Bongo Star Search 2021 Audition Arusha Ep1 FULL SHOW
Ойын-сауық
Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Пікірлер: 167
Kucheka mutiye mbali munawarudisha nyuma sana wabwenge nyiye bora wa marikani wakisema nono wakisema yes yes wabingo shida
Haya makazi sio makande banaa hujasikia fresh
Been eagerly waiting for this ,,,,, but finally its here ...lets do it ....KENYA REPRESENTING 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi nimependa kizazi Katili Hapo ''Shuka baba la baba la mababa, vibe yao imetisha
Madame Rita barikiwa kwa kujitolea kusaidia selekari ya Tanzania kulea watoto wa inchi,,
Mashallah madam Rita kila siku u look young 👍
@princesangitv3841
2 жыл бұрын
Weeeeee mbn mzeee
I am a great fun from Kenya. I looove the new host, she is such a vibe!
Mze wa sambusa nimempenda sana sana
For me master J is more black and white than the others 🙌🏾🙌🏾
Keep on updating guys i laughed in while bong star search never die from 🇧🇮🇧🇮
Tunafurahia kwa kuanza kutupostia hapa KZread Episodes za BSS... Thanks and much love
@thresherjordan6829
2 жыл бұрын
🥰🥰🥰me pia
Yule baba mwenye matatzi ya macho anajua kuimba anaimba kama Pro. Jay ila wamemkatili
RITHA MADAM YOU ARE A GOOD DECISION MAKER MASTER J ANAJIBU KIENYEJI SANA ,HAJIBU KITAALAMU LAZIMA MUWAPE NJIA WANAKOSEA WAPI NA WAFANYE NINI?
Wamagitaa mmetisha mpo vzr aise kazeni buti
Wao wanamuogopa sana Salama na Mr J
Jamani hapa nilipo nimecheka vyakutosha
kwa yule mdau wa nerea, aliemuita bikira, salama ndo amezingua, alitakiwa aendelee kuzungumza hata kama mchizi ameonesha kuchekeshwa na kauli zake kwa sababu hata wao huwa wanawacheka sana vijana wanaofanya perfomance hapo hatakiwi kupaniki kwa sababu yeye ni jaji ili asije poteza ndoto ya mtu.
This should be a comedy show😂😂😂too funny
WONDERFULY SANA MNAINGIAJE NA ALA ZA MUZIKI KAMA MAPAMBO INASHANGAZA SANA.MUNGU AWABARIKI SANA.
Mbona watu wengine wanaweza lakini mnawaacha
The sumbusa guy is very Humble
jamaa wa sambusa anajuaa,.
Mamuombea salama atoweke kwa kipindi hiki
ARUSHA MNATUTIA AIBU SANA KUIMBA HAMUWEZI NI SHIDA SANA.MSI TAKE EASLY JAMANI HAMUWEZI MBONA TUNA SEHEMU NYINGI ZA MAZOEZI.HONGERENI KWA KUJARIBU.
Nilichokigundua BSS ukienda na Guitar 🎸 chance ya kupita mchujo ni kubwa sana kuliko ukienda mkavu
Sambusa Oyeeeeeee
Washindi tunaweka wap mizigo😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@nancysent1825
2 жыл бұрын
Nmecheka kifalaa😁😁😁
Hawa judges hawana chills 😂😂😂 yaani hapo hapo wimbo haina mvuto 😂😂😂😂 much love from 🇰🇪🇰🇪
Mbona mnawatoa watu wanaojua
I love this all the best to judges and upcoming singer
254 well presented looove the vibe miss mina
Minah Ally I love yuuuu forever
Yaani nacheka ivi vituko umu
Dah... Jamaa kaitwa bikira bana😂😂
naangalia kwaajili ya salama jabir
@beautyibrahim8428
2 жыл бұрын
😂😂😂tuko pamoja
Salama is just a vibe🤣🤣🤣
Huyo salama anazengua kabisa
Uyu mwengine sasa...Duuuh....Halafu kuingilia maisha binafsi hayakuhusu🏃🏃🏃🏃🏃🏃
If you miss Idris piga hii comment a like
kachukue begiii😂😂😌da salam nacheka
Kenyans take this as comedy🤣🤣🤣....cant take Tanzanian's seriously ong🤣🤣🤣been laughing for 30 mins straight
I really liked the sambusa guy. Wangempa chance
Idriss yuko wapi jmn,maana alifurahisha sana
washindi tunaweka wapi mizigo😂😂😂😂
@ridahmainde
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
Would love to say that this ain't really a talent search show but more of a time management gig.... 😊😊str8 outta 254
Nimefurahi kuwaona tena
Tunaomba muwe mnatuekea youtube hizi episodes @Bongostarsearch
Mmmh Hutu atakuwa mchaga tu kaja na godoro. Atakua tu ameamua kuhamia kwa master J
Ila wabongo bana. Sasa unaulizwa swali badala ya kujib unaomba chance. Alaf jaman confidence ndio kila kitu Salama hana shida ni uoga tu wa watu
Salama jalank utaua watu hahahahah nimecheka sana
Ntalaaaaa naaaaa aweeeeeee
Dogo janja 🥰🥰🥰🥰 kaweza mnooo
"Sambusa me nnayo sna haja ya sambusa" 😅😅 salama
Salama sio wewe tu unofurahi mimi hucheka mpaka jamaa wanafurahisha
Amna majaji apo yn majaji wenyewe mikundu tu maana kuna waatu mmewatoa na wametisha na mmewapitisha mambege
place to relieve my stress🙄oooh thank you🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Abdalla Oyeeee🤣🤣🤣
Majaji hawakumsikiliza vzuri hassan
hapa hakuna majaji, yupo mtu anaitwa inonccent nganyagwa kwangu ndo best kwwa ujaji
Sasa mbn kuna watu naona kabisa wanaweza lakini wanachinjiwa baharini, kuna wale watatu waliovaa nguo nyeupe wamezungua
Mkaanga sumu salama Jabir
Salama upo vizuri
Lakini ujama wasambusa anaweza
0137 YUKO VIZURI ANAJITAHIDI WAAMUZI HAWANA UTULIVU HATA KIDOGO.KUWENI MAKINI WATIENI MOYO.>AMEN
ASHA short film (teaser)
THE GUY WITH DE GUITAR WAS OKAY!!!
Awa Judges awana vigezo vyakuwa ma judges...... Upuuzi mtupu.
Dar Arusha kuna vichekesho dar atari hakuna waimbaji aise mmefeli
Kumbunguza ukali
For what I know salama sio kuwa ana gubu ni magonjwa wa psychological problem hii inasababishwa na msongo mkubwa wa mawazo "salama please try to have fun do things you really like in this world kupunguza hasira watu watazid kuogopa kuja kuonesha uwezo wao"
@mniraharuna989
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@idanysedrc1200
2 жыл бұрын
Sasa mtu anakuja na tauro unategemea umjibu nn achen kulalama
Yaaan meena Ally ,,,apo sudy brown wa Arusha nae akhajhaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
funika katumbo kabaya akoo
Kumekucha uku
Anamuona Salama
Mzm ww jaman nikuone kidogo bas ata picha nitumie picha yako ya wasap ipi ndog kubwa sanaa umeolew
Weee salama wee sambusa unayo !!!???
Ommy you have a good heart 🥰
Mnachelewa jamani kuweka video
SALAMA ni MKOROFI Even kuliko hata masterjay ila huwa yuko kwenye upande sahihi maana huwa ampitishi mtu kwa mihemko
👌👌👌👌👌
Arushaaaaa
Master unaogopa kurogwa??mbona mikono kwenye koti,hata kuwapa tano mashabki👋👋
TIZAMA HAPA SEASONI ZA LOVE STORY KWA KISWAHILI SINA MAMBO MENGI GUSA HAPA kzread.info/dash/bejne/oI1qtNBrqJywhtI.html
Full show ndio Zina kua nzur Kwa subscribers tunao wafuatilia Kwa KZread
Moto moto
Master J unazingua sana
Kingreza
Huyo Dada anae ita walinzi anajiskia nahana lolote bureee
Master J ni comedian aliyejificha..! Comments zake nazifuatilia sana
Thnx zote tuwekeeni
@aj3422
2 жыл бұрын
Vipi
aki salama chiz et kicm cha kuazima halo rud nyumban utatuuwa salama haki ya nan
Jamani wasambusha yupo vizur mpeni kura yake Tu
Master anasema hakuna haja ya kuwa na magita matatu namna hiyo
Mze wa chuga anatoka sababu gani
Guiter i love you😞❤❤❤
Haki vile mmenimalizia bandle langu sijapendra😂
Am trying to understand These Judges ,😂 they need to be judged too
@joanithamwaudama9928
2 жыл бұрын
Yes of course they no nothing about judgement!!!!
@msanumedia
2 жыл бұрын
@@joanithamwaudama9928 I agree
Yaani kipindi bila salama kilikuwa kimepoa sasa afadhali yupo tunacheka
Naimba kingreza.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Salama. Umeuwa ulivyopiga simu na kumwambia akapumzike nyumbani