MANDOJO NA DOMOKAYA :MAJANI ANA BUNDUKI / TRIP YA KWANZA ULAYA/USHAMBA WA BURGER/U STAR HATUKUJUA
Mandojo na domokaya ni miongoni mwa makundi bora ya muda wote ya Bongofleva,Wamerudi kwenye The classic for part 2 ambapo wanaendelea kutupa stories ambazo hawajawahi kuzisimulia popote,Enjoy
Пікірлер: 18
Hip hop banjo, yani hawa jamaa mda wote wapo tayari tayari kuimba ni wewe tu useme unataka waimbe nini🙌🔥🔥🔥
@jabirkuvichaka5391
Жыл бұрын
Noma sana
@am_theChange
Жыл бұрын
ᵁᵐᵉᵒⁿᵃ
@keydeemasinga6986
Жыл бұрын
Mcheki na mb doggy kaka,kiukwel napenda mnooo hki kipindi.
Asante sana kwa hii interview. Nakumbuka walivyokuja Birmingham pamoja na Mr NICE. love from Leicester U.K.
Jamaa wana Vibe sana asee
Kaka p funk jaman anakuja lini maana heshima yake ni kubwa sna
People should inject money kwa hawa jamaa... They are just that good man
Hawa ni Wasanii wanaojua sanaa na kujiweka kwenye uniqueness ...We need to support them much...
Asante sana braza kuvichaka, Acha sasa tufurahie channel yetu namba moja
Hip pap banjo ni noma
Mpo vizuri
Mandojo na Domokaya 🎉🎉🎉
Wazee wa mabanjo
nawapenda saana wanangu
Domo Ndojo
Daad jamaa wanajua sana,alafu hawatengan saf sana