BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 5

Ойын-сауық

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZread channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 72

  • @PennyLuis
    @PennyLuis3 күн бұрын

    Diva unaitaja taja hyo Ujerumani as if ni hapo kariakoo na wakati passport huna 😂😂😂dooh

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou54043 күн бұрын

    Nilisema ni tahiya inatosha. Majinun

  • @Juke995
    @Juke995Күн бұрын

    Diva anaonekana ana roho nzuri sana ila hakupaswa kuolewa na mtu anae mpenda mwanamke unatakiwa kuolewa na mwanaume anaekupenda hebu ona anavyo fedheheka yani anaonekana yeye ndo anajipendekeza kwa mwanaume daaha mapenzi jamani hadi huruma n kazama mwenyewe hata haoni tofauti

  • @mamilooutukufu3516
    @mamilooutukufu35163 күн бұрын

    Jamani uyu dada narudia tena uyu jamaa hampendi uyu mama kabsa mmama anajibebisha ila mume daaah wala hayupo nae kabsa mmama ana moyo uyu!! Mim siwez na sitakaa niweze ila shangaz anaweza pole shangazi diva

  • @nyanziratatou5404

    @nyanziratatou5404

    3 күн бұрын

    Hili limana ni litahira

  • @salimaahamad2323

    @salimaahamad2323

    2 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @MwanakomboNassor-bw3by

    @MwanakomboNassor-bw3by

    2 күн бұрын

    Anakupenda wewe basi wivu tu

  • @MwanakomboNassor-bw3by

    @MwanakomboNassor-bw3by

    2 күн бұрын

    ​@@nyanziratatou5404limama limekuzaa kuzeesha wenzenu tu wakati nyinyi wenyewe vibibi

  • @MwanakomboNassor-bw3by

    @MwanakomboNassor-bw3by

    2 күн бұрын

    ​@@nyanziratatou5404 Tahira anamuona mwenzie 😂😂😂

  • @Fadhakir21
    @Fadhakir213 күн бұрын

    Tunapenda mahusiano yenu mana swala LA kuachana ata MUNGU apendi allah awaongoze awaepushe na husda na vijicho pia Allah awape watoto wengi ❤❤

  • @AmanaHussein

    @AmanaHussein

    3 күн бұрын

    Inshallah 🤲

  • @kimzymamy6594

    @kimzymamy6594

    2 күн бұрын

    Ameen ❤

  • @WinWilly4162
    @WinWilly41623 күн бұрын

    Ahsante Dada zamarad. Channel yako imechangamka vipindi ni banduka bandua.. That's what we want😅❤

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney73673 күн бұрын

    Diva kutwa upo na mawig hebu mara moja usivae ubongo upumue au unaogopa tutaona panki😂😂😂

  • @AmanaHussein

    @AmanaHussein

    3 күн бұрын

    Iyo mikia ya farasi yuaitumia kama mtandio🙄

  • @aminaali792

    @aminaali792

    3 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @ms_teeonly

    @ms_teeonly

    3 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @janethdavidsanga5999
    @janethdavidsanga59992 күн бұрын

    Mm napenda kochi tuu❤️

  • @jonnycash7682
    @jonnycash76823 күн бұрын

    Allah alikuogoza ukasilimu kwa kupenda kwako hata ukijaliwa kuachana na Abdul usitoke kwa dini ya kiislamu

  • @stellahlinusi8215

    @stellahlinusi8215

    Күн бұрын

    kwani awaja achana na mume wake?

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat3 күн бұрын

    Kitunguu unaweka kwenye fridge diva kweli😮😮

  • @fathiyahmuzney7367

    @fathiyahmuzney7367

    3 күн бұрын

    Yeah ukiamua unaweka

  • @AishaHaji-jn7sg

    @AishaHaji-jn7sg

    3 күн бұрын

    Yes vinawekwa ndio

  • @TrinaRoman345

    @TrinaRoman345

    3 күн бұрын

    Unaweka kinapunguza ukali acha ushamba na we huko 🤗

  • @user-el6kw3kw6q

    @user-el6kw3kw6q

    2 күн бұрын

    😂😂😂 we ndo mshamba

  • @RahmaAbubakar-cb3jx

    @RahmaAbubakar-cb3jx

    Күн бұрын

    sena vinalets mbaya kwa fridg​@@TrinaRoman345

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th3 күн бұрын

    na ungekuwa na hela tungejuta

  • @AfricaQueen

    @AfricaQueen

    2 күн бұрын

    🤣😂😂Hana hata ya kuendea china🤣😂🤪

  • @kampotkanangila9647

    @kampotkanangila9647

    15 сағат бұрын

    😁😁😁😁

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula76163 күн бұрын

    Mi nawapenda hawa

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th3 күн бұрын

    mwanaume akiwa akupendi hana kificho mpka aibu jamani khaa

  • @JeniferMassawe-lu3de
    @JeniferMassawe-lu3deКүн бұрын

    Nampenda diva ivo ivo

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j2 күн бұрын

    Awa wawili nivichekesho

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim79303 күн бұрын

    Huyo shekh mbona hayupo romantic kama mke wake anaitwa beb yy kakaza 😂

  • @faridalihondo3322

    @faridalihondo3322

    3 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shanimbaruku2071

    @shanimbaruku2071

    2 күн бұрын

    Kamchoka

  • @Juke995
    @Juke995Күн бұрын

    Haya mtupe hiyo surah surutumbuka 😂😂tusome na sisi

  • @snowaudielizzy8861
    @snowaudielizzy886122 сағат бұрын

    Makochi yameoza😮

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora1897 сағат бұрын

    Mbona umefutuka

  • @Bashitetako
    @Bashitetako3 күн бұрын

    Suratu subbuka ndio sura gani huyu dada ni mwehu wallahi yaani akiliyake hapo anajihisi ni marekani

  • @salmabasil385
    @salmabasil385Күн бұрын

    Si mlikiss kwenye gari kabla ya ndoa mbona kutuchanganya dada na first kiss baada ya ndoa

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg3 күн бұрын

    Kuishi German,Canada na huna passport dia 😦

  • @stellahlinusi8215

    @stellahlinusi8215

    Күн бұрын

    😅😅😅

  • @gloryhillary1294
    @gloryhillary12943 күн бұрын

    Iyo mito ilivyo michafu saaa

  • @RutyNatalia-uu5uj
    @RutyNatalia-uu5uj2 күн бұрын

    😂😂 na gauni lake

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg3 күн бұрын

    Diva:hey baaaayb Abdul:HELLO 💀 Yaan Abou hayuko romantic jaman😂😂😂hata haongei na mke wake kama anavyo ongeaga instagram

  • @ms_teeonly

    @ms_teeonly

    3 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh3 күн бұрын

    Huyu dada hajielewi

  • @kampotkanangila9647

    @kampotkanangila9647

    15 сағат бұрын

    😁😁😁😁

  • @nancyg8664
    @nancyg86643 күн бұрын

    😂😂hayo mawigi uwa hayavuliwi

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen2 күн бұрын

    🙄🤔🫣Kumbe wewe Diva mshamba hivyo 🤣😂🤣vitunguu kwenye freege🫣🫣🤣😂🤣Ji wigi kama shetani majinun🤣😂🤣🤪

  • @kampotkanangila9647

    @kampotkanangila9647

    15 сағат бұрын

    😁😁😁😁

  • @user-wg3cq7hj3l
    @user-wg3cq7hj3l3 күн бұрын

    Huyo shehe hajawahi kumpenda Diva hata ongea yake kwenye cm tu utajua hampendi bali Diva ndo anampwndaga huyo shehe wake

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy36533 күн бұрын

    Mbona tumbo kubwa

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri23122 күн бұрын

    Munro naye mgerumani gani anamuwa mwanamke keboge

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel3 күн бұрын

    Ndomana ndoa zenu hazigawiyaki kuvunjika ww mtu mnakutana siku 1 siku 2 eti tuowana ndomana wengi wenu mnaolewa leo kesho mnaachana 🤔🤔

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie788112 сағат бұрын

    Hayo masofa vipi?

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein3 күн бұрын

    Yuataka aachike aende wapii naakae atulie na mumewe apunguze TU ushauri yuapenda ushauri sana

  • @stellahlinusi8215

    @stellahlinusi8215

    Күн бұрын

    😅😅😅

  • @agriparose3942
    @agriparose39422 күн бұрын

    Huo mtumbooooooooooooooooooo

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira96313 күн бұрын

    Suratul Sumbuka ndio sura gan jamani😅

  • @aminaali792

    @aminaali792

    3 күн бұрын

    Mi mwenyewe nimeshtuka hee 🤭😂😂😂

  • @floraflora9490
    @floraflora94903 күн бұрын

    Diva una uso mkavu sio ule ambao tumeuzoea

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel7633 күн бұрын

    Unaongeaje diva

  • @jamilaissa1386
    @jamilaissa13863 күн бұрын

    Ety suratul masumbuku😂

  • @Hajer-be2kh

    @Hajer-be2kh

    3 күн бұрын

    😂😂😂

  • @taturajabukhalfani7953

    @taturajabukhalfani7953

    3 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl2 күн бұрын

    Ila diva wewe ni bibi

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira96313 күн бұрын

    Kwa michepuko yake he’s so romantic😉

  • @sheikhaabbas8680
    @sheikhaabbas86803 күн бұрын

    Hyo ni shepu ama mepu

  • @kampotkanangila9647

    @kampotkanangila9647

    15 сағат бұрын

    😁😁😁😁

  • @floraflora9490
    @floraflora94903 күн бұрын

    Wig la Halloween

Келесі