Kijana Wa Miaka 13 Amuuwa Kakake

Kijana wa umri wa miaka 13 anazuiliwa na polisi baada ya kumuua ndugu yake wa kambo wa miaka 17 katika kaunti ya Transnzoia. Hii ni baada ya wawili hao kuzozania malazi usiku wa kuamkia leo.

Пікірлер: 184

  • @loisewanjiku1591
    @loisewanjiku15914 жыл бұрын

    😭😭 it's very painful Aki Kama mwenye kuuliwa ndiye mkubwa that's means Ni yy alikuwa na makosa

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi30434 жыл бұрын

    Poleni nyote. Tudumishe Maombi ndiyo silaa pekee ya kuepuaha mabaya kwa jamii. MUNGU MKUU aturehemu sote. Amen.

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin89844 жыл бұрын

    Itakuwa kuna mchezo mbaya marehem alikuwa akimfanyia mwenzake na hakupendezewa nao ndo kaamua kumpiga hatma yake kamuuwa watoto wa kiume mbaya sana kuwalaza chumba kimoja ila ndo hali za kiuchumi hatuna jinsi

  • @husseinmunga9591
    @husseinmunga95915 жыл бұрын

    he didnt expect, it's hurt alot😭

  • @signtheblackrussian
    @signtheblackrussian Жыл бұрын

    It was written 2000yrs ago... Brother against brother... Mother against daughter... Father against son... Family will be separated.... Time has come.... Soon the nights shall be dark and full of terror, and the crows shall come... Give your lives to Jesus Christ... Time is very short

  • @rehemajuliusoman7372
    @rehemajuliusoman73725 жыл бұрын

    Inauma sana ila nakuonea huruma sana mdogo wangu sijuw hukumu gan utaewa

  • @doreentelah9743
    @doreentelah97435 жыл бұрын

    Hakutarajia kumuua jamani alidhani anampa adabu huyu bado mtoto

  • @salmasaidi2875

    @salmasaidi2875

    4 жыл бұрын

    Wasikia alimfata na nyundo huyu so mtoto ni pepo

  • @michaelmajaliwa8316
    @michaelmajaliwa83166 жыл бұрын

    Akiamungu shetani ni real nahisi hakutarajia kumuua wazazi tuwaombee watoto wetu

  • @annastaziajakobokwaslema2001

    @annastaziajakobokwaslema2001

    4 жыл бұрын

    Kabisa jamani inauma

  • @seifsuleiman3866
    @seifsuleiman38664 жыл бұрын

    mbon anasema uwaga anamsumbua mwezie au uwenda anakuwa anamtaka kinyume mumuoji vizuri jamn nayy alichukulia asila maan uwend kila siku anamkatalia napiy uwend siku iyo alitka kumkamat kinguv ndip na yy akajiami kivyo ila naisi akutegemea kumuuw ndiyo ivyo bahat mbay hebu jalibuni kumuoji kwa upend atasema msitumie nguvy uweda akaogop jap inauma akunajis

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud29833 жыл бұрын

    Ni miaka mitano imepita sasa, lakini ukweli upo wazi, huyo marehemu alikuwa na tabia za kuruka ukuta. Utamlaliaje mvulana mwenzio mgongoni. Afe tuu.

  • @shakkymwash8978
    @shakkymwash8978 Жыл бұрын

    7 years ago soo painful

  • @nyembogwazibaka8655
    @nyembogwazibaka86554 жыл бұрын

    Kwa masikio yangu huyo kk alikua anamfanya vibaya mwenziwe

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo834 жыл бұрын

    Ooooh maskini hakukusudia hakujua yatatokea hayo ooooh so sad msameheni.😔😔😪😪

  • @mpapaofficial5114
    @mpapaofficial51142 жыл бұрын

    2021

  • @faithfrancoh1449
    @faithfrancoh14495 жыл бұрын

    he didn't mean it ...its all over his face...kakake alikuwa anataka kumrape I guess

  • @yourguccidad1672
    @yourguccidad16726 жыл бұрын

    very sad ni kama mhusika hakukusudia kumuua kwani ameshtuka hata akachanganikiwa

  • @rasterwangu9708

    @rasterwangu9708

    5 жыл бұрын

    kwa nn amfata chooni

  • @rachelmikey8363
    @rachelmikey83634 жыл бұрын

    Ime niuma mara mbili uyo alo fariki😭😭na uyu alo mpiga bado mdogo wooiye ni kama bahati mbaya jamani... I dunia ina mambo mazito Mungu tunaomba utufanyie wepesi.

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah56266 жыл бұрын

    Allah atupe salama yaani huyu mtoto atakua kivipi km ana ujasiri uo hatari sana

  • @najimahrupiahgomo2109
    @najimahrupiahgomo21095 жыл бұрын

    Hatutami wafiraji huyo mtt Hana hatia

  • @ramadhanijuma7106
    @ramadhanijuma71065 жыл бұрын

    Hana hatia je angemfira mngesemaje? Mungu akutetee mdogo wangu.

  • @jacksonmjafanja1512

    @jacksonmjafanja1512

    5 жыл бұрын

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😁 Ila ww jamaa una laana

  • @joycemwankusye7108

    @joycemwankusye7108

    4 жыл бұрын

    Emen huyo ni mbakaji

  • @husseinchea5524

    @husseinchea5524

    4 жыл бұрын

    Kweli kabisa kaka

  • @triciatrish1657
    @triciatrish16576 жыл бұрын

    so sad to the family

  • @browntiger4849
    @browntiger48495 жыл бұрын

    Ama alikua anamlungla mbna analalia mwenzake kwa mgongo

  • @christopheraine6446
    @christopheraine6446 Жыл бұрын

    Woi mtoto huyu hakukusadia jamani na nikama ndugu yake alikuwa nataka kumuingilia kinyume na maumbile 😭

  • @lamerocklamerock
    @lamerocklamerock5 жыл бұрын

    diamond

  • @asheryissa6100
    @asheryissa61005 жыл бұрын

    Allah tuongoze waja wako

  • @addoolaph7848

    @addoolaph7848

    5 жыл бұрын

    DAWA ZA MIFUGO YA KUKU

  • @irenelopez7804
    @irenelopez78043 жыл бұрын

    Woi kanakaa innocent huyo boy labda alikuwa anamsumbua kwa mda ndio akashikwa na hasira forgive that boy ishatokea

  • @husnasalim6232
    @husnasalim62323 жыл бұрын

    Uyo mtoto wamuachee tu maana uyo kaka alitaka kufanya kitendo cha kishetani

  • @puritywangechi2045
    @puritywangechi20454 жыл бұрын

    Wooi mungu saidia watoto wetu,mtoto hakua amepaga ni hasira, ndungu alimuchokosha

  • @tusaikambo1729
    @tusaikambo17295 жыл бұрын

    Ayo

  • @annastaciahkanini8413
    @annastaciahkanini8413 Жыл бұрын

    Mungu hswajalie

  • @salummzee9739
    @salummzee97394 жыл бұрын

    Safi hio

  • @nuruhussein5318
    @nuruhussein53186 жыл бұрын

    hana makosa jee ange firwa munge semaje achaneni na huyo kijana hiyo ni andabu ya watu wenye tabiya hiyo yakujeuza wezao wanawake

  • @abedibyaese1183

    @abedibyaese1183

    5 жыл бұрын

    Nuru Hussein

  • @salehpirlo398

    @salehpirlo398

    5 жыл бұрын

    Mnauhakika kama alimpanda kweli mgongoni au mnashtumu tu mujuwe nae muuwaji anajitetea ili aweze kujikwamua katika hali aliyonayo kwenye kipindi chake kigumu alichonacho Juu ya yte roho ni roho

  • @fauziaisma1335

    @fauziaisma1335

    5 жыл бұрын

    Nuru Hussein kumbuka ni ndugu wa kambo

  • @sakeenakenya6110

    @sakeenakenya6110

    5 жыл бұрын

    Hahahahaha, staghafiru,hahahaha, wui mungu nisamehe, but umenimaliza dada.

  • @patrokiltadei7419

    @patrokiltadei7419

    5 жыл бұрын

    Nuru Hussein

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah8504 жыл бұрын

    Sub hanallah

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro14526 жыл бұрын

    Hasira ya kitoto jmn daar

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq66655 жыл бұрын

    Inalilah wainailehimrajim

  • @teclarutto8343
    @teclarutto83433 жыл бұрын

    Sad😭😭😭

  • @angelalaini8946
    @angelalaini8946 Жыл бұрын

    God we... just need your help

  • @tinluwna3783
    @tinluwna3783 Жыл бұрын

    Huyo marehemu alikua anatabia mbaya atamlaliaje mtoto wakiume nakila siku anamsumbua uenda huyu kachoka kulawatiwa kila siku kajioko

  • @danb668
    @danb6684 жыл бұрын

    Dah

  • @ifah5100
    @ifah51004 жыл бұрын

    Labda huwa anamrawiti akajihami ebu mfanyien vipimo kwanza

  • @gloriahlvlyn3423
    @gloriahlvlyn3423 Жыл бұрын

    Ths boy he's innocent uez sumbua mtu kila tym

  • @gracedanfrod2318
    @gracedanfrod23184 жыл бұрын

    Ana mapepo

  • @sumayarashid4751
    @sumayarashid47514 жыл бұрын

    😥😥

  • @martindaudi8043
    @martindaudi80434 жыл бұрын

    Mmm

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma34665 жыл бұрын

    Ivi shetan Kwan anatusumbuw sana Aki 😨Huyo Mtot anaroho ngumu Wallah Alafu hana hata uwog ona usowake ulivyo kaaa

  • @mmongatubangwa7145
    @mmongatubangwa71455 жыл бұрын

    Nc

  • @braysonmajani8129
    @braysonmajani8129 Жыл бұрын

    Uyu dogo inaonekana kunakitu alikua akifanyiwa na kaka yake nakilikua kinamuumiza wala hajaua kwa bahati mbaya alikua machoka. Na matendo ya kinyama.

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor53495 жыл бұрын

    Kama hivyo ndo ametaka kumuingilia basi anadeserve

  • @busangivideo1129
    @busangivideo11293 ай бұрын

    John

  • @timbamanyatimbamanya4668
    @timbamanyatimbamanya46684 жыл бұрын

    Msamehe jaman

  • @josephineariga438
    @josephineariga438 Жыл бұрын

    😭😭😭😭😭. The devil 👿 is at large. Let the Law take its cause but Kenya 🇰🇪 God knows.

  • @gerkombo6512
    @gerkombo65124 жыл бұрын

    Kosa ni la marehemu

  • @user-gi8ii4sl2y
    @user-gi8ii4sl2y2 ай бұрын

    It so sad

  • @dianakavulani2954
    @dianakavulani29542 жыл бұрын

    Ooh ata Mimi sister yangu alkuwa ananipiga wazazi kama wametoka juu nilikuwa dada kambo but alkuwa mkubwa wangu oh taabu

  • @assumptavyenna640
    @assumptavyenna6405 жыл бұрын

    Hata mimi nikiwa usingizi sipendi mchezo

  • @rasterwangu9708

    @rasterwangu9708

    5 жыл бұрын

    hupendi mchezo upi

  • @dullavoice2763

    @dullavoice2763

    5 жыл бұрын

    Assumpta Vyenna habari

  • @abditajir4048

    @abditajir4048

    5 жыл бұрын

    Mchezo gani usio upenda

  • @victoriaadhiambo1021

    @victoriaadhiambo1021

    4 жыл бұрын

    @@rasterwangu9708,mashambulizi.😂😂😂😂😂😂

  • @rasterwangu9708

    @rasterwangu9708

    4 жыл бұрын

    @@victoriaadhiambo1021 umeonaeh

  • @susankaburu140
    @susankaburu1405 жыл бұрын

    imenishida mungu tusaidie sasa how devol is at work kumgonga mara hayo yote nahakusikia uzito wa blood huyo akonaroho haieleweki kabisa

  • @omanimujsa9756

    @omanimujsa9756

    4 жыл бұрын

    Serilal ina kazi sana pole kwapolis maana apo atasjui kesi itakuaje maskin yamungu daaaaah

  • @julymilkytz7598
    @julymilkytz75986 жыл бұрын

    Tufikirie kwa kina juu ya huyo kijana hana hatia

  • @tatianamnyiamba6416

    @tatianamnyiamba6416

    4 жыл бұрын

    Ndyo maana kasema alichoshwa na hyo tabia.

  • @evodiuskivili2266
    @evodiuskivili22665 жыл бұрын

    Mungu wangu!!! Aende jera to

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo61055 жыл бұрын

    kaeli na Abeli...

  • @nimoras
    @nimoras4 жыл бұрын

    😢😢😢😢😢😢Woishe

  • @rehemaswalehe6423
    @rehemaswalehe64234 жыл бұрын

    Mi nasema wote wana roho mbaya.alotaka mpandia mwenzie anaroho mbaya na alomwua mwenzie ana roho mbaya.

  • @oookkk3965
    @oookkk39655 жыл бұрын

    Kaka mtu alitaka kumfanyia kitendo kibaya kumuingia nyuma ndo kitu nim gundua mimi

  • @sakeenakenya6110

    @sakeenakenya6110

    5 жыл бұрын

    Imajine na marehemu ako na miaka kumi na saba, woi!

  • @joycemwankusye7108

    @joycemwankusye7108

    4 жыл бұрын

    Sawa kabisa

  • @sumiismaelsumi8137
    @sumiismaelsumi81376 жыл бұрын

    YaaRabbiii

  • @patrokiltadei7419

    @patrokiltadei7419

    5 жыл бұрын

    he! Hugo mganga nomaaaaaaaaa

  • @kwabasimfaume6524
    @kwabasimfaume65244 жыл бұрын

    Allah akbar

  • @wanjikuwanjiku

    @wanjikuwanjiku

    4 жыл бұрын

    Huyo kijana alikuwaanamudhulumu,napengine sio mara ya kwanza ,ati kwasababu yeye nimkubwa wake, huyo kijana alifika breaking point, wako wapi wanaotetea boychild ?

  • @fahadsanad4163
    @fahadsanad41633 жыл бұрын

    Aki pole ni msukumo wa familia

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll93635 жыл бұрын

    Jmn we mtt

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia56724 жыл бұрын

    Sidhani kama kweli watakua wamemtengenezea maneno ya kusema...lkn pia sidhan kama ni yeye ndo kaua

  • @roseandersen6903
    @roseandersen69035 жыл бұрын

    Hiyo ni satain

  • @amoskarakacha2256
    @amoskarakacha22563 жыл бұрын

    So sad

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza80206 жыл бұрын

    Maskini akukusudia uyo mtt msameheni aky nimtt ajui anacho tenda yuajuta pia yy

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg5 жыл бұрын

    Inasikitisha sana lakini muuwaji akukusudia kuuwa hicho ndio kifo chake mungu alichompangia

  • @dotomzungu7855
    @dotomzungu78554 жыл бұрын

    Msameheni bado mdg .ni ubinadamu tu kukwazana ss wote tumepitia hayo ivo mungu alipelekea tu afe siku iyo lkn iwe chanzo ni hiko lkn nina imani hakuwa na nia ya kuuwa

  • @dotomzungu7855
    @dotomzungu78554 жыл бұрын

    Daaaah

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu77544 жыл бұрын

    Hata Mimi Ningeuwa Fasta Tena Ningemnyofoa Viungo Vyote Atakama Yeye Ni Ndugu Gani Kwangu Angekufa Kifo Cha Ajabu Duniani Mana Sio Mtu Mzuri Tena Uyo

  • @saimuathuman5227
    @saimuathuman52275 жыл бұрын

    Jamani tuwaombee watoto wetu

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo61055 жыл бұрын

    OH my Jesus Christ...

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino98684 жыл бұрын

    Alitaka kumfira

  • @mumybhay4984
    @mumybhay49845 жыл бұрын

    kaka alitaka kumfanyia ndg yake mchezo wa amba ruti.

  • @SARASARA-rl2jl
    @SARASARA-rl2jl2 жыл бұрын

    Nielewa kama dugu yake juu nyuma nikama ilitaka kumbaka. May be

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy19794 жыл бұрын

    Hana kosa anastahili kuuliwa alimtaka kumfira kumamae fisadi

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam15955 жыл бұрын

    hana kosa mwaachieni adhabu ya wauni ni rungu tu ya kichwa tupa kule angefi+?#!,-)=je

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino98685 жыл бұрын

    Duuh mungu wangu inaonekana uyo marehemu alikuwa mkorofi coz mtu huwezi kuanza kupiga tu

  • @saraphinajohn9112
    @saraphinajohn9112 Жыл бұрын

    Laiti angemuuwa kwa kukusidia hata shule asingeenda angekimbia,Ila ni jinsi gan hakujua Kama ameuwa ndo Mana anaenda shule Kama kawaida na hajakana hata alipoulizwa,huyu marehemu alikuwa mbakaji apumzike salama tu kwanini ampa ndie mwenzie

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi70034 жыл бұрын

    Anaenda jela ya watt mpk maika 18 anafungwa jela ya wakubwa sema shetani tu alisimama juu yao hawezi kuwa huyo mtt

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi64374 жыл бұрын

    Duuh!

  • @mayiahnoah2157
    @mayiahnoah21574 жыл бұрын

    Mi naombeni asamehewe huyo kijana juu ni kama c kawaida! Kuna pepo Fulani imemjia ndani yke....

  • @mushishamimu6954

    @mushishamimu6954

    4 жыл бұрын

    Apewe adhabu kidogo iwe fundisho kwa wenzie

  • @mushishamimu6954

    @mushishamimu6954

    4 жыл бұрын

    Apewe adhabu inayoendana na umri wake ili iwe fundisho kwa jamii

  • @wardamutanu1200
    @wardamutanu12007 жыл бұрын

    so sad muhusika anakaa mtoto tena kuchanganyikiwa.ameshtuka

  • @mushishamimu6954
    @mushishamimu69544 жыл бұрын

    Mtoto lakini ni mkatili sana.kitendo cha kuchukua nyundo kinadhihitisha.Apewe adhabu iwr fundisho pia kwa watoto wenzie

  • @devothamasaki5513
    @devothamasaki55135 жыл бұрын

    Sheitwani

  • @mikechali1052
    @mikechali10524 жыл бұрын

    Huyo apewe kazi ya KDF atamaliza Al-Shabaab wote

  • @patrokiltadei7419
    @patrokiltadei74195 жыл бұрын

    huyo marehem ni kissnga sijawai on a labda kaacha family yake na utajiri alafu wanamzika kimaskin

  • @zakyahya4645
    @zakyahya46455 жыл бұрын

    Sio kusudi lake kwan alikua anajitetea uyo alie kufa ndo mbaya

  • @mushishamimu6954
    @mushishamimu69544 жыл бұрын

    Alafu hata akaelewi

  • @rashid.mwenyezimunguakurin2968
    @rashid.mwenyezimunguakurin29685 жыл бұрын

    arisitairi kifo yabia arikua natabia mbaya sana

  • @alhamdulilhanybodyhave8755
    @alhamdulilhanybodyhave87556 жыл бұрын

    Duuuu

  • @oluochodhiambo7604
    @oluochodhiambo76046 жыл бұрын

    This shit begun when children got freedom. ...freedom of choice ,freedom of speech. ....children rights mara mtoto asichapwe.wee niletee upuzi mtoto. ..nikukanyage ushangaye

  • @simonrimui
    @simonrimui6 жыл бұрын

    why the poor people do not have lawyers? bcz whatever the boy says can be used against him in the court of law

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza58135 жыл бұрын

    Yawa😧😧😧😧

  • @sitibora4942
    @sitibora49427 жыл бұрын

    Mtoto mdogo lakini roho mbaya tu kama sura yake shame on you

  • @edinahbahati5420

    @edinahbahati5420

    5 жыл бұрын

    Ghai

  • @maryalexiskanyeri8867

    @maryalexiskanyeri8867

    5 жыл бұрын

    Hehehe woi

  • @tracy3355

    @tracy3355

    5 жыл бұрын

    😅😅😂😂😂

  • @irenekish7551

    @irenekish7551

    5 жыл бұрын

    Sheitan wewe labda ujazaa.. taza

  • @neefguys9208

    @neefguys9208

    4 жыл бұрын

    @@irenekish7551 shetani is u coz watoto ni watoto tu,so don't say bad thing about them.anyway sithan kama umezaa coz huwrzi ogea hivyo, Shem on u

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 Жыл бұрын

    😳😳😳😳😳🙆🙆🙆🙆😫🙊🙊