Leo Mbarikiwa aongea na IPM kwa upole. Kama haukutumwa kuchafua Ukristo, ulikosa misingi ya Ukristo

Пікірлер: 49

  • @WilliamSomela
    @WilliamSomela2 күн бұрын

    Mbarikiwa mimi sijawahi ona mchungaji mwenye misimamo kama wewe nikitazqma misimamo yako najiona mimi bado nahitaji kuokoka si wewe tu bali nafurahishwa na hata washirika wako . Sina mengi ila MUNGU akutetee katika yote.

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr2 күн бұрын

    Hakika kamanda wayesu hongera sana nakuelewa

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848Күн бұрын

    Hii shida.Tunahubiriwa watumishi.au Injili. Kila siku majina ya.wahubiri.wenzake.Fungua shule.wahubiri wote waje.darasani kwako.Inakera sanaa.

  • @pastorheri715
    @pastorheri7152 күн бұрын

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @victormshindi9636
    @victormshindi963621 сағат бұрын

    Mtumishi nakuelewa. Asante

  • @ezekielmkinga7773
    @ezekielmkinga77732 күн бұрын

    Aminaaa sana baba tunajivunia ww katika Jina la YESU

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn2 күн бұрын

    MSASA UMETUA. Mwenye kuupokea Msasa kwa Upendo na akaupokee Kwa Upendo.

  • @JosephMwamalumbili
    @JosephMwamalumbili2 күн бұрын

    Ameen baba hakika unatufaa sana kizazi hiki

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju2 күн бұрын

    Saafi sana maelezo mazuri sana na nikweli shida ni mapokeo

  • @user-hk6mq4ox5r
    @user-hk6mq4ox5r6 сағат бұрын

    Tatizo ni kwamba mtumishi wa Mungu ukiona mapungufu yake mtumishi mwenzio,Jaribuni kumwomba Mungu akuoneshe kama huyo unayemkosea ni mtumishi mwenzio ili kusiwe na neno kama ni mtumushi Wa Mungu kweli ama kama umetumwa na Mungu!.

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h2 күн бұрын

    Amina❤❤❤

  • @FideleLisha
    @FideleLisha2 күн бұрын

    Shalom Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa Mwakipesile! Ndugu yangu atawewe piya unaitaji kuoneshewa njia gisi inavyo stahili, mafanya nguvu kutafuta jumbe za ndugu yetu William Marrion Branham utaona nigisi gani Mungu alimutumiya kurudisha kanisa kwenye misingi ya babazetu mitume nama nabii, ama sababu uko Tanzania munatumiya KZread sana tafuta kanisa la , Assemblée chrétienne de lubumbashi, kupitiya hapo utajifunza mengi kushusu kanisa la kweli la Yesu Kristo, naa utaona unapokosea ni wapi...... Maranatha, Yesu Kristo anakubariki. Fidele Elisha, finland

  • @richardhaule1267
    @richardhaule12673 күн бұрын

    Nimemwelewa vizuli sana mbalikiwa,ÿupo nabii alie uwa mana manabii wa uongo 400,yupo nabii mzee aliye mdanganya nabii kijana yupo nabii yelemia kupitia mateso yupo Ezekieli nawengine wengi, najalibu tuu kuangalia nakuchunguza mwakikipesile mbalikiwa yupo kama nani kimfanao ,kulicho fanya nimwelewe Leo hii ameongea vizuli halafu kwa pole sana na roho imenishuhudia nisikilize hadi mwisho,alikua akilusha kripu kwA ugali nilikua nazipita tuu, Leo umeongea chakugusa wengi sana katika huduma ya wito halisi wa Mungu alie hai

  • @obedimunguachiza8434

    @obedimunguachiza8434

    2 күн бұрын

    Amen.

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga43822 күн бұрын

    Mtumishi naomba kuuliza huyu ipm ulivyomufatilia ni kweli anaongoza watu sara ya toba na je anawabatiza kwa maji mengi maana nina wasiwasi watu wengi hawaburi watu waache dhambi

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola88353 күн бұрын

    Piga injili SANA

  • @joshuanyambele1921
    @joshuanyambele19212 күн бұрын

    Sema IPM hana noma na mtu jamaa hamble sana sema usemavyo kosoa uwezavyo hana shida baba wa watu

  • @emanuelmargwe7087

    @emanuelmargwe7087

    2 күн бұрын

    Shetani yuko na hekima lkn si ya ki-Mungu. Hekima yeyote ulimwenguni inayopingana na kweli ya bibilia basi ni upotofu😢

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile2 күн бұрын

    Unachokisema leo ndicho tumekuwa tukikushauri siku zote kwamba unapohisi wengine wanakosea basi wewe fundisha usahihi wa neno kama ulivyofanya leo utawasaidia wengi, siyo kuwatukana, kuwashambulia kwa kejeli,dharau,dhihaka utawafanya wengi wasikukubali.

  • @josephkinanda3848

    @josephkinanda3848

    2 күн бұрын

    Hapana kunamuda wa kufundisha,muda wa kukemea,kuonya na kukaripia pia.Hivi ndo vitu ambavyo jata mzazi bora atakuwanavyo

  • @Hapomwanzo

    @Hapomwanzo

    2 күн бұрын

    Unamsikilizaga ukiwa umevurugika kichwani, unayompongeza nayo, ndiyo hayo anayoyasema mara zote.

  • @AllanLyombile

    @AllanLyombile

    2 күн бұрын

    @@josephkinanda3848 Kama unajuwa kuwa kuna muda wa kufundisha,kushauri,kuonya,kukaripia,kukeme je unajuwa utofauti wa hayo maneno? Mbarikiwa siku zote yeye ni kukaripia watu na kutukana matusi na nyie mnamtia moto je ni sahihi?

  • @AllanLyombile

    @AllanLyombile

    2 күн бұрын

    @@Hapomwanzo Wewe mnafiki mkubwa, Mbarikiwa mwenyewe amesema hapo kwamba siku zote naongea kwa ukali saaaana ngoja leo niongee kwa upole na upendo, halafu wewe unasema siku zote anafundisha hivihivi, badala ya kumshauri mwenzenu nyie mnamuunga mkono kwa kila kitu hata anapokosea, mnaroho mbaya sana.

  • @Hapomwanzo

    @Hapomwanzo

    2 күн бұрын

    @@AllanLyombileOna unavyojichanganya sasa, comment yako ya kwanza umesema anaongeaga MATUSI, KEJELI NA DHARAU sasa UKALI na matusi vinahusianaje hapo, uko sawa kichwani kweli?. Haya tufanye anaongea matusi, naomba nitajie tusi moja tu ulilowahi kumsikia anaongea.

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango41513 күн бұрын

    We mbarikiwa fanya yako acha ya watu

  • @chrithicksambo2287

    @chrithicksambo2287

    3 күн бұрын

    Kwan Yesu alikuja Kwa ajili yake au Kwa ajili ya watu? ...na kama unataka mbalikiwa mwakipesile afanye yake vipi ww unaacha kufuatilia mambo yako unafuatilia mambo ya wengine? Kama mwakipesile hutaki kusikiliza hoja zake basi usimfuatilie!!

  • @Alexthadey-lm3ju

    @Alexthadey-lm3ju

    2 күн бұрын

    Safi sana mbarikiwa maana hawa wanakuja kutuharibia ukristo wetu wanaleta mafundisho mageni

  • @UAMSHOTV

    @UAMSHOTV

    2 күн бұрын

    Mbona wewe happy hujafanya yako mbona umekuja kuandika ujinga kwenye clip ya watu, au wewe sio mtu ni nyoka et

  • @samwelmuro800

    @samwelmuro800

    2 күн бұрын

    We happy mwenyewe unafatilia ya watu halafu unaongea utumbo

  • @obedimunguachiza8434

    @obedimunguachiza8434

    2 күн бұрын

    ​@chrithicksambo2287 Hekima hii umepewa na Jehovah Mungu Baba yetu napenda maneno yako eh Mungu nijaliye kuwa na hekima kama ya huyu mpendwa, barikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.

Келесі