Historia ya mapembe ya Mombasa

Eneo la Mapembeni katikati mwa Jiji la Mombasa ni mojawapo ya maeneo yanayotoa taswira na mandhari ya Pwani kwa wanaozuru mji huo wa Kitalii. Na japo wengi wanaofika pale hutaka kupiga picha kuashirikia kufika mwambaoni, wengi hawana ufahamu kuhusu historia ya mapembe haya.

Пікірлер: 30

  • @adamkitara3014
    @adamkitara3014 Жыл бұрын

    Natembea hapa kila siku Alhamdulilah

  • @fatmahassan4790
    @fatmahassan4790 Жыл бұрын

    MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadhi Shukran for Sharing.

  • @jamalsaid7475

    @jamalsaid7475

    Жыл бұрын

    Ameen

  • @brandonimbithie3565
    @brandonimbithie3565 Жыл бұрын

    Niice

  • @boraspecial201
    @boraspecial201 Жыл бұрын

    Yes

  • @ismaelmatano3571
    @ismaelmatano3571 Жыл бұрын

    Perfect

  • @mwanajumamwinyi2665
    @mwanajumamwinyi2665 Жыл бұрын

    Mjombangu aliniambia hii story

  • @hassanbinsalman1437
    @hassanbinsalman1437 Жыл бұрын

    Barabara nyingi za mji wa Mombasa zilibadilishwa majina zikapachikwa Majina mengine.Mfano hai Salim Road ikaitwa Digo Road na nyengine nyingi nk.

  • @jamalsaid7475

    @jamalsaid7475

    Жыл бұрын

    Shukran sana Boss Mfano pia Ati Mama Ngina Drive? Kutoka lini ? Hio sehemu siku zote ni Lighthouse na Sio Mama Ngina ! Majina mengi ya Mombasa ambayo ndio Original,Wamefanya Unyama kubadilisha majina Original. Very 😥 sad 😥

  • @jamalsaid7475

    @jamalsaid7475

    Жыл бұрын

    Kwani Majina Original ya Pwani lazima Kubadilishwa? Lakini pia Viongozi wetu pia wako kimya kabisa.

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 Жыл бұрын

    Why change the name from original KILINDINI ROAD To MOI ROAD ? BETTER TO RENAME IT AS IT USED TO BE CALLED BEFORE AS IT IS PART OF HISTORY KILINDINI ROAD

  • @baloz8974

    @baloz8974

    4 ай бұрын

    I know it's kilindini road until when did they change it

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 Жыл бұрын

    Ungewaambia hio barabara inaenda mpaka liwatoni floating bridge

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 Жыл бұрын

    ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @Omosh003
    @Omosh003 Жыл бұрын

    Bomoeni izo UJINGA zenu,,, mueke picha ya mekatilili.. Queen Elizabeth ni wa uzunguni, jameni TUACHE kuabudu vya WAZUNGU

  • @chrisroger-vt3bf
    @chrisroger-vt3bf Жыл бұрын

    Beautiful i feel to be your lover dear

  • @muonlinetv1879

    @muonlinetv1879

    Жыл бұрын

    Lgbtq

  • @JumaDaniel-ux5wv
    @JumaDaniel-ux5wv Жыл бұрын

    M inasimamia mansions

  • @Wastara001
    @Wastara001 Жыл бұрын

    Tunasema katikati ya sio katikati mwa. Wanahabari mnatuaibisha

  • @gracerehema5070

    @gracerehema5070

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂 ni "mwa" kwasababu ni mji wa mombasa kihusishi kimilikishi katikati mwa mji wa mombasa si ya mji cjui umeelewa

  • @Wastara001

    @Wastara001

    Жыл бұрын

    @@gracerehema5070 kasome vihusishi kwa kina. Acha kukurupuka

  • @gracerehema5070

    @gracerehema5070

    Жыл бұрын

    @@Wastara001 nmevisoma n ndomana nmekurekebesha kitu cha kwanza km unajifanya unajua nambie vihusishi n nini n unipe mifano n ngano zake

  • @yussufhassan6341

    @yussufhassan6341

    Жыл бұрын

    Umechemsha kaka😂😂😂... Na ulivokuja kwa pupa

  • @Wastara001

    @Wastara001

    Жыл бұрын

    @@yussufhassan6341 vunja hoja kwa kutoa hoja...tena ushahidi wa kiisimu sio makeke na vishindo

  • @mtuwawatuhoyee6549
    @mtuwawatuhoyee6549 Жыл бұрын

    Waarabu walikuwa wakishurutisha waafrica kupepesha pembe mpaka kilindini. Huo ndio ukweli.

  • @Khalid-mf3iu

    @Khalid-mf3iu

    Жыл бұрын

    Jitu lenye chuki detected

  • @kibalakishundundu2904

    @kibalakishundundu2904

    Жыл бұрын

    Waarabu ya wahusu nini na hapo NI kulikuwa KITOVU cha wakilindini MPAKA mzimle kule mama ngina wata chuki uliza wanati

  • @fatumamwalimu5765

    @fatumamwalimu5765

    Жыл бұрын

    Kama wazungu walivyo tupora mashamba na sasa wanatuletea ushoga na usagaji, sijui hathari kubwa hapo ni ipi

  • @jamalsaid7475

    @jamalsaid7475

    Жыл бұрын

    @@fatumamwalimu5765 Kweli kabisa sister Kiswahili kitukuzwe! Kutoka lini Halambe ikawa Harambee? Kutoka Lini Lighthouse ikawa Mama Ngina Drive? Kilindini Road ikawa Moi Road? Bure kabisa. Wajaribu kubadilisha Historia ya Mombasa. Mungu Atawashinda kwa Njama zao.