DALILI 20 ZA KUCHUKULIWA KICHAWI [MSUKULE] PART 1
20 SYMPTOMS OF BEING TAKEN MAGICALLY.
In this lesson there are serious issues revealed by God's servant the Apostle Mtalemwa.
This lesson describes two types of being taken magically.
1) A person is presumed dead but is still hidden.
2) Man's existence is visible but his personality and soul are hidden. Follow the full lesson you will learn all 20 signs of being taken Magically
(Swahili)
DALILI 20 ZA KUCHUKULIWA KICHAWI(MSUKULE)
Katika somo hili kuna mambo mazito yanafunuliwa na mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa.
Somo hili linaelezea aina mbili za kuchukuliwa kichawi(msukule)
1)Mtu kudhaniwa amekufa kumbe kafichwa.
2)Mtu kuwepo anaonekana ila utu wake na nafsi yake imefichwa.
Fuatilia somo kamili utajifunza dalili zote 20 za kuchukuliwa kichawi.
Пікірлер: 197
Ameen Mtu wa MUNGU naomba MUNGU anisaidie
Ubarikiwe sana na yesu kristo Niko Congo DRC kila mara nakufuata
Yaani we baba Mungu akuweke mafundisho yako yananielewesha mambo makubwa
Ubalikiwe.sana.mtumishi kwa.ujumbe.
Ni kweli kabisa nikweli amen
Ameen 🙏🙏🙏 Apostle Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tere , uzidi kutufunulia maandiko
🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Yaani mm hii ya kwenda sehemu ambayo niliwai kwenda kwenye ndoto uwa inanitokea sanaa Baba mlezi hili somo nimelisikiliza leo kwa makini naamini naamini Nimerudi na vitu vyangu vinerudi katika jina la yesu 🙏🙏🙏 NIMEKOMBOLEWA KWANZIA LEO
@beatricenangale5439
Жыл бұрын
Kwa mafundisho haya watu wengi walishachezewa kichawi na kurufishwa nyuma katika mambo mengi n kusababisha kushusha maendeleo. Lakini Mungu w mbinguni atupiganue sans
@user-kt9qg1mo6l
6 ай бұрын
Ameeen
Mimi Niko makabe ninapenda haya maubiri .nashukuru mungu Kwa ajili mafundisho Mazur.
Asante Yesu kwa urejesho ulionipa kupitia ufunuo huu kupitia mtumishi wako apostle Mtalemwa Bushiri, be Blessed abundantly man of God.
Nashukulu sana chief nimefunguliwa usiku wa Leo nimesikia kitu kinatoka kichwani kma moshi kwa jina la Yesu
Hii madhabahu ya Mungu naipenda,,kwa sababu ya mafundisho ya ndani,,mtumishi anafundisha kiundani Sana,,tunaelewa Mungu ni mkuu kwa NENO lake🙏❤
@marthagaba2129
2 жыл бұрын
what a blessing revelation, may God bless you mightly
@mwanashagladys4581
2 жыл бұрын
Nakuona Q🇰🇪
Yes somo ni halisiii kabisaa
Yesu Kristo tusaidie
Mungu tusaidie
Mchungaji wangu niombee .naotaga sana hizo ndoto mbaya hizo leonimejua ni mbaya
Mungu a tusaidie sana
Nashukuru sana mchungaji huduma yako ilinikomboa kutoka baharini ...
Powerful prayer. Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa kazi njema ambayo Kristo Yesu ameiweka ndani yako. Asante kwa kuwa saidia watu. Jina la bwana YESU libarikiwe.
Mtumishi neno hili limekuwa la baraka sana mungu akubariki .
This teaching though, asante Baba mlezi kwa mafunuo haya, I believe nimerudi na vitu vyangu vinarudi in Jesus name 🙏🙏
Asante sana mchumgaji kwa kunirudisha hakika nilikuwa nimetekwa😭😭🙏🙏🙏
Barikiwa sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Thank you for such a revelation it's amazing
Eee!! MUNGU tulinde sisi na uzao wetu,Asante sana Chief Apostle.
My chief ngoja kikwambie Nakupenda Sana Sana namuomba huu Mungu aliye ziumba mbingu na inchi akutunze walau mpaka uzeheeni vile vyote ambavyo Mungu alivokupa tukiwa tumevipokea vyote God bless u ♥️♥️♥️♥️
Asante Yesu mikono yangu imerejea!! Na kila kilichobandia kimetowekaaa kwa Jina la Yesu!! Amen! Haleluyaaaaa!!! Amen
Asnt Mungu mbinu zako ni kubwa asnt kwa kumtumia mtumishi apostle kwa jibu langu asnt God
Haleluyah
Hoo my God mimi ni mmoja wao nasumbuliwa na ndoto mbaya jameni niombee from kenya
Thnk u Jesus hakika Mtume wako umempaka mafuta pia ya kiualimu
Ubarikiwe mtumishi wakuonyeshwa maisha tuliyonayo
RUDISHAAAAA🔥🔥🔥RUDISHAAARUDISHAA🔥🔥🔥🔥
I received in the name of Jesus Christ Amen Amen Amen Haleluya
Asante Yesu nimebarikiwa na kufunuliwa jambo sijawahi lijuwa...Mungu aendelee kukutunza mtumishi wake uokoe kizazi hiki..
AMEEN
Napokea kwa jina la Yesu Kristo Mimi na familia yangu yote
@luxminechometa2306
2 жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza akupe wingi wa mafunuo baraka nyingi kwako baba yetu
Naeza fikia mtumishi kiaje tafadhali
Asante Yesu Mimi na familia yangu natoka leo
Naendelea kujifunza mengi, barikiwa
Thank you man of God for this lesson,,,,Be blessed and more revelation from the most High God 🙏🙏🙏.
Asante mtumishi kwa ujumbe huu , atukuzwe mungu baba wa Bwana wetu yesu kristo kwa kutukomboa🙏
AMEN AMEN👏👏👏,,, Nimefunguliwa Kwa Damu Ya Yesu🙏🙏🙌🙌🔥🔥
Waaa powerful Mungu kila kilichopandwa kwa mwili Wangu kitoke ktk jina la yesu
Thank you Jesus !!!Thank you HolySpirit of God !! I believe ! I receive! Healing for my family and I in Jesus name amen .
Mtumishi umenigusa. Muombee kijana wangu Joseph!!
Asante , Bwana Yesu asifiwe. Amen amen Narejea halisi katika Jina laye.
This is very true! Mungu niepushe nisiwe msukule na hata kama niko msukule natoka kwa moto kwa Jina la Yesu Amen.
Anytime I watch your preaching it changes my life be blessed
Napokea kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth, Aminaa barikiwa sana pastor
Asante.eeee yesu nisaidie nishike neno lako
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Nakuomba ombeya mume wangu, watoto/ndugu zangu
Yes Asante kwa kuwa nimerejea Kama mumgu alivyoniumba asantee yesu
Ubarikiwe kwa somo hili mtumishi wa MUNGU,kiukweli binafsi limenitoa mahali sasa
Amen.lazima nirudishwe nafsiyangu na kilakituchangu kurudishwa kwajina la yesu kristo wa.nazareth
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔 baba yangu Mungu wangu nitalia mpaka lini mimi mwanao.
Amina mmchungaji,umekua wabaraka kwangu hakoka nime fanyika upia,na tazama toka, kenya 🇰🇪🇰🇪.
Mungu nisaidie na mm niweze kupokea ushindi kuwa mzima
Be blessed .siendi kwa jina la Yesu aminaa
Nimeelewa baba natamani nifike hapo kanisani ubarikiwe
Amina mtumishi wa MUNGU
Yesu tusaidie 😢😢😢😢tumeagamia
Asante sana mtumishi kwa somo hili .... Kiukweli sikuwahi kujua kuwa kuna msukule aina mbili 1. anayeishi 2. Ni ule msukule ambao unakufa na kuchukuliwa.. Nimejifunza somo kubwa sana na wakati nasikiliza kuna kakipande nilikuwa najiona hapa ila kulitia somo hili naamini nimerudishwa katika jina la Yesu.... Mungu akubariki sana apostle 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana Mtumishi na mafundisho mazuri
Napokeya, Mtumishi. Mwanangu amenenepa kama siyo yeye kabisa. Naomba Maombi Baba yangu 🤝
Amen still reviewing somo hilo lina nitoa niliko wekwa na fsi yangu inarejea .
Power!!!! Please keep sharing !!!My family and I are being delivered day by day in Jesus name. Amen
Rudishaaaa🔥🔥🔥UFAHAMU🔥🔥UTUUU🔥🔥Na vyote rudishaaa🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Be blessed 🙏🏻 kwa sermon nzuri mtumishi
Eee Yesu nilejesheye fahamu za watoto ata mimi pia
MTUMISHI OMUKAMA AKUBELE MUNOOOO
Asante Sana kwa ufunuo mwenyezi Mungu azidi kukuhifathi
Asante Mtumishi wa Mungu, mtu wa ndani yangu amerejea kwa Jina la Yesu! Naamini!
Nabarikiwa sana na haya mafundisho...yesu nisikae mbali nawe
Fanya maombi kwa kijana wangu mtumishi wa mungu.
Amen u kweli kabxa pst mungu akupe neema saidi ya hapo kuna mambo ya amechificha katika ulimwengu wa roo a mbayo atujui be blessed pst .
Thank you so much apostle
Asante sana Apostle kwa baraka hizi . May our good God keep you long. Mimi yapata muda sasa naota ndoto na spiritual husband. Naikishatokea hivyo yanatokea mafarakano kati yangu na my boy friend na pia sijisikii kuongea na mtu yeyote. Pray for me man of God
Congo 🇨🇩 RDC n'a kusikia baba
Iyo tabia ya kushau ni mm kabisaaa mungu akubariki mtumishi kwa mafunuo
First to watch, Like and comment.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri ni kweli haya tunayona na kuyahisi kwenye miili yetu ila tulikuwa hatujui,sasa tumeyajua na tutayafanyia kazi sasa
@upendomwapongo1932
2 жыл бұрын
Barikiwa sana na mafundisho yako mungu akubariki sana baba
Mungu Hakubaliki Sana Mchungaji
kweli...mtumishi. Mungu atusaidie. Nime ota ndoto hizi sana nakona watu ninao waju ya sikitisha sana lakini sijui ni fanye je!
👏👏👏👏👏 Asante Mungu kwa kunionyesha Mtumishi wako👏👏
@evancetwinzy4576
3 жыл бұрын
Rudisha kwa Jina la Yesu Kristo
Pray for us Apostle. God bless you 🙏
ASANTE kwa kutufundisha man of God 🙏
Asante Mchungaji kwa somo hili zuri. Nina imani nimerejea upya tena katika Jina la Yesu Kristo Mwana wa MUNGU aliye hai.
@sariakamnde3969
2 жыл бұрын
Chochote Kwenye Mwilini Mwangu Kwa Jina La Yesu Kristo Kitoke Leo ! Nivuke Mwaka Nikiwa Mimi Amen 🙏.
Amen ubarikiwe man of God
😭Ufahamu wa kipepo nilioekewa kupitia ndotoni unatoweka kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai 🙏🙏
Naanza kupata fahamu,ubarikiwe Sana mtumishi
These true Pastor. May God bless your Revelation
Be Blessed,,,,Mpakwa mafuta wa Bwana🙏🙏🙏
May GOD BLESS you Apostle!!!!! Am shocked ???? Powerful teachings.
be blessed apostle
Thank you Jesus Iam free, Thank you man of God blessed you 🙏🙏🙏
Thank you Apostle God bless you 🙏🏿
Thank You man of God!
Thanks my pastor,stay blessed sir
I have listened to almost all your sermons ever since I stumbled upon them for over a week now!! Sema kubarikiwa!! Naskiza asubuhi na jioni .. My life will never remain the same … and I know my family and I are and will continue to completely delivered in Jesus name . Amen
@gloriatoo22
3 жыл бұрын
Me too..I don't miss
@annajohn419
3 жыл бұрын
Uuuu to uuuuuuuuiui uuuu
@lindsay6415
2 жыл бұрын
Am so glad I found him!! Sure God is good ! What a blessing and treasure to our generation ❤️🙏
Mungu akubariki baba