BARNABA AANIKA MAPENZI YA MKEWE DHAHIRI...

Full nterview ya Msanii Barnaba kumuongelea mkewe‪@rayatheboss‬
baranabaclassic

Пікірлер: 32

  • @HalimaAbdallah-lm8ns
    @HalimaAbdallah-lm8ns2 ай бұрын

    raya msamehe mume wako anakupenda sana na asiyekosea ni Mungu pekee, usimpe shetan nafasi akutawale ,usiiache ndoa Yako kwa sababu ya mchepuko usije na nawewe ukawa mchepuko kwa mwingine

  • @wemakalama6458

    @wemakalama6458

    2 ай бұрын

    Umeongea ukweli jamani❤❤

  • @chany9950
    @chany99502 ай бұрын

    Kipindi kizuri jmn barnaba woomba msamha mkewako jmn nawapenda sana jmn😘😘

  • @LovenesyMhame
    @LovenesyMhameАй бұрын

    Jaman tunawaombea muludiane muendelee n maisha musimup shetan hy nafs kam wasanii barnaba uwe wa mfano

  • @user-wg7ng3se5c
    @user-wg7ng3se5cАй бұрын

    Unajitambua Sana broo

  • @jacklinejotta6365
    @jacklinejotta63652 ай бұрын

    Msamehe tu jmn ni mmeo halali dear love Raya rudi nyumbni kwako

  • @user-im6dl1ie9i
    @user-im6dl1ie9i2 ай бұрын

    Mashallah hongera mwanangu barnabas

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px2 ай бұрын

    Barnaba ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @chiz1soka
    @chiz1soka2 ай бұрын

    Simu nomaaa

  • @user-yv9wi2du3l
    @user-yv9wi2du3l2 ай бұрын

    😘😘😘 hii imeenda

  • @Mchuzimbodze
    @Mchuzimbodze2 ай бұрын

    Barnaba clasic ❤❤❤

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis77142 ай бұрын

    Raya popote ulipo vimbaaaaaa mtoto wa kitanga❤❤❤

  • @SainabaP-es5me
    @SainabaP-es5me2 ай бұрын

    Raya huyo mwenyeuso mrefu kama ndala ndoana kuondoa ndani rudi kwako wa tanga hatupo ivyo

  • @user-se9no4rg3k
    @user-se9no4rg3k2 ай бұрын

    Masikinii

  • @janetymatola6639
    @janetymatola66392 ай бұрын

    Raya sina kibao mumeo kasema rudi

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye79292 ай бұрын

    Eti kwa Shep tumepigwaaa😅😅

  • @user-yi2ng3mr3b
    @user-yi2ng3mr3b2 ай бұрын

    Ukosawa

  • @janethedward4631
    @janethedward46312 ай бұрын

    Mi Binafsi c jaona kosa la barnaba coz Ile ni kazi na ktk kazi Kuna mambo mengi afu ukitaka kutokufanikiwa ktk Maisha Yako weka Mapenzi na kazi yule ni mke alali shida Nini kumshika tu Mtu kiuno Tena ni kazi na c really una panck kiukweli si pw (1) unamnyima mumeo uhuru wakazi (2) unamshusha kwenye game so mi naona raya arudi kwake tu na km wivu awe anaependa nae studio akae nae masa24 aone Maisha yataenda vip. Amuombe mumeo ampe Moyo amuamini coz km alikuwa ampendi ASINGE mueka ndani Sasa akimba nyimbo akae na mtu atua 14:58 5 adi 10 wataangalia wenyewe msani ni kioo Cha jamii na Watu wanataka akshn. Na mwanzo ukujua unaolewa na Mtu wa aina gan🤔

  • @maryamtan682

    @maryamtan682

    2 ай бұрын

    Mipaka na heshima inahitajika, ndo maana ht basata kaitwa. Geuza shiling km ndo mkewe angefanya yy vile ingekuaje?

  • @zainabmapezi5730
    @zainabmapezi5730Ай бұрын

    Mwimbo wenyewe unaitwa NIBUSU. Sasa Raya unaksirika nini wakati lazima waAct kama wimbo unavyosema. Ungetaka ungeimba naye mwenyewe. Acha wivu kwenye kazi wewe. Shauri yako. Wenzako wakiingia hapo hawatoki. Ukisema wa nini wenzako wanajiuliza nitampata lini?

  • @florakimaro-vw7qj
    @florakimaro-vw7qj2 ай бұрын

    🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐

  • @mgenisimba5902
    @mgenisimba59022 ай бұрын

    Mbna barnaba umetuna apo kati jmni 😢

  • @HappyFania-ry2ch

    @HappyFania-ry2ch

    2 ай бұрын

    😅😅 mkewe hayupo

  • @mgenisimba5902

    @mgenisimba5902

    2 ай бұрын

    @@HappyFania-ry2ch 😂😂😂

  • @Vero-bw6fb

    @Vero-bw6fb

    2 ай бұрын

    Hii ndo comment nilokuwa natafta😂😂😂wenye macho yetu tyr tumenasa tukio

  • @adamapollo9859

    @adamapollo9859

    2 ай бұрын

    Amedindisha😂😂

  • @Nkwabishujaa
    @Nkwabishujaa2 ай бұрын

    Bongee la Kipindi....Big up

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf7452 ай бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n2 ай бұрын

    Kwa shepu tumepigwa

  • @hameezhami7795

    @hameezhami7795

    2 ай бұрын

    Yeye ndio anapenda

  • @JacquelineMahumbe

    @JacquelineMahumbe

    2 ай бұрын

    Pakubwa sanaaaa

  • @LovenesyMhame

    @LovenesyMhame

    Ай бұрын

    Kwako wew yey inamutosh n anapenda