Asili ya watu wa Kilwa na mwenyeji halisi

Asili na wapi walipotokea watu wa Kilwa na ni nani haswa ambaye ndio mwenyeji wa kwanza wa mji wa Kilwa katika historia - KAMBI POPOTE #Mtembezikusini.

Пікірлер: 13

  • @darenymsham2467
    @darenymsham24673 жыл бұрын

    Big up maskati yetu

  • @aliyambarak5024
    @aliyambarak50245 жыл бұрын

    Safi sana #UKWENI😘

  • @mastermfaume
    @mastermfaume5 жыл бұрын

    Safi sana

  • @fatumajamaldin1084
    @fatumajamaldin10844 жыл бұрын

    Kilwa ndio home

  • @momadeatibo6729
    @momadeatibo67294 жыл бұрын

    yani vitu vya maana havina vyuwazi nyingi ila muoneshe hamba ruti na matako ya buza utaona.

  • @faithdaniel5652
    @faithdaniel56524 жыл бұрын

    Kilwa ndio nitakapo weka makazi yangu

  • @Rukxernxerlim2312

    @Rukxernxerlim2312

    4 жыл бұрын

    hapo sasa

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima34142 жыл бұрын

    Maneno meng mbona?, Maudhui chache?

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity13 жыл бұрын

    mbona kipindi kiimepotea?

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns26463 жыл бұрын

    ACHA UONGO WAMATUMBI SIO WANGONI!! Wamatumbi walikuwepo Kilwa kabla ya ujio wa wangoni na ndiyo wenye Kilwa yao ambayo ndiyo mji na dola la kihistoria la Kilwa Afrika Mashariki lilipoanzia. Huyo anayesema wamatumbi ni wangoni sio kweli, anadanganya mila na tamaduni za kimatumbi na za kingoni hazifanani, lugha ya wamatumbi na wangoni haziingiliani kabisa mngoni akiongea mmatumbi hana lolote analoambua na mmatumbi akiongea mngoni naye hana chochote anachokielewa. Asili ya wangoni walitokea Afrika kusini wakimkimbia Shaka Zulu kwenye vita vya Mfekane. Wangoni walipofika Afrika Mashariki miaka ya 1800 na kitu kuja juu (inakadiriwa kati ya 1840, 1850 mpaka 1870) miongoni mwa makabila waliokabiliana nayo vikali katika vita vyao vya uvamizi ili watwae ardhi au kusonga mbele kama ilivyo kawaida yao walikuwa wamatumbi na makabila mengi kama wahehe (ambao waliwanyamzisha kabisa wangoni) na kadhalika, kwa mara ya kwanza wangoni wakapigika. wangoni walikuwa na utaratibu wa kuvamia na kupiga kila mwenyeji wanayemkuta ktk ardhi ngeni wanayoingia na kuwajumuisha vijana ambao ni mateka ktk jeshi lao, lakini safari yao iliishia kusini mwa Tanzania kwani makabila ya kusini wakiwemo wamatumbi walipambana nao vikali mpaka wangoni wakasalimu amri na kuweka silaha zao chini. Kwa kuwa wangoni ilikuwa ngumu kwao kurudi walipotoka kutokana na waliyoyafanya njiani hususan katika maeneo waliyopita walijitengenezea maadui wengi na hata huko walipotoka walikimbia mapigano ya vita vya Mfekane ikalazimika utumike ubinadamu ndipo wakaachiwa eno la Ruvuma hususan upande wa kusini wa Songea hii tunayoijua sasa na waweke makazi. Hapo wakatengeneza udugu na mahusiano mema na makabila waliyoyakuta na hata kwenye vita vya majimaji ilikiuwa rahisi kwa makabila hayo kuungana dhidi ya udhalimu wa majeshi ya mjerumani huku Kinjeketile Ngwale ambaye ni mmatumbi na mwasisi wa vita hivyo akawaongoza wote na makabila yote ya kusini pamoja na upande wa mashariki mwa Tanganyika kuwa kitu kimoja na kupambana na wajerumani. Kwa matokeo hayo ya wangoni kushindwa na makabila ya wenyeji kwenye vita wakati wanaingia Afrika mashariki na ndiyo ikawa sababu mpaka leo wangoni wana utani na wamatumbi pamoja na makabila mengine ya kusini, nyanda za juu kusini, jirani na kusini magharibi, mpaka karibia na katikati mwa Tanzania na pia waliakaribia kwa wanyamwezi na wasukuma na hata mashariki ya Tanzania kuanzia Morogoro mpaka mpaka mkoa wa Pwani, na baada ya kushindwa kwao kwenye vita hivyo walitaniwa na makabila ya wenyeji kwa majina mengi kama wahehe waliwaita wapoma au wamapoma wanyamwezi na wasukuma waliwaita watuta na kadhalika. Ndugu zangu ni bora kukaa kimya kuliko kuongea kwa kujibu usichokijua. Wangoni ni wangoni na wamatumbi ni wamatumbi!!

  • @zainabmkwepu5498

    @zainabmkwepu5498

    3 жыл бұрын

    Kina mkwepu tujuane

  • @andersonnambunga3388

    @andersonnambunga3388

    3 жыл бұрын

    Duh

  • @hadisalum8658

    @hadisalum8658

    8 ай бұрын

    Sema baba....hii history wameificha mashuleni

Келесі