PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

Karibu sana kwenye ukurasa huu maalumu wa Pastor.Dominic Kiboko ya wachawi,
Unaweza sasa kufuatilia mafundisho yangu kupitia chaneli hii, Pia ukapokea uponyaji kwa fuatilia mafundisho ninayo kuwa nayatoa humu,
Nikuombe sana Mwanangu unaye fuatilia ukurasa huu uweze ku subscribe na kubofya alama ya kengere ili kila mafundisho ninayo kuletea uyapate kwa wakati ulio sahihi...Umebarikiwa sana.

Пікірлер