Yara Tanzania

Yara Tanzania

Пікірлер

  • @collectionline6055
    @collectionline605515 сағат бұрын

    How can I reach you?

  • @sekelamwasipaja-ue3zl
    @sekelamwasipaja-ue3zl14 күн бұрын

    Hongera mdogo wangumzuri

  • @chrispinsanane5141
    @chrispinsanane5141Ай бұрын

  • @patonation0915
    @patonation0915Ай бұрын

    Asante

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Ай бұрын

    Magunia ya debe ngapi du!!

  • @jumadogani-zi8zk
    @jumadogani-zi8zk12 күн бұрын

    Lakini ni heka siyo ekari

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Ай бұрын

    Umepata gunia ngapi Kwa mbolea hizo

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689Ай бұрын

    Mhh jamani acheni kuongeza chumvi gunia 80 Kwa ekari?

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu83772 ай бұрын

    Vpi mkoa wa tanga inapatikana kweri?

  • @kanoleausi4204
    @kanoleausi42042 ай бұрын

    naipata wapi

  • @Muniraksu
    @Muniraksu4 ай бұрын

    Mimi ni Alexis wa Burundi. Ni na taka kuendelea kwa ukulima wa mahanadi. Nawafuata sana. Msonge mbele!

  • @elizabethlweya5011
    @elizabethlweya50114 ай бұрын

    Asante kwaushauli

  • @michaelmnganga9886
    @michaelmnganga98864 ай бұрын

    Kayuni

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma4 ай бұрын

    Mi niko kigoma kasulu mbona hatupati mbolea kwa mda sahihi nikwanini

  • @The_mediator255
    @The_mediator2554 ай бұрын

    Mbegu Gani alipanda ya mpunga?

  • @ElishaDamas
    @ElishaDamas5 ай бұрын

    Kwa iyo Yara iyo unapandia unakuzia pia

  • @yaratanzania4642
    @yaratanzania46424 ай бұрын

    Asante kwa kuwasiliana nasi @ElishaDamas Tunapenda kukufahamisha kuwa YaraMila CEREAL ni mahususi kupandia, kukuzia na kuzalishia mazao ya nafaka.

  • @ZuwenaSinde-hj9qg
    @ZuwenaSinde-hj9qg5 ай бұрын

    🤝🤝🙏🙏

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed15896 ай бұрын

    Acheni uongo jamani hakuna mbolea itakayokupa junia 70 kwa eka

  • @henrymwazembe4083
    @henrymwazembe40836 ай бұрын

    Zinapatikana wapi?? Mm Niko musoma huku hazipo, napateje?

  • @IbrahimRadjabu-nj9yh
    @IbrahimRadjabu-nj9yh7 ай бұрын

    Tuko Burundi mboleya ya yara tutaipataje?

  • @Muniraksu
    @Muniraksu4 ай бұрын

    Lakini unaweza tumiya mboleya kutoka kwa kuku, ninzuli sana!

  • @TheoAlly-br6ts
    @TheoAlly-br6ts7 ай бұрын

    Samahani nilitakkujua mtaji ni kuanzia sh ngapiii

  • @imanilazaro6826
    @imanilazaro68267 ай бұрын

    Dsm tutapataje yaramila serial

  • @MelitaShangai-ji6og
    @MelitaShangai-ji6og7 ай бұрын

    Hello boss ningependa unipe elimu ya kutunza kilimo

  • @brudatv3539
    @brudatv35397 ай бұрын

    Mfuko mmoja wa mbolea unantosha kisasi gani cha shamba

  • @KurusangaJoseph
    @KurusangaJoseph7 ай бұрын

    Karibuni GEITA ,BUKOMBE,RUNZEWE sisi viijana warunzewe tunahitaji kulima na Yara njoni mtutembelee kwani tunahitaji kuelimishwa

  • @AbubakaliRulinga
    @AbubakaliRulinga7 ай бұрын

    Habari

  • @user-rn7oo5ic8q
    @user-rn7oo5ic8q7 ай бұрын

    Kwa nn Yara mnatuletea mbolea mbolea zenu halafu mnakatisha kwa mfano Otesha ,NPK winner kwa Hulu Zanzibar (Pemba)

  • @robertbalidya3765
    @robertbalidya37658 ай бұрын

    Dar es salaam Maduka ya mbolea za Yara zinapatikana wapi?

  • @yaratanzania4642
    @yaratanzania46427 ай бұрын

    Asante kwa kuwasiliana nasi, tunapenda kukuunganisha na bibi shamba mauzo wetu +255 764 353 193 atakusaidia wakala aliye karibu na wewe.

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri23448 ай бұрын

    Tunaomba wataalam wa vipimo vya aridhi watupe hesabu vizuri hekta moja ni sawa na heka ngapi,hivi vipimo vinasumbua sana,kuna mmoja aliniambia hekta moja ni sawa na heka 10,leo jamaa yetu kasema hekta moja ni sawa na heka 3,ipi sahihi?

  • @yaratanzania4642
    @yaratanzania46428 ай бұрын

    Heka 1 ni sawa na eka 2.5

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri23448 ай бұрын

    @@yaratanzania4642 🤝🤝🤝👍👍

  • @mchinathegreat9619
    @mchinathegreat96198 ай бұрын

    Toen na maelezo jinsi ya kutumia

  • @yaratanzania4642
    @yaratanzania46428 ай бұрын

    Asante kwa kuwasiliana nasi @mchinathegreat9619 Tumia 150 hadi 200 gram kwa siku changanya kwenye mchanganyiko wa chakula.

  • @qwertty2923
    @qwertty29238 ай бұрын

    Amidas na nitrabor waweza tumia moja tu au lazima zote mbili wakati wa mimba dume

  • @ambakisyeelick4227
    @ambakisyeelick42279 ай бұрын

    Pumzika salama Mwarabu Simkoko tunakukumbuka sana kwa mengi yako!! Laiti ungeli kuwepo😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️for real we loved you!!!

  • @bakarygau3044
    @bakarygau30449 ай бұрын

    nataka connection niwe wakala wa Yara How I can

  • @user-zx4mw4dm8q
    @user-zx4mw4dm8q9 ай бұрын

    Shiva Schft

  • @christinadanda
    @christinadanda9 ай бұрын

    Shukrn Sana. Naomba no.yako

  • @emanuelurbani506
    @emanuelurbani5065 ай бұрын

    0

  • @user-ry9jt7fv1z
    @user-ry9jt7fv1z9 ай бұрын

    Zinapatikana wp hizo mbolea me nipo geita

  • @OscarNgowi
    @OscarNgowi10 ай бұрын

    Naomba kujua Bei ya bidhaa zenuu

  • @mzeemwayaya-ri9en
    @mzeemwayaya-ri9en10 ай бұрын

    Bei gani hiyo mbolea

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo626310 ай бұрын

    Mi ni mfugaji naishi Mwanza naomba mawasiliano ya wakala wa Yala aliyeko karibu!

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo626310 ай бұрын

    Video Ina ujumbe mzuri kwetu wafungaji, tatizo ni poor quality ya video. Sauti Ina mwangwi (echo) na sound interruption! Boresha usikivu ili tupate maarifa yaliyokusudiwa!

  • @allysinundo9739
    @allysinundo973910 ай бұрын

    Tuko pamoja kutoka tabora

  • @allysinundo9739
    @allysinundo973910 ай бұрын

    Naomba kuuliza swali ktka somo hili kwa Mkulima wa Hali ya chini ni ipi njia sahihi ya ulimaji wa sesa au matuta ili kupata mafanikio mazuri?

  • @user-zp6su5cd4z
    @user-zp6su5cd4z10 ай бұрын

    Mbegu ip inafaa katav

  • @imuworld
    @imuworld11 ай бұрын

    😊

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi412211 ай бұрын

    Unajiunga kupitia vikundi vya Saccos na vikundi vingine vinavyotambulika yaani Bank inadhamini halafu mnapewa kiasi cha pembejeo unalipa baada ya mavuno inalipa sana unatoa robo ya pembejeo zote wakati wa mavuno ndiposa unamalizia deni lao huu ni mpango wa kuinua watu masikini katika kilimo