Full Video: HARMONIZE Alivyomchezesha MAGUFULI, KIKWETE na MKAPA Leo..

Full Video: HARMONIZE Alivyomchezesha MAGUFULI, KIKWETE na MKAPA Leo..
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize leo Februari 17, 2020 amefanya shoo mbele ya Rais Dkt John Magufuli akizindua kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya TASAF katika ukumbi wa Mikutano wa JNICC jijini Dar es Salaam.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 71

  • @hassanselekilongoji7133
    @hassanselekilongoji71334 жыл бұрын

    Big up konde nipe likes kama unamkubali konde boy # jeshi

  • @calebokinda6601
    @calebokinda6601 Жыл бұрын

    This boy is talented! Kenyans accepted him

  • @lecreateurs8348

    @lecreateurs8348

    4 ай бұрын

    Yes indeed talented

  • @stthomaseyeclinic4318
    @stthomaseyeclinic43182 жыл бұрын

    Magufuli we miss you 😢

  • @MMB172
    @MMB1724 жыл бұрын

    kazi nzuri KONDE loving you all the way from Embu,KENYA

  • @kongajoe310
    @kongajoe3104 жыл бұрын

    Kazi nzuri hormozine

  • @saidadam9403
    @saidadam94034 жыл бұрын

    Kazi nzuri sana konde

  • @nunuuali5316
    @nunuuali53164 жыл бұрын

    Konde hawakuwezi haki vile

  • @alphoncesamwel3380
    @alphoncesamwel33804 жыл бұрын

    Huu ni mfumo wa kumpoteza Alikiba kama upo na mimi like

  • @ummiyahlam5129

    @ummiyahlam5129

    4 жыл бұрын

    Na mond atampoteza

  • @ummiyahlam5129
    @ummiyahlam51294 жыл бұрын

    Wimbo nimzur Sana big up bro

  • @pascalkana3103
    @pascalkana31034 жыл бұрын

    Harmonize wewe ndo musanii bora wa kipindi hiki chamagufuli

  • @zachaa255-eone2
    @zachaa255-eone24 жыл бұрын

    Huu ndio mziki napenda unahisi kweli kwa jamii pia me cha kwanza nachozingatia mziki mzuri ni melody pili ni ujumbe

  • @agentansela9946
    @agentansela99464 жыл бұрын

    Kazi nzuri sana brother

  • @egidiusaloys9341

    @egidiusaloys9341

    4 жыл бұрын

    7

  • @innocentchacha1082
    @innocentchacha10824 жыл бұрын

    Aliyesikia "Rais wa Muungano ya Jamhuri" nyosha mkono juu

  • @dariusmbotela8778

    @dariusmbotela8778

    4 жыл бұрын

    That's Called "Poetic Licence" Buddy Don't Be A Critic Who Just Listen To Pinpoint A Mistake You're Missing A Target!!!

  • @hemedmnyambwa5502
    @hemedmnyambwa55024 жыл бұрын

    Nakuunga mkono dogo Ila nilikuwa nakushauri kichwa chako ukiweke fresh unyoe vizuri wewe utabaki kuwa msaniii tuuu, N mtizamo yangu huu

  • @oikosnomos4245
    @oikosnomos42453 жыл бұрын

    naelewa kaka japo nimechelwa ilo gooooooood song kaka big up miaka 9000000000000

  • @oulada93
    @oulada93 Жыл бұрын

    a Guinean from Paris magufuli is the best president in Africa after independence may lord grant his paradise

  • @ramarongi9171
    @ramarongi91712 жыл бұрын

    Asante sana harmonize Hakika wewe Keshia mpambanaji

  • @starniceofficial5492
    @starniceofficial54924 жыл бұрын

    Dope it's fyne

  • @michaelobadiah2137
    @michaelobadiah21374 жыл бұрын

    Daaah safiii sana

  • @juttareich6213
    @juttareich62132 жыл бұрын

    Du hast wirklich super Musik 🎶überall in der Welt und für Mugufuli der nie in Vergessenheit gerät Supertalent

  • @Reagan956

    @Reagan956

    2 жыл бұрын

    verstehst du swahili?

  • @KerengeMahego
    @KerengeMahego28 күн бұрын

    Safii

  • @abdallahmohamed6682
    @abdallahmohamed66824 жыл бұрын

    kaka unajua

  • @ollgfgv9872
    @ollgfgv98724 жыл бұрын

    ukiacha show ya bungeni mumeona nn kingine mi nimeona koti sema harmo utabaki kuwa juu mawingun

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen4754 жыл бұрын

    Jamaa alishawambia itawauma ila itabidi mzoee akuna namna jamaa Ana kula sahani moja na akina makonda kondegang ndo utawala kwa sasa

  • @stevphonenetwork5082
    @stevphonenetwork50824 жыл бұрын

    Vyema sana

  • @suleimanshaban5419
    @suleimanshaban54194 жыл бұрын

    Kawatajaa viongoz bila kufata protoko

  • @dariusmbotela8778

    @dariusmbotela8778

    4 жыл бұрын

    That's Literature Bro!! It's A Poetry Genre, Try To Go Deep I Hope You Gonna Snatch A Thing Or Two

  • @fadhilirashidi4982

    @fadhilirashidi4982

    4 жыл бұрын

    Acha majungu mzee hiyo ni kazi ya fasihi au we ni mwalimu wa kijijini nini

  • @fadhilirashidi4982

    @fadhilirashidi4982

    4 жыл бұрын

    Acha majungu mzee hiyo ni kazi ya fasihi au we ni mwalimu wa kijijini nini

  • @kingkileli951

    @kingkileli951

    4 жыл бұрын

    Protoko nenda kwenu

  • @frozen4rozen475

    @frozen4rozen475

    4 жыл бұрын

    Wewe muislamu gani uliejaa chuki na wivu wamaendeleo protoko protoko kwako

  • @muteterazina2684
    @muteterazina2684 Жыл бұрын

    👍👍👍🇬🇦

  • @africanfamilyculturetvonli7639
    @africanfamilyculturetvonli76392 жыл бұрын

    Nguma nzuri Tembo

  • @TiloThobias
    @TiloThobias2 ай бұрын

    I Will never forget magufuli

  • @veroniquemango1114
    @veroniquemango11143 ай бұрын

    Kabasa

  • @benedictolubengo4324
    @benedictolubengo43242 жыл бұрын

    I believe God gave God took toe it's too sad😒😭😭😭

  • @timothykiprop5474
    @timothykiprop54744 ай бұрын

    this guy made magufuli forever alive

  • @marywambia2476
    @marywambia24764 жыл бұрын

    The hair 😭😭😭💇

  • @rajabumapunda416
    @rajabumapunda4164 жыл бұрын

    raisi lazima uwe na mke ili ueshimike mondi unatakiwa uowe dogo anakupiga bao napia mpende baba ako

  • @erickathanas281
    @erickathanas2813 жыл бұрын

    Yaaaaan! Weweeee unajuA kwa kila ki2 nakukubali kupita kiasi konde boy uajua san atakam watu wanasema unakopi lakn m siach kukup sapot

  • @CatherineChales-gf1uw
    @CatherineChales-gf1uw8 ай бұрын

    Atakae taka kumshusha hamo ajipange sana

  • @mkumbomsemembo7661
    @mkumbomsemembo76614 жыл бұрын

    Konde boy juu ya mawingu

  • @annamerry9563
    @annamerry95634 жыл бұрын

    Bila diamond Leo hii harmo angemfahamu nani bigup mond

  • @khamsihamad8407

    @khamsihamad8407

    4 жыл бұрын

    Wewe acha ujinga mondi ndo nan co alimkimbia ,,,,,

  • @osmandingi

    @osmandingi

    2 жыл бұрын

    Tulilipa demni achaneni na Sisi jeshiii

  • @godfreymasabwida4064
    @godfreymasabwida406411 ай бұрын

    Liharmonize linaimba zaid ya lilivyokua wasafi

  • @daviessikasula703
    @daviessikasula7034 жыл бұрын

    Jama wewe niyatali

  • @jaziumusa4131
    @jaziumusa41314 жыл бұрын

    Naona wewe sasa game uliwezi siasa ninyingi we mujamaa

  • @agustinobeno6838

    @agustinobeno6838

    4 жыл бұрын

    Pesa ndoinatakiwa

  • @hamzakalinga8740

    @hamzakalinga8740

    4 жыл бұрын

    Mwezio ashaingiziwa muamala looh

  • @samfelex7901
    @samfelex79014 жыл бұрын

    Ww ndo unataka kugombea ubunge apa kazi ipo amnakitu wala sikuelewagi ww

  • @frozen4rozen475

    @frozen4rozen475

    4 жыл бұрын

    Utaendelea kuto helewa ivo ivo utabaki auelewi😂😂

  • @mavutomdoka626
    @mavutomdoka626 Жыл бұрын

    Mavuto

  • @shedrackmegustar6800
    @shedrackmegustar68004 жыл бұрын

    😂😂 matako

  • @kongajoe310

    @kongajoe310

    4 жыл бұрын

    Mwenyewe shetani mkubwa

  • @shedrackmegustar6800

    @shedrackmegustar6800

    4 жыл бұрын

    @@kongajoe310 😊

  • @husseinntengu1416

    @husseinntengu1416

    4 жыл бұрын

    True dat

  • @Ryoof-qo7if

    @Ryoof-qo7if

    4 жыл бұрын

    Tanzania semeni Alhamdulilah kwa raisi mwenye kuwaunga mkono wasani wenu na bidi kazi ni

  • @maikorobe4739

    @maikorobe4739

    4 жыл бұрын

    Wekiboko kaka

  • @abdoulazizalimohamed7995
    @abdoulazizalimohamed79953 жыл бұрын

    Tembooo

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini41584 жыл бұрын

    Sikupendagi.lkn mashallah konde

  • @kingsaidovolcano9651

    @kingsaidovolcano9651

    4 жыл бұрын

    Utaipenda tu

  • @samfelex7901
    @samfelex79014 жыл бұрын

    Mpoto ndo anaweza kazi hyo ww amna kitu apo

  • @papatayaralimohamed6950

    @papatayaralimohamed6950

    3 жыл бұрын

    Acha wivu bana.yako yuko wapi ???

Келесі