Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni

Wanafunzi kwenda ufukweni kwa muda mrefu, wengine kutaka kujifunza lugha za asili, ni baadhi tu ya changamoto zilizonakiliwa na walimu wanaowapokea wanafunzi kutoka Marekani kwenda Kenya kujifunza Kiswahili. Suluhu? Tazama michango wa wataalamu

Пікірлер: 2

  • @MwalimuTina
    @MwalimuTinaАй бұрын

    Huo mkutano ulikuwa wapi Kenya? Kwa chuo kikuu kipi? Asante

  • @user-ry2mz4cx5h
    @user-ry2mz4cx5h11 күн бұрын

    Hamujambo?mimi naitwa isaie VUGUZIGA kutoka Rwanda,nikawa mpenzi wa rugha ya kiswahili,lakini Kuna changamoto katika jamii,ukijaribu kuongea lugha hii unachukuliwa ama kuonekana mujambazi kwawanawo jihusisha na lugha mbarimbari haswa kimombo,kinginecho kinareta usumbufu mukali ni kwamba wenge wadhani wanajuwa kiswahili,ukitazama vyema ukawakuta hawana ujuzi wowote kuhusu lugha hii,na kingine kuweka kikomo ni ugombaniaji chimbuko ya kiswahili kati ya mu Tanzania na mu Kenya,je mwatushauri nini?