DHULMA FULL MOVIE PART 1 (OFFICIAL H.D)

SYNOPSIS
This movie is based on a true story that occurred 20 years ago in Mombasa island. It concerns a family of Three, Mama Khadija (Fatma Ali) who was living with her two children Firstborn Zubeda (Khadija) and the lastborn finally Hussein (salim)
They lived together with their mother happily since their father who was exiled since they were 2 and 3 years old. Mama khadija lived to support her children in any means of hardwork in order to provide happiness and to erase the sadness of her missing husband whom he wanted her to fulfil the gap he left while knowing he will no longer be there as a father.
Mama Khadija who worked hard and provide almost everthin and mostly education was her first goal for her children that she wanted to fulfill. She had her own ups and downs as a single mother when it comes to raising children, favouring one child who is Hussein because of his hard work in education and much love showed to every proud parent in town as the most smart and better than others in town. Zubeda who was lazy and disrespectful at all times which later it cause a black heart of jealousy which led to be a great disaster that shakened Their Mother's faith and confusion that turn almost everything up side down...

Пікірлер: 323

  • @okumudavid-gq2pr
    @okumudavid-gq2pr

    Dah hii movie jamani niwangapi bado mwata zama hii 2023

  • @user-nv6fw3un6w
    @user-nv6fw3un6w

    ❤mashaallah 🤝

  • @sagalabdi1441
    @sagalabdi14414 жыл бұрын

    MashaAllah nimevutwa na alivyo soma Quran yule binti 👌

  • @ashafujo3506
    @ashafujo35062 жыл бұрын

    Mashallah mungu awaongoze na kheri na movie nzuri

  • @user-lk3rw4sm1v
    @user-lk3rw4sm1v

    Asante ni sana kwa kutuleteya moves yenyemadili mazuri sana ishallah Allah atawalipa kheri nyingi

  • @Dabits15
    @Dabits155 жыл бұрын

    Mashallah movie mzuri. Namuona rafki yangu ambae sikutarajia kumuona tulosoma nae Madrassatul ikhlas Gongoni.

  • @wardaissa5265
    @wardaissa52655 жыл бұрын

    Ma sha Allah ongereni kbs nimependa movie pia Allah awahifadhi kenye mombasa mko vyema nikiangalia nikiwa saudia

  • @ivyrehema3246
    @ivyrehema32462 жыл бұрын

    Mashaallah movie nzuri ya mafunzo namuona ustadha wangu hapa

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum23054 жыл бұрын

    Mi naona Zubeda uko fiti.

  • @hanifwari206
    @hanifwari2063 жыл бұрын

    Movie nzuri sana, bora kuwe na movie za maadili ili watu kuzuilika kuangalia ziso maadili

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 Жыл бұрын

    Mashallah movie nzuri sana tena yenye mafundisho.hongereni wahusika.sichoki kuitazama

  • @chunaamina8719
    @chunaamina87194 жыл бұрын

    Mashaallah kumbe kenya twaeza alhmdllh, yaani movie nzuri ina mafunzo mazuri

  • @RamadhanipanchaPancha-ns1cf
    @RamadhanipanchaPancha-ns1cf

    Hii ni kwl jaman tunapaswa tuuangalie ktk maisha ya badae

  • @aishanourdin3116
    @aishanourdin31163 жыл бұрын

    Mansh.Allah tabarakallah Kenya mko juu

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown47125 жыл бұрын

    Mombasa na Zenji haina tofauti hata lafudhi zao zinaendana japo sio zote... na lafudhi za Kipemba na Wagunya Lamu na Visiwani kama Mwana Mjomba na Shangazi🤗🤗 hata Utamaduni wao.. sote ni wamoja

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft5 жыл бұрын

    Maasha allah watu wanyumbani mwa Fanya vizuri sana,allah Ajalie kheri tufikishe ujumbe na tuelimishe jamii.

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas76735 жыл бұрын

    Ma shaa Allah, move nzuri mpaka raha. Allah awalipe kheri

  • @aqssaomarynizwa9738
    @aqssaomarynizwa97384 жыл бұрын

    Masha Allah hizo ndo movies za kuangalia jaman waislam wenzangu

  • @jamamusa1175
    @jamamusa11755 жыл бұрын

    She get nice voice of yasin mashaallah

  • @amouralnemky41
    @amouralnemky415 жыл бұрын

    wallah mwili wangu wansisimka innigusa kula mahala hii movie mashallah