No video

Kijue Kitabu cha shekh ibni taymiya kinachoelezea taswawuf - Shekh Muharram Mziwanda

kijue Kitabu cha ibni taymiya kinachoelezea taswawuf #trending

Пікірлер: 16

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541Ай бұрын

    We fundi sana

  • @binnyandwecheikhmuhamed
    @binnyandwecheikhmuhamed2 ай бұрын

    Kijana wangu machallah❤

  • @saidsaid-oj6qx
    @saidsaid-oj6qx2 ай бұрын

    Tatizo linakuja umeyaelewaje hayo maneno maana si kila anaye weza kuongea anaweza kufaham

  • @allymahaba3425
    @allymahaba34252 ай бұрын

    Alaa kumbe huyu ni kweli shekhe wa Kiwahhabi. Innaa lillaah.

  • @IssaSimbilla-hw9ev

    @IssaSimbilla-hw9ev

    2 ай бұрын

    Yoyo atakae tamka haq bc kwenu wahabi hata mtume kwenu wahabi sasa mtetez wenu nani siku ya kiyama maana ibris malhuni ni daui

  • @allymahaba3425

    @allymahaba3425

    2 ай бұрын

    @@IssaSimbilla-hw9ev Kwanu wewe ni WAHHABI?

  • @abubakardin3233

    @abubakardin3233

    2 ай бұрын

    Allahu Akbar,tumche Allah

  • @IssaSimbilla-hw9ev

    @IssaSimbilla-hw9ev

    2 ай бұрын

    @@allymahaba3425 maana yake nini wahabi nifahamishe kwa dalili

  • @allymahaba3425

    @allymahaba3425

    2 ай бұрын

    @@IssaSimbilla-hw9ev Imani ya UWAHHABI:- 01. Allah ni miwili kama sisi, 02. Allah ni kijana wa kiume 03. Allah Anaishi huko huko juu ya mbingu saba, 04. Kifupi MAWAHHABI wanaamini itikadi ya TAJISIMA (Allah Ana miwili wa kibinadami) na TASHBIHI (Anafanana na sisi) yaani Akiwepo sehemu moja nyingine hayupo. 05. Hizo fikra za MAWAHHABI ndio zinatangazwa na Ibn Taymiyya kwenye vitabu vyake hasa kile kiitwacho (BAYAN TALBIS AL-JAHMIYA) Ndio maana huyu Mziwanda watu hawamwelewi Kwa kumwona Ibn Taymiyya ndio sheikh wa maana Kwa Waislam. Huku ni kueneza fikra zake mbaya Kwa Waislam wasiomjua Ibn Taymiyya.

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis70882 ай бұрын

    Mawahabi wanababaisha watu

  • @IssaSimbilla-hw9ev

    @IssaSimbilla-hw9ev

    2 ай бұрын

    Mashia wamekupoteza msome vuzuli inb Mohammad ibn wahabi chukua elimu kwa watu wahaq kisha tuliza akili kisha liweke akilini hili yaani ibn wahabi amewajeruhi wazushi woote najinalake vitab vyake vitabakia milele ktk kher maaba kwenu kumtaja ibn wahabi nivibaya kuliko kumtaja ibrisi 😂

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b2 ай бұрын

    Usiishe hapo wapi Tasawfu ya kukohoa kuomba makaburi kusoma barzanji dhikr za kutunga mauongo kwa Shekh Abdul Qadir Jailani Imam Shafy anasemaje mtu akiwa sufi asubuhi mpaka ikifika mchana anakua nani.......................... acha kusema shubha

  • @saidsaid-oj6qx
    @saidsaid-oj6qx2 ай бұрын

    وتختلف العقيدة الصوفية عن عقيدة الكتاب والسنة فى أمور عديدة من أهمها: مصدر المعرفة الدينية، ففى الإسلام لا تثبت عقيدة إلا بقرآن وسنة لكن في التصوف تثبت العقيدة بالإلهام والوحى المزعوم للأولياء والاتصال بالجن الذين يسمونهم الروحانيين، وبعروج الروح إلى السماوات، وبالفناء فى الله، وانجلاء مرآة القلب حتى يظهر الغيب كله ...

  • @adamjutto5849
    @adamjutto58492 ай бұрын

    Taswawwuf alioikusudia sheikhil islaam sio ya madufu na ushirikina😂

  • @balkisamisi2131

    @balkisamisi2131

    2 ай бұрын

    Aliye zungumziya ma dufu ni nani ?

  • @saidsaid-oj6qx
    @saidsaid-oj6qx2 ай бұрын

    فالتصوف: هو التعبد على طريقة خاصة، لم تأت بها الشريعة؛ ولهذا غلب على المتصوفة البدع، ويسمى الزاهد الذي يحرص على التفرغ للعبادة، والزهد في الدنيا، وطلبها يسمى -أيضًا-: صوفي.