DW Mansour Yussuf Himid

Msimamo wa Waziri Mansour Yussuf Himid kuhusiana na madai ya kumtaka arudishe kadi ya uwanachama wa CCM kutokana na msimamo wako juu ya Muungano.
Himid: Hata nikivuliwa uwanachama wa CCM, sitabadili mawazo yangu kuhusu Muungano
Mweka Hazina wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Zanzibar, Mansour Yusuf Himidi, amesema atasimamia mtazamo wake kuhusu muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaofaa hata kama itapelekea kuvuliwa uwanachama.
Mwandishi wa DW Zanzibar, Salma Said, amefanya mahojiano na Mansour Yusuf Himidi, ambaye ni waziri katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na pia Mweka Hazina wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na kauli za Katibu Mwenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, na wajumbe wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi, kumtaka arudishe kadi ikiwa hakubaliani na sera ya sasa ya serikali mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
25/07/2012

Пікірлер: 21

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv5 ай бұрын

    Umeongea vzr Mansour na nimekuelewa kwa upande wangu

  • @nahidosam5826
    @nahidosam582611 жыл бұрын

    mhhmhmhmhhmmh....Mansour anaupenda Muungano bt haupendi mfumo wa muunganooo....kwa hy hatak muungano uvubjike bali anataka urekebishweee......ktk muundo

  • @gangmore9091
    @gangmore90914 жыл бұрын

    Mwenye kupata manufa hawezi kulala mika Mungano haunafaida miaka 55 wananeemeka Tanganyika mamuzi yao n lkni zanzibar adii adii ipite Tanganyika

  • @khamissalum431

    @khamissalum431

    4 жыл бұрын

    Mungu ibariki Zanzibar aaaaaaaamin

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    4 жыл бұрын

    @@khamissalum431 Amin Amin

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    ZANZIBARIS MUST LEAVE OUR CONTRY ALONE.. WE DONT NEED YOU!

  • @khamissalum431

    @khamissalum431

    4 жыл бұрын

    That's right

  • @fakihdarusi4385

    @fakihdarusi4385

    2 жыл бұрын

    Which country do you have?

  • @gangmore9091
    @gangmore90914 жыл бұрын

    Hakuna mungano wenye faida miaka 55 hakuna mashirikiano lazima ziwepo serekali 3 ya tanganyika ya zanzibar ya mungano kila mtu awe mamlaka yake zanzibar haina mamlaka raiya hawafaidiki ccm ndio wanaofaidika n mungano so raiya ipitishe kura z maoni wanaotaka mungano n wasiotaka leo mtu akiongea kuhusu uzaifu w mungano mchochezi lakini ccm wanajua mungano hauna faida ila kwa tamaa y kidunia hawatetei hili zanzibar ilikua n mamlaka kamili iweje saivi isiwe na mamlaka kamili wazanzibar tuamke ccm hawatupendelei mema raiya tukitaka kufanya maendeleo lazima kauli itoke tanganyika tungane kuiyondoa ccm madarakani bora tuongozwe na mtu aso chama lakini tuwe n mamlaka kamili

  • @mahmoudally9919

    @mahmoudally9919

    4 жыл бұрын

    Kwani lazima muungano Kuna nini ndani yake mbona hawa wa Tanganyika wanaung'angania kila kitu wanajivutia wao ss tumebaki maskini wananchi hatutaki umebakia muungano wa viongozi na hao ni kwa njaa zao na tamaa zao

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    4 жыл бұрын

    @@mahmoudally9919 mungano uliokuepo wa ccm n sio raiya tanganyika wanajua fika na wanajinadi zanzibar isiachiwe zanzibar matajiri tanganyika wamakusanya pesa nyingi sana zanzibar ndio mana hawataki kuiyacha zanzibar wameeka TRA special kukunya pesa jiulize kodi ngapi wanakusanya kupitia TRA hauna faida mungano kwa raiya zaidi y wao ccm kulinda nafasi zao wanaona km wataishi bila kufa raiya hatuna kitu wala hatufaidiki kusafirisha kitu kodi mara 2 yke lakini kenya Uganda Rwanda n.k robo y harama

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    It took Julius to make the Union the way it is.. Karume wanted you guys to be a region in a country after your revolution against oman.. now things have become tough as freedom is always .. you are looking for witches? WE know you want to return to the sultanate of oman..

  • @khamissalum431

    @khamissalum431

    4 жыл бұрын

    You're poorest

  • @mahmoudally9919

    @mahmoudally9919

    4 жыл бұрын

    Katiwe uyo Muomani hana njaa kama mulionayo Tanganyika

  • @amoural-harthy7312

    @amoural-harthy7312

    3 жыл бұрын

    Who told you Omanis want to return to your country. We are happy in our country and we enjoy everything Allah provides us. You have spoiled your country through corruption, laziness and so many lies. You are even try to forget your language while you are writing comments to your fellow Tanzanian's. Sema kiswahili wakati Una andika maoni yako. Usiwe na akili ya kikoloni au ya mzungu mweusi.

  • @fakihdarusi4385

    @fakihdarusi4385

    2 жыл бұрын

    Joseph wee kweli bado kichwa maji

Келесі