Caroline Kangogo anatafutwa na polisi kwa tuhuma za mauaji

Caroline Kangogo anatafutwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
Kangogo anatuhumiwa kuwaua watu wawili kwa kuwapiga risasi
Anadaiwa kumuua polisi mmoja Nakuru na mtu mwingine Juja
Inadaiwa kuwa anatumia nambari tofauti za simu kuwasiliana

Пікірлер: 150

  • @donneville4529
    @donneville45293 жыл бұрын

    Imagine how their wives reacted....The realization that your husband cheated,and also got killed.

  • @jannyrose5367
    @jannyrose53673 жыл бұрын

    Wanaume Waachane na mipango ya kando coz mnaacha family zenu taabani jameni😭😭

  • @ShSh-my8cw

    @ShSh-my8cw

    3 жыл бұрын

    💔

  • @priscillakageha1689

    @priscillakageha1689

    3 жыл бұрын

    Kabisa dada 😭😭😭

  • @helenshella6809

    @helenshella6809

    3 жыл бұрын

    Kabisa

  • @mercyshiro5808

    @mercyshiro5808

    3 жыл бұрын

    True!

  • @mercynatasha9584

    @mercynatasha9584

    3 жыл бұрын

    The wife majeni,

  • @samuelnyanjui8326
    @samuelnyanjui83263 жыл бұрын

    Wanaume acheni umalaya🤣🤣🤣

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    Very true... Lakini wajinga ni wengi, wacha waonyeshwe cha mtema kuni.

  • @aminabashir5843

    @aminabashir5843

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @chapelimohkin

    @chapelimohkin

    3 жыл бұрын

    True

  • @karenkiambi3124
    @karenkiambi31243 жыл бұрын

    Mimi naona nikama huyu Askari ameambukizwa ugonjwa so she is revanging alafu labda ajiue after all,,, wah iko shida 🤔🤔 wanaume nanyi mtatulia na wake wenu

  • @khanniebaraka1515

    @khanniebaraka1515

    3 жыл бұрын

    Hapo kweli kabisaa

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    I agree with you... It's revenge!

  • @salyjepkogei60

    @salyjepkogei60

    3 жыл бұрын

    Ubaya ya wanaume wako na kichwa lala. Hawatosheki haki

  • @eunexoproducts9145

    @eunexoproducts9145

    3 жыл бұрын

    Yeah,, inawezekana

  • @janekamau8015

    @janekamau8015

    3 жыл бұрын

    True

  • @wambsmie
    @wambsmie3 жыл бұрын

    Polici ana winda polici that's hard solve they know their codes.. She is a tricky cope

  • @jaynethmoses8316
    @jaynethmoses83163 жыл бұрын

    Wacha awauwe tu wote amalize mention yake.ili iwe fundisho kwa wanaume wanaoacha familia zao zikilia,wanaenda kwa maraya

  • @princeskevi1696

    @princeskevi1696

    3 жыл бұрын

    Sure,but anyway RIP for those lost their lives

  • @ummuadam2423
    @ummuadam24233 жыл бұрын

    Wanaume tulieni na bibi zenu, hii kuchepuka sio sifa hamtosheki kwani bora mufinywee..

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    Lakini wajinga ni wengi, wacha waonyeshwe cha mtema kuni!

  • @ericmwiti7166

    @ericmwiti7166

    3 жыл бұрын

    Seems huyu msichana alienda vct akawa positive. Ajui ni nani alimwambukiza and she is on a revenge mission.

  • @gladysbenson3752
    @gladysbenson37523 жыл бұрын

    Men that have left their families crying, God will catch up with you.

  • @Honest_Man

    @Honest_Man

    3 жыл бұрын

    Are you defending her??really?murder

  • @margaretnjeri2310

    @margaretnjeri2310

    3 жыл бұрын

    Dont u know that killing is a sin

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    I can defend that woman! Wanaume wengine ni washenzi... Let's be honest.

  • @robertkiplangat2968

    @robertkiplangat2968

    3 жыл бұрын

    Idefend a lady uyu mwanaume alitafuta Nini Kwa caro na bibi yake ako naye

  • @cherotichdebra8613

    @cherotichdebra8613

    3 жыл бұрын

    They are reaping what they sow

  • @peoplevoices5307
    @peoplevoices53073 жыл бұрын

    So Ndwiga had a wife and yet he was in a hotel room with another woman at 3 PM??🤔🤔 RIP Ndwiga

  • @alextercisio5477

    @alextercisio5477

    3 жыл бұрын

    Shame on him

  • @annem2980

    @annem2980

    3 жыл бұрын

    @people voices and Now his tail is between his legs and Done! For good! May Almighty God have mercy on his soul. 🤔

  • @widekimkung4862

    @widekimkung4862

    3 жыл бұрын

    Tena wawili.

  • @bensonmbugua4159
    @bensonmbugua41593 жыл бұрын

    Its easy to silence a gun in a room..how i won't say as an ex soldier..so you can't hear

  • @justineabarasa672
    @justineabarasa6723 жыл бұрын

    Hiyo ni funzo Kwa wanaume

  • @Honest_Man

    @Honest_Man

    3 жыл бұрын

    This isn't funny

  • @janewanjiku5673

    @janewanjiku5673

    3 жыл бұрын

    @@Honest_Man kabisa mtu akiambiwa atulie na familia yake anaona bibi ni mjinga this the right result

  • @isaackihonge5

    @isaackihonge5

    3 жыл бұрын

    Funzo kwa wanaume bona huyu mama alikuwa na wanaume wengi hivi ara

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    I can defend that woman. Tuseme ukweli wanaume wengine ni washenzi sana.

  • @stellanzioka1687
    @stellanzioka16873 жыл бұрын

    Waume hovyo kabisa wanakufa kwasababu ya laana za wake zao na watoto wao, hilo ni funzo kwa wanaume lalaya, wakiachana na mipango ya kando na wakitulia na familia zao nakuzitunza Mungu atawahifadhi na wataishi.

  • @Young-Dove
    @Young-Dove3 жыл бұрын

    Ama alipachikwa ukimwi? I'm just wondering why is she after all men that had intimate relationships with her?

  • @queenlynne4157
    @queenlynne41573 жыл бұрын

    Maybe alijipata na ugonjwa na hajui nani alimpa..balaa kuu

  • @susanyogo616

    @susanyogo616

    3 жыл бұрын

    My thoughts too

  • @Honest_Man

    @Honest_Man

    3 жыл бұрын

    Usimdefend

  • @martinmunge2830

    @martinmunge2830

    3 жыл бұрын

    Ukweli

  • @boniface3710

    @boniface3710

    3 жыл бұрын

    Most probably

  • @karenkiambi3124

    @karenkiambi3124

    3 жыл бұрын

    Pia Mimi naona hivo

  • @stellapraise4672
    @stellapraise46723 жыл бұрын

    Weeee 😥😥😥😥

  • @josephwaigera942
    @josephwaigera9423 жыл бұрын

    Recce can assist

  • @beirut9750
    @beirut97503 жыл бұрын

    Fow how long will she run

  • @jabarifaraji6771
    @jabarifaraji67713 жыл бұрын

    Waaaahh si ako mombassa uyu ,mdada aky

  • @financegirlke
    @financegirlke3 жыл бұрын

    When love turns sour nothing good can come out of it🙄😭😭😭

  • @JacintaBosibori-cr8er

    @JacintaBosibori-cr8er

    4 ай бұрын

    Lt4rst😂🎉😢😮😅😅😊

  • @sonkobcomedy4230
    @sonkobcomedy42303 жыл бұрын

    jesus waaaa

  • @nyagacathrine1356
    @nyagacathrine13563 жыл бұрын

    Like seriously men take care for your family

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin92203 жыл бұрын

    Weee Huyu mwanamke mwisho

  • @dulkhuns4644
    @dulkhuns46443 жыл бұрын

    Wah uyo dem anatafuta na ex wake Wah !

  • @paulineanyango8477
    @paulineanyango84773 жыл бұрын

    Mngu wangu aki

  • @samirabossbaby9789
    @samirabossbaby97893 жыл бұрын

    She is right ✅👏 walhi me my mission nikifika kenya I have too finish someones son that my promise to kenya 🇰🇪😳

  • @monicahmwkali1209

    @monicahmwkali1209

    3 жыл бұрын

    Kwa nn

  • @widekimkung4862

    @widekimkung4862

    3 жыл бұрын

    Really!!?".

  • @samirabossbaby9789

    @samirabossbaby9789

    2 жыл бұрын

    Yes

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku56733 жыл бұрын

    Ata mwingine auliwe mtu anawacha familia yake akienda wapi

  • @nancy1256.
    @nancy1256.3 жыл бұрын

    Kwani alikua na series of Men???

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda30763 жыл бұрын

    Wanamtafuta ili wapate pesa kwake lakini sio haki ipatikane 😏😏😏hii Kenya na corruption imekuwa too much

  • @daveondiekaaron2204
    @daveondiekaaron22043 жыл бұрын

    MATIANGI ALIWAKATAZA 🤔

  • @felliesweetie
    @felliesweetie3 жыл бұрын

    Hii kushika evidence bila gloves?

  • @rechealmugure9198
    @rechealmugure91983 жыл бұрын

    Ukiona bwana yako anajichaficha ujue alikua ex wake,,wanaume mtapata kichwa

  • @rokinrosedamentor2202
    @rokinrosedamentor22023 жыл бұрын

    wanaume it's ur high time you concentrate with your family wachaneni Na madem

  • @samtv-updates
    @samtv-updates3 жыл бұрын

    Huenda Kuna deal walicheza then akatupwa nje,mmmmh

  • @lizwabo9266
    @lizwabo92663 жыл бұрын

    Caroline she under depression(l think ame face a lot of rejections from men(men mipago ya kado mutaacha

  • @Sadaamberlin8307

    @Sadaamberlin8307

    3 жыл бұрын

    Malaya ww

  • @Baba_isma
    @Baba_isma3 жыл бұрын

    Hii ndio matiangi alisema..polisi wasioane

  • @priscillakageha1689

    @priscillakageha1689

    3 жыл бұрын

    N hatari saana

  • @joycegichia5201

    @joycegichia5201

    3 жыл бұрын

    Matiangi knows about problems of the heart...that's why he said so

  • @shabankolia8204

    @shabankolia8204

    3 жыл бұрын

    Wewe nawe kwani wote walikua police

  • @shirueunice9927
    @shirueunice99273 жыл бұрын

    According to me nikama Kuna uwezekano Kuna Kati ya mwanaume hapo alimwambukiza maradhi but hajui ni nani akaamua kuwaua one by one anyway ni maoni tu am not sure.

  • @jmathai1418

    @jmathai1418

    3 жыл бұрын

    Wacha Mushene

  • @margretwangari2066
    @margretwangari20663 жыл бұрын

    Kwa hivo alikua na wapenzi wawili wanaume haiya maisha sio mbaya

  • @bkechi2961
    @bkechi29613 жыл бұрын

    most probably the lady learnt some health status which are related to her intimate relationships, people handle such health scare differently... its only sad that killing will only cause more harm!!!

  • @maryayodi-xt6wp
    @maryayodi-xt6wp2 ай бұрын

    Okwendo ni wa kakamega

  • @elfuego9117
    @elfuego91173 жыл бұрын

    Ama ni juu anan ukimwi sahii anamaliza kila mutu amekula iyo samoo ndio ana maliza one by one

  • @daughterzion8886

    @daughterzion8886

    3 жыл бұрын

    yuko na ugonjwa

  • @izackom5202
    @izackom52023 жыл бұрын

    Mpenziwe mwingine? Kumbe ni poko?

  • @MLM2447
    @MLM24473 жыл бұрын

    Seriously, you had a wife

  • @joshuakimathi1608
    @joshuakimathi16083 жыл бұрын

    The guy must have ahidden agenda .so she must be interrogated what may be cause of her killing her lovers.

  • @shukriolati4633
    @shukriolati46333 жыл бұрын

    This woman is after revenge? if its not revenge how comes she is only killing those men who had relationship with her"!!

  • @luckyrasuli8180
    @luckyrasuli81803 жыл бұрын

    Hii nipoa kwa wanaume malaya

  • @shabankolia8204
    @shabankolia82043 жыл бұрын

    Wauwawe kabisa wanachia bibi pesa ya sukuma wanaenda Kwa club kuchoma manyama acha mungu afanye kazi yake wanaume wanatesa wanawake Sana hiyo tu ndio dawa kuu c kutoa mboro

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo14013 жыл бұрын

    Waaah huyu n shetan kabisa.. Wanaume tosheka na mke nyumbani.. Ukitaka kulewa kunywa kanunue dukani unywe kwa nyumba yako ila hii starehe imekuwa stara...

  • @jackiegainers2670
    @jackiegainers26703 жыл бұрын

    Malipo ya uhanyaji, she is just to bring something out although in a wrong way by killing

  • @louiskhan7372
    @louiskhan73723 жыл бұрын

    Apigwe risasi na yeye

  • @faithkilelo2271

    @faithkilelo2271

    3 жыл бұрын

    Wanaume tulieni kwenu

  • @louiskhan7372

    @louiskhan7372

    3 жыл бұрын

    @@faithkilelo2271 watafuta maneno

  • @Kezia-rashford
    @Kezia-rashford3 жыл бұрын

    Utapatikana tu

  • @isaackihonge5
    @isaackihonge53 жыл бұрын

    In my opinion wamemngojeza Huyu mwanamke HIV hii ni ravaged

  • @linahghostie5971
    @linahghostie59713 жыл бұрын

    How do you say allegedly in Swahili 😒

  • @faithkanana5262

    @faithkanana5262

    3 жыл бұрын

    inadaiwa

  • @mariestuff5272

    @mariestuff5272

    3 жыл бұрын

    Yasemekana

  • @rosewairimu9237
    @rosewairimu92373 жыл бұрын

    Delila

  • @belfastbrian6280
    @belfastbrian62803 жыл бұрын

    The wages of sin

  • @eunexoproducts9145
    @eunexoproducts91453 жыл бұрын

    They are saying that she was a sex worker,, side hustle

  • @alextercisio5477
    @alextercisio54773 жыл бұрын

    Alikodi chuba cha kulala ndo apatane na kifo chake

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog67523 жыл бұрын

    Nikawa walimambukiza ukimwi na hajuwi alie mpa niyupi ndiposa akaamua kuwauwa poleni

  • @susanyogo616

    @susanyogo616

    3 жыл бұрын

    True

  • @carenchepkurui126

    @carenchepkurui126

    3 жыл бұрын

    hio n shida ya Kukaa n wanaume wengi

  • @rugendorunene545

    @rugendorunene545

    3 жыл бұрын

    I can defend that woman. Tuseme ukweli wanaume wengine ni washenzi sana.

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane43773 жыл бұрын

    Deadly woman

  • @uncensoredbluehawk6335
    @uncensoredbluehawk63353 жыл бұрын

    Huyu aliambukizwa ukimwi.Hajui aliyempa.sasa ni kulipia

  • @carenchepkurui126

    @carenchepkurui126

    3 жыл бұрын

    I think ,n hivyo

  • @policatewanjiru6308

    @policatewanjiru6308

    3 жыл бұрын

    Ujakosea

  • @annahnechesah1301

    @annahnechesah1301

    3 жыл бұрын

    True

  • @brianlyrics2158

    @brianlyrics2158

    3 жыл бұрын

    You nailed it

  • @queenlynne4157

    @queenlynne4157

    3 жыл бұрын

    I think soo

  • @stevenkim808
    @stevenkim8083 жыл бұрын

    Huyu ni sugu

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale30033 жыл бұрын

    Wakenya Poleni Sana na huyo Askari aliyechanganyikiwa,siyo bure Kuna linalomtesa,atafutwe kwa ujanja na busara!

  • @monicahmwkali1209

    @monicahmwkali1209

    3 жыл бұрын

    Kweli si bure

  • @njerikangethe6143
    @njerikangethe61433 жыл бұрын

    asidwe sana ananunuliwo lunch na akalipiwo pahali pakulala then akatoeka mahali caro uko mungu asikupe amani haki

  • @shabankolia8204

    @shabankolia8204

    3 жыл бұрын

    Atamipea amani huyo bingunu direct mark my words

  • @lydiawanjiku8651
    @lydiawanjiku86513 жыл бұрын

    I0

  • @reginakingola1755
    @reginakingola17553 жыл бұрын

    Ni mrembo sana msameeni

  • @bambilu869
    @bambilu8693 жыл бұрын

    Maybe carol is suffer from schizophrenia and going after her exes?