HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR

fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Safia Hussein
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Editors:
Ali Hassira
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• MTOTO WA TURKY AJITOSA...
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

Пікірлер: 454

  • @ummimohamed2148
    @ummimohamed21482 жыл бұрын

    Nimeirudia mara mbili kuskiliza vizuri sijaona neno au kitu ubaguzi hapo nilichoona kuwa wamependwa na wameonelewa huruma kufatwa na kujulikana maisha mabaya wanayoishi na inshallah Allah atajaalia iwe sababu ya wao kupata stara na wepes wa maisha yao ameen.

  • @KhojaNasri

    @KhojaNasri

    Жыл бұрын

    Amen

  • @zebedayokatamaduni9676

    @zebedayokatamaduni9676

    4 ай бұрын

    Sasa hivi kuna wimbi la ushoga serikali iwe makini sana.mimi nimepata wasi wasi

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul79482 жыл бұрын

    Jaazakumullahkhery kwa kuondoa munkari kwa mkono ajabu leo atamzanzibar eti ktka haya anatetea wye kama mwanao utaona mazur kama c mimba tu haya ndo yanareta majanga na njaa ktk maeneo yetu khatari ref:-Qur8:25

  • @aliaboud9202
    @aliaboud92022 жыл бұрын

    Watu sio kama wanapenda kufanya hivi ispokua maisha yamekua magumu watu wana struggle kutafuta pesa kazi yoyote wanafanya

  • @mahinduzihonorech

    @mahinduzihonorech

    4 ай бұрын

    Upewe mauwa yako kabisa iyo Ni Kweli 🎉🎉🎉

  • @nassorali1034
    @nassorali10343 ай бұрын

    Mie hekima yangu pindi wakikutwa tena km hivo wote wapimwe virusi ....hao wamekuja kujiuza lkn walishaambiza wakiulizwa wote kwapamoja waseme kauli zilofanna waseme tumekuja kutafuta maisha nasio kujiuza ...lkn hao wamekuja kujiuza ....wasohaya wala aibu kulala pamoja nawawake wanaume astahafirullwahi

  • @amoursalum8266
    @amoursalum82662 жыл бұрын

    Siwalaumu kw sababu wamejitoa kutafuta maisha...ndio njia y kujikwamua na umaskini..ni heri y hili kuliko kua wala unga na wauza viuno

  • @papaadialoo
    @papaadialoo2 жыл бұрын

    Ukiwa katika uongozi una gari la serikali hujui kama wako wengi wanalala chini TZ wee unastaajabu

  • @salummzee9739
    @salummzee97392 жыл бұрын

    Daah mitihan mikubwa Allah atujaliye kheir

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan73462 жыл бұрын

    Nimewasifu kweli vijana mpo vizur mnatetea riziki

  • @mahinduzihonorech

    @mahinduzihonorech

    4 ай бұрын

    🎉🎉🎉

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous16362 жыл бұрын

    Kipindi cha uchaguzi mnawakumbatia na mnawapa vitambulisho ili wawapigie kura ukimaliza uchaguzi hamuwahitaji any ways hiki kitu si kizuri

  • @fortune3502
    @fortune35022 жыл бұрын

    Cha msingi hapo watFutiwe mazingira salama waendelee kupambana na maisha. Wanaume wapewe bweno lao na wanawake lakwao maisha yaendelee hata mkiwatoa bila suluhisho ndio mtaongeza matatizo zaidi maana hawana pakwenda wataenda kusimama huko barabarani bila nguo.

  • @lowrenceanitha7156
    @lowrenceanitha71562 жыл бұрын

    Mbona wenyewe hawana shida! Mbona wazanzibar wengi tu tunalala chini mpaka hao iwe ajabu. Sababu zenu hazina mshiko

  • @dekanyaktown.255
    @dekanyaktown.2552 жыл бұрын

    Ukiona bango lime andikwa ajira mshahara mnono ukifatilia ndy kazi kama hizo.

  • @saidhassan7779
    @saidhassan77792 жыл бұрын

    WABONGO WAEREJESHWE KWAO TUMEWACHOKA SANA HATUTAKI KWETU ZANZIBAR

  • @mohamnedsalum2150

    @mohamnedsalum2150

    2 жыл бұрын

    Usiwe na ubaguzi

  • @kanyamageorge7015

    @kanyamageorge7015

    2 жыл бұрын

    Wanatafuta kazi.Laghai hiyo ukiwapata sana kuna jambo wako tayari kwa lolote!

  • @azizaferuzi5856

    @azizaferuzi5856

    2 жыл бұрын

    Mbona nyie mmejazana bongo kwani kwenu atuamii tumegomaaa

  • @saidhassan7779

    @saidhassan7779

    2 жыл бұрын

    @@mohamnedsalum2150 Hehehheh

  • @rukiamkumba8038

    @rukiamkumba8038

    2 жыл бұрын

    Nyinyi mbona mumejaa uku bongo mbona sisi atuwafukuzi koma wewe

  • @jumammanga0297
    @jumammanga02972 жыл бұрын

    Hio inaitwa Zanzibar njema atakae aje

  • @Awatee

    @Awatee

    2 жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @khadijakhatibuhaji7284

    @khadijakhatibuhaji7284

    2 жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @khadijakhatibuhaji7284

    @khadijakhatibuhaji7284

    2 жыл бұрын

    Zanzibar njema vooo, kwani haitangazwi Hawa wabongo warudi kwao uko wakafanye shughuli zao mjini na mashamba wamejijaza vibaya mno Hawa watuuu balaaa zito mm naona loooh

  • @saidali5964
    @saidali59642 жыл бұрын

    Makampuni vijana waekeyeni mazingira mazuri yawe tofauti ya wanawake na. Wanaume Kisha usalamauzingatiwa hata afiya zao muhimu iliwatafute riziki Kisha wawe salama

  • @mahinduzihonorech

    @mahinduzihonorech

    4 ай бұрын

    Toka APA nawewe

  • @mahinduzihonorech

    @mahinduzihonorech

    4 ай бұрын

    Boss ngani Alisha kutafutiya mazigira mazuri nikutumika Tu mwisho wasiku unakyakiwa navyako weye fhala Nini

  • @yanheuaaoci7337
    @yanheuaaoci73372 жыл бұрын

    Hiyo si.kweli,hao raiya wetu wana asilimia kubwa ya kupatwa na maradhi ya kuambukiza ,ikiwa inaweza tokea miongoni mwao, kizuri ni kuwasaidia waelewe pamoja na kwamba ni maisha ya utafutaji,wazazi wajuwe nini wanacho kifanya,na nani anae waajiri, na kwa mazingira gani,watu wana kaa hivyo ikiwa wameenda kutafuta nchi za wenzio,maana huko huna ndugu wala huna tumaini la kupata msaada kwa yeyote yule...inaweza eleweka,lakini ukiwa mchini kwenu ,kwa.kweli mazingira sio.mazuri. hamuwezi kuwa wakimbizi mchini kwenu kipindi hakuna vita.

  • @zendopkop2310
    @zendopkop23102 жыл бұрын

    IPO haja ya watu wenu waangalie vipindi vya habari ili wajue jinsi ya kuhoji ki professionaly

  • @haroubalkharusy9117
    @haroubalkharusy91172 жыл бұрын

    Hapo kuna biashara haramu...!! Hiyo promoshoni ni geresha tu....!!! Angalia hao wanaofanya kazi maelezo yao, wamepewq mafunzo maalum ya mkakati ili kuficha uhaLifu na uasherati inaofanywa hapo.. !!! Big UP Mh Sheha... Keep it UP....!!!

  • @saidmkashari6002
    @saidmkashari6002 Жыл бұрын

    Assalamualaikum Mimi nishawahi kufanya kazi hiyo ila sijawahi kulala chini hata kama masikini sivyo hivyo wanafanyiwa hata saivi ninavyoongea nipo kwenye kampuni hatujawekwa chini na tatizo serekali yenu tunapenda kuwa chini Hilo tatizo ushauri wangu Kwa serekali wangalie sana kuhusu jambo kama Hilo Kwa sababu wengi hatujasoma na wengine wamesoma. Changamoto ya maisha tutaweza kusema tumeridhika ukweli sivyo hivyo

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula55422 жыл бұрын

    Hapo hakuna kibarua/ajira. Kwani hao wakilipwa posho zao au mishahara yao wanatunza wapi, usalama wa posho, nguo zao za ndani au faragha yao ya kuoga inakuaje? Hapo kuna shida na wao ni kama hawajielewi au wamepumbazwa. Morogoro kuna fursa nyingi warudi hao labda wana mipango tofauti hiyo ni zuga tu.

  • @zebedayokatamaduni9676

    @zebedayokatamaduni9676

    4 ай бұрын

    Hao kuna kazi ambayo siyo nzuri wana fanyishwa na hao vijana hawa jielewi

  • @jumarajab2754
    @jumarajab27542 жыл бұрын

    Mimi nadhani kuwaondoa sio sulihisho wenyewe hao vijana nishakubali mazingira hayo.Mmiliki sasa ambiwe waongeze japo mabanda ya kukaa hao vijana na kwa jinsi nilivo wasikia wengi ndg zetu kutoka Bara mkifunga washafanyakazi hao MASLAHI yao

  • @jokhasimba586

    @jokhasimba586

    2 жыл бұрын

    Jamani ni mtihani hao vijana.huoni jinsi walivojikwekweneza hapo chumba kkmoja wa zaid ya 20 wengine hao.usiku.wanakwenda kijiuza na wengine hao hao ndio.wezi.wanawapora.watu ⁰hao.kwa.hyo.seeikali waliangalie kwa.macho.mawili.hlo

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu34672 жыл бұрын

    Yaaan wamenilumbusha kweli hawa mwaka 1995 wazanzibar tulipokimbilia london lakin sisi ilikuwa chumba watu 6 hawa wametisha watu 80

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor73962 жыл бұрын

    wabongo wamejaaaa

  • @mbwenyali2357
    @mbwenyali23572 жыл бұрын

    بارك الله فيك

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim8302 жыл бұрын

    Duh ndugu zetu watanganyika nawaoneeni huruma xn, poleni xn

  • @abubakarmohamed8275
    @abubakarmohamed82752 жыл бұрын

    Tena Hawa masheha wamezidi kuzalilisha watu na hawajui wajibu wao wa kazi hao vijana wameshakaa muda mrefu yy alikuwepo wapi inawekana amenyimwa pesa kaona awaripue wakati yy mwenyewe anamakosa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz59802 жыл бұрын

    Dah! Mtihani kwakweli.

  • @user-ty2jr2gk4w
    @user-ty2jr2gk4w3 ай бұрын

    Njyoni nyinyi kwani maisha kwenu hakunina ebo vip nyiny

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum49762 жыл бұрын

    Mtihani .znz kwisha ss.

  • @innocentpeter6409
    @innocentpeter64092 жыл бұрын

    upumbavu amjui shida sisi tumelala nje tena kwenye mchanga shuka kavelo leo hao wanalala ndani mnawasumbua hamjui maisha

  • @jeraldboman3053

    @jeraldboman3053

    2 жыл бұрын

    Kwel kaka had leo tunalala pazur!

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma91462 жыл бұрын

    Wapo vzr wafanyakazi. Hongereni

  • @mahinduzihonorech

    @mahinduzihonorech

    4 ай бұрын

    🎉🎉🎉 ndiyo kabisa

  • @dissimmadi2773
    @dissimmadi27732 жыл бұрын

    Nisawa ni kweri kabisa umefanya kazi Mzuru kabisa

  • @aboudshauri2357
    @aboudshauri23572 жыл бұрын

    Tatizo la ajira kwa vijana wetu na umasikini uliokithiri naona huruma. Mungeliwakopesha mitaji wakajiweza

  • @majidkhaled2162
    @majidkhaled2162 Жыл бұрын

    Yaani hao jamaa hapo wanapolala ni pazuri mno kuliko huko kwao wanakotoka. wznzbr tembeeni bara vjijini mukaone maisha ya hao jamaa mutawaonea huruma. Kwao hao ni vbanda tu nakwenda mbele. Hapo wanaenjoy maisha sana kulala chini haiwasumbui hata chembe lakini inawezekana kuna lengo maalum tusubirini tu tutaona.

  • @omarynassor6313
    @omarynassor63132 жыл бұрын

    Mimi nimesoma darasa lakwanza mwaka 1981 tangumwaka huo mpaka nimemaliza skuli sijawahi kukaa kwenye vumbi labda kukaa kwenye sàkafu na nilihamiahiwa karibu skuli 4 wkati niko skuliya maingi skuli ya jangómbe darasà la 4 (1984)tulikuwa tunakaa kwenye viti na meza ijekuwa wakati huu useme wanfunzi wamakaa kwwnye vumbi

  • @rashidikanyama7227

    @rashidikanyama7227

    2 жыл бұрын

    Sasa br Omary hiyo miaka ya 80 acha hiyo Leo hii Kuna ndugu zetu jua lao baridi yao vumbi lakwao kila ambacho nifedheha kwa mwanadamu yeye ishakua ni maisha yake Hana jinsi kuyaishi

  • @nassorali1034
    @nassorali10343 ай бұрын

    Ndio jela wanawekwa watu milioni chumba kimoja lkn tayari kule nijela na wale niwafungwa walikua wahalifu lkn wao ni raia wakawaida iweje waishi namna km hii nakila mmoja anatakiwa kulinda vyema afya yke ivo kweli usalama upo hp nimtihani

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises27282 жыл бұрын

    Jamani kulala chini sio mateso ninyi wandishi ni watu wa nchi gani kwa sisi tulio kulia vijijini kulala chini ni kawaida kabisa kwa nza kulala chini ni ni tiba ya mgongo tuko shambani kulima unataka uwe unalalia tandiko waacheni vijana watafute maisha na huko ndiko kujiajili

  • @jumamussantuiche

    @jumamussantuiche

    4 ай бұрын

    Unatetea

  • @othmanabdallah3146
    @othmanabdallah31463 күн бұрын

    Sasa serikali kwanini msiwasapoti hao kwa kuwaletea vitanda vya double decker na magodoro, kumbukeni hao ndy wapiga kura wenu wakiwa bara au zenji.

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd25502 жыл бұрын

    Dah, Mungu awasaidie

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren88362 жыл бұрын

    uyu mtangazaji boya sana na sio professional hta kdg, hapo kulikua na maswali mingi san ya kuwahoji ili ujuwe changamoto zao yey ameshikilia "umerizika kulala chini?" sas alitaka awachukuwe kwao au vp

  • @veronicashayo5075
    @veronicashayo50752 жыл бұрын

    Mm naona wangetumia busara wakawatafutia sehemu yakukaa lakini kuwafungia hiyo siyo suluhisho watafutaji wanatakiwa kupewa sapoti

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed47682 жыл бұрын

    Malengo ya Makafiri yanazidi kutimia, Imeshawishiwa kuondoa PASS PORT na matunda ya Muungano ndo hayo. Muungano ni mzuri lakini sio kihivyo.

  • @mwamdudetv3539

    @mwamdudetv3539

    2 жыл бұрын

    Subuhana unawaita wezio kafiri ilihali ww mwenyewe hujui kesho yako je jiulize marekan uingereza nchi zile ni zakina nan asilimia 99 na wakristo je wazanzibar bari hawaishi kule ndugu ushauri wa bure tembea uyaone

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul79482 жыл бұрын

    Nimajanga hyo wake kwa waume mchanganyko hiyo khatari tuwachie wafanye kazi yao km serikari kazeni buti ndugu zangu si jambo zuru lina reta shubuha .

  • @africaoman1923
    @africaoman19232 жыл бұрын

    Hao wazanzibar wasijafanye kwao ndo wanauwezo ikiwacmasikini wenzao wanakuja sana bala uku kuu za magenge ya nyanya acheni midomo mirefu mtajuta uwo ugawaji manao utaka ..

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba16472 жыл бұрын

    Mlikuwa mnataka wawe majambazi? Ajira zenyewe hakuna sasa mlikuwa mnategemea nini kwa taarifa yenu kuna vijana kama hao wanaokadiliwa kufika millions kumi na tisa hawana ajira subilini sensa mtajua hali ni mbaya hasa mijini hambako hakuna mashamba

  • @isackakyoo6446

    @isackakyoo6446

    2 жыл бұрын

    Hahahahaha, kweli ajira hamna

  • @zainabmahmoud5501

    @zainabmahmoud5501

    2 жыл бұрын

    Sasa siwangebaki kwao basi wakalima kwani lazima wake huku ajira ndo Hamna huku tumejaa tele wakalima wakishindwa na kwao pia miji ipo wangepaki tu kwao hii ni kusababisha makahaba na vibaka kuwa wengi

  • @rashidikanyama7227

    @rashidikanyama7227

    2 жыл бұрын

    @@zainabmahmoud5501 We mbulula kweli Yani watu wanapambana wewe unaongea ungese

  • @zainabmahmoud5501

    @zainabmahmoud5501

    2 жыл бұрын

    @@rashidikanyama7227 mbulula mimi au hao ndugu zako wasio na akili mara ngapi wanakamatwa kwa kurundikana mmezidi mbaki makwenu mmeuwa kero juzi tu walikamatwa wanalala kwenye varanda za majumba yamichezani mtu kwa mkijiona Hamna ajira mrudi makwenu sio kuzurura ovo kuna mambo hapa znz hatuna asilili nayo kwetu ni maajabu walasiushamba mbaki makwenu mlime mnaardhi yakutosha na sio uko tu aende kwenye mahoteli hao wanaoletwa kwenye treina mijitu tele Kazi hawapewi wanahakaika kutafuta mabwana hawana pakukaa et kulima ndo hawawezi rudini makwenu hamjafukuzwa kwenu

  • @belgieboys9867

    @belgieboys9867

    2 жыл бұрын

    Walikuwa wabakie makwao wakalime kuna mapori tele ya kulima znz haina nafasi hata ya kulima

  • @khatibjuma9455
    @khatibjuma94552 жыл бұрын

    Nazani nivyema mwenyekiti hiy nyumba ifungwe ama atafutwe mwenye kuweka hao vijana kwa maelezo zayd

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby17102 жыл бұрын

    Kwakweli m/mungu awasaidie

  • @sultanramadhan5269
    @sultanramadhan5269 Жыл бұрын

    Wa znz mna pupa mngepandikiza watu wenu kuupata ukweli inawezekana wanakusanywa ili kuuzwa nje ya nchi, pia mnajua fika kwamba mashoga na wasagaji wanatamani dunia nzima tabia zifanane na wao mshaukosa ukweli, na hakuna kampuni itarundika kundi ktk la watu ktk nafasi finyu na hasa wanatoka nje ya znz hiyo Habari limenitia chungu mimi km mzazi.

  • @moahmed7588
    @moahmed75882 жыл бұрын

    mtihani lakini wenyewe wameridhika kwasababu kwa uono wao hapa Zanzibar ni kama ulaya. Sawa na wewe unaewashangaa hawa lakini jamaa zako wako Ulaya wanaishi kama ivo au kuliko. Nao pia warudishwe. Pia hawa wakitolewa apo bila ya utaratibu mzuri watazagaa mtaani. Zanzibar inapoteza haiba yake kila kukicha

  • @yanheuaaoci7337

    @yanheuaaoci7337

    2 жыл бұрын

    Ulaya yote,marekani haishi mtu hivyo...wanaoishi ivyo huku tuliko ni.wale ambao walifanya makosa ya jinai,na sio kwa mara moja tu, ni baada ya kufanya hivyo mara3, alafu serikali uchukuwa hatua ya kuwanyang'Anya vitambulisho,ndo hapo mta waona ni ombaomba mitaani kote... na kulala kila sehemu mbaya, ikiwemo porini kama nyama, na chini ya ma daraja...

  • @nassormohammed9742

    @nassormohammed9742

    2 жыл бұрын

    Hata jela ya ulaya hakuna mambo haya

  • @khadijakhatibuhaji7284

    @khadijakhatibuhaji7284

    2 жыл бұрын

    Mmmh hii hakuna kuridhika Wala nn serekali iwafanyie utaratibu wa kuwarejesha kwao Hawa viumbee, maana wameenea kila sehem nyumba zetu hatuna amani nazo kila siku boti ikitoka daaa kuja unguja inashusha watuu wapya yaani balaaa kwa kwelii, asilimia kubwa ya wanaoishi Zanzibar no wabongo na imeshakuwa sasaaa

  • @selemanijafari9225
    @selemanijafari92254 ай бұрын

    Zanzibar ni sehemu ya kutafuta maisha njoon muwe wengi kuliko wazawa na miaka ikienda iwe yenu

  • @tours15
    @tours152 жыл бұрын

    Faida ya Muungano ndio hiyo

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed36122 жыл бұрын

    Hawa ni kweli wanajiuza miilu yao waogo wakubwa wachukuliwe hatua za kisheria warudishe kwao

  • @fathimamct232

    @fathimamct232

    2 жыл бұрын

    Dhana mbaya wanawake utasema wanajiuza na hao wanaume je?? Hujakwama we ukikwama itakuwa hao wanajiuza au wanachuma ki Halali kama kujiuza huko mikowani kwao hakuna hiyo kazi mpaka waende Zanzibar??

  • @estakapufi7582
    @estakapufi75822 жыл бұрын

    Sema metafuta sababu hapo Zanzibar kuna watu wazaliwa wana lala chini mpaka vitoto vichanga msijifanye mnawaonea huruma hao wenyewe wameshasema wako kwenye utafutaji cha msingi kampuni iwatambulishe kwa shea basi, kama kweli mna huruma mbona huko Zanzibar kuna watu wanalala chini kwenye nyumba za maktuti tena zinavuja leo mna wafukuza hao ayo nimaisha ya utafutaji huchagui pakukaa wala pakulala.

  • @zebedayokatamaduni9676

    @zebedayokatamaduni9676

    4 ай бұрын

    Sasa watoto kulala chini siyo hoja Hoja ni kwamba kwa nini watu wengi 80 waishi kwenye nyumba moja?

  • @zebedayokatamaduni9676

    @zebedayokatamaduni9676

    4 ай бұрын

    Hivi binti yako akiwa kwenye hayo mazingira unaweza ukachukulia kawaida.

  • @jumarocky9544
    @jumarocky95442 жыл бұрын

    Hukusu magodoro si tuwapeni msaada jamani maisha magumu

  • @innocentkyungai1138
    @innocentkyungai11382 жыл бұрын

    hawa watu wa habari ukiwafuatilia unaeza isi wanakutakia maisha mazuri kumbe sivyo

  • @saidissa8273
    @saidissa82732 жыл бұрын

    HAO NDIO WANATUMIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI KIPIGIA FISI M.UKAWASACH WANA VITAMBULISHO VYA UZANZIBARI

  • @ramadhanhushaymaa9622

    @ramadhanhushaymaa9622

    2 жыл бұрын

    Umesem kweli kaka

  • @fatmasuleiman3384
    @fatmasuleiman33842 жыл бұрын

    Kulala chini si kitu kama mtu anatafuta maisha kulala utalala popote pale muhimu uweke ubavu wako tu tatizo hapa ni watu wengi ndani ya nyumba hii haifai hata kwa kiafya nyumba isizidi watu 20hata hivi ni wengi hii hata ukenda nchi yeyote Ile watu wakiwa kama hivi wengi wanatolewa ktk nyumba za kukodi kwa hili walilolifanya si kosa kuwatoa au wangewapunguza tu

  • @papaadialoo
    @papaadialoo2 жыл бұрын

    SI mngechukua record zao mkawaacha walale unatimua watu wakati huna pa kuwaweka ni uongozi wa kukurupuka

  • @jumafundi3133
    @jumafundi31332 жыл бұрын

    Mm naona kull chini hilo siotatizo maana hata sisi ambao tunayo majumbayetu wengine wanall chini ila nibora wazifanye hizonyumba ziwe za wanawake mbali na wanaume mbali wasichanganyike kama hivyo.

  • @isackakyoo6446
    @isackakyoo64462 жыл бұрын

    Sheha wa Shehia ya Chuini Hongera sana Mtumishi wa Mungu wewe kwa kujali maisha ya vijana, kwa kweli Makampuni tujali afya za wafanyakazi na familia taratibu za nchi.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz2 жыл бұрын

    Hawa ndo panya road wa kufugwa

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir99652 жыл бұрын

    Nchi haina utaratibu maalum unawezaje kuwakataza watu wasijazane sehem moja,kuna zaidi ya hao na hawajuilikani kazi zao then matendo ya kihalifu hayawezi kuisha

  • @lmdos4382

    @lmdos4382

    2 жыл бұрын

    @@salma0000 Tembea Dunia uione

  • @hashilfarahani4024
    @hashilfarahani40242 жыл бұрын

    سبحان الله

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea50832 жыл бұрын

    Wauza papa

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi8462 жыл бұрын

    Msisahau kwenda na gereza la kinuwa miguu mkaangalie chumba kimoja wanalala wafungwa wangapi na ni jengo la serikali lile

  • @nassorali1034

    @nassorali1034

    3 ай бұрын

    Sasa ndo ushasema wafungwa lkn haw wao wapo huru pia istoshe kuna mt kasema watu wanalla nje seuze hawa wapo ndani sawa ndohuko kwenu lkn sio huku ushawahi kumuona mzanzibar akaja huko kwenu akafanya mijitabia mibaya km hii kulala mzazibar yeyote hua anasema na shida zake wala haji uko kiujinga ujinga sawa eh

  • @zulfaomar8185
    @zulfaomar81852 жыл бұрын

    Waaache jamani musijifanye maisha mmeyapatia

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm5584 ай бұрын

    Hivi ndio vile viwanja tunowauzia watu tusio warambua kwatamaa zetu waznz mwisho wake ndio huu.

  • @saidamour6938
    @saidamour6938 Жыл бұрын

    Hii sio haki kabisa hawa wafanyakazi hawana makosa kabisa , mngewatafuta wamiliki wa iyo kampuni mana mpaka mnaita kampuni ni kwamba imesajiliwa na kupewa miongozo yote na inatambulika kiserikali, kwanini msimalizane na management team? Swala la kulala chini sio geni apo mtu anakwambia ana miezi minne Zanzibar kwa kazi hiyo anapataje pesa ya kupanga miezi minne? Me naona hapa protocol za kiserikali zifatwe since wanasajili kampuni kuwe na ukaguzi wa hali ya juu.

  • @nassorali1034
    @nassorali10343 ай бұрын

    Pia kulala chini sio shida muhimu kutafuta riziki ya halali lkn sihawa wamekaa km mamba ninachowapitia wamemeza wapimwe afya nyoko hao

  • @taybinaali9597
    @taybinaali95972 жыл бұрын

    Zanzibar hakuna utakachofanya kikaendelea sasa anawatakia nini lohhh😏

  • @suleog
    @suleog2 жыл бұрын

    Hi nchi ingekuwa watu waingia kwa passport nadhani zanzibar Island ingekuwa na heshima kama visiwa vya japani , Singapore .ila hichi kisiwa ni cha maajabu sana .

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi51042 жыл бұрын

    Aibu kubwa ilioko zanzibar hayo mmeyaona mbona yako mengi yanafanyika zanzibar nyie endeleeni kutujazia watu msilalamike leo zanzibar imekuwa yatima hivi innalillah wainna illahi rajuon masikini zanzibar yetu😭😭😭😭

  • @mwatumsaidi5104

    @mwatumsaidi5104

    2 жыл бұрын

    @@salma0000 sana wallahi

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa48352 жыл бұрын

    Hilo nitatizo aisee

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni352 жыл бұрын

    Huku ni kuingiliana haki na uhuru wa raia wengine. Mtu kulala Chini kwa hiari yake asiingiliwe. Kwanza hii Kampuni inastahiri pongezi kuwapa sehem salama ya kulala kuliko wakiachwa nje mabinti watabakwa nk. Hapo ni sehemu salama waachwe. Hao viongozi wa mtaa wana Lao jambo.. Wivu binafsi. Jambo hili liangaliwe

  • @khaulaaliomar7765
    @khaulaaliomar77652 жыл бұрын

    Hee hiyo sensa itakuwaje!

  • @abuutasniym2675
    @abuutasniym26752 жыл бұрын

    Kulala chini sio tatizo muhim kutafuta rizki ya halali

  • @nassorali1034

    @nassorali1034

    3 ай бұрын

    Umeona ivo lkn hawa huwa hawana ivy

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 Жыл бұрын

    Daaaaah watu wabaya jmn kiasi hichi hawa watu jmn eeeh

  • @user-km7zk1qs8g
    @user-km7zk1qs8g10 ай бұрын

    Mbona gerezani wanalala zaid ya watu 50 tena hao hawana hatia yoyote

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid97652 жыл бұрын

    Wazanzibari poleni sana na msiba huo lakini stahamilini ndugu zenu wa damu hao

  • @saidhomie3368

    @saidhomie3368

    2 жыл бұрын

    Ndio waliopindua hao.

  • @fatmasaid9765

    @fatmasaid9765

    2 жыл бұрын

    @@saidhomie3368 he nakwambia vo mtihani mkubwa wameiharibu nchi yote

  • @DM_15
    @DM_152 жыл бұрын

    Mimi maoni yangu hapo hakuna tatizo nimaishatuu. Wewe unaeonatatizo ni umezaliwakwenu zipo kwaio hujui shida watu tulisha lalasana chini.tena kwenyenyumba ambazo hazina sakafu na watoto familia.moja tulikua tisa ukiongeza mabinamu wanne 13 tulijilundika room moja Lao watu wanajitafuta kwakazi halali unasema nikosa . Hujawai tembea vijijini ukaona life weweh

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange14832 жыл бұрын

    Atuwa kali ichukuliwe apo kuazia kwaviongozi kunakitu kinafichwa apo

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh6692 жыл бұрын

    Wameletwa kueneza dini Yao ao wooote wakiristo baada ya miaka 2 Zanzibar wakiristo wengi kuliko waislam halafu ikifika usiku wanajiuza hawajapimwa wanaeneza ukimwi tu

  • @mrpresedanthaji4792
    @mrpresedanthaji47922 жыл бұрын

    Je ww unataarifa nao mtu akitoka sehemu kwenda sehemu nyengine nilazima wawe na barua ya uhamisho kwenda sehemu nyengine km barua ya mzee wa kijiji au barua ya sheha

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 Жыл бұрын

    Mimi namuuliza huyo anaehoji je yeye anapata stahiki zake zote huko kazini Kwake? Always anaetafuta hachoki na siku zote mzigo wa mwenzako ni mzito lkn wanaofanya kazi private ndio hukutana zaidi ya hayo.

  • @raksulmayraa4233
    @raksulmayraa42332 жыл бұрын

    Daah yaan hiii ichii hiii mnasema watu wajiajirii wanatafta Ajiraa ety mnalalamikaa watu wengi ah sasa hapo c kila mtu anaakili yake hapo na hakuna alolazimishwaa au mlitaka wawe matapeli awoo watumalize cc wa ngazi ya chinii

  • @raksulmayraa4233
    @raksulmayraa42332 жыл бұрын

    Acheni ujinga uwoo sasa mnafunga milangoo wanaparagunyuka wanaenda wapii c ndo mnatafta matatizoo buree uskute hawo wanawakee baadhi yao wamekataa wanaume ukoo kwa kuridhika na kipato chao sasa apoo utamfanya amfikirie hugo mwanaume alie mkataa eee mana ndo hana mwenyeji itabidi amkubali tuu.

  • @aviwamwadin1769

    @aviwamwadin1769

    2 жыл бұрын

    Wataenda kwao walikotoka

  • @lmdos4382

    @lmdos4382

    2 жыл бұрын

    @@aviwamwadin1769 Utawagharamia wewe hizo safari?

  • @ilyaaswambi1622
    @ilyaaswambi16222 жыл бұрын

    Hao ni watu, ndugu zetu, wana shida ya maisha kama wengine, ni vyema busara itumike, wasaidiwe, kwa hiari mtu hawezi kwenda hapo

  • @rumesibarka5312

    @rumesibarka5312

    2 жыл бұрын

    Umesema kweli kabisa Ni shida za kutafuta maisha. Lazima tuandae mipango maalum kutatua tatizo hili.

  • @nyembomajidi3027

    @nyembomajidi3027

    Жыл бұрын

    wafrica tuko na shida kweli kwaza rangi nyeusi roho chafu, kama si wahalifu na wanatafuta maisha ya nini kuwasumbua serekali wachunguze

  • @adiladil345
    @adiladil3452 жыл бұрын

    Bakar amor wazanzibar wakati wowote twataka tugawane mbao

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma32312 жыл бұрын

    Funga Hiyo sehemu

  • @suleimansalim8744
    @suleimansalim874419 күн бұрын

    Kulala chinii ni ajabuu jamanii katika kutafutaa

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman93242 жыл бұрын

    Subhanallah

  • @giallabinally9580
    @giallabinally9580 Жыл бұрын

    Mbona jela watu wanalala chini waachieni huru wafungwa muyafunge magereza watu wanaongea wameridhika kwasababu wapo kwenye utafutaji munawafukuza linafunga nyumba je munajua huko wanapoelekea wanaenda kufanya nn?think before judge this is not fair

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j2 жыл бұрын

    Sioni ubaya hapo chaumuhimu viongozi muangalie wanavibali sahihi huku uarabuni wanalala chini

  • @majabiali973
    @majabiali9736 ай бұрын

    Achene kunyanyasa wat jaman na sisi tuko oman tunapitia chanagmoto kibao ba wala hamufanyi lolot mnakera bnwa mtu akiamua kutafuta ashakubali lolote litakalo tokea mnakrea bwna

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Жыл бұрын

    Kama wanaridhika waendelee na kazi . Wangeteseka wangesema.

  • @bebisheni4380
    @bebisheni43802 жыл бұрын

    Sukuma ndani

  • @zainangasu3198
    @zainangasu31982 жыл бұрын

    Nyie jiteteeni kwa njia nyingine acheni kusingizia walio toka kwani hawajaonekana wao mumeonekana nyie mungu awasaidie muondokane na maghadhabu hayo

  • @dilipdab3714
    @dilipdab37142 жыл бұрын

    Munafeli.wapi

  • @abdalajuma4552
    @abdalajuma45522 жыл бұрын

    Peleka kwao tanganyika malaya tu wanao tuharibia maadili ya kizanzibar

  • @habibadaudi8242
    @habibadaudi82422 жыл бұрын

    Mm sisemi kitu Ila kwamaisha nilopitia kulala chini nikawaida tu kama natafuta