Annoint Amani - Nashindwa kuyazuia Machozi ( 0ffial music video )

Музыка

#+255767240181#+255755099942#
Annoint Amani
WhatsaApp & call +255767240181 = +255755099942 )

Пікірлер: 148

  • @judithmwende5696
    @judithmwende56963 ай бұрын

    Wapi like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @testimonyeli6000
    @testimonyeli60003 ай бұрын

    Amina from Kenya 🇰🇪 wapi likes za kenya

  • @Stephen-mbiti

    @Stephen-mbiti

    2 ай бұрын

    AMEN🙏🙏🙏🙏

  • @debrakwamboka3046
    @debrakwamboka30463 ай бұрын

    Amen napenda nyimbo zako sana more love from kenya 🇰🇪 🙏 😢 ❤️ 😊 ♥️

  • @Stephen-mbiti

    @Stephen-mbiti

    2 ай бұрын

    GOD BLESS YOU ALL

  • @user-ms1du2bv4p
    @user-ms1du2bv4p3 ай бұрын

    Congratulations 🎊 👏. Much ❤ 😍 💖 ❣ 💕 frm 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.

  • @dalmasmakio2727
    @dalmasmakio27273 ай бұрын

    Amani kupitia kwa hizi nyimbo unazo ongozwa na Mungu, wengi tunasimama tena

  • @RuthOgata-rz7hq
    @RuthOgata-rz7hq3 ай бұрын

    Congratulations 🎉I like your songs more grace upon you brother Amani🙏 Blessings🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @puritynkatha5599
    @puritynkatha55993 ай бұрын

    Very powerful 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SharonChepkirui-bd2yg
    @SharonChepkirui-bd2yg3 ай бұрын

    My dia man of God,, never give up,,,, God knows everything,,,,Niko Na Imani kubwa kila kitu Itakua shwari hivi karibuni it's just a matter of time,,,,najua fans wako Wa ukweli hawatakuaja kbxaa,,nikiwa ndani Yao,,,,,trust in the Lord,,,,xai ndio unaonekana uko dhaifu kimwili yaani Kwa Maisha ya binadamu Wa kawaida lkn kiroho uko xwa,,,,,huku Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakupenda xna King

  • @Milcah-hb5uw
    @Milcah-hb5uw3 ай бұрын

    Neema ya mungu inandosha bro ukiona majaribu mengine huwa inafanyika ili neno lamungu lisimame kubuka Anyubu alipindia mambo mengi sana lakini mungu hakumuaja kile kilicho nyanguliwa na shetani kirijeswa mara pili jipe nguvu 🙏🙏🙏

  • @priscahkiyondi-om1lt
    @priscahkiyondi-om1lt3 ай бұрын

    From🇰🇪🇰🇪🇰🇪...powerful song..keep going

  • @konamutiboko893
    @konamutiboko8933 ай бұрын

    Mungu akupandishe zaid

  • @magrete483
    @magrete4833 ай бұрын

    😭😭😭😭 usijali jaman Mungu AKO na wewe,😭😭😭😭😭

  • @lediciacheilax4831
    @lediciacheilax48313 ай бұрын

    Usichoke yupo Mungu anayeskiza Sala zetu 💖

  • @LadymamasafiPrincess-hi5zh
    @LadymamasafiPrincess-hi5zh3 ай бұрын

    Nyimbo zako hakika huni toa hofu ninapokua mnyonge

  • @user-dd7si9gj8c
    @user-dd7si9gj8cАй бұрын

    Mpedwa mungu akubark sana nikutie moyo iimbe kweli ya mungu hata kama hawata fatilia hata yesu aliisema kweli hawakumpenda songa mbele

  • @user-lx1vn4bq8j
    @user-lx1vn4bq8j3 ай бұрын

    Napenda msitari ya nyimbo sako you're powerful man of God and God bless you alot

  • @JaneGacheri-jb9xh
    @JaneGacheri-jb9xhАй бұрын

    Nina nyimbo zako karibu sote kwa simu nikisiweka hivi watu wananiambia uko ngoma mzuri sana nitumie .

  • @lsaacomanga
    @lsaacomanga3 ай бұрын

    Nyimbo nzuri walai🎉🎉🎉

  • @nzikwiernest8824
    @nzikwiernest88243 ай бұрын

    Amen Mungu agusaidie

  • @MastzF-lx7lv
    @MastzF-lx7lvАй бұрын

    😘💕Lots of love, nyimbo zako zinanibariki na kunitia moyo am from Kenya

  • @violethadeus5376
    @violethadeus5376Ай бұрын

    Mimi nimuimbaji waka waida natamani kuimba kama nyimbo zako

  • @deboraanyango5584
    @deboraanyango55842 ай бұрын

    Love your gospels music 🎶 zime ni bless nazi skiliza kila wakati.. Pokea upendo kutoka kwangu Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏼❤️❤️❤️❤️

  • @nancycheby125
    @nancycheby1253 ай бұрын

    Powerful song

  • @nellynyawara
    @nellynyawara3 ай бұрын

    Ameen kwl nimechoka mm nashindwa kuyazuia machozi yesu njoo to 😭😭😭😭

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo64643 ай бұрын

    True story.... One day... Yes

  • @user-gk9nc5su7o
    @user-gk9nc5su7o3 ай бұрын

    Amen napenda nyimbo zako zinanitia nguvu be blessed 🙏🙏🙏

  • @violethadeus5376
    @violethadeus5376Ай бұрын

    Mimi nafisi yangu Ina farijika kwa nyimbo zako

  • @ModesterGlenda
    @ModesterGlenda3 ай бұрын

    Amen 🙏 mtumishi wa mungu akuna kishindikanacho kwa mwenyezi mungu

  • @brianraxy6696
    @brianraxy66962 ай бұрын

    Good work Anoint much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @bettyjj641
    @bettyjj6413 ай бұрын

    Love your songs 🙏

  • @greenmedia002
    @greenmedia0022 ай бұрын

    One love from Kwale, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele3 ай бұрын

    Yoooooooooooh Jamani BABA Yangu😂😂 pole sana Akika Ni kweli wewe unayo Majukumu Mengi kwasababu Nyumbani kwako watu Ni wengi zaidi piya wote wanakutegemeya Nimeyaona Live kwa Macho Yangu Ya Mwilini

  • @CARENBULUMA-we9xz

    @CARENBULUMA-we9xz

    3 ай бұрын

    Nalisha wengi muno but siwezi lalamika maana mungu anatosha kwa neema tuu the 🎉🙏 🙏 🙏

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es3 ай бұрын

    Amen...hakika tutafikia kwenye ushindi mkuu unaokwenda kudhihirisha viwango vyetu...kazi yetu sii bure mbele ...kila mbegu njema tulizopanda tutavuna kwa wingi kwa wakati wa Bwana...OOO haleluya

  • @agneskarisa4222
    @agneskarisa42223 ай бұрын

    Much love from kenya

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel59013 ай бұрын

    😭unaimba yaliyomo kwenye jamii. Mungu akuinue mwanangu, utasimama hakika. Ukiwa mfuasi wa kweli wa Kristo, mapito ni lazima, ila najua kuvuka kwako kupo karibu. Barikiwa sana Annoint🖐🏾

  • @dorothyobonyo2196
    @dorothyobonyo21962 ай бұрын

    ❤❤❤much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @joymwanzia7963
    @joymwanzia79632 ай бұрын

    Usiwai tengemea binadamu,tengemeo ni mungu pekee

  • @JoyNambuya-ge3et
    @JoyNambuya-ge3et3 ай бұрын

    Be blessed. Indeed 🙏🙏🙏🙏🙏🔥

  • @user-xm4uu7he9c
    @user-xm4uu7he9c2 ай бұрын

    Amen Amen wimbo nzuri sana

  • @victorwambua5684
    @victorwambua56843 ай бұрын

    bro ucjali Ata mm nimeyaona mengi😔..tujitie nguvu mungu atatusaidia....Ata washa Kila cku mwambie Kila second tutatoa Ngoma ala ..🙏🙏

  • @Lameck-iy2cf
    @Lameck-iy2cf3 ай бұрын

    Dah bro I love your songs sanaa ju ziko na massage nzuri

  • @ZawadiRimba-gy4dn
    @ZawadiRimba-gy4dn3 ай бұрын

    Amen amen god bless you Dady ❤❤❤❤❤❤

  • @rizyp267
    @rizyp2673 ай бұрын

    Atatujibu kwa wakati

  • @user-qi9ll7qj3c
    @user-qi9ll7qj3c3 ай бұрын

    YESU nimetenda dhambi unisamehe usiniache hadui wakalitukana kina lako YESU uniokoe Bwana😢😢

  • @irakozeclaude3362

    @irakozeclaude3362

    12 күн бұрын

    endelea kuimba

  • @sharonmakori4859
    @sharonmakori4859Ай бұрын

    Quite soul touching... Amen kubwa🙏🙏

  • @annkagonye-bk9zf
    @annkagonye-bk9zf3 ай бұрын

    Very powerful 🙏God bless you bro much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868Ай бұрын

    Kazi nzuri Annoint

  • @emileTuyisenge
    @emileTuyisenge2 ай бұрын

    ❤nakupenda sana❤mtumishi wamungu❤ napenda❤nyimbo zako saana🎉

  • @JuliusAtulo
    @JuliusAtulo2 ай бұрын

    I love the way God is using you to pass great messages to His people 🙏🙏🙏🙏

  • @LilianOmari-po5kw
    @LilianOmari-po5kwАй бұрын

    Bwana naomba unisamehee

  • @EuniceMalisa
    @EuniceMalisaАй бұрын

    Mungu akubariki sana kwa mahubir mazuri

  • @EliyaBaynit
    @EliyaBaynit3 ай бұрын

    Mungu akutunze mtumishi

  • @user-zu2dc2bj6z
    @user-zu2dc2bj6z3 ай бұрын

    Eee mngu tufutemachoz bwana kwasababu wanadam hawanahuruma eemngu tuhurumie 🤲🙏

  • @FanisNyamboke
    @FanisNyamboke3 ай бұрын

    Ameeeeeeren and ameeeeen from 🇰🇪

  • @nancycheby125
    @nancycheby1253 ай бұрын

    Yesu usituaje

  • @armsofmercyofficial
    @armsofmercyofficial3 ай бұрын

    More Grace Mtumishi

  • @Adrianmabiria346
    @Adrianmabiria3462 ай бұрын

    Amani nampenda nyimbo zako sana

  • @renaldanjama6313
    @renaldanjama63132 ай бұрын

    Mungu azid kukupeleka mbali🤲

  • @CosmasMaweu-vl4qk
    @CosmasMaweu-vl4qk3 ай бұрын

    Nice 👍 song

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline27512 ай бұрын

    Amen, nice with a sad story. God bless you, bro❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-lt5vm6rq7g
    @user-lt5vm6rq7g3 ай бұрын

    Nafsi yangu inachoka,Mungu nisaidie😢😢😢

  • @julita2118
    @julita21182 ай бұрын

    Mungu aangalie huduma zetu na kutuinua

  • @rynkenya3706
    @rynkenya37062 ай бұрын

    ❤❤KENYANS IN THE HOUSE TUFIKISHE 200K LIKES

  • @Maryhawi9592
    @Maryhawi95923 ай бұрын

    Mungu yupo atufutaye machozi ubalikiwe mtumishi

  • @tdyrrtrtyrr-su6rb
    @tdyrrtrtyrr-su6rb2 ай бұрын

    From rwanda nakupenda sana

  • @user-rh7ws9op1e
    @user-rh7ws9op1e3 ай бұрын

    Mungu akujalie nguvu za kumtumikia

  • @damarismagori-rg5jv
    @damarismagori-rg5jv3 ай бұрын

    Lakini kweli watumishi wanakapitia lakini mungu yupo nao... barikiwa Annoint

  • @emmacradamumo9828
    @emmacradamumo982824 күн бұрын

    A very powerful song🎉🎉

  • @godshealermukiteofficial4976
    @godshealermukiteofficial49763 ай бұрын

    Amen be blessed alot man of God ❤❤❤❤ much love from kenya

  • @sarashukuru4565
    @sarashukuru45652 ай бұрын

    Amen amen kabis Mungu akubariki kaka

  • @brotherstephen2918
    @brotherstephen29183 ай бұрын

    usikate Tamaa 😢 mungu yupo,,,,,, congratulations 🎈🎉🎉🎈

  • @CARENBULUMA-we9xz

    @CARENBULUMA-we9xz

    3 ай бұрын

    ❤❤❤🙏 🙏 🙏 be blessed 🙌

  • @DoreenKabeby-kw4bj
    @DoreenKabeby-kw4bj3 ай бұрын

    May God bless your song bro usikate tamaa🙏🙏🙏🙏

  • @user-fz1en3ff5p
    @user-fz1en3ff5p13 күн бұрын

    Im praying nikupate one day physical be blsd from

  • @naomnyamoitaosiangochannel5552
    @naomnyamoitaosiangochannel55523 ай бұрын

    Amen Amen 🙏 🙌 👏

  • @user-jh2fz6kw5p
    @user-jh2fz6kw5p3 ай бұрын

    May God continue to use you my dear ❤❤❤❤❤️❤️❤️

  • @violethadeus5376
    @violethadeus5376Ай бұрын

    Mungu akubariki anot

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele3 ай бұрын

    imehenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @user-vl8sk9nd7k
    @user-vl8sk9nd7k3 ай бұрын

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu napenda sana nyimbo zako zinanifariji sana

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu2 ай бұрын

    Hakika Mungu azidi kukulinda

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi3 ай бұрын

    Thankyou God kweli touching song GOD bless you

  • @saudahassan6077
    @saudahassan60773 ай бұрын

    Mungu akubark mtumish,nyimbo zako zna msg nzito🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mycletaitas4194
    @mycletaitas41943 ай бұрын

    ❤❤❤❤congratulations God bless you

  • @MwitaMwita-xc2bd
    @MwitaMwita-xc2bd3 ай бұрын

    Mungu akubariki San

  • @JoyJerono-qz4mk
    @JoyJerono-qz4mkАй бұрын

    So touching 😢😢😢 may God bless you

  • @ericmangera465
    @ericmangera4653 ай бұрын

    Kazi zuri kakangu pamoja mpaka infinity

  • @user-so5et5hn5o
    @user-so5et5hn5oАй бұрын

    Amen baba unisamehe

  • @blessedrosamoraa5601
    @blessedrosamoraa56013 ай бұрын

    Amen keep going bro❤❤🎉

  • @johntaiwaf8000
    @johntaiwaf80002 ай бұрын

    Wimbo huu ni baraka kubwa

  • @AgnesZubedah-zs2xd
    @AgnesZubedah-zs2xd3 ай бұрын

    Wimbo mzuri nimeipenda sana

  • @stephenchacha2102
    @stephenchacha21022 ай бұрын

    Its a nice song bro ,God bless you

  • @RehemaTz-nt2rt
    @RehemaTz-nt2rt2 ай бұрын

    Ubarikiwe sana❤❤❤

  • @user-gx9tw4mh5y
    @user-gx9tw4mh5y3 ай бұрын

    Good job keep it up

  • @onychabezenikasaila6157
    @onychabezenikasaila61573 ай бұрын

    Brilliant work dear, touching to the soul. Keep it up broo, may our heavenly Father be with you all the way ❤❤❤

  • @kaoneka
    @kaoneka3 ай бұрын

    Songa mbele my friend

  • @ndedakelvin2128
    @ndedakelvin21282 ай бұрын

    Your songs bless us in kenya

  • @user-tu7ou9iz3c
    @user-tu7ou9iz3c3 ай бұрын

    Bravo keep going kakagu❤❤❤❤❤

  • @jjjcf2846
    @jjjcf28463 ай бұрын

    Amen and

  • @solangerechol6881
    @solangerechol68813 ай бұрын

    Emen❤❤

  • @mariatety8071
    @mariatety80713 ай бұрын

    Wakati wa BWANA ni sasa hakika yatakwisha utabaki ushuhuda....mateso ya mwenye haki ni mengi lakini BWANA humponya nayo yote.... never give up mtumishi

  • @wotwalijames
    @wotwalijames3 ай бұрын

    God father in heaven we need your guidance and provi

Келесі