EXCLUSIVE: Muonekano wa mjengo unaodaiwa kununuliwa na HARMONIZE, adai hajapanga

#Harmonize

Пікірлер: 273

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni42583 жыл бұрын

    Mashallah Mashallah kama nyumba nzuri sana Hongera sana na kama ume panga ita julikana nita furahi sana kama nyumba itakua ya kwako itakupa heshima kwa maadui zako

  • @lufundishajigoro4323
    @lufundishajigoro43232 жыл бұрын

    Itoshe tu kusema chochote kinawezekana chini ya jua anaeamini Kama Mimi aseme amen

  • @imanuelijulius5854
    @imanuelijulius58543 жыл бұрын

    Hongera sana konde boy unajiamini kama tembo ama kweli ww ni tembo mashabiki wa konde gen mikono juuuuuuuuuu 💪💪💪

  • @andrecarlos1024
    @andrecarlos10242 жыл бұрын

    Kupitia konde gang, mungu anibariki na mimi nipate kanyumba ndogo zuri.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🐘🐘🐘

  • @nunuuali5316
    @nunuuali53163 жыл бұрын

    Hongera sana Harmo,chapa kazi kijana kazi iendelee tutajua hatujui.

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman91563 жыл бұрын

    Bonge la house 🏡 hongera harmonize mungu azidi kukubariki sana

  • @salmaathuman9156

    @salmaathuman9156

    3 жыл бұрын

    @MAFIA RESPECT STUDIO 2 Hata akipanga kwani anakaa Bure si analipa mkwanja

  • @King_Of_Everything

    @King_Of_Everything

    3 жыл бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @biswamaswaleh3153
    @biswamaswaleh31532 жыл бұрын

    Baraka zikushukie kwa wingi Harmonize..we ndo mfano wakuigwa kazi yako ibarikiwe aisyyyyyyy

  • @fatimah12please43
    @fatimah12please433 жыл бұрын

    Kama nikweli kanunua hongela sana harmonize

  • @pambakali4873
    @pambakali48733 жыл бұрын

    Duuh Bwana SNS hamna mfano..Kazi zenu nzuri na mwajituma kweli

  • @ss.wlugaziterrazzocenter2710
    @ss.wlugaziterrazzocenter27102 жыл бұрын

    Congratulation Aiyola hit maker🇺🇬

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa64153 жыл бұрын

    Ingekua ni Mondi kungetokea kidudu mtu akamponda! Congrats harmonize km kweli umenunua!

  • @babamarkom9881

    @babamarkom9881

    3 жыл бұрын

    Watusi wana mwandama mondi2

  • @dennismsuya2482
    @dennismsuya24823 жыл бұрын

    Background beat is awesome

  • @yasirimarekan8233
    @yasirimarekan82333 жыл бұрын

    Congrats harmonize

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe81693 жыл бұрын

    Wow nice one good 🐘🐘💯🙏🙏🌴

  • @Biancaaa12345
    @Biancaaa123452 жыл бұрын

    Congratulations harmonise UGANDA 🇺🇬

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu56972 жыл бұрын

    Huyu mtoto mpunga Bado anao,💪🐘

  • @nue8894
    @nue88943 жыл бұрын

    Ila jeshii Ako na pesa,congratulation sana

  • @chumanondochuma1535
    @chumanondochuma15352 жыл бұрын

    Konde boy your vision is best than yesterday so big up bro 💪💪💪

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason76303 жыл бұрын

    Mjengo umekaa pahala pake....👏👏👏

  • @tropmedia8376
    @tropmedia83762 жыл бұрын

    Oy tuache utani sasa hiiindo konde village au konde white house yani bonge la mjengo kamatupo ikuru ndogo ivi 😍😍

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus93033 жыл бұрын

    Big up SNS, kutuletea habari murua kabisa, so nice to us living abroad getting news at the right time

  • @Diasporavoice587
    @Diasporavoice5873 жыл бұрын

    Daaaahhh harmo wewe noma

  • @kelvinngalika5196
    @kelvinngalika51963 жыл бұрын

    How is this a village? Ila ubarikiwe. Keep the game going

  • @Janu_Rocka

    @Janu_Rocka

    2 жыл бұрын

    I wonder

  • @noti1k752
    @noti1k7523 жыл бұрын

    Konde bwoy love fro kenya🇰🇪

  • @mhabimina4023
    @mhabimina40233 жыл бұрын

    Big up too Konde boy 🔥🔥🔥

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino16563 жыл бұрын

    Hongera Harmonize

  • @maryamm7765
    @maryamm77653 жыл бұрын

    Hongera sana kama kanunua

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu30653 жыл бұрын

    Mshaa Allah

  • @anselmebeana4
    @anselmebeana43 жыл бұрын

    Kabisa kama ni mjengo wake ni vizuri kwasababu tunajifuniya yeye na kazi njema kwake na kwenu biya kwa mazuri mnayo tuleteya jumba nzuri kbs Big up jeshi

  • @Emma-px3wx
    @Emma-px3wx Жыл бұрын

    Niheshima kwa wote wenye midomo hongera Kama umenunua buro nyumba nzuri

  • @eliasofficiel3465
    @eliasofficiel34653 жыл бұрын

    Kitoko sss dé King djechi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥🔥🔥✌✌✌

  • @Jose-OG
    @Jose-OG2 жыл бұрын

    Uku ni om kwetu. Jeshi❤️❤️

  • @princess-uf5ux
    @princess-uf5ux3 жыл бұрын

    Hongera sana konde wenye wivu wajinyonge

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur43262 жыл бұрын

    Mashallah may Allah bless u more 🙏🙏

  • @mussamayele3134

    @mussamayele3134

    2 жыл бұрын

    kapangishiwa apo asidanganye uma ,

  • @marcosjorge1724
    @marcosjorge17243 жыл бұрын

    Jeshiiii 🔥🔥🇲🇿

  • @winfredtiba2601
    @winfredtiba26013 жыл бұрын

    Congrats jeshi...keep going baba

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli72243 жыл бұрын

    Alhmdhulillah

  • @shawarihamisi5246
    @shawarihamisi52463 жыл бұрын

    Hongera mmakonde big ap sana kaka

  • @zou7470
    @zou74703 жыл бұрын

    Kama nikwel kanunuwa hamo ni moto wa kuote mbali jitume bro utimize ndoto yako🤝🤝

  • @robertmahenge3614
    @robertmahenge36143 жыл бұрын

    Jeshi 🔥🔥🔥 sandakalawe

  • @adnanbossy4097
    @adnanbossy40973 жыл бұрын

    Congratulations Harmo tusonge mbele wenye mdomo waendelee tukisonga

  • @irakozesania1680
    @irakozesania1680 Жыл бұрын

    MashAllh ❤️🥰🥰🥰❤️❤️

  • @kibingo5915
    @kibingo59153 жыл бұрын

    Amewafunga midomo machawa wotee 😃😃😃😃😃😃😃😃 hongera

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi77542 жыл бұрын

    Mashallah ...

  • @samcollo3601
    @samcollo36013 жыл бұрын

    Jeshii tempoo konde ni mkali wao 🐘 ajepanga amenunua

  • @tsetserearsenetsetserearse3301
    @tsetserearsenetsetserearse3301 Жыл бұрын

    Courage tembo wangu 🇨🇩

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah29783 жыл бұрын

    Anabarikiwa kwavile anasaidia sana

  • @evaeve8388
    @evaeve83883 жыл бұрын

    Congratulation's Harmo

  • @shakila3982
    @shakila39823 жыл бұрын

    Congratulations my favourite musician konde boy big up

  • @ramlamasika9664
    @ramlamasika96643 жыл бұрын

    Hongera harmonize

  • @queenlinda255
    @queenlinda2553 жыл бұрын

    Hii nyumba ilikua inauzwa na mchaga mmoja sh bilioni 1.4 sasa kweli kijana anaiyo hela mhhh ndugu. Zangu kweli na mmiliki wa nyumba hii na ile anayo kaa n Nasib ni mmoja

  • @dennismsuya2482

    @dennismsuya2482

    3 жыл бұрын

    Kwahyo ni kweli kanunua Harmo

  • @queenlinda255

    @queenlinda255

    3 жыл бұрын

    @@dennismsuya2482 sijui kaka sababu hawa wasanii wetu unaweza sema kanunua kumbe si kweli sina uhakika kabisa hii nyumba ilikua inauzwa mda mrefu sana

  • @maloomaalmnsj5111

    @maloomaalmnsj5111

    2 жыл бұрын

    @@queenlinda255 inawwzekana akanunua

  • @queenlinda255

    @queenlinda255

    2 жыл бұрын

    @@maloomaalmnsj5111 pengine

  • @jeanyves8934
    @jeanyves89343 жыл бұрын

    ICU iko wapi??? Wamemkejeli saana #Harmonize eti analala studio. Na mimi si shangae saana kuona siku izi mama levo amerudisha heshima kwa #Kondeboy. Fatilieni interviews zake za ivi karibuni, utaelewa ninacho ma anisha . Kongole kwa #Kondeboy...🎉🎊💐✨💫

  • @freelancer6368

    @freelancer6368

    3 жыл бұрын

    Kwani tumbo kubwa nchumal alikuaga na heshima???

  • @tabithaolubaha9933
    @tabithaolubaha99333 жыл бұрын

    Hongera sana hamonazi

  • @aloyce.kalamu6307
    @aloyce.kalamu63072 жыл бұрын

    Bonge la mjengo🙏🙏🙏💯

  • @ongezamaarifa2526
    @ongezamaarifa25263 жыл бұрын

    Duuuh hongera

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka22103 жыл бұрын

    Hongera sana mwenyezi mungu azidi kukuinua na kukubariki

  • @raelnyawera825
    @raelnyawera8253 жыл бұрын

    Jeshi 🥰

  • @husseniddy2107
    @husseniddy2107 Жыл бұрын

    Pamoja mzee

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness11813 жыл бұрын

    Inawezekana tu, kwan 1.4B kwa hao wasanii wa sku hzi ni pesa bana, ukizungumzia east african artist watatu wakubwa, ni Diamond, Ali kiba, Harmonize,, so atakosaje 1.4B na wakat ana fursa ya kukopa hata 3B bank na kuilipa

  • @abedinegoraphael4774

    @abedinegoraphael4774

    3 жыл бұрын

    True kabisa

  • @brothersister7845
    @brothersister78453 жыл бұрын

    Konde boy jeshiii💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @elisekalala6147
    @elisekalala61472 жыл бұрын

    Kazi mzuri Sana

  • @youssoufhassane3621
    @youssoufhassane36212 жыл бұрын

    Wawww keep up the good work

  • @hilarylemy8167
    @hilarylemy81673 жыл бұрын

    Daaah!! Hard work pays, wengine vibanda vyetu hata rangi bado anyways tutafika subra ni ibada.

  • @magamboshabani2459
    @magamboshabani24593 жыл бұрын

    Yaani hapa nasubilia comments nyingi ndio ntajua nikweli au si kweli maana watoa comments 90% huwa wanasema kweli.

  • @mymunamymuna4807

    @mymunamymuna4807

    3 жыл бұрын

    Hormonize mungu azidi kukubariki n akufungulie kila lenye kheir🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @marthageorge559

    @marthageorge559

    3 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @magamboshabani2459

    @magamboshabani2459

    3 жыл бұрын

    @@marthageorge559 kweli😁

  • @marthageorge559

    @marthageorge559

    3 жыл бұрын

    Mimi sijui kama nikweli

  • @magamboshabani2459

    @magamboshabani2459

    3 жыл бұрын

    @@marthageorge559 tutakuwa tu

  • @zebedeemirambi3113
    @zebedeemirambi31133 жыл бұрын

    Nakubali kabisa sns hainaga habari zauongo🇨🇩 Harmonize big up daaaah unatisha

  • @joelntiranyibagira7960
    @joelntiranyibagira79602 жыл бұрын

    Jeshi👍👍 safi

  • @yellownine_tz3074
    @yellownine_tz30743 жыл бұрын

    Noma sana💪💪💪

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk2 жыл бұрын

    Nakukubali bro, na kama hwapendi wakule wembe.mm naamini kabisaa konde anaweza kubuy mjengo huu kwa sasa coz pesa inaingia kwake direct anajipigia mafungu mwenyewe so keep it up maboy.achana na akina pimb

  • @lucymsemwa3560
    @lucymsemwa35603 жыл бұрын

    Nice place

  • @luckitenge2125
    @luckitenge21252 жыл бұрын

    Namkubali sana konde boy jeshi ki noma noma yani

  • @asaa3219
    @asaa32193 жыл бұрын

    ONGERA sana kaka poleni mnao mcheka

  • @jerinanguto3723
    @jerinanguto37232 жыл бұрын

    Nakupenda-uwe-na-sarha

  • @zunguchampionboe5488
    @zunguchampionboe54883 жыл бұрын

    Kama konde boy tu kanunua mjengo uu nimeamini Diamond kupanga kaamua tu inawezekana na yeye ana jambo lake apo mbeleni sababu diamond ndo ana mkwanja mlefu kupita harmo lakn diamond bado kapanga

  • @irakozesania1680

    @irakozesania1680

    Жыл бұрын

    Nima muziyk sadala kupanga

  • @mzawajessa4452
    @mzawajessa44523 жыл бұрын

    Ongera harmo maneno yasikuvunje moyo enderea kupambana songa mbeleee

  • @kassimrajabu7805

    @kassimrajabu7805

    3 жыл бұрын

    Kapanga huyo acha kuingizwa chaka

  • @emanuelmwaipaja2062
    @emanuelmwaipaja20623 жыл бұрын

    Siwez kumpongeza kwa sasa maana huyu jamaa wote tunamjua acha nisubiri subiri kidogo

  • @hassanisufiani8599
    @hassanisufiani85993 жыл бұрын

    Mambo ndiyo hayo

  • @athumanisaidi2557
    @athumanisaidi25572 жыл бұрын

    Aiseeeeeee

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 Жыл бұрын

    Safii Ila mm nimtalamu wa Dec,ndani finishingi haiendani na Konde boy nitamtafuta Konde kwa mdawangu sumwanangu

  • @merlinhope8396
    @merlinhope83963 жыл бұрын

    Jeshiiiiiiii kwahili ulilo lifanya nimekunyoshea mikono hili ni kubwa una deserve kupewa jongera and shima respect for konde God bless you.

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni77553 жыл бұрын

    Mm ntarudi ku comment siku nyingine

  • @isayamecha9302
    @isayamecha93023 жыл бұрын

    Konde village hatarii

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats3 жыл бұрын

    Umeme unaotumilka hapo kwa week ni kodi yangu ya miez mi3 😂

  • @doreenjoket3089

    @doreenjoket3089

    3 жыл бұрын

    👀👀😂😂😂😂

  • @aishashaibu4772

    @aishashaibu4772

    3 жыл бұрын

    Pole jmn

  • @amedeeg3910

    @amedeeg3910

    3 жыл бұрын

    😀😀😀

  • @emmanueljoseph2576

    @emmanueljoseph2576

    2 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @jackierama1817

    @jackierama1817

    2 жыл бұрын

    Yaan nimecheka mpk nikajisahau😂😂😂

  • @fancebtz1071
    @fancebtz10713 жыл бұрын

    bado mnaipiga promo tu

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu21133 жыл бұрын

    alichekwa sana eti analala studio kumbe alikuwa nawekeze pesa zakununua nyumba,

  • @hkmeme5437

    @hkmeme5437

    3 жыл бұрын

    Mjini akili

  • @kelvinngalika5196
    @kelvinngalika51963 жыл бұрын

    A house with rooms na pool ni kijiji maana village kwa lugha yetu ni kijiji Ila hongera konde au labda sijaelewa its all Konde gang na waziadaa

  • @kelvinngalika5196

    @kelvinngalika5196

    3 жыл бұрын

    No hard feelings

  • @mbarakachipota5047

    @mbarakachipota5047

    3 жыл бұрын

    Nikusaidie brother kijiji tafsiri yake ni sehemu ya makazi ya mtu au watu ndio naana halisi ya kijiji

  • @sulleyalmass9814
    @sulleyalmass98143 жыл бұрын

    Damn

  • @amanistarz1234
    @amanistarz12343 жыл бұрын

    Nipoa sana

  • @harmonize9043
    @harmonize90433 жыл бұрын

    Ametishaaaaa snaaaa

  • @herisophisticated9275
    @herisophisticated92753 жыл бұрын

    Mamae

  • @chilowechilowe290
    @chilowechilowe2903 жыл бұрын

    huyu mmakonde hatar km kanua kwl bax 🙌🙌🙌

  • @nuzulanikwadu3986
    @nuzulanikwadu39863 жыл бұрын

    one fire 🔥🔥konde boy

  • @mussamayele3134

    @mussamayele3134

    3 жыл бұрын

    mpumbavu uyo mabangi kapanga apo

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu47723 жыл бұрын

    Hvyo fenicha zandan anipe mim😂 yeye siabaleta vipya

  • @herisophisticated9275
    @herisophisticated92753 жыл бұрын

    Mahaus girl ndo maana wanatukimbia Sana walala.hoi siku izi😂😂😂

  • @nassreeomankwelikkkunamamb9670

    @nassreeomankwelikkkunamamb9670

    3 жыл бұрын

    Hahahaha ww

  • @hamisihamisi8322
    @hamisihamisi83222 жыл бұрын

    Kazi kwa vitendo

  • @hilalymsusu1994
    @hilalymsusu19943 жыл бұрын

    MMMH SIPAT PICHA KODI YA UMEME TU MANA C KWA MATAA HAYA

  • @denisimaliyaweni9183

    @denisimaliyaweni9183

    3 жыл бұрын

    Kodi ya umeme tu ni mshahara wa zuchu kwa diamond

  • @freelancer6368

    @freelancer6368

    3 жыл бұрын

    @@denisimaliyaweni9183 Zuchu anaearn pesa nyingi wewe msanii anaeongoza streams east Africa kwa sasa huwezi fananisha na hiyo kodi ya nyumba anayolipa nchumali kila mwezi

  • @juxjemc5768

    @juxjemc5768

    3 жыл бұрын

    @@freelancer6368 wewe ni wivu wa maendeleo ila usimfananishe harmonaiz na zuchu na rayvanyi

  • @freelancer6368

    @freelancer6368

    3 жыл бұрын

    @@juxjemc5768 wewe ndio una wivu na maendeleo ya zuchu we si pimbi wachitoholi kama nchumari?....Zuchuu is bigger than harmonyasi and his clique of bastards anachomiliki nchumali ni tumbo kubwa,kiki za ujinga na gari ya sarah..

  • @issaissah8832
    @issaissah88323 жыл бұрын

    Mjini hakuna baba mwenye Gari wata elewa tuu

  • @emmanueljoseph2576

    @emmanueljoseph2576

    2 жыл бұрын

    😂😂kuna baba mwenye nyumba siyo

  • @mbwanakhamis9634
    @mbwanakhamis96343 жыл бұрын

    🔥🔥🔥

  • @masizitony9800
    @masizitony9800 Жыл бұрын

    Ok ok

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu26763 жыл бұрын

    Tusubr y. Wanadamu jmn

  • @motivateU849
    @motivateU8493 жыл бұрын

    Wasanii wote wa konde watakua wanaishi umo ?

  • @asaa3219

    @asaa3219

    3 жыл бұрын

    Kwani wataka SEMA hakuna kitu Wana ingiza kwenye mziki wao?? Wajua nivizuri kujivunia chako atakama ni kidogo Lakini ni chá Kwako,👍👍 usiwai Kua na Tamaa katika dunia Hii rizika na anacho kupa mungu

Келесі