🔴
Ойын-сауық
🔴#LIVE: ZUCHU NDANI YA MASHAMSHAM/PENZINI NA DIAMOND (02 FEB 2022)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Пікірлер: 405
Km unampend zuchu km nvyompend mim dondosha like yko hapa
Hii Nipepee alivyoiimba Zuchu ni zaidi hata ya mwenye nayo! Such a lovely girl!❤️❤️
@deejayrockie4510
2 жыл бұрын
Coz ni nyimbo ya kaka yake
Interview yakueleweka hii nmeipenda. Congratulations zuchu
Hongeraa zuchu umeimba vizur nyimbo ya Kaka yako jaman Mungu amrehem uko aliko
ZUCHU NI MREMBO SANA, SANA MREMBO NA HOT KAMA MOTO..... Diamond platnumz ubarikiwe na Zuchu, umebarikiwa.
I just love Zuchu.....shabiki kutoka Kenya💯❤💛💚
@leonidamachuru5960
Жыл бұрын
I love you ZUCHU.
Aallah awasimamiye mtoto wetu uolewe much love from kenya
Am a big fan from Oman for Diamond just to say this Am happy to see this guy goin to marry a beautiful Tanzania women is good to have our cultures always Zuch is right choice....to my best singer star....of East Africa
@nashvillenash3527
2 жыл бұрын
Thanks for loving Africa dear ❤️❤️
Zuchu mjanja mno amemtumia diamond message akamwambia nikikupigia cm usipokee nipo na kina juma lokole wameniambia nikupigie cm, wanamashamsham bana kwa umbea hawajambo 😀😀 wanamuweka mtu kati mpaka anajikuta ameingia mkenge, mara ya kwanza zuchu alikomaa cm amepigiwa na mama yake 😀😀 wamemtega mara ya pili amejisahau amejikuta akisema ni kweli diamond ndio alipiga anataka ahakikishe kuwa alifika salama kwenye interview 😀😀💪, juma lokole, dida na idris kitaa ni wambea kisha wambea tena khaaa!
Naona zuchu mshamsham mashaa allh iwe kher hata bwana simba ache kuchebuka umutulize. Nimekupeda bure zuchu bwana simba kakuchagua love so mach💞💞
Ushauri wangu kwa wale wanaosema zuchu sijui mbaya sijui sio mzuri munakosea sana…Mimi kama mwanamume naangalia tabia kwa mwanamke sio uzuri wake!!!Wanawake wengi wazuri ni vichechee hawana maana!!!Kama ni kweli all the best Simba na Zuchu!!👍🏻
@user-dn7gn6ib4k
2 жыл бұрын
Chicharito Ronaldo well done u said it that's true
@davidsika5292
2 жыл бұрын
Kwelii
@sultanaswaleh4708
2 жыл бұрын
Hao wazuri walikuwa ni makombo. Hapa diamond ame pata KITU KIBICHI NA CHAKIPEKEE...TENA MSTAARABU. LOVE YOU MY DAUGHTER..ILA NAOMBA MUNGU ! HIYO SIKU ITANGULIZWE NA (NIKHA ) NDOWA.KWANZA..NAWA TAKIYA KULA LA KHEIR ..AMEEEEEEN !!!!!!💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nasserbreik2894
2 жыл бұрын
Kwani uzuri ndio waeka mume?wangapi noorul aini hawana waume.....wajue tu roho iridhikapo ...hatua hufunguka
@yusternyirenda7231
6 ай бұрын
Hiyo ni kweli tena kwa asilimia 100, mbona dalili zote zinaonyesha diamond ndio mpenzi wake ingawa hataki kukubali
Yan huyu mwanamke ukimuon anaimba mwengin kbs anamiujiza acha bana....wish u all the best
Nimepigia jibu mstari jamani Dai anapendwa💚❤️🙌mistari tuu unadata daah♥️🙌📌📌📌📌nipin jamani Marshall ah
Sina ushabiki upande wowite, lkn Diamond atafanya mazuri sana kama atamuoa Zuchu, ana vitu vingi sana ambavyo wanashahabiana, na wakiwa pamoja its a very great future
Mashamsham yaleo nmeipenda htr 😂😂😂🤗😍mi nataman zuchu aolewe kwer
Napenda zuchu anavyocheka jmniiiiii kanacheka vizur sana
Nampenda zuchu sana🥰
Zari alimwacha Diamond siku ya Valentine, na akapata kipusa yaani true LOVE siku ya Valentine! Jamani Mungu si Athumani!!
Aliyemuona didah ana kijisauti cha umbea tujuane, Penda cn didah,😘😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😁
Nataman iwe kwel Mana naona wanaendana Kabisa 😍😍😍😍
Waoooo!!! Jmn mimi hiyo Dagaa kwangu ndo mmenimaliza
Nakupenda Sana didaa zuchu Leo amefunguka vzuri tumekuelewa chomboo cha simbaaa😘😘❤️❤️❤️❤️😍😍
I am really happy for you zuhura darling and i can't wait for 14/02/2022
Nimefurahi Sana Kwa zuchu na diamond naomba Mwenyenzi awajalie jmn.
Cydinho salio ngoma kali Sana ya mazaramo wa malui... Nmeinjoi sana hongera dj 👏👏👏🤣🤣🤣
Mashaallah unajua kusheza taarabu mtt wa kizanzibar hongera
Djuma wangu nakupend bure form Burundi 😘😘😘😘
Representing from kenya 🇰🇪
Oyaaah mondi anakanyaga huyu demu akiyamungu wallahih mtoto confidence anayo ya kutosha yaaanih
@yustayusuph9101
Жыл бұрын
Kabisa yani mtu hata kama hujui kusoma picha lazima ujue kuangalia, diamond anamlala kabisa zuchu sio utani ni kweli kabisa 💪
Da dida eti mond ana mapenzi ya pipi pipi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda sana
Hata mimi vilevile namuunga Juma Lokole mkono, Diamond amuoe huyu binti wa Zanzibar. Tumemkubali Zuhura.
@Fx_expertmoneymaker001
2 жыл бұрын
Hyo ndoa idumu tu maana...
@yustayusuph9101
Жыл бұрын
Sio wewe yan mimi napenda mno kuona diamond platnams anamuoa zuchu wanaendana mno kiukweli tena kwa kila kitu, kaz,i dini, umri na juhudi za kufanya kazi, diamond platnams ni mswahili na zuchu ni mswahili pia nyota zao ni kali mno , zuchu ni mwanamke wa kawaida sana sio beautiful kiivyo na mondi ni mwanaume wa kawaida sana sio handsome kiivyo 👌yan ukisikia utampata wa kufanana nae ndio hii sasa mondi na zuchu wanaendana mno 💪
Love you zuh❤️
The interview was so mature👌👌👌👌👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani nampenda zuchu,akiolewa na Chibu D ntakuwa na mahaba ndi ndi ndi na couple yao
Juma aongezewe mshahara jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani hii station ikuje Kenya I like it
@BombasticNewsChannel
2 жыл бұрын
Sana
@CharlesOyolla
2 жыл бұрын
Umeona ee
As long as Diamond is not going to hurt her ,juu all other women in his life they had it all just like ZUCHU..and it's a pitty if this happens dua Mungu awalete pamoja na wa dumu milele. ❤️
@wyclfmambo5753
2 жыл бұрын
I feel that way too.But they are both Muslims and they are aloud to marry more than one woman so I think diamond is not after uaminifu and he is so successful yani wacha tuone coz to me zuchu is soo enoccent bora huu jamaa asimcheze.🇰🇪
Congrats my favorite ❤️❤️❤️❤️
Tunamtaka Rayvanny kwenye Interview jamani
@priscillakageha1689
2 жыл бұрын
I support you
sema hawa wcb hawana mpinzani kwa kazi ya kupromote concert
@CharlesOyolla
2 жыл бұрын
Ewaaaah hapo umenena
@zaynabmwanjovu8277
2 жыл бұрын
Sio kwel
Nampenda sana Da Dida
Zuchu is not really open but we are happy for her 😊 ☺ 💗 ❤ and we know it's diamond platnumz
@shombetientertainment8719
2 жыл бұрын
Zn
You look Lovely Zuchu
Nawapenda wote wawili .Allah awajaalie kila la kheri in shaa Allah ,,nawafurahia for real
Sjawahi kucoment mambo kama haya ila ntafrahi zuchu ukiolewa na diamond
Jamani nampenda sana mm zuchu kwanza sauti mashaallh dada angu m znz mwanangu
Interview kali sana 🤪🤣
Nyinyi munajua kazi kweri waswahili 😳🤗
Dahhh diamond platnumz kuswali hapo na ibada apo sasa zuchu ukimpinda huyo jamaa pepo yako sio simba hahaha 😀😀😀 mashamsham on trending #5 🇺🇸 kenya 🇰🇪#1
♡♡♡mashamsham tick tick ✔✔✔✔
Leo mambo yalikua pambe 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Nimefurahi sana wangu. Zuchu hongera saaaaana wangu
big up zuchu may allah blesse u all
Huo mwili alivyo ongeza ni wazi ana mimba Zuchu msiri
Zuhura 🔥❤️❤️❤️
Body ya ricadomomo Kama ya chibu kweli Ni Nyange family, ka zuchu kametuliaa bi Harusi na vimeno vyake vizuriiii
Nakupenda zuchu
Zhuchu nimwanamke hana uzuri wazaidi ina kajaliwa kipaji awowote walizana na mondi hawana Kumuowa mwanamke sio uzuri bali tabia na mwenendo wake ndio bilimfanya mondi anaswe nahakuna camitishamba zhuchu anasifa zote zakuwa mke anafaa kbs sema mondi ashukuru Allah kupata jiko kama hilo lenye manuufa
@wasafi TV... @Zuchu ...its time for you to make a debut on International stage...We need to see you selling tickets at the O2 arena...you are East Africans most talented female artist.Time to believe in yourself and take that step...Let's get to serious work.Do some collaborations with famous Nigerian artists,just get out there please.❤❤❤🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@sashoright8213
2 жыл бұрын
#zuchu
❤️❤️❤️❤️❤️❤️zuchu
Jumaa lokolee ✨🔥🔥
Jamani WEMA SEPETU hatajiskia aje harusi ipo kwa kweli daaah tutabaki midomo wazi 😊😊😊😊😁
@smallvaldez6576
2 жыл бұрын
Zari jamani atajikojolea haswa 🤣🤣🤣🤣🤣 pressure mbaka 400
@rayanndizeyes3161
2 жыл бұрын
Bado sana
@rayanndizeyes3161
2 жыл бұрын
Kwani zari hakojowagi????kwa zuchu jo ataaza jikojoleya😂😂😂😂
@smallvaldez6576
2 жыл бұрын
@@rayanndizeyes3161 ebu ulienda shule jamani hujui hata kuandika jamani naskia raha sana zuchu kawashinda wote 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@nasraabdallah850
2 жыл бұрын
@@smallvaldez6576 izi nikiki tu hawa wanatuchuza tu😆
Kazuri sana ka zuchuuu
@zuweinaalhabsya8773
2 жыл бұрын
😏🙄😏
I love you so much zuchu
Wow! Tutasubiria kwa hamu
Kenya Moore love ♥️
Didah is so beautiful 😍
@senjabakari7715
2 жыл бұрын
Ukorofi Lokole
Zuchu unapendeza sana
I love you all but this looks like drama🌚
@evansmadara
2 жыл бұрын
If this is true, it will still end in tears and a new motivational speaker will be born.
1:10:49 Talent running in her Veins!!!!
Respect to Zuchi! Mjaja sana.
Nakupenda sana ZU Mungu akulinde popole ulipo
Toutes mes félicitations 😘
I am Kenyan and Zuchu rules the airwaves here in Kenya. In my view, Zuchu is a perfect fit for Diamond. As Kenyans we got disappointed when Tanasha was dropped by Diamond but if Zuchu is his choice, we support. Zuchu is GENUINE, LARGELY UNSPOILT, BEAUTIFUL ENOUGH FOR A WIFE.
@thetrapbabyshow
2 жыл бұрын
apana..unadanganya buanaa!!
@clementinekieti4894
2 жыл бұрын
What is beauty in a woman? Character, respect to Allah our Lord by doing according to his will. Is Zuchu beautiful than Hamisa, Zari? Amongst all Tanasha is the most beautiful amongst the ladies Diamond has dated. Zuchu omba Allah akupe mme ambaye sio common figure over the social media. Mark my words Zuchu you are a good soloist. But is Allah the king of kings in your life? If yes he will give you the best without blemish. But if not , tafakari ya Babu , regrets will follow. Learn from others. You are not a star in marriage to beat Zari. Am just concerned. Jipange kabla ujapangwa.
@Aminasalim-lq9td
2 жыл бұрын
Acha uongo ww
@bahatijua7142
2 жыл бұрын
Wenye wanampenda zuchu wanyoshe mukono ✋🖐️🖐️✋✋👌👌👌
@chapelimohkin
2 жыл бұрын
We Kenyans are not happy after what diamond did to tanasha,,,Kenya lady rules
This looks like some planned promo for the 14th show to me, but I would love it to be true though, I would so much love the the couple. Love from Uganda 🇺🇬
@zipporahwanjiru
2 жыл бұрын
Me and you both
Wow that's awesome
I'm in love ❤️ with all of you guys, love from 🇰🇪🇰🇪 my in-laws " but" baby Zuchu Diamond is still midfielder 🤣🤣 let her prepare her tears ooh
@gittamariam3361
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂
Na wanaoangalia online live nao zawadi zao gani😂😂😂
Nimetoka ludewa ila zuchu namfaham toka alivozaliwa
Hinapendeza sana hiyo wakihowana hiyo kapo hitsfurahisha sana nahutwa ADOLPHE WILONDJA nikiwa merekani.
Very mature interview and intertaining.
Juma unajua sana kuuliza maswali fresh 🤣😂
Zuchu am happy for you
Interesting interview. Wished there was less of leading questions.
Mambo ni 💥💥💥💥💥
Mashaallah
Zuchu amezama kweli kwenye mahaba it's all over her eyes
Kwajina naitwa abu lizer nimrundi nasisi wangetualika kwenye ndoa yao
Diamond platnumz sema ukwelii babyyyy. Ha
Mashallah
🔥🔥🔥🔥🔥
You can tell they know the story with their signals in the studio
@rehemambaruku832
2 жыл бұрын
Aa
@kapunguonline3929
2 жыл бұрын
@@rehemambaruku832 ll
Kiukweli namuonea huruma zuchu honestly…..premium tears loading
Kipindi hichi nakipenda sana
Good interview
Wawooo!!!Zuchu ongela
Yaani hawa sio kwa umbea huu. Zuchu umekamatika. Ila nawapenda woote hapo
Zuchu plz tell us the truth and nothing but the truth...
Manguliii wa lokole kama nawaona wanvyoangalia hii interview kwa kusonya
Kwakwel namupnd zuch anasaut nzr mashallah