KURUDI KWA YESU -01

Пікірлер: 22

  • @UkundiMlelwa
    @UkundiMlelwa21 күн бұрын

    Amen rabbi kwa mafundisho ya wakati huu hasa. Nilikuwa natamani sana kupata mafundisho ya kipindi hiki cha mwisho, Mungu amenionyesha hii channel nabarikiwa sana.

  • @emmanuelshaban4834
    @emmanuelshaban483426 күн бұрын

    Ninakufuatilia Sana mtumishi wa Mungu na kupitia mahubiri yako kuna vitu vingi ninaendelea kuviongeza ktk Imani yangu, Bwana Yesu akulinde na kuzidi kukubariki zaidi, Karibu kwetu Kigoma.

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili675029 күн бұрын

    Mungu akubariki mchungaji ninaposikiya mahubiri Yako yananijega sana maana mahubiri kama hayo hayasikiki tena ina kuwa tutabarikiwatu . Baba utakuja Burundi Siku gani ? Tunatamani uje nakwetu

  • @JustineMuhindo-tb6en
    @JustineMuhindo-tb6en21 күн бұрын

    Yesu akubariki sana nakuzidishiye nguvu

  • @afredfodogo7857
    @afredfodogo785710 күн бұрын

    Asante YESU KWA kujizihilishwa kupitia TAIFA TEULE LA EZIRAEL TUNAIPENDA EZIRAELI LINDA KWA DAMU YAKO MILELE,

  • @joellumala3206
    @joellumala320628 күн бұрын

    Ni wakati wa mwisho., Tujiweke tayari, muda sio rafiki

  • @masindemagee9603
    @masindemagee960329 күн бұрын

    amn

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai995429 күн бұрын

    Mungu akubariki mtumishi wa bwana kwakweli yote unayoyasema ni ukweli kabisa manake kiroho kweli yesu yu karibu sana

  • @user-yo3zl7qx3e
    @user-yo3zl7qx3e28 күн бұрын

    Mungu. akubariki.mtumishi. wa Mungu

  • @JustineMuhindo-tb6en
    @JustineMuhindo-tb6en21 күн бұрын

    Ninaswali pasta je wewe nimuyahudi wakuzalikiwa

  • @ALEXLESERE
    @ALEXLESERE29 күн бұрын

    Amen 🙏, mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri Yako ya siku za mwisho,

  • @joycenjana7331
    @joycenjana733128 күн бұрын

    Amen amen mtumishi nabarikiwa sana kwa neno, umebarikiwa

  • @oliverbernad5570
    @oliverbernad557029 күн бұрын

    Nakupata VZR MTUMISHI Absharom ,Iringa MJINI

  • @sarahnjowela554
    @sarahnjowela55428 күн бұрын

    Amina mtumishi nabarikiwa sana ubarikiwe

  • @blondyd4256
    @blondyd425629 күн бұрын

    Haleluya, nabarikiwa kutoka Geita

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do29 күн бұрын

    Amen 🙌

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika728229 күн бұрын

    Amen ❤❤

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega792629 күн бұрын

    Ameni Hallelujah

  • @loisruhembe1687

    @loisruhembe1687

    29 күн бұрын

    Amina

  • @MethodAlphan
    @MethodAlphan29 күн бұрын

    Amen mwana wa mungu 🙏🇮🇱 mafundisho mema

  • @japhetmasai9954

    @japhetmasai9954

    29 күн бұрын

    51:23

  • @JustineMuhindo-tb6en
    @JustineMuhindo-tb6en21 күн бұрын

    Yesu akubariki sana nakuzidishiye nguvu