Mali ya thamani isiyojulikana imeketea moto katika bweni la shule ya Pentagon migori

Mali ya thamani isiyojulikana imeketea katika shule ya Msingi ya pentagon usiku wa kuamkia Leo baada ya bweni kushika moto.
Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu, Philemon Odiwuor Ojuka, alieleza kuwa japo chanzo cha moto huo hakijulikani, inaaminika kuwa ulisababishwa na hitilafu za umeme ambao umekuwa ukipotea mara Kwa mara. Mwalimu huyo alieleza kuwa hakuna mwanafunzi yeyote aliyejeruhiwa katika tukio Hilo. Kwa Sasa shule hiyo imefungwa Kwa muda usiojulikana.

Пікірлер: 4

  • @mercynyaga2053
    @mercynyaga2053Ай бұрын

    At leaat the atudents ard safe

  • @bbd359
    @bbd359Ай бұрын

    Ohh No Pentagon Academy, my former school 😮.

  • @HololPc-dn6eu
    @HololPc-dn6euАй бұрын

    Asante mungu watoto wako safe🙏

  • @mamakekhubeiby4206

    @mamakekhubeiby4206

    Ай бұрын

    Alhamdulilah

Келесі