KIMENUKA! "Makonda Naomba Unisamehe" MWALIMU MKUU AINGIA CHAKA La MAKONDA "Sema Hela Zimeenda Wapi"

Пікірлер: 64

  • @masuzahMkumbo-vs6ng
    @masuzahMkumbo-vs6ng25 күн бұрын

    This is NICE of Makonda. Let God bless you as a leader.

  • @elizabethnicodemus5192
    @elizabethnicodemus519227 күн бұрын

    Mungu akulinde mheshimiwa makonda tunaona kazi Yako nzuriii🙏🙏

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy26 күн бұрын

    Binadam wabaya mwenzao yupo kikaangoni wao wanafurahiya dah!!!😢

  • @Hilimu-qk2uw
    @Hilimu-qk2uw27 күн бұрын

    Kama mkuu wa mkoa wa rukwa angekuwa. Kama makonda angefichua mengi sanaaaaaa MAKONDA mungu akulindee

  • @koroneljohnstone2009
    @koroneljohnstone200925 күн бұрын

    Makonda huna baya Mungu akulinde

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no27 күн бұрын

    Mheshimiwa makonda Mungu akulinde sana mana unasimamia haki sana

  • @plankschannelmushi8858
    @plankschannelmushi885823 күн бұрын

    Sijapenda kabisa ,I think at this point we should Grow Up and Stop Judging what brings a meal on the table

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior25 күн бұрын

    Ila Mh Makonda uko vizuri sana kichwani.Uelewa ulionao ni mkubwa kuliko wasomi wengi. Na watumishi wengi ni wabaishaji hivyo inataka kiongozi mfatiliaji kama Makonda.

  • @ginazngo4317
    @ginazngo431727 күн бұрын

    Halafu mnasema mama samia anatengeneza kwao tu hahaha 😂😂😂😂😂

  • @plankschannelmushi8858
    @plankschannelmushi885823 күн бұрын

    Mwacheni Mkuu wetu Temu tunampenda Sana ,wanaofanya makosa NI wengine wanaokuja kubanwa NI wengine

  • @masuzahMkumbo-vs6ng
    @masuzahMkumbo-vs6ng25 күн бұрын

    Pesa za umma! Pesa za umma! baadhi ya watumishi (kama huyu) wanarudisha nyuma juhudi za mama Samia

  • @Donrugi
    @Donrugi27 күн бұрын

    Kwanini makonda asiwe mkuu wa mikoa yote. Akafanya ziara kote

  • @gregory6165

    @gregory6165

    26 күн бұрын

    Hawataki wanaogopa anawafunika

  • @joshuamwalusambo2391
    @joshuamwalusambo239127 күн бұрын

    Duu nchii hii kumbe Kuna majizi hivi, Ona hapa Dagaa anavyo tafunwa

  • @daudfrank9804
    @daudfrank980427 күн бұрын

    komaa mwalimu wangu ila pole pia mwalimu wangu

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m27 күн бұрын

    Hahahaha huyu jamaa anababaika jmn, kazi ni ngumu kwelikweli.

  • @eliakimunicolauskibasakiba3965
    @eliakimunicolauskibasakiba396526 күн бұрын

    Makonda awe mkuu wa mikoa yote tu

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono439925 күн бұрын

    😂😂😂😂nimecheka kwa sauti kuu!Hawa ukieakuta ofisini humo utafikiri Mungu..leo kanasa!

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale45525 күн бұрын

    Hahaha hatr 😊

  • @irenembise541
    @irenembise54127 күн бұрын

    😄😄nacheka Kama mazuri Hii nchi imejaa wapigaji aky😔

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole743827 күн бұрын

    Fukuza tu ndugu Makonda kundi zima hilo la wezi

  • @EsterAlex-dn1dx
    @EsterAlex-dn1dx26 күн бұрын

    Funge Hawa watu jamani wanauwa hiii nnchi jamani

  • @AthumanIrunde
    @AthumanIrunde26 күн бұрын

    Hahahah ila cameraman wewe umeona pengo la mama tuuu 😂😂

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise26 күн бұрын

    Shida maamuzi apa sidhani kama kuna hatua yoyote apa naona nikusikiliza kero tu sio kutatua

  • @maggiebrian2592
    @maggiebrian259227 күн бұрын

    Safi sana makonda

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile694827 күн бұрын

    hv watendaji wa serikali wa hovyo kama hao wanavumilikaje hata uzalendo hawana kwa nchi yao

  • @user-pl1qr3xr2z
    @user-pl1qr3xr2z26 күн бұрын

    Makonda bado unahitajika watakuua kama magufuli, ukiwabana Sana punguza ukali kk

  • @kiningashukran5177

    @kiningashukran5177

    24 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise26 күн бұрын

    Si kuwe na oda mkuu awe hakimu hapohapo?

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi229925 күн бұрын

    Next please

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia707427 күн бұрын

    Mkuu wa shule ana kigugumiz.haukuwa pekeako bosi.waite na wenzko wakusaidie kujbu

  • @mosesmwasanga7661

    @mosesmwasanga7661

    26 күн бұрын

    😂😂 Mwanangu Naona Unampa moyo Mwalimu!!

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu396327 күн бұрын

    Safi sana Mr Makonda unahaiba ya uongozi

  • @WilsonWela
    @WilsonWela27 күн бұрын

    Mtasema tu

  • @RUBENNGAYA
    @RUBENNGAYA27 күн бұрын

    Safiii

  • @musaamos2431
    @musaamos24317 күн бұрын

    Ila majitu maizi yamewekwa kati

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj27 күн бұрын

    Tunata mkuu wa mkowa kama huyu na shinyanga tupate haki za madini

  • @emmanuelmollel2895
    @emmanuelmollel289527 күн бұрын

    Arusha imekufaa mh usije ukatoka hapa tena

  • @Agnesimtaitin
    @Agnesimtaitin24 күн бұрын

    Safi makonda

  • @amisindondi4549
    @amisindondi454927 күн бұрын

    KUMEKUCHAAAAA😂😂😂😂 DIWANI KIJIVUA

  • @user-ze9vz7up8g
    @user-ze9vz7up8g27 күн бұрын

    Kazi unayo baba kigan

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs26 күн бұрын

    Uongozi ni kazi

  • @deogratiusmichael9188
    @deogratiusmichael918827 күн бұрын

    Ruger

  • @danielshauri6390
    @danielshauri639027 күн бұрын

    Kumeanza kuchangamka 😂😂

  • @koroneljohnstone2009
    @koroneljohnstone200925 күн бұрын

    Makonda huna baya kiongozi wa watu

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise26 күн бұрын

    Ila hawa majambazi wanaoiba pesa za uma si ni maccm haohao

  • @user-uw4pu9nm1u
    @user-uw4pu9nm1u26 күн бұрын

    Yaan hapo Bado mpk mseme

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u27 күн бұрын

    Makonda ww jembe baba chimbua wezi baba wa wanyonge

  • @JosephMchaki-fy5te
    @JosephMchaki-fy5te25 күн бұрын

    Awa viongoz izi kaz wanapate

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil762626 күн бұрын

    Piga chini Hao wezi poul

  • @user-hl4bn8fr3i
    @user-hl4bn8fr3i27 күн бұрын

    Piga kaz wa kukaya

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam432527 күн бұрын

    ,😂😂😂

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa123827 күн бұрын

    Tumepokea pesa kutoka serikalini...sio kutoka kwa Dr Samia...jamani au mimi sijasikia?

  • @zezeshort

    @zezeshort

    26 күн бұрын

    Ni serikari inatoa pesa siyo samia bunge ndiyo lina ldhinisha au na kosea

  • @mathayomwashambwa1238

    @mathayomwashambwa1238

    25 күн бұрын

    @@zezeshort wao wanalazimisha kampeni KILA mahali...MBONA KATIBA YETU HAIHITAJI HATA KUJISUMBUA, UKITANGAZWA HATA KAMA HUJASHINDA HAKUNA KAHAKAMA ITATANGUA HILO...MBONA MAGUFULI ALIPITISHA WABUNGE WOTE, MADIWANI, WENYEVITI MITAA, NANI ALIMUULIZA? WALIISHIA KUMSIFIA TU,

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj26 күн бұрын

    Huyu alilala amechok

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam432527 күн бұрын

    18 anajichanganya😂

  • @user-yl8td2om2y
    @user-yl8td2om2y27 күн бұрын

    Kwakwer

  • @EpifaniaMasawe
    @EpifaniaMasawe26 күн бұрын

    Yaan kiufupi hii shule bana tutafuteni tuliomaliza shule apo ndo mcheke vizuri Hakuna miundombinu mizuri hata kidog yaan dah 🥺🥺 maji hakuna mabweni hakuna jaman vyooo haaaakunaaaaaaa tuko 1700 wasichana then matundu ya vyoo ni 😢😢😢😢 jaman ebu shuughuliken tu wadogo zetu wapone

  • @fredyjeremia7074

    @fredyjeremia7074

    26 күн бұрын

    Toilet mliendaga wapi🤔

  • @EpifaniaMasawe

    @EpifaniaMasawe

    26 күн бұрын

    @@fredyjeremia7074 wee ni Siri tu maana nisije Nika letewa shida

  • @twilight8928

    @twilight8928

    26 күн бұрын

    Hiyo inayozungumziwa ni shule mpya ya wasichana inayojengwa..Mkuu wa shule Longido ndiye msimamizi

  • @miseyekikashiro-ty6qb

    @miseyekikashiro-ty6qb

    25 күн бұрын

    Chamna ww ni shule mpya imejengwa oltepesi temu ndo alikuwa msimamiz mkuu mm nimemalza mwaka huu hapo tulikuwa tunaenda kupafanyia usafi an pazur balaaaa

  • @user-en1re7ot8c
    @user-en1re7ot8c27 күн бұрын

    Ikii chumaaa

Келесі