JOKA LINAVYOUA KAZI YA MUNGU KUPITIA MIFIMO || MFALME TENGWA & NABII ALFA KIHAMBA

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840

Пікірлер: 10

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p6 күн бұрын

    Amen Amen.

  • @anthonysambali7274
    @anthonysambali727429 күн бұрын

    Mwalimu mimi nakuelwa sana. Kwa jina la Yesu watu wengi wanaponywa fahamu zao kupitia mafundisho yako. Kwa mifumo iliyozoeleka kuiondoa kwa haraka ktk fahamu za watu ni ngunu sana kama Mungu hajaingilia kati. Nakumbuka Mungu amekuwa akiwasemesha watu wake hata wanapokua utumwani, kinachokuja kuharibu ni namna ambavyo watu hao wataitafsiri sauti ilivyo wasemesha. Kuna muda mtu anaweza kupotea kwa kuamini yuko salama na Mungu ameridhia mambo yake , kitu ambacho si salama sana ktk vta ya kiroho maana mtesi wetu halali anapambana usiku na mchana kupoteza watendakaz wa Mungu. Kanuni za kuharibu mifumo ya uovu Mungu hataifanya kinyume na sheria yake aliyoiweka huko Mbinguni na ndiyo iliyompa Shetani kibali cha kuiweka Duniani kote. Kazi ni ngunu mno kwa Watumishi wa Mungu kama hatutajua uzito wa jambo hili. Hatufanyi ili tuonekane ni watumishi wazuri mbele za watu bali ni kufikisha ujumbe kwa walengwa ambao sisi hatuwajui ila Mungu mwenyewe. Tusipokua na uwezo wa kuitafuta ile haki na sheria ya Mungu itakayotupa kibali cha kupenyeza sauti zetu katikati ya mifumo hiyo iliyowafunga watu, hakika hata sisi tutaiacha njia pasipo kujua maana hata Mungu atatenda mambo makubwa kwa kulinganisha utashi wa mioyo yetu, nia zetu, akili zetu na matendo yetu, hivyo tukikosea au kupatia ndivyo tutakavyoanguka ama kukua. Nasikitika sana kwasasa namna ambavyo migogoro ya ndani inavyoharibu taswira nzima ya huduma ya uamsho. Natamani mambo mengine ya ndani yasipostiwe ili mlengo wa huduma hii ubaki palepale. Yesu atusaidie sana

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon734329 күн бұрын

    Hata Mimi siwezi kufuata mfumo.

  • @user-xw6tx5rp5z
    @user-xw6tx5rp5z28 күн бұрын

    Hakika n Bwana asemae Maneno haya si ya kawaida ,,,Neema hii tukiichezea Tanzania hakika tutaangamia mifumo inatesa kansa la Bwana hatuwez kupona tusipojali wokovu mkuu uletao Amani ya Kweli Ndani ya Moyo

  • @BarnabaChota-tw7ol
    @BarnabaChota-tw7ol25 күн бұрын

    Wala tusiache kukusanyika

  • @EliyaKizaofficial
    @EliyaKizaofficial29 күн бұрын

    Amina amina EMUNGU nisaidie niya tende mapenzi yako nikuzalie matunda.

  • @marrysanga3974
    @marrysanga397429 күн бұрын

    mmmh hakika Yesu ni Bwana aliyetufia msalabani ndiye ajuaye na ndiye atupendaye na kutudhamini hizi nyakati za mwisho

  • @LeonardMsambazi
    @LeonardMsambaziАй бұрын

    YESU naomba mimi nipungue wewe uongezeke ili niifanye kazi yako kwa moyo

  • @DeniseJoel
    @DeniseJoelАй бұрын

    😂😂😂😂 utoe sadaka alafu ukaishi kwa mchungaji😅😅😅

  • @elishampoki8751
    @elishampoki875129 күн бұрын

    Anaemwabudu Mungu ni mtu mmoja aliezaliwa Mara ya pili,mifumo ya ibada kwa watu waliokoka ndio iliyotukuza kiroho , Kuhusu Dini niibada zisizo na Roho mtakatifu nibada zisizo na ishara na miujiza unaweza kujikuta hata wewe umo kwenye mfumo wa Dini ikiwa hutembei na ishara za Roho mtakatifu

Келесі