BBC Africa Eye : Vita iliyosahaulika Sudan

Kwa zaidi ya mwaka mmoja, vita vilivyosahaulika vimekuwa vikiendelea nchini Sudan. Maelfu ya raia wamepoteza maisha na mamilioni zaidi wamelazimika kukimbia makazi yao.
Hospitali na maeneo ya ibada yamebomolewa kwa mabomu, huku makaburi ya muda yakichimbuliwa ili kuwazika wale waliokumbwa na mapigano.
Mwandishi wa BBC Feras Kilani, ambaye alikamatwa na vikosi vya serikali kabla ya mzozo huu, anarudi kushuhudia uharibifu na uhalifu wa kivita unaoweza kufanyika katika vita ambavyo dunia imesahau.

Пікірлер: 8

  • @yohananyabu5556
    @yohananyabu5556Ай бұрын

    BBC shukurani sana kwa kutupatia hizi taarifa 🇹🇿🤝🙏

  • @dollardavid955
    @dollardavid955Ай бұрын

    Hata sisi kwetu DRC tunasibiwa na madhila hata zaidi ya hayo... Poleni sana ndugu zetu wa sudani

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384Ай бұрын

    Waafrika weusi ndo wanaoteseka Sudan

  • @hassanmangale755
    @hassanmangale755Ай бұрын

    Siasa itamaliza dunia😭😭😭

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2unАй бұрын

    Katia vita mbaya zaid ni ile ya wenyewe kwa wenyewe hilo ni tatz kubwa

  • @user-nr4xd4lh5s
    @user-nr4xd4lh5sАй бұрын

    Nchi zapigwa vita za kislamu

  • @smallscaleminingsupplies9670

    @smallscaleminingsupplies9670

    Ай бұрын

    Sudan anapigana nani na nani, wapigane wenyewe usingizie wengine

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670Ай бұрын

    Acha wazichape tu, Karma imewarudia, joka walilolifuga kuangamiza Waafrika Darfur limewageuka

Келесі