho you have always been a blessing to me for a long time since umeimba nyimbo yako ya unikumbuke hapo nipo darasa la nane kuelekea kumaliza kufanya mtihani wangu nilikua naskiza sana nyimbo hiyo 20times a day ilikua yanijenga sana nililia sana nilililia nafsi yangu niliona life in a different angle from how i used to live God bless you sana 🙏from +254 mombasa

  • @Yosiofficiel

    @Yosiofficiel

    3 жыл бұрын

    Be even blessed with this song Realized by a young Congolese in Kenya, My the Lord bless you kzread.info/dash/bejne/aZN9lLqge87Pc5c.html

  • @georgekemboi8419
    @georgekemboi84193 жыл бұрын

    I am also fighting for my marriage but I also knew that satan had visited to destroy yours too,but thank God for adhering to the Holy Spirit. Bless you sister for knocking the devil 10 nil in the name of Jesus.

  • @themarriagecornershow4417

    @themarriagecornershow4417

    3 жыл бұрын

    Mungu akuzudishie neema

  • @harlodsichone6815

    @harlodsichone6815

    2 жыл бұрын

    Madam your right

  • @mutabebwa-bm6pm

    @mutabebwa-bm6pm

    Ай бұрын

    Uliapa kuishi na Mme wako maisha yako yote kwa xhida na raha xaxa vipi?

  • @yukundamushi7048
    @yukundamushi70483 жыл бұрын

    Hongera sana Dada Christina kwa mafundisho mazuri sana,Nmeipata kitu kipya MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @anetsalama6890
    @anetsalama68903 жыл бұрын

    From Kenya, hii video imeniponya and I believe one day I will be person to testify. Thanks mama shusho. God bless you.

  • @dolphinefavour9913
    @dolphinefavour99133 жыл бұрын

    I wish my husband can listen to this,thank u christina

  • @edibleliciouseats9652
    @edibleliciouseats96523 жыл бұрын

    Do not compare your pain with anyone's pain. Some can stay and fix things out, others should separate while others should part ways. Thats the best therapeutic approach and no one should be blamed for the decision they make. Unfortunately most people give advice from their own experiences and not the reality. There are peopl married by extremely aggressive people. Are they supposed to stay and die in marriage?

  • @joshuawenceslaus2466

    @joshuawenceslaus2466

    2 жыл бұрын

    No you don't understand they dynamics of the spirit, shusho is talking in spiritual point of view...

  • @alphoncembasa592

    @alphoncembasa592

    Жыл бұрын

    Good idea my friend.

  • @alphoncembasa592

    @alphoncembasa592

    Жыл бұрын

    @@joshuawenceslaus2466 there is no PHD in marriage . Leave marriage a lone

  • @nyaxx38
    @nyaxx383 жыл бұрын

    Mungu awe nawe

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma9052 ай бұрын

    Mungu fundi nyie. Ona alivyoumbuka.

  • @oscarobed7900
    @oscarobed79003 жыл бұрын

    Ongeza sauti huku nyuma hausikiki vizuri...... Ongeza sauti Christina...! Dah nimekupenda kwa Pendo la Kristo.... This is Healing Voice!0

  • @Jkl20120

    @Jkl20120

    3 жыл бұрын

    Nilivyokuwa nimesikia..moyo wangu ulikuwa umekataa kusikia gospel yako ..but kama uko kwa ndoo yako ya kwanza..naomba msamaha kwa vile nilikuwa nimefikiria

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman93343 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa luv...ukimtanguliza Allah katika maisha yako mambo yote yataenda sawa...weka imani kwa Allah

  • @adelinematabaro3943
    @adelinematabaro3943 Жыл бұрын

    unayokili kama nikweli asante kamasiyo kweli ole.....

  • @suzieomega6356
    @suzieomega63563 жыл бұрын

    Asante sana dada shusho kwa SMS mzuri may God bless you

  • @benjaminmushamuka916
    @benjaminmushamuka9162 ай бұрын

    Ninajuwa huyu mjakazi kuwa na huduma ya nyimbo! Si kubali Huduma ya MWALIMU kama vile anataka kufanyika leo. Bwana wa majeshi atusaidie na kukupa Zamiri safi, na akupe kusimama tena . Pole sana, ila Umeshindwa

  • @ambasubukachi284
    @ambasubukachi2843 жыл бұрын

    Asante Sana Christina Shusho Kwa maneno haya mazito yenye ukweli mtupu.Mungu skuinue zaidi.Wengi wamepoteza hapa, na huduma hii yako ita waelekeza na kuwaifathi hao wathiriwa.

  • @cmsa1r
    @cmsa1r3 жыл бұрын

    God allowed you to go through pain so you could come back and lift up those who facing adversity in the marital homes.... no where in the Bible it says life should be easy for believers

  • @kamaujohn9785
    @kamaujohn9785 Жыл бұрын

    Unatia moyo sana.Thank you for encouraging more people. Ndoa nyingi zinaanguka haswaa za wasanii wa injili na limekua jambo lakuvunja moyo sana. Nawaombea neema.Finally submission was a command from God and the Husband to reciprocate with love. Changamoto lazima

  • @e.jack.47
    @e.jack.478 ай бұрын

    Asante sana Dada Shusho My 10 yrs in marriage and 15yrs in business I have learnt that challenges are there to be conquered. First love /marriage the are the best and should be quarded at all cost. Thanks again for your wisdom

  • @annlindaokoth3747
    @annlindaokoth37473 жыл бұрын

    Shusho your my role model kwa vile vile nyimbo zako zanitia roho sana uzidi kubarikiwa maongezi mazuri asante

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj Жыл бұрын

    Nani anaweza kuamini maneno yako?mungu akutunze Tu.kila mtu anajijua yeye mwenyewe. Amen

  • @nephatoliech5601
    @nephatoliech56013 жыл бұрын

    WOW! SO true. Your songs are just like your words, both beautiful.

  • @zachcafe9330
    @zachcafe93303 жыл бұрын

    Asante umesema nami leo Mungu akuzidishie, hujapoteza muda bure. be blessed dada

  • @jacksonngilu6097
    @jacksonngilu6097 Жыл бұрын

    MWANANGU mpendwa CHRISTINA, Mungu AKUBALIKI akutunze JACKSON NGILU NYANDA

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew582 жыл бұрын

    Christina wewe ni chenga sana, tena hakuna mwanamke mpuuzi kama wewe , ila nakupenda sana Dada shusho, be blessed

  • @fancytulula9537
    @fancytulula95373 жыл бұрын

    Congratulations! It's good to encourage people my Sister! Am happy to learn that you've decided to stay with your Husband, to stick by your marriage, am happy for you. No marriage is perfect, it's work in progress.... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @madelinendolo2367

    @madelinendolo2367

    2 жыл бұрын

    Good advice my sister.

  • @alphoncembasa592

    @alphoncembasa592

    Жыл бұрын

    Marriage is perfect always , but people not perfect.

  • @bernardwekesa
    @bernardwekesa2 жыл бұрын

    Am happy to hear from Rev shusho herself concerning her marriage.She is not separated nor divorced.Amen

  • @pastordorcaswanjiru4463
    @pastordorcaswanjiru44633 жыл бұрын

    Christina Shusho..I Salute you Woman of substance..I love your speech..watu hawajui umevumilia magapi..is your secret ..am proud of you..strong woman and may God elevate higher you darling..kingdom diva..

  • @salomemueni100
    @salomemueni1003 жыл бұрын

    Kweli kabisaaaaaa,chukua kidogo shugulikia kusimamia ndoa na jamii yako,.mengine yoooote muachie..👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 AMEN AMEN AMEN...kwetu Nairobi Kenya...❤

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood29743 жыл бұрын

    Asante mtumishi wa Mungu umenitia moyo m ninayetaka kutaka kukata tamaa ya ndoa

  • @teonasjorgelimbwata9207
    @teonasjorgelimbwata9207Ай бұрын

    Wewe Mungu Siyo Shemeji yako Lundie Mungu wako

  • @lydiawasai9439
    @lydiawasai9439Ай бұрын

    Iyo sio shida yangu shida yangu ni unatumia nini uso u r spotless n still veey young.❤

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 Жыл бұрын

    Christina is this message of 2022,if is this message is new is ok,do and promise to what you talk, don't divorce as you are saying, be there l love your advice sana...l IN USA

  • @amisarurangira5268
    @amisarurangira52683 жыл бұрын

    Mungu akubariki dada kwa huduma amekupa umenitia nguvu mimi ubarkiwe sasn

  • @suegathogo2306
    @suegathogo23063 жыл бұрын

    This is worth keeping and writing in the heart. So impressive. From +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Twakupenda mum

  • @maureenawuor1542

    @maureenawuor1542

    2 жыл бұрын

    I concur with you my dear

  • @mikkello3590
    @mikkello3590 Жыл бұрын

    Huzeeki Mama Dah. Unakuwa mchanga Kila siku, Unapendeza Mtumishi. 💖 Mola akujalie Neema zaidi

  • @joannesmalipo3008
    @joannesmalipo3008Ай бұрын

    Sio wito wa Mungu wewe ni malaya tu ni Shetani !

  • @cholaskitchen5692
    @cholaskitchen56923 жыл бұрын

    Thank you Christina God bless you it is a powerful message

  • @user-fj7zu8wk1f
    @user-fj7zu8wk1f5 ай бұрын

    Mungu asifiwe dada kwakuamuwa kurudiana na baba mwenye nyumba.

  • @mhandosuzy6790
    @mhandosuzy67903 жыл бұрын

    Ameni asantee Yesu Yesu kwaajili ya chiritina shusho

  • @joananota8383
    @joananota83832 жыл бұрын

    Hi Christina... I love your songs.... May the Lord always guide you in everything.

  • @harrietnatabona9954
    @harrietnatabona99543 жыл бұрын

    God bless you madam Christina..glory to God!

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 Жыл бұрын

    Let me return back, christina,usirundu,nyuma, be with your family forever as you said here.,you are the best kanga mulima,teach all wamama,wakristo in Tanzania wapende,waume,wao as Christians, may God bless you all ,watu wamungu,wasiachane, you are the best 👌..l love your speech..God is with you,you know God the really God,and marriage too,thanks ...l IN USA 🇺🇸

  • @monicaregina7792
    @monicaregina77923 жыл бұрын

    Basi Sasa wewe ndiye Christina nanayekuona. Najifunza Sana Sana.

  • @talikisiomlegehe7733
    @talikisiomlegehe77333 жыл бұрын

    Asante sana ,mungu ni mwema

  • @joshuamatagane1318
    @joshuamatagane13183 жыл бұрын

    You have said it all. Remain ever blessed woman of God 🤝

  • @siliviamaloba6302
    @siliviamaloba6302 Жыл бұрын

    Oooooh my goodness I guess you are a GOD send to me mom...may GOD change my history through you to be a living testimony 😭I just need the GOd's hand to direct me🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Musangij
    @Musangij3 жыл бұрын

    Hakika ata mimi nitaishi,in Jesus mighty name.amen amen

  • @virginiamunka139
    @virginiamunka1393 жыл бұрын

    Beautiful sweet gal. Sure nothing is good and sweet like marriage built in faithfulness

  • @mablesavinimulanda6641
    @mablesavinimulanda66413 жыл бұрын

    Amen am blessed this is my message

  • @rispathequeen
    @rispathequeen3 жыл бұрын

    Asante dada christine

  • @jacquelinekayombo7992
    @jacquelinekayombo79923 жыл бұрын

    When the professionalism, meet the professional 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 💪 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤🌹💯

  • @asantekwahuuwimbozubeda873

    @asantekwahuuwimbozubeda873

    3 жыл бұрын

    Asante kwa ushauri wako dada

  • @monicariziki9940
    @monicariziki99403 жыл бұрын

    Situations hazifanani some relationships are very toxic usingoje kifo dada Kama nikugumu tafadhali ondoka....you never know

  • @selgiusphillip8844

    @selgiusphillip8844

    3 жыл бұрын

    Omba Mungu ana majibu

  • @Suzy-Nzi
    @Suzy-Nzi3 жыл бұрын

    This is wisdom. God bless you

  • @NyansikeraDavid
    @NyansikeraDavid3 жыл бұрын

    Very powerful and true Christina God bless you 🙏

  • @oliviarusizoka3496
    @oliviarusizoka34963 жыл бұрын

    Nimekupenda kwa hili.. nilikucritisize sana wakati fulani lakini ilikuwa kwa upendo mkubwa niliokuwa nao kwako nikafikiria huyu anakwenda wapi sasa.. Kwa hili Big up umeni inspire Yote ya kale yamekwisha. UBARIKIWE

  • @foibehuruma461
    @foibehuruma4613 жыл бұрын

    Thank you sister, my God bless you 😘

  • @raymondndeanka2608
    @raymondndeanka26083 жыл бұрын

    God in first place, then LIVE your LIFE

  • @Gracejuliana1
    @Gracejuliana13 жыл бұрын

    Bless you my sister

  • @glorydavid80
    @glorydavid803 жыл бұрын

    Ameeeeeeen dada Shusho

  • @robertempire9542
    @robertempire9542Ай бұрын

    Eeeh Mungu wangu uliyetuumba na Kutupatia uhai wako Bure naomba utusamehe.... Please my sister rudi magotini pa Bwana utubu na kumuuliza why?? Haya yanatokea kwako Mana naimana uliruhusu moyo wako ulimzimisha Roho Mtakatifu, mrejee Tena na atakuonyesha please nakupenda sana my sister😢 mrudie Mungu bado una nafasi ya PILI...God love you (Wagalatia 5:21-23)

  • @lucymboya3352
    @lucymboya33523 жыл бұрын

    Ameeen barikiwa mno my dada❤️❤️❤️

  • @rehemakaberege8119
    @rehemakaberege81193 жыл бұрын

    Nakupenda dada upo vizuri nakufwatilia sana

  • @Anneyy25
    @Anneyy253 жыл бұрын

    This lady is blessed,favoured and beautiful..barikiwa Ma.

  • @rahimmambea830
    @rahimmambea8303 жыл бұрын

    Thank you so much.. it's what it's...

  • @MrMbarikiwa
    @MrMbarikiwa3 жыл бұрын

    Mungu akubariki Dada shusho. Divorce is a curse! Mungu anachukia divorce. Kwa kweli umenifurahisha kwa kuwaimiza hasa akina Dada watulie katika ndoa. Mungu ibariki ndoa, amina!

  • @nwatechsolution
    @nwatechsolution3 жыл бұрын

    My lovely artist

  • @brotherFelix
    @brotherFelix3 жыл бұрын

    Humble yourself woman. God is in humility and submission!!

  • @patrickmutisya6735
    @patrickmutisya67353 жыл бұрын

    So encouraging mum. Thank you.

  • @josephkato5367
    @josephkato53673 жыл бұрын

    Asante kwa maoni haya kbs Dunia inahitaji watukahawa wakutowamaoni ubalikiwe

  • @IloveJesus-nd7sw
    @IloveJesus-nd7sw7 ай бұрын

    Glory to God. Thanks for the word of wisdom. Dada wewe ni baraka kwa wengi. Mungu azidi kutunza na kukupanua kila sehemu maishani mwako. ❤

  • @agnessmsogoya5320
    @agnessmsogoya53203 жыл бұрын

    Waoooooooo ubalikiwe mama umenitia nguvu nimeipenda hi Sana Hadi ninaamani

  • @juliahnyawira5530
    @juliahnyawira55303 жыл бұрын

    Love you mama no exit because of petty issues we are in this to win.

  • @benmuasya3095
    @benmuasya30953 жыл бұрын

    Am blessed by this video blessings woman of God

  • @juliusrandich9726
    @juliusrandich97263 жыл бұрын

    Watching from Australia. Mawazo mazuri haya. Asante Christina...nakutakia yote mema!

  • @joycegesare1571
    @joycegesare15713 жыл бұрын

    Thanks for ur good encouragement be blessed, ukweli utaendelea kua ukweli mtti unao rushwa mawe uko na matunda pia nothing good comes without strugling be patient and axcept the stuation ur

  • @meoshimollel3983
    @meoshimollel39833 жыл бұрын

    Ahsante sana Tina kwa mafundisho be blessed

  • @Ndiranguhk
    @Ndiranguhk3 жыл бұрын

    Christina are you saying you're still with your husband? If you're then I salute you. Was very disappointed when you said you are following your own call, thought you separated. If you're still together, then I will restore my admiration for you🤩!!!

  • @christinewomanoffaith5479

    @christinewomanoffaith5479

    3 жыл бұрын

    Mmh! Mungu atusaidie tu! Nyuma ya pazia huko ,wanajua wenyewe ukweli!

  • @waswasimiyu4579
    @waswasimiyu45793 жыл бұрын

    Si kila ndoa imefunganishwa na Mungu. Kama sio Mungu utaondoka tu

  • @beatricemkabili6521
    @beatricemkabili65213 жыл бұрын

    Be blessed,wonderful message!

  • @victoriamgonja8063
    @victoriamgonja8063 Жыл бұрын

    Asante kwa neno zuri la kutia moyo mtumishi.,Bàrikiwa

  • @MiMi-nh1gf
    @MiMi-nh1gf3 жыл бұрын

    Good news shusho my lovely. Stay blessed continuersly

  • @imaniswillah3637
    @imaniswillah36372 жыл бұрын

    Mungu azidi kukubariki mtumishi wake

  • @ama90
    @ama903 жыл бұрын

    Amen!Ujumbe mzuri,mungu akuzidishie

  • @bintounathalie3659
    @bintounathalie36593 жыл бұрын

    You speak very truth, I love you

  • @jennifermuthonimwaniki4722
    @jennifermuthonimwaniki47223 жыл бұрын

    Great wisdom, your God product,it happen for God purpose.

  • @peterwaqatardoha8776
    @peterwaqatardoha87763 жыл бұрын

    Am from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪currently living in qatar doha umenisaidia sana always love your songs shalom shalom 🙋‍♂️ dear sister ✌️

  • @WANAMBUKO
    @WANAMBUKO3 жыл бұрын

    Wow inlove this one

  • @jeanneigiraneza8367
    @jeanneigiraneza83673 жыл бұрын

    Ameeennn. Love this ❤️❤️❤️

  • @esthernzuki1207
    @esthernzuki12073 жыл бұрын

    Asante mungu akubariku kwa kuninenea.

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba15703 жыл бұрын

    Asante kwa ushauri wako dada,nakupenda frm kenya