Annoint Amani - Bila Roho Mtakatifu ( official music video )

Музыка

#bilarohomtakatifu#annointamani
Roho Mtakatifu ni nguvu ya Mungu tunayoishi nayo Duniani,
Roho mtakatifu anatusaidia kuzinda tabia za uovu ambazo kwa kawaida huwez kucha mwenyewe,pia Roho Mtakatifu ana tusaidia kuishi katika Mapenzi ya Mungu Duniani,
Roho mtakatifu ndo nguvu ya unyakuo kwa wateule hivyo bila Roho mtakatifu kwa kuishind Dhambi na huwez kumwona Mungu kamwe
👇
The Holy Spirit is the power of God with which we live on Earth, The Holy Spirit helps us to overcome evil habits that usually cannot be cured by ourselves, also the Holy Spirit helps us to live in God's Will on Earth, The Holy Spirit is the power of the rapture for the elect so without the Holy Spirit to overcome sin and you will never see God
Song,Bila Roho Mtakatifu
Album,We need you ( Vol,7 )
(Language Swahili)
Video,Directed by Meddy
A.E.A Tones Studio pro by Meddy
👇
Annoint Amani
Instagram, Annoint Amani tz.
Tiktok,Annoint Amani tz.
Whatsapp & call +255767240181=+255755099942
👇
Afrika,East Afrika Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 152

  • @juicyentertainmentke9831
    @juicyentertainmentke9831 Жыл бұрын

    Mtumishi Kumbe Ulikua Utetemeshe East Africa Kwa Bonge La Wimbo Kama Huu.unanishangaza Manake Kwa wanaume Wote East Africa Yani sijaona kama wewe.sikulinganishi ila Umewazidi wote.Jamani Tanzania inafaa Ikupee award Ya Kipekee.Acha nimalize Kwa kukuita Jembe La Waimbaji A.K.A The King of Gospel Music East and Central Africa

  • @AdonisSifa

    @AdonisSifa

    Жыл бұрын

    kweli💯💯...

  • @vincentokothowino9291

    @vincentokothowino9291

    Жыл бұрын

    Continue blowing your candle good job

  • @cosmasmaweu-wx8nb

    @cosmasmaweu-wx8nb

    Жыл бұрын

    Kweli kambisa

  • @sayunianania6183

    @sayunianania6183

    Жыл бұрын

    💯🙏🙏

  • @beatricemunyoki4771

    @beatricemunyoki4771

    Жыл бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @belamuluka
    @belamuluka8 ай бұрын

    Nakukubali sana kama naww wamukubali nipe like 5

  • @elshamahwashira
    @elshamahwashira Жыл бұрын

    Amina,ujumbe sahihi kwa wakati sahihi ubarikiwe jitu la mbinguni

  • @user-hi2oh8uu5n
    @user-hi2oh8uu5n Жыл бұрын

    Uzidishiwe neema kwa huu wimbo

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je Жыл бұрын

    Ameen kwa nyimbo suri 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 Жыл бұрын

    Wow msiri wetu ROHO MTAKATIFU . nimebarikiwa na huu wimbo...hongera mtumishi wa Mungu kazi yako ni njema.

  • @onesmusmunga2458

    @onesmusmunga2458

    6 ай бұрын

    Piga hatua zaidi

  • @irenedis5537
    @irenedis55372 ай бұрын

    Enyewe bila roho mtakatifu sisi ni bure kabisa ,Mungu tupe hekima

  • @EsauBakari
    @EsauBakari Жыл бұрын

    Uko na uimbaji urio ja neema ya kipeke kijana kire takushauri mwanangu uwe na unyenyekevu mwingi sana usitafute uma arufu wacha wanao kimbizana na uma arufu wakimbizane nao maana hata bwana yesu mwana wa mungu hakutafuta uma arufu ama arufu umewafanya waimbaji wengine wamwite bwana yesu jamaa wario Anza na roho wanamarizia na mwiri

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana15592 ай бұрын

    Amina amani Mungu aendelee kukubariki. Roho Mtakatifu anafundisha kutafautisha mazuri na mabaya na kuyaepuka yalio mabaya.

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Жыл бұрын

    BAlikiwa

  • @josephkaloki2732
    @josephkaloki27328 ай бұрын

    Annoint Amani we ni mteule na jitu kuu la mbinguni barikiwa Sana nyimbo zako zote nazipenda @Nairobi

  • @user-gx9tw4mh5y
    @user-gx9tw4mh5y2 ай бұрын

    Kweli kabisa,kanisa bila ni mavumbi,Mngu baba utusadie kanisa

  • @anatoleniyonkuru1346
    @anatoleniyonkuru1346Ай бұрын

    Anafanya vizuri huyu mugenzi Rangueil!

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 Жыл бұрын

    Kongole kaka annoint

  • @Starlighttz538
    @Starlighttz538 Жыл бұрын

    Congratulations father Good Song

  • @mbokanirachel5379
    @mbokanirachel53799 ай бұрын

    Waongo kweli pesa tu ndiyo wana tafuta Mungu atusaidie

  • @charlesmutuku768
    @charlesmutuku7688 ай бұрын

    Aki wimbo mzuri unabariki kweri kweri napenda

  • @user-xm1yi4ve6q
    @user-xm1yi4ve6q9 ай бұрын

    Mungu akubariki sana annoit nyimbo zako zinanifanya niwe na

  • @ladyjk1173
    @ladyjk1173 Жыл бұрын

    Kabisaaaa,mtumishi tuache kuigiza na ku ungaunga lugha,umenena.

  • @NASTYKINGBOY-tw4im
    @NASTYKINGBOY-tw4im9 ай бұрын

    A very nice song ata nmetamani ata cku Moja nchape hit kama eo

  • @jumakibomola
    @jumakibomola6 ай бұрын

    Hongela mtumishi wa mungu Kwa wimbo wako mzuri

  • @irenestephano1332
    @irenestephano1332 Жыл бұрын

    Hongela kwako mungu akulinde kwakutupa nyimbo zenye ujumbe wa kweri na mzuri

  • @JimmyWanzambe-xw8vp
    @JimmyWanzambe-xw8vp Жыл бұрын

    Kenya tulikumbali...unakibali..sawia na mtumishi wa mungu marehemu Angela ,,mungu azidi kukupa ufunuo,,..kiswahili imeisha🤣may God take you places bro

  • @mejaking5603
    @mejaking5603 Жыл бұрын

    Unajua kaka ujumbe umefika naunaeleweka pia kwamwenyeiman huu wimbo nimahubiri kamili

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi55049 ай бұрын

    Ukwelii. Nenno.siraici 😢mungu. Atuponye🙋🙋🙋🎸🎺

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele Жыл бұрын

    WIMBO MUKUBWA ƙwakweli BABA YANGU!

  • @veronicahsyombua3685
    @veronicahsyombua368510 ай бұрын

    Annoit mungu alikuita ufanye kazi yake kweli.Nyimbo zako ua zinanibariki sana may God bless you.

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Жыл бұрын

    Amen Amen mtumishi roho mtakatifu

  • @estherkanga8067
    @estherkanga80674 ай бұрын

    All I want to say is stay blessed and move on. Thanks for letting us download

  • @LendaMwanga-wm6xb
    @LendaMwanga-wm6xb5 ай бұрын

    Nabarikiwa na nyimbo zako sana

  • @andrewamatoya3475
    @andrewamatoya34754 ай бұрын

    Amen ni kweli

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa54549 ай бұрын

    Aminaaaa sana Mungu awabariki sana ujumbe mzuri

  • @HappinessProtasi
    @HappinessProtasi2 ай бұрын

    Sio siri unasema ukweli hatujaamua kubadilika tumgukie Mungu tuhubirie tu kaka maana wengine tunakombolewa kwa moto

  • @Yohanaelaizer
    @YohanaelaizerАй бұрын

    Asand mslaba mbele duniah nyuma

  • @joyasan3426
    @joyasan34268 ай бұрын

    Twabarikiwa Dana

  • @hashimukijazi
    @hashimukijazi Жыл бұрын

    daa kaka hiinyimbo ipo vizuri

  • @michaelegesa1306
    @michaelegesa13067 ай бұрын

    Hongera Mtumishi

  • @angellakadikilo9076
    @angellakadikilo90767 ай бұрын

    Kweli nabarikiwa mno

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett673810 ай бұрын

    Mungu wa mbinguni akubariki sana pokea shukrani kutoka kwa kenya

  • @user-kb9zp3iq5o
    @user-kb9zp3iq5o2 ай бұрын

    Amen ubarikiwe sana

  • @JohnsonEjidy-zo4fo
    @JohnsonEjidy-zo4fo Жыл бұрын

    Barikiwa sana mtumish wa Mungu

  • @GERALDLwangu
    @GERALDLwangu Жыл бұрын

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤God

  • @layanabdullah8758
    @layanabdullah8758 Жыл бұрын

    Congratulations Annoint,,,,,🙏🙏🙏🙏

  • @39-xf9qk
    @39-xf9qk2 ай бұрын

    Ameen😊😊😊🙏🙏🙏

  • @user-fz1ne4yq8q
    @user-fz1ne4yq8q Жыл бұрын

    Congratulations mtumishi

  • @MusyokiJosephine
    @MusyokiJosephine9 ай бұрын

    Amina msiri wetu roho wa Mungu ❤

  • @EvelynHart-uz3ii
    @EvelynHart-uz3iiАй бұрын

    Nice voice and good dancer

  • @annahkingoo6387
    @annahkingoo6387 Жыл бұрын

    Nyimbo zinanguza,,,, hongera!

  • @user-jz1ur1sp1t
    @user-jz1ur1sp1t3 ай бұрын

    Dwdi

  • @paskalinathomas5973
    @paskalinathomas59737 ай бұрын

    Mungu akutunzee akulindeee azidi kukuinua

  • @bensonkesi1489
    @bensonkesi1489 Жыл бұрын

    Emeeeee❤❤

  • @EvelynHart-uz3ii
    @EvelynHart-uz3iiАй бұрын

    Nice voice and a g 2:23

  • @user-lo6wd9fj6k
    @user-lo6wd9fj6k7 ай бұрын

    Amina

  • @annwanjiku3184
    @annwanjiku3184 Жыл бұрын

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 can't get enough of this song, b blessed Amani

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Жыл бұрын

    amen mtumishi kweli Mungu hanakupenda sana asante nimebarikiwa sana 🤣🤣🤣🤣👉👉👉👉🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪

  • @selineosigah6050
    @selineosigah6050 Жыл бұрын

    Mungu akuinue zaidi

  • @annkagonye-bk9zf
    @annkagonye-bk9zf6 ай бұрын

    You are a blessing to many may God bless you always Amani

  • @user-lv1xy3qp8s
    @user-lv1xy3qp8s5 ай бұрын

    Amen

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn5 ай бұрын

    Amen 🙏

  • @carolinemwangi5965
    @carolinemwangi59656 ай бұрын

    Mtumishi you are blessed , feeling blessed in Kenya

  • @EvelynHart-uz3ii
    @EvelynHart-uz3iiАй бұрын

    Talented

  • @dolphineongubo4841
    @dolphineongubo48418 ай бұрын

    Amen 🙏🙏🙏

  • @neemakabahinda
    @neemakabahinda9 ай бұрын

    TV🎉🎉

  • @ArmanyNgala-el4sy
    @ArmanyNgala-el4sy Жыл бұрын

    Amen am blessed

  • @user-ck7gm9cl5j
    @user-ck7gm9cl5j9 ай бұрын

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @sifazabayoofficial7081
    @sifazabayoofficial7081 Жыл бұрын

    That’s really nice song

  • @solangerechol6881
    @solangerechol6881 Жыл бұрын

    Emen mungu azidi kukupa nguvu jamani

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel89689 ай бұрын

    Ameni

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Жыл бұрын

    So inspiring🙏🏿💯.May God fill us with the holy spirit

  • @WamakaNgambi
    @WamakaNgambi11 ай бұрын

    Mungu akubaliki sana 🙏🙏

  • @sayunianania6183
    @sayunianania6183 Жыл бұрын

    Amen.

  • @anaelmiraji
    @anaelmiraji10 ай бұрын

    Huu wimbo lazima nisikilize zaidi ya mara20 kwa siku☺️☺️ na nyingnezo nyingi lkn hii ni Zaid danaa

  • @VITUKOZAPAPACHARLES
    @VITUKOZAPAPACHARLES Жыл бұрын

    Baraka sana

  • @linetaluku79
    @linetaluku79 Жыл бұрын

    I love your songs zinanibariki sana

  • @user-vp5eh9yz7g
    @user-vp5eh9yz7g8 ай бұрын

    Mngu akubariki mtumishi

  • @EvelynHart-uz3ii
    @EvelynHart-uz3iiАй бұрын

    Talenet 4:02

  • @user-fn9md9lj5t
    @user-fn9md9lj5t3 ай бұрын

    Love your songs

  • @user-kv3on7fq4c
    @user-kv3on7fq4c Жыл бұрын

    💚💚💚

  • @hurumakalenzi8997
    @hurumakalenzi8997 Жыл бұрын

    Ameni mtumishi ,msiri wetu roho wa mungu

  • @anaelmiraji
    @anaelmiraji11 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @DamarisMumbua-gf3lb
    @DamarisMumbua-gf3lb9 ай бұрын

    Good song❤❤❤

  • @nenolauzimakweliitakuwekahuru
    @nenolauzimakweliitakuwekahuru Жыл бұрын

    Ameni mtumish wa Mungu 🙏🙏

  • @rwenenahomechannel1634
    @rwenenahomechannel1634 Жыл бұрын

    Big up bro. 😊

  • @tumainimkamba7993
    @tumainimkamba7993 Жыл бұрын

    Good songs

  • @ChristineMuinde-fq2jo
    @ChristineMuinde-fq2jo6 ай бұрын

    Love ur songs

  • @gedionmbuvi7128
    @gedionmbuvi7128 Жыл бұрын

    Waaaah 🔥🔥🔥🔥🔥 annoted barikiwa sana inuliwa zaidi watu wa Mungu tubadilikeni amani katumika na Mungu kuleta habari njema

  • @cosmasmaweu-wx8nb
    @cosmasmaweu-wx8nb Жыл бұрын

    Amina nimebarikiwa kweli kweli sana toka kenya 🇰🇪 ❤

  • @priscahkiyondi-om1lt
    @priscahkiyondi-om1lt10 ай бұрын

    Be blessed...may God fill me with the holy spirit.. .Mimi pekee yangu sitaweza

  • @giamstudio
    @giamstudio9 ай бұрын

    Wow,wow!!!Holy spirit of God i need you in my life always

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 Жыл бұрын

    the Holy spirit is the director in our lives let's be holy and humbled in God without holy spirit nothing we can do God open my inner eyes and hears to know how to differentiate your holy spirit be blessed bro 🙏🏻 love you from Kenya ❤ 🇰🇪

  • @BiafricaOfficial
    @BiafricaOfficial Жыл бұрын

    Wimbo Ni mzuri❤❤

  • @pavlovbienfait6940
    @pavlovbienfait694011 ай бұрын

    Thanks so much👏👏🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Wambuiwakori
    @Wambuiwakori Жыл бұрын

    Watching once not enough.. Hallelujah. Thanks Jesus

  • @simiyukapchanga4091
    @simiyukapchanga4091 Жыл бұрын

    Mtumishi barikiwa sana,lakini hakuna option ya download.

  • @elizabethkaluki8601
    @elizabethkaluki8601 Жыл бұрын

    Bila Roho mtakatifu ni bure kweli .Asante mtumishi kwa huu ujumbe .Mungu na akuzidishie Neema.

  • @zerakisonga1462
    @zerakisonga1462 Жыл бұрын

    Hakika ubarikiwe sana na Mungu MUNGU ATUSAIDIE SANA KANISA lake mana tuna hatari kubwa sana🙇🙇

  • @puritarimo6868
    @puritarimo6868 Жыл бұрын

    Wow hakika nimefurahia huu wimbo Kabisaaa Mungu akupeleke viwango vingine maaana tunajifunza meengi kwako🤲

  • @aggybona7658
    @aggybona7658 Жыл бұрын

    Amen 🙏🙏🙏🙏 nice song keep praising God.

  • @naommoraa1197
    @naommoraa119710 ай бұрын

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🎉🎉🎉🎉

  • @samwelmaroa3646
    @samwelmaroa3646 Жыл бұрын

    Asante sana mtumishi wa Mungu napenda nyimbo zako from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Келесі