🔴Live: ZITTO KABWE KWENYE MKUTANO MKUU wa ACT - WAZALENDO - WANACHAMA - VIONGOZI WAFUNGUKA MAZITO...
🔴Live: ZITTO KABWE KWENYE MKUTANO MKUU wa ACT - WAZALENDO - WANACHAMA - VIONGOZI WAFUNGUKA MAZITO...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Пікірлер: 26
We will miss Zitto..mwanasiasa kwa kweli mwenye maono sio wale jamaa kelele na matusi!
Hiki ndicho chama kikubwa cha Upinzani chenye maono chanya cha kuleta Maendeleo ktk Nchi yetu hii.
@DIO-jd8xs
4 ай бұрын
Uongo
Chama cha act kimeokua baada ya maalim kuingia act km si maalim hakijui mtu
Mbona Babu Duni hakutayarishiwa zawadi maalum
Kweli hiki ndoo chama chenye hoja kama za ccm
ccm 2019 hamukushinda uchaguzi Bali mlivuruga mshinde Mungu atawahukumu ,
Ahsanteni ACT, hakika hiki ni Chama Kiongozi kwa sasa Tanzania
@jumakapilima7295
4 ай бұрын
Hahahaha,,,,babu duni asingejitoa
@abujamalaalghammawiy7470
4 ай бұрын
@@jumakapilima7295 Kwani katoka nje ya chama, au umemsikia amesemaje yeye mwenyewe?
@jumakapilima7295
4 ай бұрын
@@abujamalaalghammawiy7470 hahahaha,,,,siasa za nchi hii tunazijua
Kama hujaelewa kinacho ongelewa,,,kichwa chako box bs kaa kimyaa usitulishe matango poliii hapa!!
Ndio nyinyi ccm hamna sheria wa dhamira Zanzibar hamjafanya lolote wakati mulitoa ahadi kua mutatekeleza makubaliano
hii mikoa mbona SIIONI KWENYE RAMANI
Chama hakina wanachama bdo msiseme ni chama kikubwa
Sheikh Ponda kapiga ndipo
Unafiki tu mwingi unaongelewa hapa. Mama Karua ndo unaongea point za kueleweka wengine ni utopolo tu wanaongea.
Ss mnakuaje tayar wakat mnajua tume sio huru asee, simuongelee kwanza ishu ya katiba mpya
Unatangaza kama umekula cassette
Hayo yalotokea 19 20 kayafanya nani?mbona mulikua hamumwambii kitu mwenda zake wapinzani walipokua wakisema mulikua munawasema kua wanavunja amani na umoja wa Watanzania
Hiki ndio chama tunachokitegemea kwasasa hakina vurugu Wala kutukana viongizi kinahoja nzuri sana hiki ndio chama mbadala kabisa kwasasa
@DIO-jd8xs
4 ай бұрын
Shida hapa katiba
@hajihassan5433
4 ай бұрын
@@DIO-jd8xs Imefanyaje Katiba?
Ado uko vema
Wewe msaidizi msajili mnafiki sana hueleweki hata wakati wa magufuli ulitwambia uhuru wa democracy upo saiv unaonesha kua mafufuli alikua anaikandamiza democracy
Wabunge wengi wa upinzani 2015 waliingia bungeni sio kwa sababu ya sheria ya uchaguzi au dhamira ya rais wa wakati huo. Wabunge wa upinzani zaidi asilimia 90 walibebwa na Lowasa. Kinana usidanganye kuwa uchaguzi wa 2020 wabunge wa upinzani walibwagwa kwa kuwa dhamira ya Rais wa wakati huo ilikuwa mbaya. Hapana Utendaji wa Magufuli ulikuwa wa viwango vya juu ndicho chanzo upinzani kubwagwa.