Christopher Mtikila Amkataa Lowassa

Mchungaji Christopher Mtikila amkataa Lowassa asema ana mapungufu mengi yaliyowazi hivyo hamuungi mkono.

Пікірлер: 43

  • @thomfraprofessional1083
    @thomfraprofessional10833 жыл бұрын

    Kizuri hakidumu, well said mchungaji. R.I.P

  • @kimnewton9792
    @kimnewton97928 жыл бұрын

    Tanzania sikiza kwa makini yanayotamkwa hapa. Msilale msije mka tekwa nyara

  • @user-hc6sv9lp1d
    @user-hc6sv9lp1d6 ай бұрын

    Huyo mzee Mungu amlaze mahali pema peponi.

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura67503 жыл бұрын

    TANGU "ULIPOBADILIKA," TUMEKUMISS SANA REV: RIP

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin93023 жыл бұрын

    Duh! Mzee ulikuwa na Siri nyingi kumbe

  • @makangangereza2522
    @makangangereza25228 жыл бұрын

    Mungu akulaze mahali pema peponi.Nasi yuko nyuma yako.kila mtu ataonja umauti.Ameen.

  • @ceciliajulius2248
    @ceciliajulius22488 жыл бұрын

    pumzika kwa amani REV. mtikila daima mchango wako kwa taifa utakumbukwa

  • @manttheboss7545
    @manttheboss75453 жыл бұрын

    R.I.P mzee ulikua mtu wa haki.

  • @ismaelmanhica790
    @ismaelmanhica7906 жыл бұрын

    watu wenye kua namafikira kama haya ni wachache sana. ni mtanzania wa kwanza kuona na kutambua ukweli wa mambo.

  • @kubangaizamkundavi9676
    @kubangaizamkundavi96768 жыл бұрын

    Mtu leo yupo hai kesho unamkuta maiti hayo pia mabadiliko.R I P Mtikila.

  • @husseinomary4466
    @husseinomary44665 жыл бұрын

    Hiki kichwa nilikua nakielewa, duh kisharudi mzeee kwenye asili 🏃🏃🏃

  • @geraldmbhosy8043
    @geraldmbhosy80437 жыл бұрын

    mtikila mungu akulaze maharipema peponi

  • @aprodecasbl
    @aprodecasbl8 жыл бұрын

    En 2007, le CNDP avait déjà évoqué la "Tutsité" de "Joseph KABILA" par la voix de Déogratias NZABIRINDA alors Secrétaire exécutif du CNDP. Au mois d'avril 2011, Barack OBAMA avait dû produire son certificat de naissance. le peuple congolais a le droit de savoir la vérité sur l'identité de celui qui dirige actuellement la RDC !!!

  • @johngibson3089
    @johngibson3089Ай бұрын

    RIP MTIKILA

  • @shyshayagen2733
    @shyshayagen27335 жыл бұрын

    Anasiri kubwa ya Tanzania

  • @kakurukataraia2590
    @kakurukataraia25908 жыл бұрын

    MUNGU WA FARAJA AWATUNZE FAMILIA NA KANISA LAKE HATA WANACHAMA CHAKE

  • @yamashidasato6801
    @yamashidasato68018 жыл бұрын

    mambo yanatisha ! mwanzo wakongomani walijifanya wana hakili nyingi, lakini saa hiyi zaidi ya miliyoni 8 zawakongo zimesha teketezwa na hao mashenzi kagame na museveni ambao wanatumiwa na USA, UK na israel

  • @zahrashemndolwa1550

    @zahrashemndolwa1550

    8 жыл бұрын

    ok

  • @nundabe
    @nundabe8 жыл бұрын

    Achen ujinga watanzania nyie mnamjua Kagame au mnamsikia yule nikama Freemason yoyote ambae anamsema vibaya razima ahonje umauti. Uriza ameuwa milioni ngapi rwanda? Uriza yuko anafanya nini congo? Uriza yuko anajaribu kufanya nini burundi. Nandiyomana Raisi wa Burundi hataki kutoka madarakani kwasababu Kagame amesha andaa watu kawe ili watawale burundi. Acha lowassa alete mabadiliko Tanzania iwe kama Congo.

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga65545 жыл бұрын

    pumzika kwa amani

  • @kakurukataraia2590
    @kakurukataraia25908 жыл бұрын

    MUNGU atabaki kuwa mwenye nguvu na uwezo kweli kifo cha REV C.MTIKILA kinanifundisha mambo mawili kwanza amepigania Tanganyika amekufa bila kuiona pili usiseme vibaya juu ya afya ya mtu kwani Mungu ndiye ajuaye hatima ya mtu alimsema vibaya MH LOWASA sasa katangulia Mungu aturehemu kws huruma zake

  • @yamashidasato6801

    @yamashidasato6801

    8 жыл бұрын

    +Kakuru kataraia ATTACK ON TANZANIA: THE DEATH OF MR. CHRISTOPHER MTIKILA. Recently Tanzanian presidential candidate and politician Christopher Mtikila denounce his neighboring country Rwanda as a hostile in what he calls “Hima Tutsi Empire”. It is not a coincidence that Mister Mtikila is killed only few weeks after his public announcement, pledging to fight what he calls Hima-Tutsi Empire’s domination ambitions. It was only last year that the top Tutsi leader in the region President Paul Kagame said to Kikwete “I will hit where it hurts”, After Kikwete led a campaign that ended Hima-Tutsi Paramilitary (M 23 MOVEMENT) offensive in the region. In politics, there are very few coincidences, and Mr. Mtikila’s death on October 4, 2015 is not one of them. He has been assassinated, by the only people in the region who believe in elimination of others as a policy. The Hima-Tutsi Empire. Tanzania is under Attack!

  • @edsonmaguga9093

    @edsonmaguga9093

    6 жыл бұрын

    o

  • @Chillverse1312
    @Chillverse1312 Жыл бұрын

    Right after this interview, he got into an 'ACCIDENT'

  • @julesbeya7315
    @julesbeya73158 жыл бұрын

    How is it possible for this pastor politician to pass away just when he talk against Tutsi peoples? You Tanzanians pay attention, you must check the true not talk about God. Tutsi are not Jews they are one of the most killer in Africa. To know the way of this death it will rise the value of Tanzanian government.

  • @mwljosephsibora6198
    @mwljosephsibora61988 жыл бұрын

    r.i.n umemuacha mgonjwa mahututi anaishi

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu8 жыл бұрын

    Hiki Ndicho Alichosema Mtikila siku 7 kabla ya Kufa kwake. Mimi sina Unafiki wala Simumunyi Maneno, Na wengine wanatumiwa nao Watafuata. MUNGU NDIYE AMEMUUA MTIKILA. Mungu Hataki Ujinga Kipindi Hiki, Na hataruhusu Amani ya Tanzania Ivurugike. Kuna wanaojifanya Kuwa Na Viburi vya Uzima, Wakidhani Wanaweza Kutumia Fiat, Kulazimisha Mapenzi yao Tanzania, Safari Hii halipo. MUNGU ATAWAUA MBELE YA MACHO YA DUNIA, Itakuwa Ni Kioja. Nawaonya wenye Mipango ya Hujuma watubu haraka.

  • @yamashidasato6801

    @yamashidasato6801

    8 жыл бұрын

    +Thobias Marandu h1 { margin-bottom: 0.21cm; }h1.western { font-family: "Liberation Serif",serif; }h1.cjk { font-family: "Droid Sans Fallback"; font-size: 24pt; }h1.ctl { font-family: "FreeSans"; font-size: 24pt; }p { margin-bottom: 0.25cm; line-height: 120%HIMA-TUTSI ATTACK ON TANZANIA: THE DEATH OF MR. CHRISTOPHER MTIKILA. Recently Tanzanian presidential candidate and politician Christopher Mtikila denounce his neighboring country Rwanda as a hostile in what he calls “Hima Tutsi Empire”. It is not a coincidence that Mister Mtikila is killed only few weeks after his public announcement, pledging to fight what he calls Hima-Tutsi Empire’s domination ambitions. It was only last year that the top Tutsi leader in the region President Paul Kagame said to Kikwete “I will hit where it hurts”, After Kikwete led a campaign that ended Hima-Tutsi Paramilitary (M 23 MOVEMENT) offensive in the region. In politics, there are very few coincidences, and Mr. Mtikila’s death on October 4, 2015 is not one of them. He has been assassinated, by the only people in the region who believe in elimination of others as a policy. The Hima-Tutsi Empire. Tanzania is under Attack!

  • @julesbeya7315

    @julesbeya7315

    8 жыл бұрын

    +Thobias Marandu, Do not talk about God before criminal acts such as this one. The Tutsi people is not the Jewish people. Maybe you are Tutsi that's why you support this assassination camouflaged as accident. Avoid talking about God because you show that you don't know him. You are a murderer and worse than I associate you to this people Tutsi. The Tanzanian government if it is serious it should investigate this death, its seems not to be an accident, it's a way of killing used by the Tutsi which Kagame, Kabuta Museveni and Kanambe aka Kabila.

  • @ThobiasMarandu

    @ThobiasMarandu

    8 жыл бұрын

    Wow I thought I Was a Maasai my ancestors moved to Rombo Kilimanjaro in 1700. Am Thobias, Lekundayo, Lebai, Kasari, Shaamba, Lamoteva, MaranduThat am a Tutsi is a News to Me. MTIKILA AMEUAWA NA MUNGU. period

  • @ahmedidarusi7970
    @ahmedidarusi79708 жыл бұрын

    HATARI

  • @nundabe
    @nundabe8 жыл бұрын

    Tatizo watanzania hawajui maana ya VITA ni nini. Acha Lowassa alete mabadiliko Tanzania iwe kama Congo.

  • @daudimkwela

    @daudimkwela

    8 жыл бұрын

    +Fazike Mix Acha Uoga? wewe upo tayari kupigana na Jirani yako? Congo hawakuwa na MSINGI MZURI, Tanzania is totally different na hizo mifano yenu ya vita. Tanzania ina Msingi mzuri ila jumba tunaloishi ndio bovu, lina nyufa nyingiii, tutalibomoa na na kujenga upya.

  • @elishakitoki681

    @elishakitoki681

    8 жыл бұрын

    Daudi Mkwela

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything3 жыл бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani Жыл бұрын

    Apedomia

  • @godfreymwiru3788
    @godfreymwiru37888 жыл бұрын

    R.I.P Pastor Mtikila

  • @godfreykalonga7207

    @godfreykalonga7207

    8 жыл бұрын

    Yap

  • @makangangereza2522
    @makangangereza25228 жыл бұрын

    we boya nini lowasa c ndo kamtoa au