KUNA AINA 4 ZA WATU | PERSONALITY YAKO NI MSAADA AU KIKWAZO KWA MAISHA YAKO?

#Madinidotcom #Saikolojia
Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 53

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 Жыл бұрын

    *Mr. Cosmas ako sawa kabisa. "Lazima tujifunze kuyaona mambo kwa jicho la tatu na upuuzi ukiwa kwa wingi unageuka unakuwa fact. Nature haijui ujinga na umaskini."*

  • @niceforymgaya2905
    @niceforymgaya2905 Жыл бұрын

    Mtu aliyesoma taaluma inayoendana na kipaji chake ni moto wa kuetea mbaya.

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 Жыл бұрын

    Nmepata mtu wa kuwa anamaliza mbs zangu 😢😢

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 Жыл бұрын

    Dah! Na mwandishi naye ni nondo .... Big up sana bro una madini.......

  • @user-kd9iq6zu6n
    @user-kd9iq6zu6n9 ай бұрын

    Nimepitia comments nyingi za watu hakika nyingi ktk hizo ni kuhusiano na mtangazaji kuongea sana..OK twende kazi,Iko hivi unapokuwa na vitu vingi kichwani swali huwa kama funguo kukufungua hivyo unapotoa somo hutoweza kuridhika kutoa jibu moja kwa muuliza,hivyo basi hii inaweza kusababisha kupoteza muda mwingi na kutoa hoja nyingi ktk swali moja,hali hii mtangazaji anaijua na ikumbukwe kuwa kipindi kina mipaka ya kimuda hivyo kwa faida yako msikilizaji ili upate mengi kwa muda mchache ni lazima muuliza maswali apime majibu yanatofit na akijiridhisha kuuliza mengine ill kuendana na mtiririko uliopo maana na yeye Ana muongozo wa maswali kulingana na kipindi hicho je? Mnataka akayaulize kwa nani au siku gani? Na je mnatambua kipindi kinasimamiwa na udhamini! Na je mnatambua kuwa hii sio semina bali ni meza huru?

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Жыл бұрын

    Mwandishi hajakosea anafanya kazi yake vzr zaidi endapo akiacha jamaa aongee bila maswali anstupoteza na yeye mwandishi pia

  • @stylishgenius9886
    @stylishgenius9886 Жыл бұрын

    Cosmas the genius man

  • @miriammwamanda6569
    @miriammwamanda65699 ай бұрын

    Hongera sana mwl wangu Cosmas .mimi mama Anna mwanafunzi wako wa Msimbazi Montesory mwl uko juu sana.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Жыл бұрын

    Mungu awabariki wanasaikolojia wote duniani naipenda Sana fani hii

  • @Mhandisi2008
    @Mhandisi2008 Жыл бұрын

    Ungekuta Niko zangu pale man city nacheza na halland.😂😂😂

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 Жыл бұрын

    Safi sana Maduhu,classmate wangu Nyakato Secondary

  • @ndamezerevocatus1078
    @ndamezerevocatus1078 Жыл бұрын

    Very nice umefundisha vizuri mno

  • @ernestmatimba9964
    @ernestmatimba99644 күн бұрын

    Taaluma iliyo connect kwenye Kipawa ni moto. Naunga mkono hoja

  • @ernestmatimba9964
    @ernestmatimba99644 күн бұрын

    Upuuzi ukiwa mwingi unakuwa Fact

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 Жыл бұрын

    Hongera Kaka mungu akuongezee kipaji zaidi

  • @emmanuelmagise9625
    @emmanuelmagise96259 ай бұрын

    cosmass madulu, package yako iko vizur na updated

  • @wilsong520
    @wilsong520 Жыл бұрын

    Mtangazaji ana jikuta nondo badala ya kuacha mgeni aongee

  • @Joekwid960

    @Joekwid960

    10 күн бұрын

    Interview ni mahojiano ili kuwasilisha ujumbe kwa hadhira

  • @user-td5mk2et6f
    @user-td5mk2et6f11 ай бұрын

    Mtangazi unaongea sana mpaka unakera yani unamfanya m2 aongee machache wakati anamengi yakuongea

  • @anathjuma6813
    @anathjuma68136 ай бұрын

    Yeah...wao ndo tatizo...upuuzi ukikubalika na wengi unageuza kuwa facts...

  • @sypriannjole4865
    @sypriannjole4865 Жыл бұрын

    Host unaongea mno

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Жыл бұрын

    Mwachee mtangazaji aongee ili mgeni ajue anamjibu nn mkisema asiongee mnakosea

  • @neyjohn923
    @neyjohn923 Жыл бұрын

    Hizo unazotaja sanguine melangolic choleric na phlegmatic hizo ni temparament sio personality.pesonality zipo tisa zikianza na perfectionist na kuishia na peace maker.

  • @queenandchill91

    @queenandchill91

    Жыл бұрын

    Kabla ya kupinga au kukubaliana na jambo hebu jifunze zaidi kwa undani uelewe.

  • @otmarykiowi4132

    @otmarykiowi4132

    Жыл бұрын

    Na hiyo temparament ndiyo nini?

  • @IsraelKisaila

    @IsraelKisaila

    Жыл бұрын

    Upo SAHIHI kabisa

  • @work24onme
    @work24onme Жыл бұрын

    Holy Spirit, 🙏🏼

  • @MarthaKussaga-bk8ds
    @MarthaKussaga-bk8ds2 ай бұрын

    Natamani tuwasiliane

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Жыл бұрын

    Huyu mwamba akiingia Serikalini na asishikwe madikio wala akili akaitumia naturally anaweza kutufanya Tz Dubai ndani ya miaka 5 au 10 tu na tukaishi nayo miaka zaidi ya 1000

  • @noorbazaar9063

    @noorbazaar9063

    Жыл бұрын

    Mbona Mama ameanza!!!

  • @malkavoice2570

    @malkavoice2570

    Жыл бұрын

    @@noorbazaar9063 mamaako au sio?

  • @noorbazaar9063

    @noorbazaar9063

    Жыл бұрын

    @@malkavoice2570 Ndio.

  • @hamismabula9934

    @hamismabula9934

    Жыл бұрын

    @@noorbazaar9063 🤣🤣🤣

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter110817 күн бұрын

    😂😂😂🙏

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын

    Hili somo alishawahi kifundisha hayati dk miti mingi mellangoli swangini hivo

  • @idrisalimapema2539
    @idrisalimapema2539 Жыл бұрын

    Weee mtangazaji unazingua ww acha kujiongelea ww binafsi mpe muda mwamba ateme madini

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Жыл бұрын

    Kufa kiume...?!!!

  • @samwelilucas1970
    @samwelilucas1970 Жыл бұрын

    Mtangazaji ni mjuaji

  • @zakariawafula3156
    @zakariawafula315611 ай бұрын

    Ni ukweli mtupu .Tuajie watoto kujifunza kulingana na talanta zao.

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Жыл бұрын

    Niko Moshi kiboriloni tunakupata hapo situdio

  • @salimkassim6020
    @salimkassim6020 Жыл бұрын

    Mtangazaji unatakiwa kutangaza mpira sio interview you talk too much kuliko anaehojiwa,,,unazingua uliza swali moja acha mtu ajibu,,,angalia kwa wenzio utajifunza

  • @jilesjames7830

    @jilesjames7830

    Жыл бұрын

    Kweliiiiii kabisa anajifanya anjua saana

  • @elibarikilukasimakala5534

    @elibarikilukasimakala5534

    Жыл бұрын

    Naunga mkono hoja 👆

  • @valeriamorand1881

    @valeriamorand1881

    Жыл бұрын

    Exactly

  • @eliaelia8417

    @eliaelia8417

    11 ай бұрын

    Siyo kweli kila mtu nilazima ujiblandi kivyako

  • @user-og7yq1nn1q

    @user-og7yq1nn1q

    11 ай бұрын

    Tatizo Anataka tumuone na yeye n nondoo kumbe anaaribu

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 Жыл бұрын

    Mtangazaji punguza kuongea tumsikilize mgeni ana madini mengi ila unatuchomea muda wetu

  • @Udindigwa
    @Udindigwa Жыл бұрын

    Point tupu

  • @consolatangaile3916

    @consolatangaile3916

    10 ай бұрын

    Mafundisho yako ya jumapl yalinibariki mno

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 Жыл бұрын

    Hayo anayoeleza huwa sisi walimu tunasoma kwenye somo au moja za course ya saikolokojia. Pia wanachukua degree za Physiology

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 Жыл бұрын

    Mtangazaji, huyo ni mtaalam ndio mgeni wa kipindi. Muache atuelezee ufundi alionao. Unaongea sana mzee, unataka kutuonesha kwamba na wewe unajua au? Fanya kazi yako mzee

Келесі