BIBIHARUSI ALIYEVUNJA REKODI DUNIANI THE MEANING OFF TRUE LOVE EDSA SEND OFF

Пікірлер: 27

  • @TheleziaMwandesile-nz7td
    @TheleziaMwandesile-nz7td16 күн бұрын

    Had raha bibi harusi na mdogo wake warembo wote very beautiful 😘😘👌

  • @glorysungura3180
    @glorysungura31809 күн бұрын

    Ukiwa mrembo alafu uko ndani ya YESU urembo wako unazidi mara dufu. Nawapenda sana. Alafu mmefanana na mchumba mtarajiwa. MUNGU awape upendo, heshima, uelewana na amani ktk maisha yenu ndoa. Muuishi mpaka muwaone vitukuu vyenu. Baraka za YESU ziwe ndani na nje yenu. Ameeen

  • @mariamwakajila235

    @mariamwakajila235

    9 күн бұрын

    Amen🙏🙏🙏

  • @loicesau2959
    @loicesau295914 сағат бұрын

    Kwa kweli walipendeza sana sana ,much love 💞 from Kenya....alafu MC ako sawa kweli....

  • @user-yn7hy1iz9j
    @user-yn7hy1iz9j11 күн бұрын

    Niwarembo aki much love ❤ from Kenya

  • @loicesau2959
    @loicesau295914 сағат бұрын

    Nice one💞💞💞💞💞

  • @azizayassin3623
    @azizayassin36234 күн бұрын

    Mungu awabariki sna wamependeza zaid ya sna❤❤❤😂

  • @CARISTAKIHWELE
    @CARISTAKIHWELE15 күн бұрын

    Jmn mungu awabariki xana wajina tv

  • @MariamSekwao
    @MariamSekwao5 күн бұрын

    Ila bibi arusi mrembo❤❤

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo15 күн бұрын

    Congratulations 🎉

  • @user-sw2fi1gu4j
    @user-sw2fi1gu4j5 күн бұрын

    Mrembo amechangamka sana , mungu awabariki milele

  • @Blandinakanini
    @Blandinakanini15 күн бұрын

    Sijaona baba wa bwana harusi had mamake

  • @ClementineMbula-vl4en
    @ClementineMbula-vl4en7 сағат бұрын

    Send off NI matanga vipi nyinyi

  • @SmilingCornflowers-hv3rd
    @SmilingCornflowers-hv3rd5 күн бұрын

    Mungu awabariki sana

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f13 күн бұрын

    Nic san

  • @aminaabdulrahman5184
    @aminaabdulrahman518416 күн бұрын

    Virembo wallah

  • @user-gq7tn6hm1j
    @user-gq7tn6hm1j16 күн бұрын

    Msichana mrembo sana kwani huyo mzee ndiyo penzi wake?

  • @btcministries7260

    @btcministries7260

    16 күн бұрын

    Siyo huyo mzee watch before commenting

  • @CcC-lf7on
    @CcC-lf7on13 күн бұрын

    nakuitaji utakuja congo

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad646316 күн бұрын

    Eti kinguo.

  • @marieakili3005
    @marieakili30058 күн бұрын

    Amen ❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz89835 күн бұрын

    Mmmh dunia gani

  • @user-gb6ut9qe4e
    @user-gb6ut9qe4e6 күн бұрын

    Congratulations

  • @grace-zr5wl
    @grace-zr5wl4 күн бұрын

    Mc chambala🥰🥰

  • @kajanksimon7432
    @kajanksimon743211 күн бұрын

    uyu mc anaitwa nani dogo anajua

  • @grace-zr5wl

    @grace-zr5wl

    4 күн бұрын

    Mc chambala from kasulu kigoma

  • @user-km4nd7rh6i

    @user-km4nd7rh6i

    18 сағат бұрын

    Chambala

Келесі