CHUMBA KILICHOBEBA HISTORIA HALISI YA PEMBA - ZAIDI YA MIAKA 200

Unaijua Ngome kongwe iliopo Unguja, lakini je waijua Ngome kongwe ilio Pmeba? Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #Zanzibar #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Пікірлер: 87

  • @ktvtzonline
    @ktvtzonline5 жыл бұрын

    Kama unapenda harakati z KTV zinazoendelea Pemba, comment neno Hakika hii ni Fahari yetu

  • @rukiajuma8338
    @rukiajuma83385 жыл бұрын

    Nyumbani ni nyumbani tu Kama unaipnda pmba comment love you pemba

  • @sheyluupinky6061
    @sheyluupinky60615 жыл бұрын

    Naipenda pemba ni kwetu nina haki ya kuithamini na nimezaliwa huko🥰🥰

  • @ysherahmad652
    @ysherahmad6525 жыл бұрын

    Najisikia fakhari kuwa na asili ya kipemba...Pemba nkwetuuuu I love it

  • @MbaroukKhalifa
    @MbaroukKhalifa

    Alhamdulillah nashkr san kuwa mpemba na nashkr kufika eneo hili nikiwa form one nilifurahi san ❤❤❤ pemba nikwetu pemba niyetu tunaipenda sana ❤❤❤❤

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung24105 жыл бұрын

    Ni muhimu sana kujua historia ya maeneo yetu

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk77112 жыл бұрын

    Nilizaliwa pemba nikakulia pemba nikasoma pemba na inshaallah namuomba Allah wakati wa kunichukua kwenda kwake anichukue wakati nikiwa pemba inshaallah,najisifu kua miongoni mwa watu waliopata kuitwa watu wa"PEMBA"

  • @saydbarakismailiya1515
    @saydbarakismailiya15155 жыл бұрын

    Jasiri haachi asili pembe ni kwetu

  • @maidasaid947
    @maidasaid9475 жыл бұрын

    Niliwahi kuitembelea miaka y Zaman tangu nasoma shule y msingi...nafurah kuiona pemba na naipenda sn pemba...nakuomba

  • @husseinbakari8903
    @husseinbakari89035 жыл бұрын

    Daaah miss sana home kitambo sana nimeondoka ila nyumbn nyumbn tu

  • @aliyhamim1683
    @aliyhamim16835 жыл бұрын

    nikiwa italy nime miss pemba ilove pemba

  • @maryammakungu8800
    @maryammakungu88005 жыл бұрын

    jamani mimo mzaliwa Wa unguja lakini napenda kutembea Pemba kwa marafiki zangu

  • @issamakameissa7446
    @issamakameissa7446

    I love Pemba big up

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid58645 жыл бұрын

    Ahsante ktv kwa kutukumbusha kwetu hio ngome kongwe ya pemba ndio nimesikia leo nilikua sijui na iko sehemu gani chake

  • @BESTTV1LIVE
    @BESTTV1LIVE5 жыл бұрын

    Kaz nzuri ktv

  • @husseinali9760
    @husseinali97603 жыл бұрын

    Love u Pemba

  • @hatourmohamed1234
    @hatourmohamed12342 жыл бұрын

    Assalmu alaykum warahmatullahi wabarakatuhu niependa hili ni jambo zuri kutujuza historia yetu.

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu

    Yani wapemba sisi tumebarikiwa Sana

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove57865 жыл бұрын

    Like kama umepaona miembeni

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid78025 жыл бұрын

    Love you PEMBA