Success Path Network

Success Path Network

Welcome to Success Path Network, where we believe in the power of knowledge-sharing and growth.

Our channel is dedicated to capacity building and self-development, and our slogan, "Each One Teach One," reflects our commitment to helping you unlock your full potential.

Join us on this journey of personal and professional growth as we share valuable insights, practical tips, and inspiring stories to empower you along your success path.

Subscribe today and let's embark on this transformative journey together! 🌟

Jinsi ya Kumtambua Mtu Anayeaminika

Jinsi ya Kumtambua Mtu Anayeaminika

Пікірлер

  • @BikhajatTumah
    @BikhajatTumah3 сағат бұрын

    Asante Sana nimejifunza

  • @BikhajatTumah
    @BikhajatTumah3 сағат бұрын

    Asante nimejifunza kitu kikubwa jiamini

  • @Mayungasimba-i9j
    @Mayungasimba-i9j4 сағат бұрын

    Mm nimeogopa

  • @salumsafari5914
    @salumsafari59145 сағат бұрын

    ❤❤❤

  • @NurdinjaffarShaur-cg1ye
    @NurdinjaffarShaur-cg1ye11 сағат бұрын

    habri mr ezden nilikuw naomba unisaidiye vitabu ambavyo vitaongeza maarifa yang katik biashara na maisha kiujumla

  • @rahymeralbusaid
    @rahymeralbusaidКүн бұрын

    asante sana kaka angu

  • @JoséthaverónicaVeronicacesar
    @JoséthaverónicaVeronicacesarКүн бұрын

    Blaza nakwelewa sana nipo mozambique

  • @JoséthaverónicaVeronicacesar
    @JoséthaverónicaVeronicacesarКүн бұрын

    Blaza powa mimi nipo Mozambique naitwa shibwana dula❤😅

  • @novatuscharles3156
    @novatuscharles3156Күн бұрын

    Broo unanipa motisha sana respect sana

  • @EdwardSharkan
    @EdwardSharkanКүн бұрын

    Asante doctor means tuna pasta elim ya blue kabisa.. Hapo mimi vyote vimenigusa na nimuhimu kwa afya yangu🙁😞😞😔😔

  • @abilityemmanuel3000
    @abilityemmanuel3000Күн бұрын

    ni kweli bro, nakumbuka tulikua watoto wengi tunaoimba miaka kumi baadae nilibaki peke yangu ninayeimba,,, mola akujalie kwa kutukumbusha ❤❤❤

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9cКүн бұрын

    Kwa maisha ya sasa wengi ni wasanii kweli, Mana Kila mtu anataka awe juu ya mwengine napia n Kila mtu hufanya Kila mbinu japo adhulumu lakn asonge, n wachache wenye kukata tamaaa. 🎉 Mauwa kwakoo ❤😂

  • @HernannEspoir
    @HernannEspoirКүн бұрын

    Kaka ubarikiwe kbs Hiyo tabia hata mm nilikuwa nilishakumbwa nayo

  • @FrancisSamky-w1w
    @FrancisSamky-w1w2 күн бұрын

    Mungu akupe maisha marefu sanaa bro ezden. Mimi tabia za watu ziliniadhiri sana hadi nikawa nabagua watu wakuzungumza nao

  • @MassaiErro
    @MassaiErro2 күн бұрын

    Napataje kitabu jmn nataman kujua kiingereza

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle92882 күн бұрын

    Mm wamenikwaza wengi tena wangi wamenionea ana,nimekuwa mtu wa kujiuliza nn nimewakosea.lkn waliishia pabaya bila hta mm kulipiza kisasi.

  • @KonshaziKonshazi
    @KonshaziKonshazi3 күн бұрын

    🤝 tunaendelea kujifunza

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi38913 күн бұрын

    Asante sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @JohnPaul-ci6lg
    @JohnPaul-ci6lg3 күн бұрын

    Naomba kujiunga na group lenu la whatssap mkuu

  • @oswardmbijes8252
    @oswardmbijes82523 күн бұрын

    💯

  • @MakejeHobela
    @MakejeHobela3 күн бұрын

    Matibabu ya pid

  • @kwilasajnr1020
    @kwilasajnr10203 күн бұрын

    Kujirazimisha katika kuanza kufanya mambo

  • @menzanealide5183
    @menzanealide51833 күн бұрын

    Kila unapo zidi kukua kaka sautiako inazidi kufutia kwenye matangazo mimi niko Mozambique ila nakufatilia toka mashwali 25

  • @oswardmbijes8252
    @oswardmbijes82524 күн бұрын

    💯

  • @oswardmbijes8252
    @oswardmbijes82524 күн бұрын

    💯

  • @talentsmo1864
    @talentsmo18644 күн бұрын

    Nikwel kuna mdada nampenda mkalii siyo pow ila ananiambia nimpe muda anichunguze ..asee hadii leo nachunguzwa ..alf sasa wala anatamaaa😅😅

  • @MohamedMageni-h1b
    @MohamedMageni-h1b4 күн бұрын

    Mafunzo yako nimeyapenda sana

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Shukran sana ndugu yangu karibu sana

  • @ZulfaKindamba
    @ZulfaKindamba4 күн бұрын

    Doctor mm nawashwa Sana sinaraha

  • @MaximilianKiria-rt2eq
    @MaximilianKiria-rt2eq4 күн бұрын

    loooh nimeelewa sana

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Karibu sana. Raha ya kuelewa hili ni kuyaweka haya mafunzo kwenye vitendo Ili tuone matokeo

  • @user-yy4sh2pm2n
    @user-yy4sh2pm2n4 күн бұрын

    Kaka kweli kabisa,umenibadilisha sana na nimebadilisha wengine pia kupitia wewe.🙏

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Shukran sana ndugu yangu. Nicheki WhatsApp tuongee jambo 0759191076

  • @Mepuko77
    @Mepuko774 күн бұрын

    🔥✅

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Nakuona mwanafamilia

  • @gloryoscar
    @gloryoscar4 күн бұрын

    Hongera sana maneno machache ,matendo zaidi itaonyesha uaminifu wa mtu asante

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Bila shaka

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z4 күн бұрын

    Mm nilifunga mwezi mzima wa,Ramadhan niliondoa kilo9 hili la kufunga ndo no1 Docta

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z4 күн бұрын

    Mm nilifunga mwezi mzima wa,Ramadhan niliondoa kilo9 hili la kufunga ndo no1 Docta

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Hata wanasayansi wamethibisha kuwa mtu akifunga japo mwezi mmoja katika mwaka ni hatua nzuri sana kiafya ya kutoa sehemu kubwa ya siku mwilini. Lakini kwa sisi waislam kuna faida kubwa zaidi kuliko hilo la kiafya ikiwa mwezi huo utafungwa kwa usahihi. Asante sana kwa mrejesho wako.

  • @CafePowerBlack
    @CafePowerBlack4 күн бұрын

    Asante sana kwa hii taarifa...inaelimisha vema...❤🎉

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Shukran sana ndugu yangu. Karibu sana

  • @LinahMwelanga-s8p
    @LinahMwelanga-s8p4 күн бұрын

    Doctar mimi mwanangu anamiaka miwili na nusu yeye ukimuuzi tu anazimia dakika 5 had nusu saa haf cjui tatizo ninini

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Nakushauri ukamuone daktari Ili aweze kumfanyia vipimo na kumfuatilia kwa ukaribu.

  • @ZinadiniMmou
    @ZinadiniMmou4 күн бұрын

    Hiki soft copy yake haipatikani.? Nahitaji tafadhari.👏

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork4 күн бұрын

    Tafadhali wasiliana na mwandishi katika namba yake kwenye description

  • @anetherasto9754
    @anetherasto97544 күн бұрын

    Pombe mbaya sana jitihada unajitahd lkn hujui unarudije kiukweli bnafc ni muhanga mnisaidie

  • @aziziabdul9378
    @aziziabdul93785 күн бұрын

    Good

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9c5 күн бұрын

    🎉🎉🎉

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah65245 күн бұрын

    Barikiwa sana

  • @user-vn7uj1sy6y
    @user-vn7uj1sy6y5 күн бұрын

    Good bro keep it up

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork5 күн бұрын

    Thank you so much

  • @jasminmsemo1160
    @jasminmsemo11605 күн бұрын

    Asante Kwa madini kaka

  • @hamednassor792
    @hamednassor7926 күн бұрын

    Je kuna uwezekano wa kupata full scholarship ya pilot nchi yyte ile.?

  • @IddyRamadhan-s1q
    @IddyRamadhan-s1q6 күн бұрын

    Asante shekhe

  • @Muddy_rizzo
    @Muddy_rizzo6 күн бұрын

    Ni sahihi 🎉💯

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi38916 күн бұрын

    Asante sana

  • @Sadedimples
    @Sadedimples6 күн бұрын

    Asante. Tunaowamiini mara nyingi hutufanyia hiyana

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork5 күн бұрын

    Ni kweli kabisa usemayo... Na hii imefanya baadhi ya watu kuacha kabisa kuamini na kusaidia wengine sababu ya kuumizwa na waliopita

  • @DCOMPANYITSOLUTION
    @DCOMPANYITSOLUTION6 күн бұрын

    Shukrani kwa somo zuri ila naomba kuongezea kitu hapo,, naamini miongoni mwa njia za kuweza kumtambua mtu wa kuaminika ni kupitia kupima level ya ubinafsi uliopo ndani yake. Ubinafsi ni hali ya mtu kuhitaji kila kitu kizuri kiweze kumnufaisha yeye pekee na si jamii nzima. Watu wa aina hiyo mara zote huwa wakificha mambo yao mengi kwa dhumuni la kutaka kujinufaisha na kutamani kufahamu ya wengine ili wajijazie pia. Watu wabinafsi ni ngumu kufanya nao kazi au jambo lolote la kheri kutokana na mioyo yao kuwa mizito kufanya kitu kwa Manufaa ya jamii au watu wengine bali hatamani kila jambo jema liwe lao pekee,, hata ma kazini wapo wengi hivyo kusababisha makampuni kuzorota, miradi kutokamilika na pia mambo yote yasiyo walenga wao moja kwa moja kutofanikiwa.

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork5 күн бұрын

    Dah nimekuelewa sana ndugu yangu katika hili naungana nawe mkono. Asante kwa kutuongezea kitu kwenye somo letu. Each One Teach One!

  • @musadongwala2509
    @musadongwala25096 күн бұрын

    Shukran jaziira alhamdulilah

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork5 күн бұрын

    Karibu sana