PBZ Bank LTD

PBZ Bank LTD

PBZ BANK is one among the oldest commercial banks in Tanzania. It is fully owned by the Government of Zanzibar. PBZ BANK is the only bank in Tanzania with its head office in Zanzibar. It dominates the Zanzibar market with about 50% of the market share formed of the cosmopolitan population of over 1.0 million people. Zanzibar enjoys leading tourist investments from various countries.

Ramadhan Mubarak

Ramadhan Mubarak

Fursa Kutoka PBZ BANK

Fursa Kutoka PBZ BANK

Zanzibar Beach Soccer

Zanzibar Beach Soccer

Пікірлер

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965Ай бұрын

    Mashallah allah akulipeni ujira ulokua mwena fidunia wall akhera

  • @rashidkhamisshaali
    @rashidkhamisshaaliАй бұрын

    PBZ

  • @asiahmuscat-fr2to
    @asiahmuscat-fr2to2 ай бұрын

    ASALAMALEYKUM WARAHAMATULAH WABARAKATU SAMAHANI NAOMBEN NAMBA HUDUMA KWA WATEJA YA BANK YA PBZ

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_2 ай бұрын

    Hongera Mhe Rais kwa juhudi unazozionyesha

  • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
    @AbdullaSeifKhamis-tv4zq2 ай бұрын

    Maana Ya Hii PBZ ni nini yani kirefu chake

  • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
    @AbdullaSeifKhamis-tv4zq2 ай бұрын

    The People Bank Of Zanzibar

  • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
    @AbdullaSeifKhamis-tv4zq2 ай бұрын

    Maana ya hii PBZ ni nini

  • @user-ks6wj1uf9k
    @user-ks6wj1uf9k3 ай бұрын

    Jeee kama unatak ufunguw accont na upo nnje unawezkan

  • @user-vf9nm6fh6b
    @user-vf9nm6fh6b7 ай бұрын

    Hizo namab za siri baada kupig *150*40# ndo hua zip?

  • @halimasuleiman5460
    @halimasuleiman54607 ай бұрын

    Understandable 👏👏

  • @YudaMatesie80
    @YudaMatesie809 ай бұрын

    Uchawa umezidi sana sasa mmekuwa mamende

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    Interested

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    Mash Allah

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    Interested

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    PBZ BANK

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    Nice 👍

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano66610 ай бұрын

    Great 🎉

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 Жыл бұрын

    PBZ ISLAMIC Munazingua Munajieka katika Kivuli cha Uislamu tu, Lakin Riba Zenu Kubwa kuliko Benk yoyote hapa Duniani. Jirekebisheni katika Utoaji wa Mikopo Kwa Umma na Huduma za Networking!!!!

  • @SaluSalu-wz8bk
    @SaluSalu-wz8bk Жыл бұрын

    Mbona izi no hazisomi tatizo nn

  • @asilahassan9965
    @asilahassan996510 ай бұрын

    Kwl tunasumbuka tunaomba mtutelekeze vzr tunasumbuka asa tulo nje za nchi unahitaji kuhamisha pesa haikubali shida ni Nini na mitandao Inasoma vzr t

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi2 жыл бұрын

    Ahsante sana kwa taarifa PBZ!!

  • @dondallas6683
    @dondallas66832 жыл бұрын

    Huduma mbona haipatikani

  • @criticalthinker1179
    @criticalthinker11792 жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamasagame9197
    @hamasagame91972 жыл бұрын

    Mankato yake unapotoa kwa atm inakata kiasi gani

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi2 жыл бұрын

    Wataelewa tu. PBZ 🔥🔥🔥

  • @mussamussa952
    @mussamussa9522 жыл бұрын

    Hongera PBZ kwa maendeleo makubwa. Tunajivunia thamani mnayotupa kama wateja wenu

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi2 жыл бұрын

    Ahsante kwa ilmu. PBZ 🔥🔥🔥

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi2 жыл бұрын

    Benki ya watu, Chaguo la watu!!

  • @hamasagame9197
    @hamasagame91972 жыл бұрын

    Vipi kuhusu card za Vissa sisi wateja wa kawaida tunaweza kubadilishiwa tukapata za Vissa card?

  • @rajabomarshaame2924
    @rajabomarshaame29242 жыл бұрын

    Hii App yenu ni Nzuri lakini kwenye Version nyingi za Android inasema 'Not Compatible' haikubali kabisa hata kuidownload. Nashauri muifanyie Update iwe Compatible na manye Android versions at least kuanzia Version 5.0 ili Watu wengi waweze kuinstall App na kutumia huduma zenu.

  • @aminasoud7797
    @aminasoud77972 жыл бұрын

    Kama tunatumia Islamic tunaweza kutumia brach hiyo ya kawaida tukiacha ATM

  • @pbzbank
    @pbzbank2 жыл бұрын

    Kwa huduma za Islamic Banking, tafadhali fika katika matawi yetu ya Islamic liliopo Tandika, Tazara na Lumumba.

  • @hamasagame9197
    @hamasagame91972 жыл бұрын

    Na vipi kuhusu sisi wenye kadi za pbz lakini tunahitaji hizi mpya za vissa... Inawezekana kubadilisha...?

  • @pbzbank
    @pbzbank2 жыл бұрын

    Ndio unaweza kubadilisha kupitia matawi yetu ambayo yapo karibu na wewe.

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 Жыл бұрын

    Mbona nikajaribu kuingia mobile bank haikubali na nishaungwa

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi3 жыл бұрын

    PBZ 🔥🔥🔥

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi3 жыл бұрын

    Hongereni sana Idara ya Masoko kwa kazi nzuri!!

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi3 жыл бұрын

    CSR. Well done PBZ. Mambo ni 🔥🔥🔥

  • @khalfankhamza256
    @khalfankhamza2563 жыл бұрын

    Tunaoma tangazo lenye wimbo wa Asubuhi imewasili ktk pwani ya Tanzania🙏

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy64723 жыл бұрын

    mnaboA bank gan ambayo hata kenya Tawi hamna mimekaa kama kigenge t