HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI

Пікірлер: 74

  • @williamthomas1413
    @williamthomas14138 жыл бұрын

    Namkubali sana Mr prezidaa!

  • @florakweyunga5763
    @florakweyunga57634 жыл бұрын

    Duuuh,ndo maana nilikupa tiki ya vema,nilijua kabisa utaleta mabadiriko ya kweli.(chagua Maguful,nitaleta mabadiriko ya kweli kweli,Aki ya Mungu.)

  • @michaelwillombe1794
    @michaelwillombe17944 жыл бұрын

    Yaani huyu mtu niwa hatari sana. Namfahamu miaka mingi ni jembe tinga tinga bulldozer toka zamani. Mpaka leo 2020 july 15 bado conference hii ni tamu kusikia.

  • @flowinkilangira1545
    @flowinkilangira15454 жыл бұрын

    Nani anatazama hii October 2019? Hili ni tinga tinga la lisilishindwa mpaka sasa.

  • @feisalsalum1258

    @feisalsalum1258

    4 жыл бұрын

    Yaani huyu bwana nilikuwa namkubali toka akiwa waziri mpaka leo yaani sasa ndo tumepata rais

  • @lawrencem3682
    @lawrencem36828 жыл бұрын

    huyu ndiye kiongozi wakuleta mabadiriko yakweli,wengine wote wapiga dili,record yake inajionyesha,kura tunakupa JPM

  • @kwiligwayunzu2074
    @kwiligwayunzu2074 Жыл бұрын

    Ulale salama Dr.Magufuli

  • @kangetakilimo6268
    @kangetakilimo62688 жыл бұрын

    thanx magufuli for new change

  • @mosseslamay1339
    @mosseslamay133910 жыл бұрын

    i like jon pombe magufulo

  • @jacksonkautu5765

    @jacksonkautu5765

    6 жыл бұрын

    Mwl Jackson namkubar Magufur

  • @yusuphmlangali5381
    @yusuphmlangali53819 жыл бұрын

    magufuli anaweza

  • @wasafitelevision7619
    @wasafitelevision76198 жыл бұрын

    hapa kweli tumepata rais wa ukweli na mtaalamu wa mambo yale

  • @sankofa2231
    @sankofa22319 жыл бұрын

    Wengi mnao mponda Magufuli hapa na hisi mko nje ya Bongo - ughaibuni.

  • @didimhutila8985

    @didimhutila8985

    4 жыл бұрын

    Sis ndio tunaomuelewa zaidi, wazungu wanalipa kodi.

  • @jackisonijackisoni6715
    @jackisonijackisoni67155 жыл бұрын

    Huyu jp toka zaman ni jembe kumbe

  • @lazamwa1

    @lazamwa1

    4 жыл бұрын

    hata kikwete alikuwa anajinyea kwa huyu. apeech hii tu kabla hajawa rais unaona alikuwa anaongea kama rais na kumpita rais.

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban86938 жыл бұрын

    utaisoma wewe unaesema magufuli hafai kuwa Rais. magufuli ni Rais na atabaki kuwa Rais na ataendelea kuwa Rais na atadumu kuwa Rais. na Ataiendeleza nchi ya Tanzania kwa uwezo wa Mungu. pia na wewe unaemchukia utapata maendeleo kwa kumchukia kwako.

  • @mgorebahati7582

    @mgorebahati7582

    6 жыл бұрын

    Rahma Shaban kweli kabisaa wataishia kunawa tu. Magu juuu!!!!!!

  • @movahussein1532

    @movahussein1532

    4 жыл бұрын

    Aaaaah kwel rahma m naamin

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi57772 жыл бұрын

    The hero JPM

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda994 жыл бұрын

    Kwakweli kiongozi wa kweli tujifunze kwa Huyu baba

  • @edwardkongo9341
    @edwardkongo93414 жыл бұрын

    My president 2020 upite kwa kura asilimia 100

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta10395 жыл бұрын

    Dr.John Pombe Joseph Magufuli 100%

  • @movahussein1532
    @movahussein15324 жыл бұрын

    Aaaaah mh.magufuli ni kifaa kitambo

  • @josephmapunda3885
    @josephmapunda38854 жыл бұрын

    Nani anaichek 3_11_2019

  • @christopherleonard1264
    @christopherleonard12644 жыл бұрын

    Da! Runzewe home

  • @BARL2020
    @BARL20209 жыл бұрын

    1km =5million usd...

  • @josephgambay5195
    @josephgambay51959 жыл бұрын

    Tuna safari ndefu sana, yani huyu ndo wanamwita waziri jembe

  • @chaomadedo

    @chaomadedo

    8 жыл бұрын

    ila àmeonyesha vile maraisi wanatakiwa kua. one month in office n look what hez done. hats Kikwete hakuwa mbaya. mafungu ya pesa kwa ajili ya maendeleo alitoa ila wizara walimuangusha MTU was watu. love Kikwete God bless u sir

  • @neyozitta1331

    @neyozitta1331

    5 жыл бұрын

    Sio waziri tu, huyo ndo Rais wako

  • @benonyato5137
    @benonyato51376 жыл бұрын

    Jembeeee

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 Жыл бұрын

    3/4/2023.Rais wetu JPM..😭😭😭,UMETUACHA NJIA panda kipenzi.EEEH MUNGU,..... MMMMMH.

  • @movahussein1532
    @movahussein15324 жыл бұрын

    Alie muona nape 2020 km mm ,apo alikuaje jamn

  • @ayubumwasile5978
    @ayubumwasile59788 жыл бұрын

    friends

  • @chazstudiosmwanza2418
    @chazstudiosmwanza24184 жыл бұрын

    Ok

  • @masawemushi7515
    @masawemushi75154 жыл бұрын

    Aidoriii...

  • @missmwayway4704
    @missmwayway47043 жыл бұрын

    Chumaaaaaaaaaaaa

  • @andreakulwa2759
    @andreakulwa27593 жыл бұрын

    Wapinzani mpooo?

  • @anicetsawariya2164
    @anicetsawariya21649 жыл бұрын

    Morogoro road umechemka itafunga watu hii barabara

  • @anthonykisogole3950

    @anthonykisogole3950

    4 жыл бұрын

    Utachemka wewe usie jitambua

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad31253 жыл бұрын

    .

  • @atuganilekabisa1553
    @atuganilekabisa1553 Жыл бұрын

    Bado tunakukumbaka tulikweelewa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo419 жыл бұрын

    Wachina ni vibarua wa Kikwete? Is he serious? I used to think this guy was one of the few smart people who cares about Tanzania.. Wachina are actually taking Tanzanians' jobs even when Tanzanians can do the jobs that are created by Chinese companies and he is in the ministry watching and smiling at vibarua..!?!! Whats the use of investments if they cant help local people with employment? What this dinosaur doesn't realize is.. The money is being sent to China.. ! The Chinese get employed outside China to send money home.. including the money that Kikwete is borrowing from the Chinese government, while he fails to manage the embezzlements within his own government..! A foreigner cant help Tanzania until it downs on Tanzanian leaders themselves that we don't have an uncle to take care of us.. and the issue of Chinese vibarua is a farce.. give Tanzanians jobs.. so they can take care of their families the way Tanzanian resources make the Chinese do.... Otherwise you are just being used by the Chinese government to take care of their over blowing population.. something you cant afford to do.. You cant take care of the Chinese..

  • @dct4lif

    @dct4lif

    9 жыл бұрын

    Billion 45 kwa kilometer 45. That means 1 million $ for every kilometer of road ??? JESUS CHRIST !!!!!!!! THEFT AT EPIC PROPORTION. Ndio maana sisi Watanzania hututakaa tuendelee

  • @myuniversity1991

    @myuniversity1991

    9 жыл бұрын

    Bern comforence.

  • @j_gh812

    @j_gh812

    4 жыл бұрын

    Seems hujielewi na hauelewi....those big road contracts...no local contractor can manage...be it financially nor equipment wise...Sasa ulitaka afanye Nani?na wanapofanya wachina..una maana wafanya kazi woooooote watakua wachina na hakuna locals watakaopata ajira?unazungumza pumba tupu... either una chuki na anko magu Kama wale tunaowajua wa chuki binafsi hata afanye nn Ni lawama tu...au Ni ulimbukeni umekujaa ulitaka uonekane unajua kimombo ushangawe....Tanzania hatushoboki na kimombo....

  • @j_gh812

    @j_gh812

    4 жыл бұрын

    @@dct4lif did he say 45 billion dollars or tzs?mbona umefanya usumption zako mwenyewe?

  • @lowasaforchange1851
    @lowasaforchange18518 жыл бұрын

    magufuli hafai kuwa raisi

  • @alfredycheyo8847

    @alfredycheyo8847

    6 жыл бұрын

    lowasa forchange Anafaa babu yako!!

  • @susangibai2691

    @susangibai2691

    5 жыл бұрын

    lowasa forchange ?????? Pole

  • @neyozitta1331

    @neyozitta1331

    5 жыл бұрын

    Magufuli for change

  • @uledimtumwa2406

    @uledimtumwa2406

    4 жыл бұрын

    Kiko wapi sasa???

  • @samlush6127

    @samlush6127

    4 жыл бұрын

    Choko wewe

  • @PiusJoshua
    @PiusJoshua9 жыл бұрын

    Sifa zooooote hizo. karibu Robo saa nzima kumsifia rais? haaaa too much

  • @teddyoscar6876

    @teddyoscar6876

    5 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣eti too much

  • @anthonykisogole3950

    @anthonykisogole3950

    4 жыл бұрын

    Kumbe tukusifie wewe kwa kukaa maskani

  • @dct4lif
    @dct4lif9 жыл бұрын

    Billion 45 kwa kilometer 45. That means 1 million $ for every kilometer of road ???JESUS CHRIST !!!!!!!! THEFT AT EPIC PROPORTION. Ndio maana sisi Watanzania hututakaa tuendelee.

  • @sputink1

    @sputink1

    9 жыл бұрын

    Adnan Kashogi . Actually that's interesting. I thought they were stealing alot more money. To begin with the math. 45 Billion Tanzanian shillings is about 22 million dollars. That means its 500,000 USD per Km. The average cost to construct an entire road from dust to paved is around 200,000-600,000 USD (World Bank). If they are rehabilitating the road then that cost is halved to about $150,000, and then it would be a serious issue.

  • @magidachimija5599

    @magidachimija5599

    6 жыл бұрын

    Adnan Kashogi we jamaa vipii??

  • @danielluvunzu553
    @danielluvunzu5538 жыл бұрын

    Hapa hakuna raisi

  • @godlovekasaka4166

    @godlovekasaka4166

    4 жыл бұрын

    Daniel Luvunzu mtamuelewa tu nabado mtapata sana huyu ndio rais kipenz cha watu sio mashetan

  • @muhammadsalim7936

    @muhammadsalim7936

    4 жыл бұрын

    Ulitaka baba yako awe Rais ?

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad31253 жыл бұрын

    .

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad31253 жыл бұрын

    .