Fahamu kuhusu Lishe ya Kitambi, Kisukari, Presha katika Sayansi ya Mapishi

Dr Boaz Mkumbo anakuletea somo muhimu kuhusiana na lishe ya wagonjwa wa Kisukari, Presha na kitambi katika sayansi ya mapishi

Пікірлер: 14

  • @MirajiZubera
    @MirajiZubera9 ай бұрын

    Nimeipenda😢

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia97133 жыл бұрын

    Ahsante sana daktari, nimejifunza mengi.

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia97133 жыл бұрын

    Mtangazaji ongeza juhudi kwenye matamshi ya maneno, unakosea sana, haijakaa vizuri.

  • @user-xv9mm3bv1z
    @user-xv9mm3bv1z3 ай бұрын

    Unaujuaje huo udhaifu au ustahimilovu wa mafuta?

  • @mwasitiiddy1089
    @mwasitiiddy10892 жыл бұрын

    Vitoweo ndonn

  • @MirajiZubera
    @MirajiZubera9 ай бұрын

    Lakini nashauri msambaze Kila mkoa Ili kuwasaidia wale walioko mikoani

  • @papafololoofficial
    @papafololoofficial3 жыл бұрын

    Kweli kaabisa watu wengi wamepoteza maisha mapema kwakutokujuwa athari ya kutumia chakula bila kujuwa athari mfano Maji ya kunywa yenye Baridi sana yana madhara Hata supu ya nyama zenye mafuta mengi nihatari kwa afya . wali wa kila siku unamadhara makubwa kabisa huvunja hata nguvu za kiume.

  • @hamzahussein4493

    @hamzahussein4493

    3 жыл бұрын

    mafuta kwenye nyama hayana madhara

  • @papafololoofficial

    @papafololoofficial

    3 жыл бұрын

    @@hamzahussein4493 Hujanielewa Nyama yenye mafuta mengi.

  • @hamzahussein4493

    @hamzahussein4493

    3 жыл бұрын

    Mengi ndio kiasi gani? Hata maji mengi ukinywa ni shida. Generally, Mafuta ya wanyama hayana shida. Ya mimea ndio ina shida.

  • @papafololoofficial

    @papafololoofficial

    3 жыл бұрын

    Unadjuwa mafuta yamnyama mwilini huganda nakusababisha madhara

  • @hamzahussein4493

    @hamzahussein4493

    3 жыл бұрын

    Kumbe hujasikiliza kipindi chote. Katolea ufafanuzi.... hiyo hoja imefanyiwa utafiti na kuonekana ni mfu.

  • @sissojr
    @sissojr3 жыл бұрын

    Ticha kazura umekuwa mtangazaji

Келесі