WENGINE WANATAJA. THE SOUND OF PRAISE (HUIMA BAND) OFFICIAL VIDEO

Музыка

#themomentwithGod
#themomentwithGodseason1
Asante kutembelea chaneli hii na kutazama wimbo huu
THE SOUND OF PRAISE BAND HUIMA BAND NI HUDUMA INAYO FANYA KAZI CHINI YA KANISA LA FPCT.
CHINI YA MCHUNGAJI KIONGOZI DAVID BATENZI.
/ @fpctkitangirimwanza
KWA NEEMA YA MUNGU TUMEFANIKISHA KUACHILIA WIMBO WA TATU KATI YA NYINGI TULIZO ANDAA UNAO KWENDA KWA JINA LA WENGINE WANATAJA
NI MATUMAINI YETU UTABARIKIWA NA KUKUTANA NA MUNGU UTAZAMAPO.
Tafafhari wasiliana nasi kupitia
+255783122333
+255754436678
sautiyasifa04@gmail.com
na kupitia mitandao ya kijamii kwa jina la Huima Band/The Sound of praise band
sautiyasifa?...
huima_band?igsh...
the_sound_of_pr...
Waimbaji:
1. Japhet Fumbuka
2. Deus Matata
3. Mussa Balema
4. Stella Ntibabala
5. Adelina James
6. Edward Nungu
7.Florah Fumbuka
8. Hellena Masesa
9.Isnaty Lazaro
10. Joyce Josephath
11. Christina Josephat
12.David Deus
13.Redempter Anored
14. Baraka Adamu
15. Dinah Hango
16. Yamungu
17. Yohana Meshack
18. Oswald Jailos
Musicians
1.Shadrack Adamu
2.Sephone Sospeter
3.Danfred Daniel
4.John Ntete
5. Fred Japheth
6. Samuel Phillipo
Piano & E. Piano Sephone Sospeter.
Organ: Baraka Kusula
Sax Dickson E. Maige
Synth, Bells, Fx: John Ntete
Lead 2: Josia Kaema
Bass guitar: Aman Victor
Drums: Brown Noel

Пікірлер: 58

  • @sephonesospeter6144
    @sephonesospeter61449 ай бұрын

    Wooooow! Nimebarikiwa sana sana na IBADA hii Njema. Moyo wangu umejaa shukurani kwa Mfalme Yesu. Hongereni sana HUIMA BAND, watendakazi wenzangu katika shamba la Bwana Yesu. HAKIKA kazi hii ni njema sana sana sana.

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Hakika kama MD katika wimbo umefanya kazi kubwa..

  • @gospotv
    @gospotv8 ай бұрын

    Mungu awabariki sana watumishi, Kazi yenu ni njema sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Amen Ubarikiwe

  • @stevenjacob1220
    @stevenjacob12209 ай бұрын

    Amina sisi tunalitaja jina la BWANA

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen

  • @boazlazaro782
    @boazlazaro7828 ай бұрын

    Pokeeni maua yenu Huima band

  • @sophiamwaipopo3072

    @sophiamwaipopo3072

    2 ай бұрын

    Mungu aendelee kuwatunza ila naomba muweke mtandaoni wimbo wa ni Agizo

  • @Robertkichembu
    @Robertkichembu9 ай бұрын

    Yesu atawale anaweza

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen hakika

  • @dianafrancis6089
    @dianafrancis60899 ай бұрын

    Ahimidiwe Mungu kazi nzuri sana huduma hii isonge mbele

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen amen. Utukufu kwake YESU

  • @NeemaMsunga
    @NeemaMsunga9 ай бұрын

    Amen...Jina la bwana lizidi kutukuzwa ❤

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen amen. Hakika

  • @godfreyisaac1665
    @godfreyisaac16659 ай бұрын

    ❤❤❤❤safi sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen

  • @eliahsamson7869
    @eliahsamson78698 ай бұрын

    Mungu awabariki sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Amen

  • @eagtmwangazachurchdodoma
    @eagtmwangazachurchdodoma7 күн бұрын

    Mbarikiwe, Huima, Miaka Mingi sana tumewatazama imepita,, kumbe mnaendelea na huduma nzuri. Hakika Mungu ni Mkuu sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    5 күн бұрын

    Amen 🙏 tubarikiwe sote. Huduma inaendelea kwa utukufu wa Mungu

  • @nicksonngenzi6831
    @nicksonngenzi68319 ай бұрын

    Ayeee ayeeeee Yesu atawalee

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Atawale

  • @emanuelmazigo3730
    @emanuelmazigo37309 ай бұрын

    Amen kazi nzuri.💥

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    🙏

  • @leganernesttv4926
    @leganernesttv49269 ай бұрын

    Mungu awabariki sana maana kazi hii ni kwaajili ya utukufu wake

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen amen. Utukufu kwa YESU

  • @DrIGEMBE
    @DrIGEMBE9 ай бұрын

    AMEN be blessed

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Amen 🙏

  • @deardonewilliam3665
    @deardonewilliam36654 ай бұрын

    My family the sound of praise

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    2 ай бұрын

    Be blessed family

  • @NumberOneProductions
    @NumberOneProductions9 ай бұрын

    Saaafi

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    🙏

  • @aictbuzurugachoir4172
    @aictbuzurugachoir41729 ай бұрын

    Tunangoja

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Amen

  • @Kalimanzila
    @Kalimanzila9 ай бұрын

    🎉🎉😅😅

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    4 ай бұрын

    🔥

  • @deardonewilliam3665
    @deardonewilliam36654 ай бұрын

    Huima band

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    2 ай бұрын

    Ubarikiwe

  • @user-fx9pr2lq6t
    @user-fx9pr2lq6t9 ай бұрын

    Wao fantastic kila kitu kimekaa sawa sana Mungu awabariki sana sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Amen amen

  • @danlead7882
    @danlead78829 ай бұрын

    Kazi nzur sana 🙌🙌

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    🙏

  • @boazlazaro782
    @boazlazaro7828 ай бұрын

    Amina.Yesu atawale maisha yangu pia

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    6 ай бұрын

    Amina

  • @MAENDECHACHA-ih2od
    @MAENDECHACHA-ih2od9 ай бұрын

    Nimebarikiwa sana na kazi, Bwana Yesu aendelee kutukuzwa.

  • @tayanalazaro3620
    @tayanalazaro36209 ай бұрын

    Ngoja like hapa kama umeniona mimi humo. Niko chini nmevaa gauni la kitenge na nywele ndefu. Aisee nilibalikiwa sana. Mbarikiwe mno

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    9 ай бұрын

    Ubarikiwe mama. Barikiwa sana

  • @vitalismary5
    @vitalismary59 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ .......❤❤❤❤❤❤❤ ah, nimebak bila neno wacha na mim nitaje jina la YESU ..❤❤ HALLELUJAH

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    8 ай бұрын

    Amen 🙏

  • @boazlazaro782
    @boazlazaro7828 ай бұрын

    Mungu awabariki sana,Amina

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    4 ай бұрын

    Amen 🙏 Ubarikiwe pia

  • @lovehamis1332
    @lovehamis13329 ай бұрын

    Barikiwaa sana❤

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    4 ай бұрын

    Barikiwa zaidi

  • @user-jr6ew8yv4h
    @user-jr6ew8yv4h8 ай бұрын

    Mpalikiwe watumish 😂😂😂😂 wanungu

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    4 ай бұрын

    Asante

  • @user-jr6ew8yv4h
    @user-jr6ew8yv4h8 ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @user-eb2ox2vb9w
    @user-eb2ox2vb9w8 ай бұрын

    Mungu awabariki sana

  • @huimaband2993

    @huimaband2993

    4 ай бұрын

    Amen 🙏 Ubarikiwe